MSTAAFU KIKWETE AFICHUA WALIOKATAA IKULU IJENGWE CHAMWINO, MBELE ya RAIS SAMIA AFUNGUKA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • MSTAAFU KIKWETE AFICHUA WALIOKATAA IKULU IJENGWE CHAMWINO, MBELE ya RAIS SAMIA AFUNGUKA...
    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 20 Mei, 2023
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 91

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Рік тому +2

    BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...

    • @naishiyemollel
      @naishiyemollel 9 місяців тому

      Mama ongera kwa kazi nzuri kazi iendelee dodomaaa

  • @marthalusega8948
    @marthalusega8948 Рік тому +6

    Hongereni wapambanaji wetu wote kuanzia awamu ya kwanza hadi ya sita. Mungu awabariki kwa uzalendo muliofanya kwa Taifa letu.

  • @denisdamiano726
    @denisdamiano726 Рік тому +15

    R.I.P Raisi wa TANZANIA JOHN JOSEPH MAGUFULI

  • @abrahamsamweli-wg8ck
    @abrahamsamweli-wg8ck Рік тому +11

    Hatutaki sihasa Magufuli ndiye kajenga

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 Рік тому +7

    Hongera sana JPM

    • @mariamnimbo8394
      @mariamnimbo8394 Рік тому +1

      Site tunaona na tunajua, we are not stupid!!!!
      JPM ndiye aliyefanya yote haya.
      Ideas za Nyerere katendea kazi.
      Kuamua na kufanya those are two different ideas.
      Kafanya kweli ni JPM!!!
      RIP JPM!!!!

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Рік тому +8

    Mtajipamba sanaaaa lkn wa tz hatutamsahau mwamba JPM❤

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 5 місяців тому

      Utamsahau kwani sasa unamkumbuka kwa yapi kupotea kwa watu😅😅😅

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 Рік тому +20

    Pamoja na porojo nyingi, JPM ni chanzo cha tukio lililowakusanya hapo! Nyerere mwenyewe aliishia kwenye idea tu miaka 20+ lakini ndani ya miaka 2 tu ya JPM akaanza kutenda badala ya kupiga porojo. Pumzika baba JPM!

    • @mariamnimbo8394
      @mariamnimbo8394 Рік тому

      Ni kweli!!!

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Рік тому +4

      Hii ni sherehe ya kuzindua Ikulu mpya ya Tanzania na Wala siyo Arobaini ya kumaliza
      msiba hivyo siyo sahihi kila Jambo linaloendelea hapo kuwataja viongozi waliotangulia mbele ya haki wao wanasiku yao ya kukumbuka.🎉🎉

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому

      @@modestwenceslaus9 hahahahhahahahh

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ Рік тому +3

      Viongozi wetu wote wamefanya kazi kubwa tena kubwa mno, Ila ninacho kupa tu dondoo Wengine wote wanafanya Maendeleo Kwa kuwa Baba wa Taifa aliweka misingi mizuri mno na hatukupitia walio pitia wengi barani Africa 🌍 kwahiyo tuwape Heshima zao

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Рік тому +1

      @@ndukulusudikucho_ Sahihi kabisa Mkuu,tatazo Kuna baadhi ya Wantanzania wanajifanya kutokuona
      mazuri mengi yaliyofanywa na viongozi walioongoza Nchi hii kabla ya awamu ya Tano,imefikia hatua baadhi yao kutoona umuhimu wa umoja wa Kitaifa aliousimamia Mwl J.K Nyerere ambao ndiyo chachu ya mafanikio yote haya tunayoyaona.

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +12

    Wee ulikua mra batatu akuna rorote mpe magufuli pongezi zake zita mfikia huko aliko pumzika

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Рік тому +5

    JPM lala salama, ww ndie simba wa Yuda. Polojo nyingi sana hapo. Alama zake JPM hazitofutika kwamwe, na ndie aliyewafumbua akili Watanzania.

  • @masanjanyanda9775
    @masanjanyanda9775 Рік тому +10

    Hahaha kwa hiyo hapo hatujakopa maana tabia zenu kila mkopo mnamtupia jpm usijitetee kikwete hukufanya chochote na hauna mchango ktk hiyo ikulu ifisi ya rais alijega jpm na alianza kuitumia ww ongelea chuo ila nishukulu umekili hela iliyojenga ikulu sio mkopo hii ni kuonyesha miradi yote jpm alijenga bila mkopo aibu yenu wote

  • @victoriabayo7704
    @victoriabayo7704 8 місяців тому +2

    Hongera sana jpm

  • @japhetkarori5230
    @japhetkarori5230 Рік тому +18

    Rest In Peace JPM

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +6

    ulierekeza ukashindwa magufuli kwa jina maarufu kwa wati huo akiitwa tingatinga akaanzisha kunjenga akaweza ivo apewe sifa zake katika tifa hili

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 Рік тому +2

    Makao makuu kuhamia
    Dodoma..
    Dodoma hoyeeee
    Dodoma Hoyer
    Mwenyeezi Mungu amrehemu Baraka
    Mwishee...

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +8

    Hayo ni maono ya jpm mzalendo wa kweli ,wote mlio baki nyinyi wapigaji,

    • @davidsimbeye1548
      @davidsimbeye1548 Рік тому

      Wajinga tu na waliozaliwa juzi ndo wanafikiri hivyo

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 Рік тому +1

      @@davidsimbeye1548 magu alikua asemi tu, anatenda, Kina Nyerere na wengineo, walikua maneno mengi vitendo akuna, Hakuna Rais kama magu miaka 5 tu kafanya mambo makubwa

  • @tabarokaijage3257
    @tabarokaijage3257 Рік тому +6

    SHERIA YA THE CAPITAL CITY ACT YA MWAKA 2018 ILISAINIWA NA MAGUFULI... IKULU YENYEWE IMEJENGWA NA MAGUFULI

    • @TheSalimMash
      @TheSalimMash Рік тому

      Kwahiyo! Nonsense 😇

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 Рік тому

      Wenzio wanangumzia mchakato mzima. Kuanzia maamuzi hadi ukamilifu wake

  • @b.warron4631
    @b.warron4631 Рік тому +9

    Magufuri hii ni kazi yake wewe umekaa miaka 10 ukujenga.. JPM miaka miwili. tu kafanya mambo... sifa ziende kwa magu sio wewe.. wewe ulikuwa unakula bata tuuu..unajisifia tuu ukufanya lolote acha kupiga poyoyo.. kazi ni JPM

  • @ZuberiNguhuni-ch9tk
    @ZuberiNguhuni-ch9tk Рік тому +3

    Asanteee mama

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 Рік тому +2

    Nchi hii unafki mwingi sana, aliyefanya vizuri anastahili sifa zake. Na ambaye hajafanya vizuri nae anastahili ambiwe ukweli.

  • @zahiribrahim8319
    @zahiribrahim8319 Рік тому +1

    Alhamdulillah ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @mathewtwimanye92
    @mathewtwimanye92 Рік тому +10

    Sio kila kichwa ndani kina madini, mzee anatafuta kujichomeka ktk historia hii hata kusema ukweli kwamba hujafanya kitu nakumsifia mwenzako hasa jpm ni historia, eti ktk kipindi changu niliamua .... Hii yeyote anaweza kuamua issue ni uthubutu ktk vitendo mzee hizo zingine ni story tu bila nyama ha ha ha ha

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 Рік тому +2

      'Katika kila Awamu, kuna yaliyofanyika,,, maana uongozi ni kazi ya kupokezana kijiti ... Unafanya unamalizia, anakuja mwenzako anafanya anasogeza mbele, mpaka mnafika mwisho wa safari'... Jamhuri ya Muungano wa Tz, kazi iendelee!

    • @ahmadmpinzire5649
      @ahmadmpinzire5649 Рік тому +2

      Nyie ndio zao la LGBTQ,hivi kweli kuna mtanzania anaweza andika upumbavu dhidi ya Kikwete km vile hakufanya kitu?
      Ni kweli hakuna mkamilifu lkn sio kufunika kila jambo zuri amefanya huyu mzee,
      Sisi tulikuwepo na tumesoma kwa huyu mzee,tuliona mazuri yake na mabaya yake sio kumuandika km vile hakuna alichofanya kenge ww,
      Huku ulipo lolote likukute,umbwa koko wewe

    • @TheSalimMash
      @TheSalimMash Рік тому

      @@ahmadmpinzire5649 safi sana kaka! Mshenzi anachuki binafsi huyu umbwa

    • @lucasmgalula8022
      @lucasmgalula8022 Рік тому

      Daaah wewe bwana nooma umeongea point

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Рік тому

      @@ahmadmpinzire5649 Vijana hao hawajitambui na hawajui tulikotoka,tuko wapi na tunaelekea wapi.

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +5

    Jpm

  • @richardnott4403
    @richardnott4403 Рік тому +7

    Jpm na nyerere

  • @joerichards1000
    @joerichards1000 Рік тому +1

    I love ❤ TZ

  • @rebekamutta3033
    @rebekamutta3033 Рік тому +2

    Powerful speech from former President Dr. Jakaya Mrisho Kikwete. 💯💯💯👏👏👏

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 Рік тому +2

    Mungu akupe maisha marefu mzee wetu kwa maneno mazuri ya kumpa moyo Rais wetu aliyepo marakan dr Samia Suluhu Hassan

  • @habibashabani5689
    @habibashabani5689 Рік тому +2

    Mpeni maua yake jpm mwamba ni dhahabu kwetu Tanzania

  • @mabugamussa2860
    @mabugamussa2860 Рік тому +2

    JPM oyee

  • @FurahaEliya-df5fo
    @FurahaEliya-df5fo Рік тому +2

    Mbona unamwita kama vile sijui ni nanii wako.......🏃🏃🏃🏃

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +3

    JPM

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +4

    Mzee ulishindwa magufuli aka weza

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +2

    Magufuli the great

  • @basitv2299
    @basitv2299 Рік тому +2

    Porojo na siasa sizitofautishi,ziko nyingi ameziongea ila ukweli...JPM ni mwamba. Kwanini mnashindwa kusema kwa ukubwa aoichofanya JIWE?.roho mbaya mnazo ninyi mnaoishi miaka mingi

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 Рік тому +3

    Maneno mbali vitendo mbali, Jpm kafanya vitendo nyinyi blabla tu ata uyo mama ana lolote yy kajenga nn chake zaidi ya kuuza Nnchi,

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 Рік тому +3

    r.i.p Magufuri

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 Рік тому +2

    Magufuri kidume .uwazi ulifanya Nini ?babwajababwaja tu utoke hapo. Ulikuwa mpigaji tu.

  • @user-xo4ds2bh6s
    @user-xo4ds2bh6s Рік тому

    Mwalimu Nyerere alitamka "Mpumbavu ni yule asiyetaka kujifunza kutoka mataifa mengine"
    Kwa Mhe kusema wamejifunza kutoka Malaysia kuijenga Ikulu, ndio usahihi wa ustaarabu wa mataifa yaliyoendelea.
    China inasema imefanikisha kwa kufuata nyayo za waliopita.
    Tanzania mnapendeza kwa kukamilisha ndoto za Mwalimu Nyerere na wale waliotutangulia.
    Mungu awabariki Watanzania

  • @MeenaHassan-fd9vv
    @MeenaHassan-fd9vv Місяць тому

    Nikupoteza muda kumsikiliza jk, Tangu tanzania imepata uhuru marais ni wawili tuuu jpm na Nyerere

  • @jacobsimkoko3096
    @jacobsimkoko3096 Рік тому +2

    Mama ni Muungwana sana

  • @victorishengoma4599
    @victorishengoma4599 Рік тому +1

    RIP chuma

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +2

    Hayo hupashwi kuongea wewe anapashwa aongee rais sio wewe

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 місяці тому

    Sku nikiwa rais Mimi nitaweka mabago yenye picha ya jpm inchi nzima maana bra yeye kra kitu kingekuwa hakuna

  • @deogratiuswambura7597
    @deogratiuswambura7597 Рік тому +2

    iliandikwa na magufuli mbona unaruka kumtaja magifuri

  • @paschalkassonta9737
    @paschalkassonta9737 Рік тому +1

    Mhhhhh!

  • @bakarimtange570
    @bakarimtange570 Рік тому +4

    Kwenda zako fisadi mkubwa ww

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 Рік тому +2

    Anaongea nn uyu

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 Рік тому +1

    Yote ni mazuri tu

  • @kaswahilianatoli4173
    @kaswahilianatoli4173 Рік тому +2

    Sio kazi yake mseme aliefanikisha hilo

  • @bakarimtange570
    @bakarimtange570 Рік тому +1

    Nmeskia tetesi limonti IPO msoga

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 4 місяці тому

    Bra magu nyinyi msinge weza

  • @jiweg-unit5408
    @jiweg-unit5408 Рік тому

    Jk alikuwa poteza bovu he did nothing when he was a president

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому +1

    UJENZI WA IKULU YA DODOMA HILI JAMBO KILA KIONGOZI ANAINGIA KTK HISTORIA NA WATANZANIA WOTE ,JAPO KILA MTU ANASEHEMU YAKE KTK KUHAKIKISHA HILO LINATIMIA NA LEO LIMETIMIA japo nashangaa sana Kuna watu wanapenda kubagua viongozi KWAMBA huyu kafanya huyu hajafanya mnayatoa wapi

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +4

    Jpm

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 8 місяців тому +1

    Huyu delila na kiwete wa mzoga siwapendi, ila ipo siku na nyie mtanyamazishwa na Mungu

  • @abrahamuisrael6161
    @abrahamuisrael6161 Рік тому +4

    JPM

  • @keiferuz4869
    @keiferuz4869 Рік тому +6

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +3

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +3

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +3

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +3

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +2

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +2

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +2

    Jpm

  • @kefamwakipesile275
    @kefamwakipesile275 Рік тому +2

    Jpm