LIVE | UZINDUZI WA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA - 20/05/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Fuatilia Matangazo Mbashara ya Uzinduzi wa Jengo Jipya la Ikulu ya Chamwino Dodoma, ambapo Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza shughuli hiyo.
    #AzamTVUpdates #AzamNews

КОМЕНТАРІ • 12

  • @akilichristopher3202
    @akilichristopher3202 Рік тому +1

    Hongera sana bella

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 Рік тому +2

    Ilitakiwa picha za JPM ziwekwe kwenye kilakona ya Dodoma

  • @tamimumzamilu2726
    @tamimumzamilu2726 Рік тому +1

    Hongera watanzania

  • @kubewaiddy9088
    @kubewaiddy9088 Рік тому +2

    Watu wa bustani mbona wanafeli hapo panatakiwa papigwe maji pawe kijani

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi8241 2 місяці тому

    Mrisho Mpoto hajamueleza vizuri bali kamsema kapunje kadogo msukuumaji wa maono ya Nyerere ambaye ni Magufuli. sikutegemea kwa kweli

  • @MakameAbdallah-wn3hc
    @MakameAbdallah-wn3hc Рік тому +1

    Nurdin umemmaliza Marehemu Marini Hassan
    Kwa atakae sikia simulizi hii katikati bila kuanza mwanzoni si hasha akajiuliza ni kipindi kilichorekodiwa enzi za uhai wa marehemu (Marini)

  • @abdilahjuma2493
    @abdilahjuma2493 Рік тому +1

    Nafikiri huku ndani pasingeoneshwa sio kila mtu ajue ikulu ikoje

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 Рік тому +1

    AHSANTE JPM,,KAZINZURI YA HAYATI MAGUFULI, NCHIYETU INGEKUWA NA MARAISI KAMA JPM INGEFIKAMBALISANA.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 5 місяців тому

    Nyerere was a diplomacy, alipoamua matawi yote ya TANU kulijadiri alikuwa ana-wa-empower watanzania wote. Baadhi ya watu wanafikiri yeye binafsi ndiye aliyefanya uamuzi huo na wengi hawakumwelewa na wakiwemo baadhi ya wapinzani wapiga madebe tupu. Mwinyi, Mkapa, na Kikwete walitoa mchango wao lakini wakashindwa kufikia pale JPM aliweza kufikia na Mama anamalizia yale yalianzishwa na mwasisi wa nchi yetu. Nashukuru mama umeweza kumuenzi JPM na kuimaliza hii kazi. Dodoma ni pazuri sana, watu sasa hivi ukiwaambia warudi Dar hawapendi kabisa.

  • @kaisimwantindili397
    @kaisimwantindili397 Рік тому +1

    ASNTE, JPM KWA NDOTO ZAKO, MWENDO UMEUMALIZA NDOTO UMEITEKELEZA ,,

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 Рік тому +1

    Huyu anajikutaga kama rais