KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI
Вставка
- Опубліковано 29 січ 2024
- KIBOKO YA WACHAWI AFUCHUA SIRI KWA KIJANA ALIYEKUA AKIMDHANIA MAMA YAKE MZAZI KUA NI MCHAWI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
diaomond plutnumz,harmonize,alikiba,rayvanny,zuchu,nandy,mbosso,ibrahtz,killy,cheedy,kondegang,anjelah,wasafi tv,wcb,kingsmusic,clouds tv,saraphina,globaltvonline,angalia harmonize,harmonize yupo juu,team konde gang,team wcb,marioo,mabantu,lavalava,bongo music,haji manara,ahmed ally,ally kamwe,magoli ya simba na yanga,magoli ya yanga na azam fc,magoli ya mayele,usajili wa kennedy musonda,usajili wa sawadogo
Waacheni watumishi wa Mungu wafanye kazi so that kama hutaki kuwasikiliza muache kutoa maneno ya ajabuajabu
Naomba mungu mm ninavitu vyakichawi kwenye mwili wangu leo naomba unitowe kilamizigo kwenye mwili wangu naomba apanilipo unifunguwe mm nafamiliya yangu naomba kama kunamtu ananichezeya naomba unioneshe naomba kama kunauchawi kwenye chumba iki naomba unioneshe naomba uniponye magonjwa yote kwenye mwili wangu
Nabii Naomba Kiuchumi Unisaiidie.. ni mimi Michael Chonjo.
Nabii naomba unisaidie mm neema jonas mtoto wangu aongei na matatzo mengi sana nabii naomb unisaidie
🎉nice
Naomba unisaidie dada yangu anasubuliwa na nguvu zakichawi
Mungu nifanyie njia Steness
Navunja roho za uchawi kwa jina la yesu zisiguse uzao wangu amen
Mbwana yesu asifiwe mtumishi
Baba naomba tabiri maisha yagu mimi Emmanuel na mke wagu Deborah
Pia tunahitaji kufunguliwa uchumi wetu
Bwana yesu asifiwe mtumishi wa mung anaomba uniombee nipate mtoto
Suzan kafti
Bwana asifiwe baba,naomba umuombee mama mdogo wangu amepooza.
Tabili juu yangu by anold mkombozi
NJoo kenya utusaidie mtumishi
Kazi nzur sana mutumishi wa mungu siku moja nitafika niko kenya
Pastor njoo na arusha utufungue
Tapeli tu mungu atusaidie tupate macho ya rohoni
Sema Mungu akupe wewe macho ya rohoni,
Hebu tapel na ww tuone ,hebu acha watumishi wa Mungu wafanye kaz zao
Amina mtumishi upo vizuri
Amen naomba uniombee napitia kwenye kipindi kigumu kila ninachokifanya hakiendi naishi maisha ya dhiki naomba uniombee
Yesu mwema akupe maisha malefu siku zote naitwa said saleh
Amen
Bwana yesu asifiwe baba naomba unisaidie nasumbuliwa na maladhi kwa mda mrefu bila matumaini ya kupona baba naomba msaada wako
bwana yesu asifiwe mtumishi,naomba umuombee mama yangu apone na ugonjwa unamsumbua,Ikupa Michael
Njoo Kenya mtumishi wa mungu
Bwana Yesu asifiwe baba, naomba useme na mimi juu ya maisha yangu
Amina baba naitwa grace from kenya
Amen pastof
Barikiwa baba miniko kagera ngara
Ubarikiwe baba
Naomba mungu anisaidie nipate mtoto nataman nifike kwamtumushi napata tabu mama anaumwa alichanganyikiwa mungu atusaidiye
Waah imenipendeza mtumishi nena na anga yangu tafadhali
Mungu akubaki mtumishi unasaidiya watu wenye mateso nataman na Mimi nifike
Bwana asifiwe baba,naitwa judy naish mwenge baba ndoa yangu inachangamoto Sana baba ad saiz amna chamaana tulichofanya pesa zinapotea tu baba Naomba nisaidiye
Bwana YESU apewe sifa Mimi naitwa Elly Temu naomba kuponywa kibiashara kwani napiga simu Bado sijaipata
Bwana yesu asifiwe mtumishi naomba uniombeye mimi na mke wangu maisha yetu kunamtu anaingilia mtumishi
Muombe Mungu atakusikia wee omba kwa Imani tu so Kila mtu wa kumwamni piga magoti omba kwa Imani Mungu anajibu mwenyew
Dad,shalom!nitabirie mjukuu kwangu Faith ana mateso sana Dad!
Mtumishi,upo vizuri barikiwa mno!natamani uje Arusha unibadilishe na mie,.niombee sana
Jamani naomben namba za mtumshi
mtumishii nakuppendaga sana ,yaani uiunaokoa wengi
Amina baba mtaje mchawi
Mungu akupe maisha marefu mtumishi
Amina naitwa saulo
Amina baba Mimi anna kizungu nasumbuliwa na macho
Beans yeah asifiwe mtumishi naomba unisaidie namtoto anashida ya kuogea
Amen baba
Finsh Kash return my money in Jesus name amen
Plz I'm Diana from niombee katika huu miwili wangu tumbo yangu inafika mahali inajaa ninaanza kuhizi Niko na mimba mwezi ilisha naona siku zangu plz prayer for me 🙏🙏🙏🙏🙏
Njoo kenya nabii
Naomb nimim mtumishi uniombee ninavityu vyakichawi mwilin mwangu naomb mtumishi uniombee
Amin😊
Mimi naitwa Mwesigwa naomba kufunguliwa milango ya baraka
Bwana yesu slifiwa mtumaji. Nabii kiboko ya wachawi. Naomba. Baba. Unisaidiye. Kwa. Watoto. Wangu. Nabii Mimi. Nskukunbali. Sana. Nambii. Wetu. Tanzani.ngu. Katuleteya. Sababu. Kwakweli. Nitabiliye. Nabii wa. Watoto wangu. Nabii
Naomba ufungulivu.Aneth Tabata
Njoo kenya nabii..pia mm nko na vitu kwa mwilizinatembea kama nyoka nisaidie
Naomba mung atende miujiza kwang kweny moyo kunaniuma sana
Naitwa Daniel Damian. Niko temeke Dar es salama. Naomba unisaidie. Kila ninapopanga mipango yangu sifanikiwi
Yn unakaa kwangu halafu uniite mchawi aisee nakutimua kbs daaa eee Mungu ungemuacha mamangu adumu milele
Amina baba nione
Mungu afungue uchumi wangu
Naomba umfungue mziwandda wangu ufahamu wa kuweza kusema kiakili
Amina baba
Samahan nilikuwa naomba utabir biashara ya mama yang haiendelei ajajeng had Leo na Mimi shulen huwa nasumbuliwa naomba ututabilie nn shida❤
Baba shalom naitwa pendo wamoshi baba naomba uniombee macho nakoo linanisumbua baba napia naomba uniombee wazazi wenzangu waeze kuangalia watoto wao
Okay niangalie na mm kiongoz
😂
Amina sana🙏🙏🙏 Mungu atupe hitaji la Mioyo yetu nasisi tuepukane na hali ngumu namajaribu yote
Ubarikiwe baba
Mungu WA kiboko WA chawi fichua na kwetu
Baba naomba uisaidie familia yetu kwan ugomvi umetawala baba
Aminaaa.
Kiboko ya wachawi ni Yesu kristo, Bwana Yesu atukuzwe katika yote
Naomba umuombee mwanangu ili atembee
Naomba uniombee watoto wangu waache pombe
Anighitambhila kha!!
Baba na sisi towa utata katika familia yetu, tujuwe mchawi ni nani. Maana anauwa watu, tunabaki ku Labda, labda. Alafu tunachafuliwa sisi baba nikiwa Burundi wewe unaweza ku funuwa na si tukapona na wachawi wa familia ukawamaliza. Na wanao nichafua Mimi mwanao wasiiishi baba yangu
Amina
Ameeee🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Baba naitwa ramadhani Nina shida Nina kipaji Cha kuimba lakin Nina changamoto yakutokuongea vizuri nisaidie baba
Shalom Mtumishi mimi nina tatizo la mtoto wangu shuleni nakuomba msaada wako
Apigwe baba
Baba maisha yangu ni magumu sana nisaidie sijawah kaa kwenye mahusiano
Baba naomba uniombee mtoto wangu wakwanza apate chuo naapate mfadhil wakumsomesha nauyo wapil apate shule mzuri yakulaa napia naomba baba yake ajitokeze amwone mwanae
Nabihii nashi congo msahawako tu mungu wako
Baba naomba nami unifungue kwenye ndoa yangu Aina Amani
Omba kwaajil yangu
Ameen
Naomba pia kufundishwa jinsi ya kumuomba MUNGU na kujibiwa
Naitwa christina baba naomba nitabilie juu ya biashala yangu mahali pangu pakazi
Mtumishi naiomba niombee baba nau nitabirie mahali pakazi
Tenda miujiza baba kwangu na watoto wang naitwa oliva
Mimi Thomas Joseph naomba nifungue maisha yangu
Amina tufunguwe matatizo
Nisaidie baba
Mimi selina NAOMBA nitabilie maisha yangu nilipotoka maana maisha yangu yamekuwa ayaeleweki
Sema baba tupone
Nabii mtoto wangu anatatiso linamsumbua linamshika mkono wa kisho anadondoka nisaidi nabii anaenda shuleni mwez 7 kisato chatano
Namimi uniokoe yesu
Nabii wa MUNGU Kiboko ya wachawi naomba unisaidie katika eneo hili la Biashara kwani dharau kwangu zimezidi mno Kwakuwa Sina Biashara kubwa
Na Mimi YESU KRISTO wa KIBOKO ya wachawi anivue hiyo sura ya kutangazwa na watu uchawi na sijuwi chochote baba nisaidie na mimi
Mimi
Mimi
❤
Bb amina niangalie name.
Baba mm mambo yangu hayaendi hata sielewi baba
N'a mimi kijana wangu wa kwanza analishwa uchawi na mama yake
Nakuamini
Nataka nifanikiwe kimaisha