TAZAMA TUKIO HILI ALILOLIFANYA RAIS SAMIA MAPEMA LEO HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

КОМЕНТАРІ • 19

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 Місяць тому +2

    Hongera mama samia

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Місяць тому +2

    Safi sana Tanzania ...Kura yangu Mama Samia Unayo 2025..Watendaji kueni Wazalendo sio mkiingia hapo Waziri Mkuu aje akute Mnachota

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi Місяць тому +3

    Mtangazaji kiswahili kinakukwepa sana

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so Місяць тому +1

    A country on a move honera Rais

  • @MabulaLusewa
    @MabulaLusewa Місяць тому +1

    Kazi iendelee

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so Місяць тому +1

    Hongera a country on a move

  • @frankmakyao7657
    @frankmakyao7657 Місяць тому +1

    Picha nzuri kama hizi zichapichwe na zitumoke kwenye majadilio ya madafutari na vitabu vya kiada badala ya kuweka picha za miziki!

  • @MalamboSelijusi
    @MalamboSelijusi Місяць тому +1

    Jengo zuri kweli

  • @abdallahomary515
    @abdallahomary515 Місяць тому

    B 4

  • @emmanuelsulle911
    @emmanuelsulle911 Місяць тому

    Mama hajatoa hela hizo ni Kodi za Watanzania

    • @Nadir_Abdullah
      @Nadir_Abdullah Місяць тому

      Na yeye kama raisi wa inchi anahakikisha kwaba hizo hela itarudi kwa watanzani tena,ni matumizi bora na sahihi,mama samia pia kaendeleza kazi ya raisi magufuli kwa hio anastahili pongezi na yeye ni raisi wa kwanza mwanamke kutawala nchi❤

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 Місяць тому

    Ivi watanzania mbona wajinga hivo hatalini mtabaki wajinga msio jitambua ,eti hongera samia kwa lipi kalifanya kwasababu hizo ni fedha za walipa kodi wa nchi hii halafu kwa ujinga mtu anasema hongera samia na huku ameuza bandari zetu,mbuga za wanyama,aridhi yetu ,misitu madini yetu anaharibu tanganyika yetu hakika watanganyika mmerogwa naona

    • @user-xd7bi5lv9s
      @user-xd7bi5lv9s Місяць тому

      Wewe ni mpumbavu unadaganywa na wahuni,unataka akifanya vizuri wasimsifie mbona rudhuku ya vyama wanazo pewa wahuni hao wa chadema hamsemi kama mtumizi mabaya ya Kodi za watanzania, wewe mpumbavu mvuta bangi,rais anahangaika kujenga Barbara nyie mnazitumia kuandamana mnaakili kweli,wanawadaganya nyie wapumbavu wakati wao wanakula rudhuku za Kodi zetu halafu wanawadanya maadamane badala ya kufanya kazi,wao wapo kazini kusaka rudhuku.

    • @AthamanRamadhani
      @AthamanRamadhani Місяць тому +1

      Acha usenge,una uhakika gani,Samia mitano tena tunampenda na tunatamba naye hutaki ama nchi au jinyonge sisi tutakuja tu kuzika,kwendraa huko tuache na Samia wetu

    • @user-cf4cs9qp1k
      @user-cf4cs9qp1k Місяць тому

      Pumbavu wewe, unafikir kuongoza nchi ni kama unavyoongoza mkewako, jinga wewe, muache mama yetu afanye kazi. Ndenda tu upande SGR nadhani utaelewa tu

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 Місяць тому

    HAYO NI MAJENGO TU, HAYASAIDII MAISHA YA MWANAADAMU.