Shuhudia namna Rais Samia alivyoingia Ikulu mpya ya Chamwino
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Shuhudia namna msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan ulivyoingia Ikulu ya Chamwino tayari kwa ufunguzi wa jengo jipya, ambapo rasmi ndio itakuwa Ikulu kubwa iliyopo Makao Makuu ya nchi, Dodoma.
TUKO LIVE #UTV108 na mitandao yetu ya kijamii.
#UzinduziIkuluChamwino #IkuluChamwino #Dodoma #IkuluDodoma #IkuluTanzania
Woow ikulu Iko Sawa kabisa 💯🔥
Kazi kubwa naheshima tumpe rais jonh pombe magufuli bila yeye haya yasingekuwepu mungu mpunguzie laisi wetu magufuli
Viva le prezidaa John Magufuli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hongera sana
Mungu aibariki tanzani
Inapendeza sana inavutia sanaaa' 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 TANZANIA 🇹🇿 nipazuri saaana' jamani
Rais wa Tanzania 🇹🇿 Samia Anatumia PESA vibaya sana ikiwezekana anitafute nifundishe jissi ya matumizi. Anaumiza nguvu za wanyonge Rais Samia anahitaji maelekezo utumiaji wa pesa
Wote wanazungumzia Ikulu Ya Chamwino, lakini sio APPRECIATION YA kutosha Ya Maamuzi magumu ya HAYATI J. P. Magufuli kuanzisha Ujenzi wa Ikulu hii...
RIP jpm hata kama hawataki ukweli utasimama
Sawa kabsa ila mama alikuwa na uwezo wa kuitelekeza pia lkn hakfany hivyo so mama pia anastahili pongezi nyng
@@abuumtoa2336 pongezi Kwa lipi kama mikataba yote alishasaini magufuli. Lakini yeye kazi yake amekuja kuivunja mikataba tu. Kuhusu ikulu simpongezi chochote samia
@@abuumtoa2336 well done kwa kufaham kuw siasa ni kupeana kijiti
@@leonardpaulo4890 team marehemu utawajia tu,,
@@jonasdaniel1025 tunaumia ila BX tu
Hongera Mama Samia.
Sasa mama weka juhudi kwenye treni. TRC wanakuharibia maneno yamekuwa mengi mno. Walishataka kutuingiza mkenge wa kutaka kuleta vichwa vya dizeli.
Merci
❤
R l P . Jembe letu pumzika amani kazi umeiza wengine wanamalizia tu.
Ndiyo umeonyesha nini sasa hapo? Uzinduzi wenyewe mbona haujaonekana...
mama😂😂😂😂😂mimi niaskali mgambo mg ni sienanamba yakiaskali jambo afande mkuu shikamoo mama tunaumizwa natunateswa sana nawatu mliowapa vibali vyakumiliki makampuni yaulinzi wakishilikiana najeshi rapolisi mkoanimorogoro tunafanyishwakazi biramalipo yetu kwawakati inafika mbakamiezimitatu mtuanadai akiyake alipwi tukikimbiliapolisi iliwatusaidie polis wanakuwaupande wawenyemakampuni wanachokifanya polis wanapewaera ilitusiendekuwadai wanatupigamarungu nakutufungiachumba chamaabusu kicha wanatutishia ukiendelea kudai unapotezwa mama raisi mkuuu wamajeshi yote tutazame sisi jeshi ramgambo kwajicho rapili tunazaraulikasana kwa wenyemakampuni wakishilikiana napolis morogoro mama kuchafu kiraidara ombirangu kwako kwamiaba yaaskaliwote wajeshi lamgambo mama tafutanamna yoyote ili askalipolisi pamoja nawenyemakampini waweze kutueshim nawajue sisi nimiungoni waaskali wakiba wakati tunapoitajika
Mnapambaaaaaa irii mtuibie
Mikwala 2
Acha makasiriko
𝐑.𝐈.𝐏 𝐌𝐀𝐆𝐔𝐅𝐔𝐋𝐈
JENGO LINAONEKANA ZURI NJE LAKINI NDANI WANAJESHI WAMELIPUA, SAMIA MWENYEWE AMEKILI KIWAULOZA MBONA JENGO KUBWA LAKINI NDANI WAMEBANA BANA