UMAKINI wa MLINZI wa KAMALA HARRIS Mbele ya RAIS SAMIA IKULU DAR

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • UMAKINI wa MLINZI wa KAMALA HARRIS Mbele ya RAIS SAMIA IKULU DAR ES SALAAM...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 426

  • @kennedkaaya5998
    @kennedkaaya5998 Рік тому +127

    Sometime ayo mangoma ni kama kelele sio kila mahali wanapo shuka yapo sehem moja tu inatosha kila mahali kelele😅

    • @josephatjordan2150
      @josephatjordan2150 Рік тому +8

      Ni makelele tu!!na mtu pekee aliekua na huruma na africa ni Obama pekee ila hawa nyau

    • @honestmboya1453
      @honestmboya1453 Рік тому

      ​@@josephatjordan2150 ;. B ,,, g ,,,,,. ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, see Dr gt fee

    • @mwavitadundo4880
      @mwavitadundo4880 Рік тому +1

      Mengoma inazingua kweli kashajua nipo Africa tena Tanzania kwaiyo iyo mingoma ndio nini

    • @michaelkisselar5691
      @michaelkisselar5691 Рік тому +4

      Tupe CV yako kwanza tujue una ongea Kama nani

    • @02boysmusic12
      @02boysmusic12 Рік тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @keritalk
    @keritalk Рік тому +5

    Even Mr. Magufuli from heaven is not happy about this! The were not supposed to make her wait that long.

  • @minahsulesh8740
    @minahsulesh8740 Рік тому +13

    Pole Tanzania yangu rest in peace magufuli uliipenda nchi yako na watu wako tena ulikubali kujitoa kutokuwa mtumwa angalia mama yetu kipenzi kama bord guid nini kinacho sainiwa hapo je baba yetu angekuepo magufuli asimame hivi kwa mzungu? Hapana hapana Tanzania umeelekea down 😢😢😢 pole Tanzania Munguu tuokoe Tanzania

  • @IDDABDALLAH-ds5vw
    @IDDABDALLAH-ds5vw Рік тому +4

    rais mwenye moyo wa pekee mungu akulinde nakupenda Sana rais wangu raisi wa taifa langu tz

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 Рік тому +15

    Dakika 2 kwa mama yetu Kasimama kungoja mgen wake kiusalama sio mbaya kikubwa Aman tu kwenye Nchi yetu alhamdulilah

    • @swesschao3095
      @swesschao3095 Рік тому

      Lazima confirm na inteligence yake kwanza kama kuna usalama wake

    • @salimliemba3458
      @salimliemba3458 Рік тому

      @@swesschao3095 kabisaaa

    • @tittoskeysproject1967
      @tittoskeysproject1967 Рік тому

      Apo ikulu ww hamna upuuz wala makosa

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому +1

      ​@@tittoskeysproject1967 mzee chochote kinaweza tokea na popote pale kinaweza tokea.

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 Рік тому

      ​@@swesschao3095 Alikua anasubiri waandishi wake wa habari washuke kwenye magari ndio yy ashuke. Kumbuka waandishi gari zao zinakua nyuma ya msafara

  • @frankshedrack8259
    @frankshedrack8259 Рік тому +3

    Siungi mkono hizo ngoma jamani ndo maana sometimes wenzetu wanatuangalia kama watu wa kale kisa bado kuna vitu vya kale vipo kwa nn hatuendani na kasi ya dunia tuliopo karne hii,,hayo mangoma yalikua na ulazima gani,,,,,

  • @MaoBadru-ob7uh
    @MaoBadru-ob7uh Рік тому

    Kamala Harris rais mzuri sana nata Mani ange kuwa rais (vice president wetu) jamani you got to say ana tabia nzuri nupeni likes basi have a great day wananchi

    • @naima5220
      @naima5220 Рік тому

      Uko serious the woman is a joke

  • @Bugoye
    @Bugoye Рік тому +17

    Why keep the host -- the President of Tanzania herself -- waiting next to the guest's car (a visiting Vice President) that long? The optics aren't right. I can't understand why they'd do that.

    • @trapazzmajaliwa5191
      @trapazzmajaliwa5191 Рік тому +3

      Looks bad aisee these Americans look down upon African, what was. She doing in the car all that long?

    • @khadarabdi6919
      @khadarabdi6919 Рік тому

      That is the level of disrespect the have for African leaders

    • @aska8060
      @aska8060 Рік тому +1

      I say those are power games ndo mjue hao ni marekani

    • @antonykhamati6387
      @antonykhamati6387 Рік тому

      Scanning for any security threats.

    • @caycameout2play
      @caycameout2play Рік тому +3

      ​@Antony Khamati A Vice President keeping an actual President waiting THAT long is just disrespectful! Plain and simple

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 Рік тому

    Kumbe mama yetu na yeye ni jitu refu, MashaAllah

  • @dk28122002
    @dk28122002 Рік тому

    I love the way the 2 political leaders went to do what they had to do just 2 of us helping each other that natural sense of getting along is natural african gesture I loved it sometimes those hundred security around are just dramatic 😂

  • @masakaupdate1488
    @masakaupdate1488 Рік тому +33

    Me naomba tu taifa letu lisipate Lana ya ushoga kukubali misada ili tukubali ushoga no no hapana 🇹🇿💔💉

    • @barakabonile8362
      @barakabonile8362 Рік тому +1

      🏳️‍🌈🏳️‍🌈🏳️‍🌈

    • @simonrichardmosha6141
      @simonrichardmosha6141 Рік тому +1

      Simu yenyewe unayotumia imetoka kwao utakwepea wapi hiyo hali.

    • @ototek8037
      @ototek8037 Рік тому +1

      @@simonrichardmosha6141 simu imetoka afrika akili ndo zakwao..vyote uvionavyo hasa vya internet na mishangazo unayoijuwa vinatengenezwa kwa udongo wa makinikia toka TZ Congo Ghana South Africa na kwingineko yalipo madini Africa.

    • @simonrichardmosha6141
      @simonrichardmosha6141 Рік тому +2

      @@ototek8037 kwa hiyo una mali akili huna.

    • @abochejuniorhutingwa223
      @abochejuniorhutingwa223 Рік тому

      Mpk hapo inaonekana km ni dili limeshakamilika, ss HV wakisoma hz komenti zetu humu watakuwa wanatucheka tu ndugu yangu. Hakuba kitu kibaya kwenye uongozi km ubinafsi lakini pia km kukosa kuwezo wa kusimamia na kuhifadhi utamaduni wetu na mila

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy Рік тому +2

    Saa nyengine us wanajiskia sana na madharau yao haya walio nayo.. unaona vile wamemueka mama samia kumsubiri ashuke huyu makamu wa raisi kwenye gari lake! Hii ni dharau wala sikingine😊

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 Рік тому +3

    Usikute anapita anamasisha ushoga, na kusema msipokubali awatowi support

  • @alzawahirabdallah2299
    @alzawahirabdallah2299 Рік тому +29

    Kavunjiwa heshima raisi wetu yani mjinga huyo kafika kakaa kwenye gari dakika 10 anachat kwanza raisi naye kaka anamsubiri 😢😢😢😢

    • @magiehermess9949
      @magiehermess9949 Рік тому +3

      Mwenyewe nashangaa

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому +6

      izo no ishu za kiusalama usifir unashuka tu km unashuka porini

    • @magiehermess9949
      @magiehermess9949 Рік тому +4

      @ChoroTesla kweli lakini rais hafai kukaa hapo muda wote akingojea mtu wa chini yake. She is a president for sure

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому +1

      @@magiehermess9949 ww ndo.mtu wa protocol?

    • @simonrichardmosha6141
      @simonrichardmosha6141 Рік тому +4

      Ushazoea kuruka kwenye daladala haya mambo utayajulia wapi.

  • @hassanikobelo3688
    @hassanikobelo3688 Рік тому +3

    Nchi yetu ndo inauzwa ushoga ushaanza kutangazwa rasmi mama misele ya kwenda nje haishii yaan full hekaheka😭😭😭

  • @suleiman-ally
    @suleiman-ally Рік тому +21

    Mama yetu akasimama kama bodyguard hatariiiii

    • @zahoramour3344
      @zahoramour3344 Рік тому

      Hivi ukipokea mgeni nyumban kwako unafanyaje

    • @iddymtambo7186
      @iddymtambo7186 Рік тому

      Hapana kumbuka Marekani ndio mwamba wa dunia nchi zote lazima iweke heshima hapo ndio mana hakuna mwenye mamlaka Kama yeye .

    • @josephinenyamhanga8818
      @josephinenyamhanga8818 Рік тому +2

      Lazima mnyenyekee wazungu ,leo kaacha wapi barakoa,maana anapokua na mawaziri wake anakua amevaa hapa siioni

    • @dinnambogoye9582
      @dinnambogoye9582 Рік тому +2

      Hahahaha Bibi yenu kasimama dakika tatu nzima kumsubiri mtu kushuka kwenye gari hiyo ni hatar , Kwan yeye alipo kuwa kule kwao huyo shost yake alimsubir hata?? , Waafrika tuache ujinga wa kumnyenyekea mtu anae kutumia kwa manufaa yake binafsi kwa kivuli Cha msaada , hahahaaaa haya Bibi yenu kawa mlinzi😂😂😂

    • @anwaryabdallah7782
      @anwaryabdallah7782 Рік тому +1

      ​@@dinnambogoye9582 Upo sahihi wapo kwamaslahi yao alafu wanatumia kivuli chamsaada!

  • @godfreyvenerandus9411
    @godfreyvenerandus9411 Рік тому +10

    Hivi hapo bodyguard wa SSH wanakuwa wapi?😮😮

    • @mikehjackson8146
      @mikehjackson8146 Рік тому +1

      @Jahim shahim 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umetishaaa

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 Рік тому +3

    Ulinzi ni balaa. Shida ni kwamba adui yao anaweza wafutilizia huku kwetu Afrika akijua ulizi ni dhaifu. Tumshukuru Mungu sisi hatuna maadui

  • @amanitarimo2026
    @amanitarimo2026 Рік тому +2

    Ee Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, Linda Taifa letu lisimezwe na ushoga

  • @thereport1on1
    @thereport1on1 Рік тому +23

    😂😂😂 huo mda wote ni wa kumngoja Kamala ashuke kwenye gari.
    huu ndio ukoloni mambo leo sasa

    • @jofreymagesa7927
      @jofreymagesa7927 Рік тому

      😂😂😂😂😂

    • @zuwenasalim2794
      @zuwenasalim2794 Рік тому +4

      Yn ingekuwa kule uswaz unamwambia tu bibi ww em shuka nawe🤣🤣

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 Рік тому +1

      Walikuwa wanachora ulinzi wetu na lada kutoka marekani 😅,

    • @Mwesiga
      @Mwesiga Рік тому +1

      Ukoloni mwa mwe ata Putin anasemaga

    • @scorasticaclement6308
      @scorasticaclement6308 Рік тому

      Kamala katulipia Machungu Yetu Ya Foleni Ya Vingunguti Akiwaa Anashuka Yeye Kutoka Dodoma Maana Tunasimamaga Ata Masaa 4😂😂😂😂

  • @geofreyambakisye4481
    @geofreyambakisye4481 Рік тому +1

    Sometime ulinzi unadhalilisha,unasubir mtu hadi unachoka halafu hashuki kwenye gari haraka.

  • @johnhanga-dp9ck
    @johnhanga-dp9ck Рік тому +10

    Hata Kama asingekuj na walinzi hii nchi ni ya amani tupu ilimradi usiiseme serikali vbya utaenda na maji

    • @FaridaJames
      @FaridaJames Рік тому

      Nchi imeuzwa

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 10 місяців тому

      Ukishakua kiongozi ni ngumu kutembea bila walinzi nani lazima watembee na walinzi kwasababu asilimia kubwa ya viongozi inawafundisha wanainchi wake wakosee mpaka sehemu penyewe

  • @luigipellegrini92
    @luigipellegrini92 Рік тому +4

    Samia is a very matured lady, Tanzania have a brilliant president in Suluhu ❤

    • @reubenothuol1823
      @reubenothuol1823 Рік тому +2

      She's old bro... You must be matured when you're old.

    • @justathought7235
      @justathought7235 Рік тому +3

      @@reubenothuol1823 growing old isn't maturing. Some people don't behave/reason like their age

  • @mfebricknkuna7106
    @mfebricknkuna7106 Рік тому +5

    Yaani rais wetu kasimama!!!... Kampisha makamu wa rais akae!!!... Hapa sijaelewa kwani kati yao ni nani mkubwa kimadalaka ?.... kwanini wasinge weka viti viwili, Mimi binafsi sijaipenda hii.

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Рік тому

      Subiri ukiwa Rais wewe!

    • @danrevelian
      @danrevelian Рік тому +2

      😂😂😂hapo alikuwa anasaini kitabu Cha wageni tu jamaniiii 😂😂😂

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 Рік тому +1

      Yaani watu jamanii wanaropoka

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 Рік тому +6

    Ushirikiano wa mwewe na kuku huu daah!
    Ngoja tuone!

    • @jamil1547
      @jamil1547 Рік тому +2

      😂😂😂😂 yaani umenichekesha sana

  • @SerafinaMalecela-cx1hk
    @SerafinaMalecela-cx1hk Рік тому +2

    Mm ningekua samia ningetangulia ofisini wamletageeeee halaaaa

  • @edinachami4318
    @edinachami4318 Рік тому +4

    Ila mama yetu ana hekima sana kikubwa nikulinda amani ya nchi yetu

  • @paulntalima6998
    @paulntalima6998 Рік тому +5

    Kweri sjapenda rais wetu kwann asimame kwan haiwezekan kuweka viti 2 kulinda heshma yake

    • @geraldtarimo3210
      @geraldtarimo3210 Рік тому +1

      Lazimaawempole,marekani ndio dunia wanakilakitu

    • @thomassenga2526
      @thomassenga2526 Рік тому +1

      Hata Mimi sijapenda kabisa mkuu wa nchi kumsogezea kiti makamu hapana siku nyingine itifaki isifanye hivyo

    • @hanafimsabaha7469
      @hanafimsabaha7469 Рік тому +1

      Amekaa kwa sababu anaandika. Hapo sio sehemu ya kukaa

  • @samsondominick81
    @samsondominick81 Рік тому +3

    Kwa kweli suaala la Rais wetu kuwa Sub Ordinate kwa makamu wa Rais wa Marekani is not a good things kwa kweli hata walioorganize na kumpa Rais wetu namna ya kumpokea huyu makamu wa Rais kwa kweli kuna mistake ndogo ndogo walizifanya lakin zinaa impact kubwa sana...hata kama ndo kumnyenyekeaa mgeni kwa kweli hapana sioo kwa style hii ... aliyetakiwa kwend kumsogezeaa kitii Kamala Harris ni Body Guard au mtu maalum aliyeqndaliwa kwa ajili ya hiyo kazi wake na sio Rais wetu hii ni dharau na kumdisvallue mkuu wa nchi.....Kwa kweli ifike mahali yale masuala ya akina chief Mangungo ya masula ya miaka ya 1900 hukoo yafikie kikomoo Mbona Rais wa Congo Juzi alimkemea mgeni wake Rais wa Ufaransa tena ni Rais sio makama alipokuwa anaongeaa uwongo tena akamkemea kwa kumnyoshea kidole....Ifike mahalii viongozii wetuu waache kunyenyekeaa sana ndo hukoo hata masuala ya kuaambiwa tuoane ndo tupewe misaada yanatoka kutokana na jinsi viongozii wetu wanavyoact kwa mamaster wao....AFRICAN LEADERS MUST WAKE UP INGAWAAJE BAADHI WAMESHAAMKA...ANGEENDA SOUTH I DON'T THINK KWAMBA ANGEPEWA IYO SUB-ORDINATE ALIYOIPATA HAPA KWETU NA TUNAHUBIRI KILA SIKU SISI NI MATAJIRI..AU NDO NNJAA YA PAPER DOLLAR 💵 😂

    • @caycameout2play
      @caycameout2play Рік тому

      Very shameful indeed! Poor protocol planning 🤦🏽‍♀️

  • @mcback4384
    @mcback4384 Рік тому +6

    Sasa toka gari imeingia langoni muda wote huo hashuki maana yake kuna secret service agent alienda kukagua mpaka uvunguni kwa Samia kama hakuna illegal substances kwa Usalama wa kamala

  • @ahmedsalim8136
    @ahmedsalim8136 Рік тому

    Welcome to East Africa.
    Hapa hakuna matata.
    Mama Harris .

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Рік тому +1

    Tuna nguvu Tanzania maana alikuwa vice na sasa Rais ss ndio wa kwanza kwenye kuwaheshim wanawake kwenye uongozi hizo nchi za ulaya na marekani wanaiga kwetu

  • @mussakiziyzi408
    @mussakiziyzi408 Рік тому

    Mama anaupiqa mwinqi sana,nchi imefunquka mahusiano mazur na jamii za kimataifa siasa safi uhuru wakupeta.
    Apewe tu 10 menqine tena

  • @Carlo-tw4nx
    @Carlo-tw4nx Рік тому

    thats an intimidation tactic as much as its a security protocal..kueka mama hizo dakika tano na anamuona...madharau kidogo kidogogo.but love how unintimidated President Samia was.Tanzania oyee!!

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 Рік тому +7

    Mashost wamependeza 100%

  • @gracemachege3817
    @gracemachege3817 Рік тому +1

    Hio ya rais wetu kusimama na kumwachia kit haijakaa vizur

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 Рік тому

      😀😀😀😀 amekuwa bodyguard wake mama yangu 😂

  • @xavermkalanga1230
    @xavermkalanga1230 Рік тому +3

    Ni utamaduni wetu namna ya kumlaki mgeni ingekuwa kwao tungeingia kwa hip-hop

  • @bgmuch
    @bgmuch Рік тому

    Mwafrika/mzungu anaweka mwafrika mwenzake nyumbani? Hatia kubwa sanaaaa!

  • @barakabonile8362
    @barakabonile8362 Рік тому +1

    Msijali mungu yu nasi!

  • @mikelokamba1202
    @mikelokamba1202 Рік тому +1

    Ewe mwenyez mungu mpe nguvu rais wa Russia aweze kutukomboa nasisi wa tanzania maana toka ancle magu atangulie mbele za haki nnch yetu imetekwa na mafisadi ile mbaya ikiwemo kikwete na jopo lake kama ikiwezekana kiwete na samia suruhu wafe tu kabla mwaka aujaisha baba mungu tusaidie

    • @khadija5761
      @khadija5761 Рік тому

      😅😅😅😅😅😅😅

    • @anniemallagi
      @anniemallagi Рік тому

      😅😅😅😅

    • @levisdiamond4797
      @levisdiamond4797 Рік тому

      😀😀😀 Na ni sahihi 😀😀 naishi marekani ila sipendi wakija kwa inchi zetu huko africa ma bwege hao wanafanya vitu kwa manufaaa yao

  • @yohanaeliud7292
    @yohanaeliud7292 Рік тому

    Tazaniya bad sis niwatumwatu laisiwetu Kawa kamalaiya wakawait 😭😭😭😭😭

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 9 годин тому

    Kelele uu 😢

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +1

    Huyu mlinzi ni kiburi sana hakumsalimia hata mama km hamuoni shenz

  • @worldtv9145
    @worldtv9145 Рік тому

    Imagine having to wait 2minutes for her to come out thee car..#1961

  • @emmanuelnamakwa
    @emmanuelnamakwa Рік тому

    Mama sio kitu makamu wa raisi anamsimamia kama bodyguard iliweje kweri Tanzania imeshapigwa bei na ushoga

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Рік тому +1

    Wazungu wazungukeni Rais wetu Anasubili mgeni kwa madakika Africa bado niwa tumwa??

  • @kazimirihorace7161
    @kazimirihorace7161 Рік тому

    Ndio sababu Bado harmonise uwashinda Kwa wimbo wake wote anapo burudisha wageni nyumbani. Mziki inapigwa hadi inakuwa kelele jameni eti makaribisho? Chanukeni na wimbo zenu za kitamaduni!

  • @lumo9999
    @lumo9999 Рік тому +1

    Huyo bibi anaumwa nn mbona abatembea hivyo😂😂

  • @MaxThebad-gm2uz
    @MaxThebad-gm2uz Рік тому +1

    😂😂😂😂 nasikia sauti ya mkatolik mwenye asili ya kiyaud

  • @mohamedzahor4992
    @mohamedzahor4992 Рік тому

    Mnarecord na sim za Tecno nin. Video mbaya kama ni 12FPS

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 Рік тому +2

    Mbona kamala kama kaandika barua ya kuomba kazi hapo.

  • @barakabundala5941
    @barakabundala5941 Рік тому

    AISEEEE!😥😥😥

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 Рік тому

    Kuna mambo yanakeraaaa hivi hajajua alosimama apo ni mwanamke mwenzie na Rais mpendwaa wetuu ata aso toka kwenye gari tu

  • @mosimndeme9618
    @mosimndeme9618 Рік тому

    hv na viongozi wetu wakienda ulaya wanapigiwaga ngoma hv au nicc tunashobo tu

  • @jacquilinenoah949
    @jacquilinenoah949 Рік тому +3

    kumbe samia anauweza ubordguard🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @danieljoseph7120
    @danieljoseph7120 Рік тому +6

    Mbwembwe nyingi mwisho wa siku kazi yake mola hyna makosa

    • @athumaniamiri880
      @athumaniamiri880 Рік тому

      Nikweli siona maana ya ulinzi mkali mambo mengi lakini siku ya mwisho ikifika hakuna wa kuzuia

    • @amosdaniel1327
      @amosdaniel1327 Рік тому

      😃😃😃

  • @florianmukachi3957
    @florianmukachi3957 Рік тому

    Why should Kamala keep the president waiting for that long before she leaves her vehicle??

  • @DonPlatinum-tz5tt
    @DonPlatinum-tz5tt Рік тому

    Wao

  • @fakihassani3
    @fakihassani3 10 місяців тому

    Wanzania kwa kucheza ngoma hawazidiwi

  • @julianamiseso3065
    @julianamiseso3065 Рік тому +8

    Nilichogundua watanzania wengi mna mashaka na bi mkubwa

  • @christina-xd4qd
    @christina-xd4qd Рік тому

    Christina

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 Рік тому +1

    Nyeusi itakua nyekundu bendera ya tanzania

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +2

    Full mi karate 🥋 hapo

  • @dianamonyo1960
    @dianamonyo1960 Рік тому

    Kaleta ushoga tu ,endeleeni tu kukubali ushoga,pongezi kwa mseven kwa kukataa huu ujinga.

  • @allexjohnmurra1551
    @allexjohnmurra1551 Рік тому

    Naomba kwa anayejua hayo magari wanayotumia viongozi wa America ni campuni gani

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler2847 Рік тому

    Hata mama lazima walimscan asibebe knife 😂😂😂

  • @hamadanzeyimana7488
    @hamadanzeyimana7488 Рік тому

    Very disrespectful how president in own country wait vis president sitting in the car for this time 😢😢😢 she shouldn't have to wait her more than 30 sec otherwise she will left other seniors official to welcome her and wait her in the office but in front entrance come on guy

  • @kephamarando2370
    @kephamarando2370 Рік тому

    Mbona amechukua mda mrefu hivo kushuka kutoka Kwa gari. Ama alikua anashuta mwanzo😅😅😅😅😅

  • @PastorZakariaTzTV
    @PastorZakariaTzTV Рік тому

    TANGU NIJUWE KUWA MAREKANI WANAHAMASISHA USHOGA TANZANIA NA NCHI ZA AFRICA NAONA THAMANI YAO NI KAMA YA UMBWA.

  • @meerahskitchen.loosingweig2535

    Rahaa 😊

  • @inocentgalinoma-eh3sv
    @inocentgalinoma-eh3sv Рік тому

    Nyeus itakua nyekundu bendera ya Tanzania...😅😅😅😅😅...Appreciate my brother Roma..

  • @davidland3677
    @davidland3677 Рік тому +1

    kweli ni aibu first lady wa tanzania amesimama na huyu bibi wa marekani amekaa kimya unyonge kwa tanzania.

  • @Mwesiga
    @Mwesiga Рік тому +2

    Kaja kwake kukagua hesabu

  • @Smartboy-wt1es
    @Smartboy-wt1es Рік тому +1

    Rais wetu kasimamishwa hapo kama mlinzi wa ikulu vile😂😂😂😂 haki sijpnd, ila wakubwa sana hawa!!

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Рік тому

    Apo kabla hajatoka walikuwa wanaangalia usalama umo ndani kwa ndani usishangae ata rais wetu walikuwa wakimzoom kavaa nini kwa ndani asije akamdhuru uyu mama ulinz wa marekani sio mchezo.walipojilidhisha kuwa pako salama adi ndani ndo wakamfungulia sio mchezo.

  • @cvanoedward3093
    @cvanoedward3093 Рік тому +2

    Nimemsikia Roma kwa mbaliiiii

  • @deusdeusibrahimdeus2149
    @deusdeusibrahimdeus2149 Рік тому +3

    Heshima kubwa kwake mama samia suruhu

  • @elonotieno8805
    @elonotieno8805 Рік тому

    Ee,,Africa na kelelee

  • @papaamasauti1973
    @papaamasauti1973 Рік тому +1

    Tanzania na viongozi wetu ni vibaraka wa wazungu

  • @polloz77
    @polloz77 Рік тому

    Ulinzi lazima satellite Ziko juu ya Tanzania Manuwari jeshi hipo nje ya bandari standby. They don’t take risks

  • @alvinsafi2733
    @alvinsafi2733 Рік тому

    Kaja kueneza ushoga huyu mama wa kiamerika cha umuhimu tumuulize je yeye Harris kaolewa na mwanamke? Je Biden adminstration ni mashoga? Au sisi tu waomba misaada ndio wa kupachikwa ushoga wao.
    Mbona California hawataki ushoga ? Na ni american state.. tuamke watanzania

  • @komradedata1671
    @komradedata1671 Рік тому

    Waah, a normal Vice president being welcomed by a president....😮 kweli pesa ndio inaongea! Africa Wake Up from the slamber that you're in...

  • @khairat754
    @khairat754 Рік тому

    Hivi maraisi wetu wakienda kwao wanapigiwaga Ngoma hivi naomba nielimishwe toka airport mpaka ikulu?!

  • @fressoj-mova8640
    @fressoj-mova8640 Рік тому

    Why mis president kasimama like hvyo, ingekua kwao angesimama pia uyo kamala?

  • @sadahramadhani6046
    @sadahramadhani6046 Рік тому

    Muachage iyo mingoma basi .inaboa tu maskioni maana hata hawaelewi mnaimba nini zaidi ya zogo tu,hamuoni Wenzenu

  • @RobertChacha-hb9re
    @RobertChacha-hb9re Рік тому

    Nna wasi wasi na huyu waziri hajaleta skendo za ushoga kweli? Macho yangu😢😢

  • @masoudabdi6076
    @masoudabdi6076 Рік тому

    Ushoga ni shindikizo la Wamarekani - kwann na kama Viongozi wasipokua Imara Tutaamuliwa kila kitu.

  • @jeangumbo7355
    @jeangumbo7355 Рік тому

    I can't watch this....

  • @FRANKMWOMBEKI
    @FRANKMWOMBEKI Рік тому

    Magu angeenda kumgongea dirishani... "Oyaa unazingua shuka basi"

  • @sadahramadhani6046
    @sadahramadhani6046 Рік тому

    Muachage iyo mingoma basi .inaboa tu maskioni maana hata hawaelewi mnaimba nini zaidi ya zogo tu,

  • @nassondaniel-gz8qj
    @nassondaniel-gz8qj Рік тому

    mama ana maana yyte uyu

  • @evaristbamfu7149
    @evaristbamfu7149 Рік тому +3

    Natamani siku moja tujielewe

  • @dgt6303
    @dgt6303 Рік тому

    0:07 hivi macho yenu yanaona kama mimi? Mbona kama Bodyguard wa Mama anakaguliwa kibegi chake? Msaada wenye macho yanayoona

  • @familytalks1
    @familytalks1 Рік тому

    Wanatupotezea mda sasa, watu wa dance wanachoka kupiga ngoma nayeye hashuki aaahhhhh!!!!!!!

  • @kurasinikurasini1661
    @kurasinikurasini1661 6 місяців тому

    Hapo hakuna cha bodyguard wa tz! Ni FBI na secret services mwanzo mwisho

  • @shukrimusa528
    @shukrimusa528 Рік тому +1

    Huyu anakuja kutangaza ushoga tu marekani Hawana lingine jipya

  • @ahmedalshaibany
    @ahmedalshaibany Рік тому

    Amejiweka kwenye gari masaa kabla ya kushuka huku mama samia anamsubiria kwa kusimama. Sijapenda dharau yao wamarekani

  • @hclever7731
    @hclever7731 Рік тому

    Yan kugeuza geuza kichwa tu ndio umakini,, si hata baba levo anaweza hiv

  • @kevinakuko9238
    @kevinakuko9238 Рік тому +1

    Kama mzalendo lazima uumie jamani daah inaumaa

  • @babudicky
    @babudicky Рік тому +1

    Hii sasa nini mama Samia unafany nini teb