MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • MHE. RAIS SAMIA AKITEMBELEA KABURI LA HAYATI DKT. JOHN MAGUFULI

КОМЕНТАРІ • 218

  • @marysaimon2213
    @marysaimon2213 2 роки тому +41

    Tunaombeni Magufuli day,tulimpenda sana Rais wetu

  • @justinmutabazi7353
    @justinmutabazi7353 Рік тому +5

    Safi Sana Rais Mama Samia kuritemberea Kaburi ra Mtukufu Rais wa Africa Magufuri🇹🇿🇷🇼

  • @richardonguto5794
    @richardonguto5794 Рік тому +33

    we miss Magufuli, he was an amazing president, a true servant of God. From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @moodykimwele2564
    @moodykimwele2564 Рік тому +20

    Poleni sana Tanzania! Wakenya, tulimpenda sana Magafuli. Azidi kulala salama.

  • @evarkiowi9973
    @evarkiowi9973 Рік тому +11

    Never forget you my father(mtetez wa wanyonge)

  • @Bihomebuja
    @Bihomebuja Рік тому +3

    Am a burundian I love late president Magu so much. Nakumbuka jinsi aliwapenda wa Tz na wa Affica in general .
    He must be in heaven undoubtedly.

  • @amosfaustine
    @amosfaustine Рік тому +4

    Na kuombea kwa mungu akusamee dhambi zako na apokee roho yako Amina.

  • @shakilayusuf7802
    @shakilayusuf7802 Рік тому +13

    I still remember my president,so sad that he's left us that soon

  • @newtonkulla5816
    @newtonkulla5816 Рік тому +8

    The only president ever to care for the ordinary Tanzanianians ..RIP Mzee wa jumuiya ya African mashariki...

  • @ISAAC-S_GENERATION
    @ISAAC-S_GENERATION Рік тому +3

    It feels like yesterday I can't believe it's more two-years since we lost you sir am Kenyan but Magufuli forever my president

  • @khalidkhalfan1556
    @khalidkhalfan1556 Рік тому +5

    R I p baba yetu mpendwa pumzika kwa amani na mwenyezi mungu akuweke peponi amina

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 Рік тому

      Asio taamka shahada NA hamtambui mtume mohamed NA wala hakutaamka shada ya kiislaam haingili peponi NA wewe jina lako ya kiislaam vipi kaka yangu

  • @stephensinka5616
    @stephensinka5616 Рік тому +11

    Mangufuli ni moja wa wachache sana kuwahi kutokea katika hii dunia.. Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.

  • @ayuburubawa7232
    @ayuburubawa7232 Рік тому +7

    Hayati Alikuwa Mtu Mwema Na Mbele Zake Mungu Maombi Yetu Awe Mahala Pema Amiin Na Mama Yetu Mh Rais Samia Suluhu Hassan Uwezo Wake Mwenyezimungu Ukuongoze Daima Tunakutazama Vyema Na Kutegemea Yote Mazuri Kama Kiongonzi Wetu Hatujawa Wapweke Tusipate Kuwa Wapweke Daima Tunakuombea Yote Mazuri Amiin InshAllah 🇹🇿💯

    • @adamdaudi6191
      @adamdaudi6191 Рік тому

      Duu, kavuka vigezo vyote vya kusamehewa?. Haijakaa sawa kauli yako

    • @ayuburubawa7232
      @ayuburubawa7232 Рік тому

      Ulimi Hauna Mfupa Muhimu Napenda Awe Na Msamaha Wa Mungu Kwa Lolote Alilowahi Kukosea Kwakuwa Hayati Alikuwa Ni Rais Bora Kwa Sie Wananchi Tusio na Macho Ya Kujua Mengi Sana Nilimuona Mtu Mwema Sana Kwa Kurudisha Nafasi Ya Kipaumbele Kwa Wananchi Wa Kawaida Masikini Anaeweza Kuhurumia Masikini Anapendeza Kuhurumiwa Pia InshaAllah Samahani Kwa Kukukwaza Kaka Adam Daudi Shukran

  • @shukulupaschal7882
    @shukulupaschal7882 Рік тому +6

    Rest easily my president magu you was a real leader every happen again

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +5

    Apumzike kwa Amani Rais wa Awamu ya 5 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Rais Dr John Pombe Magufuli. Mungu Ambariki Rais Samia na Mungu Ibariki Tanzania Nchi Yetu Sote🇹🇿🇹🇿

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 2 роки тому

      Hakuna kupumzika Kama mwema utalipwa kwa wema wako Kama muovu utalipwa pia kwa uovu wako

  • @steveomodecxofficial
    @steveomodecxofficial Рік тому +7

    A great African statesman! Rest well Pres. J.P Magufuli

  • @abrahammnjama7962
    @abrahammnjama7962 Рік тому +3

    Continue singing with the angles JPM🇰🇪

  • @maseruka6334
    @maseruka6334 Рік тому +11

    AFRICAN HERO❤❤❤💔💔[R.I.P]

  • @stevenmalunde8038
    @stevenmalunde8038 Рік тому +6

    Kila akienda Mama Mvua lazima ishuke ni mara chache sana kama kaenda mvua haija nyesha RIP Magu

  • @MrMuzahuzi
    @MrMuzahuzi Рік тому +10

    Forever missed JPM!

  • @mrcashkenya6771
    @mrcashkenya6771 Рік тому +4

    Kifo cha mmoja kinamfaidi mwingine RIP Magufuli

  • @denysrubangura9866
    @denysrubangura9866 Рік тому +18

    RIP JPM, we will never forget you, a TRUE SON OF AFRICA.

  • @oscarkasalile5058
    @oscarkasalile5058 2 роки тому +7

    Hakika jembe hatupo nalo tena. Mwenyezi msamehe makosa yake kama nae alivyowasamehe waliokuwa wamemkosea

  • @geraldhongani8765
    @geraldhongani8765 Рік тому +1

    Inasaidia nn ata ukiangalia Kama matendo yake uyaenz akuna Mana nisawa na kujiangalia mwenyewe katka kioo

  • @monicamwandemele2648
    @monicamwandemele2648 Рік тому +8

    Tunaomba Magufuli day jaman

  • @imeldangoda2319
    @imeldangoda2319 Рік тому +1

    Pumzika kwa amani mwenda zake.Tanzania we love u

  • @alexkungu537
    @alexkungu537 Рік тому +1

    My best president friend nilikupenda sana lakini Mungu akakupenda sana pumzika kwa amani

  • @geoffreyruhinda8875
    @geoffreyruhinda8875 Рік тому +2

    Ntuzibagirana wakunda Abaturage ruhukira mumahoro mubyeyi🇷🇼

  • @geofreyambakisye4481
    @geofreyambakisye4481 Рік тому +3

    Kuonyesha kuwa hayati MAGU alikuwa rais bora na wa ajabu sana kwa nn matukio yake yote mvua ilinyesha MUNGU we ni mkuu sana!!

  • @leahliwenga3547
    @leahliwenga3547 Рік тому +6

    Chema huwa hakidumu kamwe yani moyo wangu unakukubali san magufuri lakini ndio hivo tena haupo nasi tena lakini rip

  • @tundamasaga9530
    @tundamasaga9530 Рік тому +4

    Usinichote piga kazi kama ya huyo jamaa ukifkika theruth tu hata jamaa atakutembelea yeye ndotoni....tupo pamoja ila nipo kwa mbali huwa nakuzumu tu ungejua kilo ya mchele ni elfu 3 na pesa yetu haina thamani ungelia mimi nashika elfu kumi moja naninashindwa kuigawa kwa day najua wewe unashika idadi ya noti nyingi kiukweli uwezi kutambua nachokifili.

    • @omarhassan4555
      @omarhassan4555 Рік тому

      Aloo...weye upate sanam lako....csemi ncjechezea Ndioge bureee..but Allah ndiye hakimu wa yote haya....labda tusife...

  • @mariamzirojuma2157
    @mariamzirojuma2157 Рік тому

    Hatuwezi kuwa kama Magufuli lakini hakuna asiyejua Magufuli alikuwa mtu wa aina gani. Mzalendo na mtanzania wa Damu kiongozi mwenye maono mpambanaji aliyejitoa bila kujua hatma ya majitoleo yake.
    MUNGU MPE PUMZIKO.
    AHSANTE MH SAMIA SULUHU HASSAN

  • @kulwamathias7680
    @kulwamathias7680 Рік тому

    Mimi nitakuwa rais siku moja na mitafanya kama ulivyofanya wewe
    MUNGU MKUBWA naamini Hill litakuwa kweli

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 роки тому +3

    Rais wetu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan...Asante kwa Kazi nzuri Sana uifanyayo kwa Taifa letu la Tanzania.

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +5

    Ombi langu binafsi Mheshimiwa Rais Samia naomba nipate nafasi katika Kitengo Cha Ulinzi na Usalama wa Taifa letu Tanzania. Mwenyezi Mungu amenijalia Uwezo wa Utambuzi (Intelligence) ya kuhisi Hatari na Salama iliyopo mbele.🇹🇿🇹🇿

  • @markoezekiel5144
    @markoezekiel5144 Рік тому +1

    Kila mtu anaenea katika viatu vyake
    Your doing good madame president because you are really doing as you..!
    Peace & Prosperity is the only focus we do aim at🤝

  • @abduldebway8332
    @abduldebway8332 Рік тому +5

    😔😔😔 we missed him JPM mzalendo Mchapa kazi

  • @patrickndichu3905
    @patrickndichu3905 Рік тому +1

    Tz kila kitu mwafanya kwa mpango na umakini sana...👍👍👍

  • @giftchristianmeela1409
    @giftchristianmeela1409 Рік тому

    Naomba kuuliza ivi kwanini Raisi huwa analindwa sana akiwa Tanzania kuliko akiwa nje za nchi huko, tofauti na maraisi kama wa Marekani wao wakiwa kwanye nchi zao inakua ni rahisi sana ku interact nao tofautii na wakiwa nje ya nchi zao.

  • @darviedeben1885
    @darviedeben1885 2 роки тому +7

    R.I.P ,magu wetu na hongera sana mama

  • @evarsmhando
    @evarsmhando Рік тому +1

    Sad sana

  • @mirajimbega8350
    @mirajimbega8350 2 роки тому +2

    Pole sana Mh Rais na Watanzania sisi sote!MUNGU Akubariki uendeleze Inshallah pale alipoishia, Mimi na Watanzania tupo pamoja na ww Mama

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 Рік тому

      Zaidi sana Mimi binafis yangu Na Jami yangu yote jipm kamwe siwezi kuacha kumkumbuka Na kumoombea mungu ampe taji ya Mtumishi mwema ila sisi watu wa Ali ya chini tunaokula mlo mmoja kwa siku tutamlilia mungu mpaka kieleweke Na mungu atajibu

    • @calebcaleb3193
      @calebcaleb3193 Рік тому

      Pole sana mama jeneth wewe ni muombaji kama sis timu malumu ya Maombi macho yako kila itwapo Leo elekeza kwa mungu Na kilio chako kiwe kwa mungu usiache kumwita mungu kila itwapo Leo tambua ibilisi aliye laaaniwa Na mungu alali yuko macho ila tumepewa sila za kumteketeza

  • @symonwanjohi3294
    @symonwanjohi3294 Рік тому

    Mzee Magufuli na Mwai Kibaki tutawakumbuka milele,viongozi wa dhati.

  • @edmundjackson4611
    @edmundjackson4611 Рік тому +1

    Huwa Napata wakati mgumu sn mkinikumbusha jpm japo mm niko mlengo w kushoto lkn nilimpenda sn kiongoz huyu

  • @chrissg4026
    @chrissg4026 Рік тому +1

    Je kaburi la Mkapa nalo limejengewa hivi? Kama sivyo basi ifanyike haraka sana!

  • @tabutabu8900
    @tabutabu8900 Рік тому +4

    We miss u dady 😭😭😭🤲

  • @cloudykusundwa6766
    @cloudykusundwa6766 Рік тому +2

    Kila mkifika huko mvua inanyesha, ni jinsi gani Mzee wetu alivyokuwa wa Baraka.

  • @amanafi1288
    @amanafi1288 2 роки тому +1

    Rais wetu IGA uthubutu wa kuanzisha miradi mikubwa iliyo na maslah mapana kwa Nchi.,, Kama alivokuwa na uthubutu JPM

  • @godlivergift8754
    @godlivergift8754 Рік тому +1

    Hayati Magufuli tutakukumbuka Baralote la Afrika

  • @christianleonard8308
    @christianleonard8308 2 роки тому +2

    Madam president 👊👊👊

  • @stanleylewisstanleylewis
    @stanleylewisstanleylewis Рік тому

    Mambo ya kaburi kujengwa AYANA mahana,kipindi katoweka mumejifaa wema sana kama mulimpenda,lakini magufuli,kifo chake akiwa Kya kawaida.atuta hukumu bali Mungu akutane nao....

  • @masoudmohamed2230
    @masoudmohamed2230 Рік тому +5

    He came,he saw,and he conquered.

  • @salumumoket
    @salumumoket Рік тому

    Nishida kweli rais wa Africa

  • @fanueledmund6408
    @fanueledmund6408 Рік тому +1

    Mungu unaona kila kitu unaona moyo wa watanzania bado unamshtuko na mipasuko

  • @mamachacha6478
    @mamachacha6478 Рік тому

    Kati ya Jambo ambalo wananchi masikini watanzania waliweza umizwa ama kuumizwa baas ni kifo cha Magufuli.Ila matajiri na wachumia tumbo wao kifo cha JPM imekua furaha kwao.Uzuri Duniani tunaishi Kwa karma so ni swala la muda Tu.R.I.P JPM.

  • @kulwamathias7680
    @kulwamathias7680 Рік тому

    Ipo siku tena tutapata rais kama wewe mana wewe ulikuwa kama nyerere

  • @amos1234ful
    @amos1234ful 2 роки тому +2

    Endelea kuichapa kazi ambayo umeachiwa na rafiki yako John. Naamini utatuvusha Rais Samia. Kazi njema Rais mpendwa

  • @user-xl3si2qr7m
    @user-xl3si2qr7m 5 місяців тому

    Mungu akupe pumzko la milele magufuli

  • @ismairirajabu-xh4je
    @ismairirajabu-xh4je Рік тому

    Mnafki tu uyoo uzuri wake iyoo safari ya kira mtu ukisaini reo kesho wanakusaini ww maisha yanaenda

  • @turikumwedididier8030
    @turikumwedididier8030 Рік тому

    Much respect to u Mama was TAifa and R.I.P forever Hayati JPM😢😢😢

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +3

    Uzalendo na Muonekano wangu wa Ukakamavu umechangia Watanzania wengi kunifananisha na Askari popote napokutana nao. Naomba kulitumikia Taifa letu Tanzania.🇹🇿🇹🇿

    • @davidbahati3748
      @davidbahati3748 Рік тому

      Kulitumikia Taifa sio lazma uwe police au mwanajeshi au mwajiriwa wa serikali, waweza kulitumikia Taifa mahali popote ulipo

  • @tausikondo6097
    @tausikondo6097 Рік тому

    Tunaomba magufuli day tumempenda sana rais wetu wa wanyonge

    • @sadijuma8853
      @sadijuma8853 Рік тому

      Pumzika kwaamani raisi. Wetu kipenzi

  • @rosemayunga4021
    @rosemayunga4021 Рік тому

    Anafanya Nini Sasa hivyo anaandika Nini ? Tuambieni wanahabali tukaombe nasisi.nakama walimua, nakama Yuko kwa Mungu.! magufuli tuombee wtz kwa Mungu tupate Rais mzalendo Kama wewe.Mungu tutazama tunavyozalilishwa na fezeha . Sisi wa Hali yachini hatusikilizwi kiongozi anapotusemea linamgonga kichwa linamuua

  • @marianablessed6055
    @marianablessed6055 Рік тому +1

    My super daddy JPM You are so missed.

  • @user-gf2uz3rv1x
    @user-gf2uz3rv1x 9 місяців тому

    Mama yetu kweli una utu na unaonyesha unajali. Kwa. Watanzania

  • @user-wl2oi4dz7u
    @user-wl2oi4dz7u 5 місяців тому

    Hongera mama kwa kuthamini mchango wa mwendazake

  • @aaronmwangi8453
    @aaronmwangi8453 Рік тому

    huyu mwanamke hawezi shuka kwa gari haraka na anaona hao walinzi wananyeshewa🚮🚮🚮

  • @gideonsapunyumunei5815
    @gideonsapunyumunei5815 Рік тому +3

    miss you hayati magufuli

  • @khalidkhalfan1556
    @khalidkhalfan1556 Рік тому +3

    R I P mtoto wa allah lazima aende peponi amina

  • @marcomakula8764
    @marcomakula8764 Рік тому

    Mungu awabariki sana kwa kumbukumbu hizo za upendo

  • @Mose001
    @Mose001 Рік тому

    What really happened to this great leader...???

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 2 роки тому +2

    Mheshimiwa Rais Samia natumai Wasadizi wako watafikisha Ombi langu binafsi. Naitwa Hillary Daudi Mrema. Tarehe ya Kuzaliwa: 14/08/1990. Urefu Futi: 7. Uzito: Kilo 80. Elimu: Master of Arts in Environmenta Sociology. Dini: Mkristo: Kabila: Chagga. Makazi: Himo, Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoa wa Kilimanjaro.🇹🇿🇹🇿

  • @tanfredmichael1777
    @tanfredmichael1777 Рік тому

    "Pumzika Kwa amani Mheshimiwa Rais Magufuli...Nafsi Yako itaendelea kuishi mioyoni Mwetu "

  • @hakatemekinijasho418
    @hakatemekinijasho418 Рік тому

    Africa TRUE president jpm rip we will miss you

  • @faithkamanthe3286
    @faithkamanthe3286 Рік тому

    Waah 😮 Kwan alizikwa ...ikulu?sio nyumbani?😊

  • @Nkya
    @Nkya 2 роки тому +7

    JPM daima✊🏾

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 Рік тому +1

    Burian MR. Late President

  • @enockkimase6764
    @enockkimase6764 Рік тому

    Niwajibu wetu arijenga nchi kwa uchumi wakati

  • @nickyalexander2023
    @nickyalexander2023 Рік тому

    Mnamwangalia kama amefufuka mbona asitembelee kaburi la mkapa

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m 4 місяці тому

    Uyo mama.mshenzi Ana usika kumuuwa magufuri

  • @michaelmakono1184
    @michaelmakono1184 Рік тому

    Apumzike pema raise wetu Magufuli tulimpenda...mama, na wewe pia tunakupenda chapa kazi mama yetu Kama baba alivyofanya tuko pamoja na ww maana we n wetu pia

  • @davidrichmanndeleko8947
    @davidrichmanndeleko8947 Рік тому

    Kifo chake lazima kitalipizwa. Msaliti Samia

  • @AlexJackson-ig2yd
    @AlexJackson-ig2yd 2 місяці тому

    Hapo 7mefanya jambo la maana Mama na ni vizuri ufuate ushauri aliokupa

    • @AlexJackson-ig2yd
      @AlexJackson-ig2yd 2 місяці тому

      Nchi yetu ilibarikiwa although of shetani anaendelea kututesa ila kwa uwezo wa Mungu tutaishi

  • @tumpekyando1512
    @tumpekyando1512 Рік тому

    Apumuzike Kwa amani baba tumesha mukubuka😭😭

  • @geffywells4604
    @geffywells4604 Рік тому

    It's right on the best

  • @jacksonmrisho5650
    @jacksonmrisho5650 Рік тому +1

    Inaniuma sana me navyoona picha ya makufuri najuwa hata mungu alimempa kaz ya kuongoza malaika wake

  • @SinyamaziTVONLINE
    @SinyamaziTVONLINE Рік тому +1

    Tunashukuru kwa kila jambo💪

  • @richardmakaa5188
    @richardmakaa5188 Рік тому

    Rayvan mpya

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Рік тому +2

    R.i.p jpm 😩😩😩😩😩😩😩

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 Рік тому

    Mtume mohamed alikatazwa NA mungu kumobea baba yake mdogo wala hata kusimama mbele yake sisi waaslaam haifai mambo kama hayo NA kama tunaelewa thambi yake kubwa sana kwanini sisi waaslaam tunajifanya hatuelewi mulize mtoto mdogo tu atakujibu tutende mema duniani kwa kila binadamu basi kuna mipaka lazima tusimame wala tusiuze dini yetu kwa ajili ya watu ahsant

    • @stanleylewisstanleylewis
      @stanleylewisstanleylewis Рік тому

      Heshima za Dunia za muda!vema tu kumujua Mungu,utapewa full eshima lakini mda ukifika utarudi mavumbini mwanadamu uliko toka.

  • @SYLMASVISIONFORSCIENCE
    @SYLMASVISIONFORSCIENCE Рік тому +2

    R.I.P mzee

  • @user-bi7mk3ef1m
    @user-bi7mk3ef1m 3 місяці тому

    As anti mama samia

  • @saidnoroh2017
    @saidnoroh2017 Рік тому

    Mbona ameziba mdomo huyu mama vipi?

  • @geraldlazaro4523
    @geraldlazaro4523 Рік тому

    Pole Sana Mama Janet Magufuri

  • @rashidisaguti6000
    @rashidisaguti6000 Рік тому

    My

  • @salahibrahim2798
    @salahibrahim2798 Рік тому

    Best president, mama🫶🏽

  • @user-ox1ce7iu8i
    @user-ox1ce7iu8i 9 місяців тому

    Asant saan mama

  • @allymohamed8658
    @allymohamed8658 Рік тому +2

    JPM tutakukumbuka daima

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Рік тому +2

    Pumzika kwa amani JPM

  • @isaacnderitu8664
    @isaacnderitu8664 Рік тому

    Tz mnatwangusha jameni Rais ndie anajifungulia mlango