UJUMBE WA MPOTO ULIVYOWASHANGAZA VIONGOZI IKULU MPYA CHAMWINO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 158

  • @venusmalima3457
    @venusmalima3457 Рік тому +9

    JPM endelea kupumzika baba mtanzania wakweli sisi tulioshuhudia uongozi wako tutawasimlia na vizazi vijavyo ❤❤❤❤❤❤J❤P❤M.

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 Рік тому +21

    Huyu mpoto mpumbavu sana njaa inamsumbua sifa ulizompa Samia zilimfaa magufuli swain

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 Рік тому +1

      Ndio hata mama anamsikiliza lakini hafurahi watu hawashangilii

    • @Edward_Falu
      @Edward_Falu Рік тому

      @@blandinamwarabu5025 haswa kumbe na wewe imeliona hilo.
      Hana furaha kabisa

    • @happylynguya3464
      @happylynguya3464 Рік тому

      Anahangaika.

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 Рік тому +15

    Jpm the greatest leader in the world mola akupumzishe uzalendo wako unaishi.

  • @goodluckphinias4666
    @goodluckphinias4666 Рік тому +21

    Kweri njaa ni shida kwer mpoto Samia ndo anejenga ikulu muogope mungu.

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb Рік тому +25

    Unafiki mwingi hadi unakera. Rest in peace our Hero JPM. In our hearts you are still living

  • @nicolausmavoa7909
    @nicolausmavoa7909 Рік тому +24

    Magufuli hoyeeeeeeee pumzika kwa amani rais wangu kazi kubwa ulifanya leo hii anasifiwa mpemba

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 Рік тому

      Sifa ya mtu kamwe haitapotea kwenye mioyo na macho ya jamii. Lakini kwa nini unaamini kwenye ubaguzi!!!???

    • @boniphacelusato
      @boniphacelusato Рік тому

      Haipendezi kwenye Taifa hili kutukuza ukabila. Hujanifurahisha kwa kutumia neno Mpemba. Acha ubaguzi. Ongea ukweli lakini usituletee ukabila.

    • @thanimosi8906
      @thanimosi8906 Рік тому

      Waja ujinga wewe sukuma gang

  • @raymond5175
    @raymond5175 Рік тому +30

    Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Jasiri aliyedhubutu na kutekeleza vingi, mzalendo wa kweli DR. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI hata kama amekufa anastahili kupewa hongera zake.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 Рік тому

      Kweli ila kuondoa fitina mkamilishaji naye apewe pongezi kwa maana angeliweza kuishia njiani

    • @saadatsaadat9252
      @saadatsaadat9252 Рік тому

      WOTE WANASTAHIKI KUPONGEZWA WALIKUWA MTU NA MSAIDIZI WAKE AWAMU YA TANO AHSANTE WATANZANIA KWA KUMPOKEA VZR MAMA SAMIA..❤

    • @venusmalima3457
      @venusmalima3457 Рік тому

      TANZANIA hii inawanafiki na waoga wengi sana Asante Mungu nipo hivi nilivyo maana vingnevyo ningeshatoweka😢

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 Рік тому +11

    Mbeba maono ni Julius kambalage Nyerere na mkamilishaji ni John pombe magufuri usitupotoshe tunaijua historia rest in peace baba JPM rest in peace JK Nyerere hakika mtaishi

  • @chilesanga7931
    @chilesanga7931 Рік тому +14

    Magufuli mbona mmemtaja kidogo zambi hizo asingekuwa yeye hata mlipo kaa pasinge kuwepo mpoto uja tenda haki kabisa

  • @mwakasagule
    @mwakasagule Рік тому +36

    Mpoto huwa nakuamini sana kwa mashairi yako. Ila kwa hapa umepungua na umepwaya sana. Huwezi niambia kwa namna ulivyomtambua JPM kwa ufinyu sana kiasi hicho kwamba umejisahau, si kweli; ila hizo ni njama, na mmekusudia kudhoofisha na kuhujumu juhudi za mzalendo wa kweli JPM. MPOTO your not fare. Na tuwaambie ukweli tu. Mbinu zenu hizo mjue tu kwamba mmefeli. Kimsingi Ilipaswa ujikite sana kwa JPM. Lakini kwasababu hata unafki ni Sanaa pia hakuna shida. Ila ikumbukwe kwamba hata mfanye Hila kiasi gani juu ya DR. JPM fahamuni kwamba, picha ya JPM Hamwezi kuifuta mioyoni mwa WATANZANIA. Tunatambua vema sana History na juhudi za BABA WA TIFA MWALIMU JK. NYRERE, na nguvu kubwa ya JPM kuhusu IKULU YA CHAMWINO DODOMA. R.I.P JPM.

    • @venusmalima3457
      @venusmalima3457 Рік тому +9

      Kamwe hata wafanyeje hawawezi kufuta mapenzi yetu Kwa JPM❤❤milele

    • @imanicharles936
      @imanicharles936 Рік тому +8

      JPM nitampenda hata wangemsemaje , pekee ndo Raisi wangu, ilitakiwa hata ofisi moja ipewe jina lake

    • @paulmarwa439
      @paulmarwa439 Рік тому +7

      Jpm ❤

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 Рік тому +7

      Tena na huyu? Bora wasanii waliokaa kimya.utavuna dhambi isiyo yako.

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 Рік тому +5

      Kaka meseji nzuri sana Mungu hakubariki Sana

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 Рік тому +24

    Ila sjapenda amemtambua Megufuri kidogo sana daaah R.I.P Magufuri Tunajua Kaz uliinza wewe wengi iliwashinda

    • @rehemakanyere4188
      @rehemakanyere4188 Рік тому +3

      Huyu ni chawa anasaka ulaji

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 Рік тому +1

      Wakimsimamisha mzee Mwinyi hapo atasema ukweli huwa anasema kila wakati WENGINE TULISHINDWA MAGUFULI ALIWEZA🤣 ila haina shida mama anafuata nyayo za Magufuli.

    • @ellymakongo656
      @ellymakongo656 Рік тому

      @@blandinamwarabu5025 🤣🤣🤣 wameshtuka ndo hawajamsimamisha angewachomesha wajinga hawa🤣🤣

    • @mwakasagule
      @mwakasagule Рік тому

      @@blandinamwarabu5025 walijua mzee MWINYI atawaumbua

  • @mashakalonka7767
    @mashakalonka7767 Рік тому +4

    Mrisho Mpoto,ww ni Zaidi ya msanii,unajua historia ya ikulu ya Chamwino Kwa upana Sana!,uwasilishaji wako wa ujumbe Kwa njia ya mashairi,mantiki ya kisintaksia,sauti ya kiutawala iliyojaa katika maneno na sura Yako vinakutofautisha na wasanii wetu wengi wa kizazi kipya in short watu wote makini hawachoki kukusikiliza!. You're so talented brother! .

    • @Japhary-sx3je
      @Japhary-sx3je Рік тому

      Yeye mwenyewe anaona aibu mungu tusamee sisi binadama ongela ayati magufuli ongela sana wanajeshi wetu ongelen awamu ya tano

    • @mwakasagule
      @mwakasagule Рік тому

      Anajua nini huyo chawa, hana lolote. Mpoto hana jipya kwa sasa, Mpoto kajishushia heshima mwenyewe kwa kuendekeza njaa.

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 Рік тому +16

    Aibu sana Mpoto
    Umemsahau Magufuli!!!

    • @bahatimalundi3593
      @bahatimalundi3593 Рік тому

      Huyo mwenda zake mulize lema ndio ana ijuwa hishoria yake

    • @boniphacelusato
      @boniphacelusato Рік тому

      ​@@bahatimalundi3593 Watanzania tunaijua historia ya Magufuli vizuri zaidi kuliko huyo unayetuaminisha kuwa anamjua . Magufuli ametawala tukiwepo . Tuliona kwa macho na kusikia kwa Masikio mawili tuliyopewa na Mungu hivyo hakuna tusichokifahamu kuhusu JPM. Hatukuhadithiwa kuhusu utawala wake kama ambavyo wengi tumekuwa tukisimuliwa kuhusu utawala wa Baba wa Taifa na wasaidizi wake kama akina Sokoine na Kawawa na Wengineo wengi, bali utawala wa Hayati Dr John Joseph Pombe Magufuli Mwamba toka Rubambangwe Chato Geita Tz tuliuona kwa macho yetu mawili. Have I paralyzed you ?

  • @anosiata8242
    @anosiata8242 Рік тому +8

    Magufuli forever amejenga ikulu ya dodoma. Hakuna rais kama magufuli. I miss jpm. Lala salama jpm utakumbukwa daima kwakujenga ikulu ya dodoma.

    • @thanimosi8906
      @thanimosi8906 Рік тому

      Hongera Mama Samia Suluhu Hassan Kwa kukamilisha ujenzi wa Ikulu yetu mpya Tanzania Dodoma

    • @anosiata8242
      @anosiata8242 Рік тому

      @@thanimosi8906una wazimu.

  • @japhetkarori5230
    @japhetkarori5230 Рік тому +13

    Ili jamaa kumbe taahira ivii....linafiki chili😂😂😂😂..RIP JOHN.P.MAGUFULI

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Рік тому +7

    Huyu mnafiki Huyu! Eti Kikwete!😂😂😂

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому +9

    MAMA SAMIA MNA MPAKA TUUU. HUYU WA JUZI,, MAGUFULI NDO MWENYE HILI JAMBO.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 Рік тому +8

    MPOTO WATU WANAOMJUA MAGUFULI KATI YA KITU CHA KIPUMBAVU NI UCHAWA ,MTAJENI MAGUFULI KINAFIKI SAWA LAKINI R.I.P. JPM

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 Рік тому +3

    Dah kwel unafk hauwez kaisha Tz,yaan kwel mnaona had wivu kumpa sifa zke maguful kisa leo hayupo😢😢😢😢😢dah Pumzika JPM

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +7

    Wewe mrisho kitambi tumbombo tumbo huna akili ni mnafiki sana tena sana Yani sifa za kumpa marehemu Magufuli unampa kikwete kweli wewe mnafiki.

  • @jacksonkabaata6011
    @jacksonkabaata6011 Рік тому +5

    Magufuli anatajwa kiujanjaujanja tu jamaa chawa huyu 🤣🤣🤣🤣

  • @allenmdota4820
    @allenmdota4820 Рік тому +3

    Asante sana jpm pumzika kwa aman

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 Рік тому +11

    Baba Magufuli lala salama😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @ndambo6528
    @ndambo6528 Рік тому +13

    Tatizo ni njaaaaaaaa hata Magufuli umeogopa kumsifa

  • @EliakimDaniel-t4x
    @EliakimDaniel-t4x Рік тому +3

    Mbona mnapata shida ya kumtaja kamanda magufuri jembe la watanzania RIP kamanda mkuuuu daima tutakukumbuka chamwino bila magufuri haiwezekani

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo Рік тому +7

    Watu wamevurugwaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @esromkanubo815
    @esromkanubo815 Рік тому +5

    Unafiki unakera heshima apewe JPM mtutolee uchawa

  • @jamesmbore3052
    @jamesmbore3052 Рік тому +8

    Aliye jenga wakwanza n magufuli mama kamalzia 2

  • @emmanuelyeliamajele-yk8hb
    @emmanuelyeliamajele-yk8hb Рік тому +2

    Magufuli Mungu akuweke lakini hongela mama Samia Rais wetu tunakupenda Mungu amekuamini wewe utuongoze kwenye nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿♥️🥰 pia Mungu amuweke zaidi kikwete ♥️🥰 nawapenda Mungu amewapa ufalme kama alivyo penda Kila mtu ameongoza vyema kwa maono Samia Raisi wangu ataongoza kutokana na Mungu anavyo muongoza ataongoza tofauti na Mungu 🇹🇿 watu muelewe msitukane asila ya Mungu lsije lkawaka lkawaka juu yenu

  • @ireneassey2022
    @ireneassey2022 Рік тому +7

    Ila njaa mbaya Rip magufuli

  • @nangugu1657
    @nangugu1657 Рік тому +2

    Mpoto sifa umewazidishia waliopo hapo wote tunatambua nguvu Alioitumia magufuli paka ikulu imekamilika hiyo magufuli jembe hata usipo ongea wanakutazama watu na ukweli wa kazi za magufuli ukiimba katika mioyo ya Watanzania kwasababu ulijua unaimba kwania Gani Hauna makosa Mungu Aendelee kumupumnzisha mahari pema peponi Amina

  • @sunaybrajabu238
    @sunaybrajabu238 Рік тому +8

    Huyu kaka kama chiziiiiiiiiii, Asante mwambien I nyie mnayeenda chooni kwaajili yake, sie akah sisi tunajuwa tu MAGUFULI jembe na lililima kweli yeye ndio aliyejenga ikulu, mama yenu kafanya kufanya finishing tu msituletee ududu washa basi nachukiaaaaaa

  • @lucasalphonce7820
    @lucasalphonce7820 Рік тому

    Kazi hayati Magufuli imekamilika Mungu akulinde sana baba wewe ni mwamba ,mwanamapinduzi wa Afrika pumzika salama baba,

  • @CharlesMajahasy
    @CharlesMajahasy Рік тому +5

    Acha uongo aliyeanzisha kujenga sio Samia ni magufuli Amina Hana lolote ndio maana unasema mkamilishaji, je, mwanzilishi ninani? JPM mwamba, jiwe kweli.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 Рік тому

      Lakini kasema vizuri MKAMILISHAJI. Ila historia inajulikana anaijua MWINYI mzee wa RUKSA akisimama anachafua hali ya hewa.

    • @Edward_Falu
      @Edward_Falu Рік тому

      @@blandinamwarabu5025 😂😂😂😂😂

  • @samagsmg
    @samagsmg Рік тому +11

    Haki huwa haifichiki ila huwa inachelewa. Kamanda alishatenda ss hayupo. Ni ujasiri wake na uthubutu wake aliamua kusema serikali lazima ihamie makao makuu ya nchi kongole magufuli pumzika kwa amani Kamanda wangu. Nchi uliyoiacha baba saivi ipo ipo tyuuu maskini hatutambuliwi tena wanaotambuliwa kwass ni wale waliomalizaga madaraka. Tutakukumbuka milele na milele MAGUFULI

  • @BON357
    @BON357 Рік тому +1

    Ela bana nashukuru MUNGU kwa kuweka kifo wapambe wa raisi sjui watampamba Tena raisi

  • @imanicharles936
    @imanicharles936 Рік тому +2

    Ulale salama JPM

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Рік тому +2

    Mbona awa viongozi wamekaa Kama wachawi ata tabasamu hakuna mmechukia Sana kwenda Cha mwino hacheni uchawi Sisi sote watanzania.Mrisho Mpoto kamsifia Kila mtu John katajwa tu ajasifiwa Wala Nini.Maana mmenuna Kama kamati ya roho mbaya au wasagasumu.

    • @valenakomba9218
      @valenakomba9218 Рік тому

      WANAONA HAYA, SABABU WANAJUWA HIZO SIFA SIYO ZA KWAO , MWENUYEWE NI MAGUFULI TUU..

  • @mckilongojr6367
    @mckilongojr6367 Рік тому +7

    10/02/2022???? ndo ilianza kujengwa? aliyemuuzia mpoto ulanzi ni nani😂😂😂😂

  • @nicodemusfidelis3772
    @nicodemusfidelis3772 Рік тому +9

    Magufuli kazi yake inaonekana hata kama hwataki

    • @moseschambo6801
      @moseschambo6801 Рік тому

      Daaah hatari sana tumuachie tu Mungu ila JPM anaishi ndani ya mioyo ya wa Tanzania siku zote .

    • @epifaniamilinga2848
      @epifaniamilinga2848 Рік тому

      Labda waje wadanganye vitukuu

  • @guidoliusmichaelhulilo3886
    @guidoliusmichaelhulilo3886 Рік тому +1

    Binadamu ni KIUMBE MBAYA SANA KWA KWELI. Makubwa: Dhambi nyingine huwa ni za mauti, na huwa hazisameheki kama hii ya kumright OFF Magu on this project ambayo hata Mwalimu mwenyewe hakuweza kufanya. God is good, all the time. AND, All the time.. God is good🙏🙏🙏🙏RIP-JPM... Amen🙏

  • @kilelechaimani.8956
    @kilelechaimani.8956 Рік тому +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Unafiki,jamani jiepusheni na unafiki,unafiki sio mzuri,unafiki kiwango kingine.

  • @mwesblind8990
    @mwesblind8990 Рік тому +2

    Hata aibi hamna samia kajenga ikulu saa ngap kapiga rangi tu

  • @VMGAfrica
    @VMGAfrica Рік тому +6

    #Nasemajee #Magufuliii Oyeeeee #Nyie Wasanii Wanafiki Acheni Kumjengea Mama Chuki Kwa Watanzania Wanao mpenda Magufulii #Mama Unachonganishwa #Ikulu Chamwino Wanasifiwa Wasio Husika Moja Kwa Moja Kuliko Muhusika Mkuu Namba Moja #Jembe / #Magufuli #Kwanini #Kwasababu Gani #KwaFaida Ya Nani
    #Mama Achana Na Machawa #Credibility Yako Mtaani Ni Miradi Mliyoanzisha Na Mwenda Zake Hapo Ndo Kura Zako Ziliko Hata Usifanya Campaingn

    • @jescakahangwa5224
      @jescakahangwa5224 Рік тому

      Hongera sana Jpm upumzike Kwa Amani hongera pia mama Samia Kwa kumalizia miradi mlioanzisha na Jpm .

    • @mwakasagule
      @mwakasagule Рік тому +1

      Huyu mama asipowashtukia hawa wasakatonge wakina Mpoto hawa; watamharibia. Watanzania sio wajinga.

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato Рік тому +3

    Baba Yetu Magufuli tunamkumbuka kwa aliyoyafanya ikiwemo ujenzi wa Ikulu ya Chamwino hata kama kuna Watu hawataki kuusema ukweli.

  • @Mamateekatuni
    @Mamateekatuni Рік тому

    Nimeumia kumsikia Magufuli kwa uchache hivyo 🥲🥲🥲

  • @shedrackjacob6038
    @shedrackjacob6038 Рік тому +2

    Mtaongea meng ila hakimu pekee mtenda haki Mungu pekeeeee ila ss wtnz tunamjua JPM

  • @wisdomjohn-nj9po
    @wisdomjohn-nj9po Рік тому

    Unaznguaa sanaaaa mpoto mpototo

  • @raphaelnambombi3709
    @raphaelnambombi3709 Рік тому +2

    Mpoto mpuuzi yaani baada ya kumtaja kikwete badala ya kumtaja anayefuata ni magufuli anamtaja mwenyekiti lugoha

  • @AcroBantu
    @AcroBantu Рік тому +3

    Hata mumfiche vipi lakini kila mtu anatambuwa bila Jembe mpaka leo hapo pasingekuwa na lolote pia hata lile bwawa la umeme lisingejengwa RIP Magufili pumzika kwa amani😢

  • @bashirumandwanga130
    @bashirumandwanga130 Рік тому

    Tunaipupia Dunia kwa kula ata visivyo alali na kuipamba kwa thamani nying
    Dunia inatuaga sisi tunaikumbatia tunajisahau kwa nyazifa za dunian
    Chuma utakavy Chuma hapa Dunian ila siku ukifa Dunia haitakupa chochote isipokuwa sehemu ndogo ya ardhi ambayo uzikwa ndani yake
    Tusijisahau tena hasa viongozi wetu wengi wenu si waadilifu munajar sana maslai yenu Binafsi kuna maisha baada ya Dunia
    Mungu wetu sote

  • @ericamkwena7736
    @ericamkwena7736 Рік тому +2

    Unaumia sofa kwenda kwa mtu ambaye hakufanya lolote

  • @godsonanthonymshairi-tanza4088

    Haya mrisho tiririsha mzee ma shairi hayo.

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 Рік тому +2

    Sijui kama hawa watu hawaoni huku mitaani jinsi raia wanavyo mkubali na kujua wazi juhudi za JPM,yaani wanampotezea hivi na kumwaga sifa kwa walio hai zaidi,kama kujitafutia sifa za uteuzi au kukaa salama,,,jamani sifa za uthubutu wa hiyo Ikulu hata kama ilianzia kwa JKN lakini JPM ndo amefanya muwe hapo. RIP John

  • @jebace
    @jebace Рік тому +2

    watanzania ujinga sijui wataacha lini

  • @bigdaddy_faustinjumong4427
    @bigdaddy_faustinjumong4427 Рік тому

    Ndomaana Masanja ariacha kuitangazia nnchi.kwasababu Hao ndowakapanga Kumuua jpm
    #Rest_In_Peace_our_hello
    #JohnPombeMAGUFULI

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 Рік тому

    Ila wagogo mmemkosea mpoto kwaku mpa choya sio vizuri😂😂😂😂😂

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Рік тому +2

    Watu wanaweza kukuamini ila mwisho wa siku njaa zikakuharibia yani JPM ambaye alitakiwa kupewa sifa zote na nyingi leo mpoto unatuangusha mchana kweupe kabisa.

  • @patrickbayyo1616
    @patrickbayyo1616 Рік тому +2

    Sifa apewe jpm

  • @ismailmatari3889
    @ismailmatari3889 Рік тому

    leo hii mnaimba ikulu ya chamwino ni baada ya mwamba mwendazake kuamua tekeleza kauli ya mw nyerere miaka kedekede iliyo pita wamepita maraisi wangapi na hawakua na ujasiri na uthubutu wa kusema serikali ihamie dodoma? ila ndani ya nchi hii mwamba ni mmoja tu aliekua na moyo na mapenzi ya dhati na nchi yake (RIP) wengine wote waliobaki wanajali maslahi yao kwa asilimia kubwa kuliko maslahi ya raia. tanzania is the best country lakini viongozi wake changamoto hasa kipindi hiki cha mama yetu. allah atupe subira watanzania maana hilili nalo litapita INSHAALLAH.

  • @yawepetro2049
    @yawepetro2049 Рік тому +1

    Yan ata diamond haja penda kwa jinsi ulivo msahau magufuli wetu

  • @mbeguclassic3387
    @mbeguclassic3387 Рік тому

    Posho Bana Kwa sasa anasifia viongozi duh pesa nyoko😢😢

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 Рік тому +2

    JPM is the one who made it happen if wasn't him Leo hii msingekuwa hapo .Rest in Peace Magufuli ✌️ We will always love you 😍 ❤️

  • @tysonlusinde8491
    @tysonlusinde8491 Рік тому

    Duuuh yaaani Dr John Pombe kama hajafanya chochote daaah katajwa kidogo sana wakati yeye ndiye aliyepamba kuipeleka Ikulu Dodoma, daaah njaa mbaya

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 Рік тому +1

    Lugoa na wewe mpoto wote nyabarange.Magufuri oyeeee

  • @wisdomjohn-nj9po
    @wisdomjohn-nj9po Рік тому

    Njaaa inakusumbua mpoto

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Mmi akifa kiongoz uwa nafrahi ,kwasababu wote wezi

  • @mabwetebrown5432
    @mabwetebrown5432 Рік тому

    Mpoto najua hata moyo wako unakuhukumu jinsi ulivo mzungumzia JPM kwa udogo kiasi icho kana kwamba hakuna alicho fanya .

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Raisi wakibongo wote wanamaisha mazuri Basi ata siku za mwisho mwezi mmoja toeni kupitia tigo pesa tupewe 20000,

  • @mangeranestory8225
    @mangeranestory8225 Рік тому +2

    Sina neno 😢😢

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Рік тому

    JAKAYA KIKWETEE😂😂😂😂😂😂

  • @brysonzawad8521
    @brysonzawad8521 Рік тому

    Mrisho mpoto wewe ni mbwa tu wanakutumia tu hulambi chochote

  • @ibrahimgeras6249
    @ibrahimgeras6249 Рік тому +1

    Mnafiki sana huyu mzee nilikuwa namuonaga anaakili kumbe hamna kabisa

  • @annamsemwa1946
    @annamsemwa1946 Рік тому

    Ila njaaa mbaya sana. Kweli ww Leo Mzee wamjomba ndo wakutufanyia usaliti huu.

  • @provianapaul6634
    @provianapaul6634 Рік тому

    Watu mna hasira jaman haaaa😂😂😂😂😂

  • @BON357
    @BON357 Рік тому

    Vitu vinapanda Bei baada kumusifu MUNGU sifa munampa samiya sawa ngoja tuone

  • @ChikwemaMagazi
    @ChikwemaMagazi 2 місяці тому

    Magufuli atasimuliwa vizazi na vizazi

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Рік тому

    Hila mpoto umefeli pakubwa sana

  • @sylvestercharles3585
    @sylvestercharles3585 Рік тому

    Hata kama mkimtaja kwa uchache mwamba wa Chato, bado ni simba aliyelala katika ushujaa.

  • @lucasalphonce7820
    @lucasalphonce7820 Рік тому

    Magufuli baba kama nakuona kwakaziile uliyo ifanya sifa zote kwako mwanamapinduzi wa Afrika pumzika kwa amani ame

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Рік тому

    Nimesikiliza comment zenu SN humu lkn siwaelew mnamtukana mpoto kosa lake Nini na mjue katika kila kiongoz kashiriki kuijenga dodoma na kawataja viongozi wote Sasa mnapofikia mnamtukana kosa lake nn tuwe na HEKIMA

  • @Godbless-o6c
    @Godbless-o6c Рік тому

    Sijawahi kukuelewa

  • @naturalviewing3974
    @naturalviewing3974 Рік тому

    Pumbavu mkubwa wewe JPM Ndio mpango mzima

  • @wilsonsaghy4171
    @wilsonsaghy4171 Рік тому

    R.i.p JPM

  • @emmanuelkanyela275
    @emmanuelkanyela275 Рік тому

    Mpoto hapo umefeli kwenye huu wimbo ulitakiwa mtu wa muhimu kumtaja hapo ni mzalendo namba moja JPM mwamba huyu hata kama hautamkumbuka watanzania wanajua yote umebugi brother

  • @epifaniamilinga2848
    @epifaniamilinga2848 Рік тому

    Bado kabisa hujafanikiwa.Tumekutambua

  • @yusufumbwene5669
    @yusufumbwene5669 Рік тому

    Mimi nilitaka kuona ajabu mtembea peku angali pesa za kununua viatu anazo tangu lini awe na akili ,,, yan huyu ni alama kubwa ya mchumia tumbo . Iv hayo manyanga yako yooote ungemzungumzia John Pombe Magufuli wangekuua au ??? TUACHE UNAFIKI JAMANIIIIIIII

  • @alfredmathias8748
    @alfredmathias8748 Рік тому

    Rip magu

  • @chainchebby3313
    @chainchebby3313 Рік тому

    Unafiki tu umetawala hapo yaani mmesahau mara hii ni nani aliyeipangania hiyo ikulu hapo lah ubinadamu kazi endelea kupumzuka kwa amani baba yetu JPM .wanafiki wanazidi kuongezeka uku

  • @guugug9gt829
    @guugug9gt829 Рік тому

    Rip JPM

  • @shabanijuma2085
    @shabanijuma2085 Рік тому

    Nimelia Mpoto hatari huo ni uzalendo.😭😭😭😭😭😭😭

  • @danielmandia7447
    @danielmandia7447 Рік тому

    Kila mtu katimiza majukumu yake. Niulize . Bunge kajenga magufuli? Chuo kikuu kajenga magufuli? Eneo la kujenga ikulu amelitenga magufuli? Magufuli yeye kajenga ikulu tu na baazi ya wizala. Tu. Kipi. Kingine amekifanya dodoma Cha ajabu

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Рік тому

    Yaaani ndio shida mnaferi na mtaferi unajua mtaonekana sio wakweli mnaposhindwa kuushuhudia ukweli mtaonekana waongo maana dawa ya Giza ni mwanga endeleeeni wananchi wakiwasha taa watawakuta katika Giza na yanayofanyika ktk Giza yanajukikana yakiwekwa wazi tutajificha wapi,

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 Рік тому

    Magu ni jembe tu.

  • @charlzlomo9219
    @charlzlomo9219 Рік тому

    Coment zinaonyesha ni kosa la jinai rais kutoka kabila kubwa wahaya,wasukuma,wachaga,wanyskyusa ktk nia njema sawasawa hutuba ya baba wa taifa.

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому +3

    Mbwaaa wewe

    • @maulidimuhammed7851
      @maulidimuhammed7851 Рік тому

      Mbwa ni nani?Si Yule aliekuwa muuaji akiwauwa binadamu wenziwe?Kawauwa wengi akiwemo Ben Saa Nane,Azory Gwamno,kumpiga risasi Tundu Lissu kwa yonevu tu,Kuwateka watu na kuwatesa na kuwauwa,kurndelea kuwaeka ndani mashehe wa uamsho kwa uonevu tu .Nani ni mbwa?

  • @saidmabanga388
    @saidmabanga388 Рік тому

    Mnafkiii mkubwaaa wewee

  • @philipowyinjones9645
    @philipowyinjones9645 Рік тому +2

    Wamejenga wote kwa pamoja cz alikuwa makamo wake Sasa n Raisi

    • @nangugu1657
      @nangugu1657 Рік тому

      Kumubeza magu na jitihada zake zote zambi tena zambi Bora kukaa kimya

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 Рік тому

    Wamejenga wote waliopita wanamchango kuanzia maono ya Mwalimu

  • @mckilongojr6367
    @mckilongojr6367 Рік тому +5

    10/02/2022???? ndo ilianza kujengwa? aliyemuuzia mpoto ulanzi ni nani😂😂😂😂