KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • #0766998994 #call0688199370 #0788871769

КОМЕНТАРІ • 539

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 3 місяці тому +36

    Always Pascal Cassian uko real sana. Wenye akili tunakuelewa

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 9 днів тому

    Asante sana Kwa mafunzo mazuri
    Mimi ni Muislamu Alhamdulillah ila mafundisho yako ni kweli
    Hata kwenye Uislamu wapo Masheikh wadanganyifu kwa maneno ya kishetani wa kijini Wakisingizia Quran imesema Ivo
    Wakati Mungu ametufunza kua kwenye ulimwengu tunaishi na majini ambao ni adui zetu walio wazi .
    Wapo Waislamu wanayatumia mashetani wa Kijini kwa mambo yao ya kidunia kutafutia mali na umaarufu na nguvu za muda tu
    Mungu atulinde na adui wa kishetani wa kijini kupitia Watumishi waovu.

  • @MaggiemugoNjabini
    @MaggiemugoNjabini 3 місяці тому +19

    Mungu na akulinde juu hii huduma yako sio rahisi shetani haezi furahizwa na ww..damu ya yesu ikufunike shetani asikufikie in jesus name 🙏

    • @AlfredyLimu
      @AlfredyLimu 3 місяці тому +3

      Jitahidi sana kuandika YESU Kwa herufi kubwa na hata MUNGU usiandike Kwa herufi ndogo,herufi ndogo inamaanisha miungu na sio huyu MUNGU unaemaanisha

    • @MaggiemugoNjabini
      @MaggiemugoNjabini 2 місяці тому +1

      @@AlfredyLimu thnks 🙏true 👍

  • @neema207
    @neema207 2 місяці тому +4

    Amina mtumishi damu ya yesu ikufunikee ufalme wa Mungu umekaribia maneno ya Mungu yanatimiaa Amina aa Barikiwa sana

  • @annanjoki6826
    @annanjoki6826 3 місяці тому +2

    Asante mtumishi kwakutufungua macho hizi ni nyakati za mwisho yaliyo tabiriwa yanatimia mbele ya macho yetu tukiona tubuni tubuni ufalme wa Mungu umekaribia hayo ndio yanafaa kua mahubiri ya wakati kama huu yale mengine tutazidishiwa baada ya kuvuna Nafsi yaani uponyaji na baraka zitafuata nyuma

  • @ShukuruJohn-g7v
    @ShukuruJohn-g7v 2 місяці тому +5

    Ukwel mchungu upo sahihi mtumishi mungu aku bariki. Wafungue vipofu ambao awa jielew

  • @FRENKMATONANGE-dx6ql
    @FRENKMATONANGE-dx6ql 3 місяці тому +2

    Pascal cassia Mungu akusaidie mtumishi wa Mungu maan unawafumbua macho wengi nikiwemo na mimi ,God bless you 🙏

  • @JasminBabulal
    @JasminBabulal 3 місяці тому +2

    Asante sana mungu kwakuweza kunionyesha njia iliyo ya haki. Hivi kesho ilikuwa nipande gari kwenda kumuona kiboka wa wachawi. Mungu akupe maisha marefu na nguvu uweze kufanya kazi ya mungu. Ameen

    • @NURU-YA-BWANA-TV
      @NURU-YA-BWANA-TV 2 місяці тому

      Kesho ulikuwa uende aisee ,Mungu kakuhurumia kwakweli.

  • @user-we5if3qp7z
    @user-we5if3qp7z 2 місяці тому +5

    Duuù mweñýewe unatukana watu madhabahuni Mungu akusaidie ndugu,hukumu ni ya Mungu pekee,mwachie Mungu kazi yake

    • @NCHAKANchaca
      @NCHAKANchaca Місяць тому

      Ungejuwa ilo , ungemrekebisha kiboko ya wachawi kwa ukumu ya kufukuza mgeni

    • @CLAUDMWAKALASYA
      @CLAUDMWAKALASYA 28 днів тому

      Hamjielewi nyie mnao mponda casian anaeleza ukweli huyu casian sio mapepo yenu akina kiboko ya wachawi

    • @Joycemabula-tc9gt
      @Joycemabula-tc9gt 28 днів тому

      Jamani huyu anaongeaga ukweli sana saivi tunadanganywa sana na viin macho vya kichawi

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 3 місяці тому +9

    Watu wamebebewa fahamu kweli kweli!!!😭😭😭 inaumiza kuona wana wa Mungu wanavyofuata upotovu na kuacha kweli ya Kristo.
    Hakuna miujiza hapo jameni wanapelekwa kuzimu daaah! Yesu wangu usinyamaze wataibiwa wote.

  • @musajonas9397
    @musajonas9397 2 місяці тому

    nakuelewa sana mtumishi pauli dunia iko mwisho na zaidi watu wanapotea kupitia miujiza ila sio kwa kusema hivi inamaanisha tunapingana na miujiza ila nacho jua watu wengi hufikiri kuwa pahala pako namiujiza ndiyo mungu yupo hapo ila siyo kweli ila nacho jua na kukielewa pahala NENO la mungu lipo ndiyo MUNGU yupo na dunia haijui hivyo anachokisema pastor pauli ni kweli kabisaaaaa mungu aisaidie dunia na wote wakaawo humo na mungu akubariki nakufwatilia na uduma yako inavita vikubwa kwasababu ya kunena ukweli

  • @PFD123
    @PFD123 3 місяці тому +74

    Hii ndio Injli ya kweli kukemea maovu Mungu azidi kukuweka Hai umetufungua wengi macho mimi binafsi Nilikuwa Muumini mzuri wa hao watu sijui kina mwamposa kuhani musa hata uyo kiboko lakini baada ya kukupa sikio langu dah nilijikuta naona kabisa tunadanganywa sana siwezi kukanyaga tena Kwa hao watu ni Bora nimuombe Mungu mimi mwenyewe kupitia biblia

    • @happnesskitumbo5713
      @happnesskitumbo5713 3 місяці тому +2

      Mshukuru Sana Mungu kaka kwa kutoa huko wanapeleka watu kuzimu pasipo wao kujua.watakuja shituka Yesu amelitwaa kanisa na wao wamebaki pamoja na hao watumishi wao.

    • @aaronswai3092
      @aaronswai3092 3 місяці тому +5

      Hongera Yesu kakukomboa!

    • @EdmundTemba-pz8ui
      @EdmundTemba-pz8ui 3 місяці тому +4

      Usijaribu ndugu tenaaaaaaaaaaa soma neno, biblia inasema wanitafutao kwabidii wataniona

    • @michaelmasasila7615
      @michaelmasasila7615 3 місяці тому +6

      Huwezi kumfananisha kuhani Musa Richard Mwacha na hao watumishi fake... Yule ni mtumishi wa Bwana kweli

    • @gishigrace97
      @gishigrace97 3 місяці тому +2

      Muombe sana yesu Kristo akufunulie ukweli juu ya Kuhani Musa Richard Mwacha vinginevyo mdomo wako utagandishwa na Kristo mwenyewe na hautaweza kuinuka tena.

  • @Manyohu.tv1
    @Manyohu.tv1 2 місяці тому +9

    pascal cassian utaumia sana kutoa sauti, hao unaowaelekeza wanajua wanachokifanya na wanafanya maigizo, wanafanya kitu ambacho walipanga wakifanye ndiyo maana kuna sehemu Yesu alifikia mahali akasema ACHENI WAFU WAWAZIKE WAFU WENZAO.. kuna mahali ikifika inapaswa umuache mtu mwenyewe akutane na mkono wa Mungu ndo atakuwa mwepesi kubadilika.

    • @ZAIFICHARILTYOPENSCHOOLHOMESCH
      @ZAIFICHARILTYOPENSCHOOLHOMESCH 2 місяці тому

      Ikiwa kama atanyamaza, hatutakuwa na watu ambao wanaweza kukemia na kuirinda imani dhidi ya manabii wa uongo, Hivyo imani inatakiwa ilindwe. Tazama ikiwa tutashindwa kuilinda imani hii leo je kizazi chetu kijacho itakuwa kizazi cha namna gani?

    • @GrantMwakalambile
      @GrantMwakalambile 2 місяці тому

      Ata mm nina mawenge nae huyo anajiita kiboko ya wachawi apo chenga cjui zumalid wote ao chenga tu

  • @gib3888
    @gib3888 3 місяці тому +1

    mungu wangu sasa hizi n nguo gani kanisa la mapepo mtumishi wa mungu fungua watu macho may God bless you

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 2 місяці тому +3

    Paschal Mungu akubariki sana, kuna watu wapotezwa sana imani zao wanapoteza mda wao kukusanyika kwenye ibada za kishetani

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 2 місяці тому +1

    Mungu akutunze mtumishi mbingu zikunenee mema sku zote za maisha yako

  • @HasanIsmaily
    @HasanIsmaily 2 місяці тому

    Hongela mtumishi was mungu mungu akutie nguvu uhubir injili ya kweli Mimi mama masai bagamoy pwan❤ injili ya kweli

  • @elinemakundi5011
    @elinemakundi5011 2 місяці тому +2

    Mungu fundi iko siku wataomba mma, siku ya mwisho watambiwa ondokeni kwangu siwajui, enyi manabii wa uongo, na wachungaji na manabii wa uwongo maaskofu, wainjilisti, wazee wa kanisa mashemasi wa uongo baba yenu ni shetani, acheni kulagai watu, siku ya mwisho hao waumini mtaenda nanyi kuzimu, shtukeni mlaaniwe wote wapoteshaji injili ya YESU

  • @bulengepetite6062
    @bulengepetite6062 3 місяці тому +1

    Mutumishi wa Mungu paza sati baba. Tuzidi kuombea Watoto wa Mungu. ❤

  • @ContentClam-df1vy
    @ContentClam-df1vy 3 місяці тому +2

    Na mshukr mungu japo nmetoka kwenye uislmu lkn sijawah kuwa Amin Hawa wachungaji na muamin hyu mtu mishi tu amekuwa faraja kwangu amenielimisha saana hyu mtumish wa mungu barikiwa saana

  • @Samvoice-tx1fj
    @Samvoice-tx1fj 2 місяці тому +4

    Hakika huu Ni ujumbe wa kiroho!! MWENYEZI MUNGU azidi kukupa UJASIRI utuelimishe baba!

  • @EstherBarnaba
    @EstherBarnaba Місяць тому

    Mungu akubariki sana pascal kwa kukemea uovu na upuuzi

  • @nelsonmsela7192
    @nelsonmsela7192 2 місяці тому +1

    Nataka nikwambie tu mtumishi wangu Kuhani Musa Richard mwacha naomba usije ukamtaja tena kwenye sehemu zako yule ni baba yangu wa kiroho kupitia mtumishi huyo Mungu amen badilisha sana❤❤❤

    • @salmaayoub-p3t
      @salmaayoub-p3t 2 місяці тому

      Kuhani musa ni mtumish wa mungu kama haujui. 🙏🙏🙏🙏🙏 mungu akulinde kuhani musa usiogope songa mbele na yesu wako😂😂😂😂

    • @ampeliusrweyemamu6445
      @ampeliusrweyemamu6445 2 місяці тому +2

      Nafurahi Kuona Waliopotoka wanaanza kukandiana, kupigana vijembe. Inadhihirisha kuwa Siku za Mataifa ya Magharibi kuendelea kuwahadaa wana wa Alikasi( Africa) zinaisha. Awe Musa,Mwamposa, na wapuuzi wengine Waliopotoka na wanawaaminisha Viumbe wa Mungu Upuuzi

    • @hawaelymaricca7602
      @hawaelymaricca7602 2 місяці тому

      Wee acha watu waende wanakojisikia hata wakija kwako ni sawa tuu

  • @FrenkJoseph-sz3ms
    @FrenkJoseph-sz3ms 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe sana mchungaji mana nguvu yamungu ipondani yako naniyakweli nakuombea tuy kwamungu adui yeyote atakae kufatilia apigwe papa achanganyikiwe uzidi kuwa fungus fatu kiufahamu wengi wamefungwa ufahamu usiache kutu fafanunila juu yahawa manabii

  • @ShuhudaSilungwe
    @ShuhudaSilungwe 3 місяці тому +4

    Mungu akusaidie mtumishi mtu ambay haelew hawez jua mungu akuzidishie na akupe siku nyingi za mwiz arobaini ipo so iku wataumbuk

  • @Eunice254-o7x
    @Eunice254-o7x 3 місяці тому +5

    Mungu akulinde kakaangu maubiri yako yamenifungua sana nilikuwa sijui nabii wa kwel na wa uwongo..Lakin nilivyokufatilia nimeawajuwa wengi sana

  • @Filemonclemens
    @Filemonclemens Місяць тому

    Ubalikiwe baba mungu aendelee kukutumia kwaviwango vyajuu jinalayesu litukuzwe daima

  • @Alexanderthegreat-w3v
    @Alexanderthegreat-w3v 2 місяці тому

    Amina 🙏🙏 mungu akuweke mdamlefu uzidi kutufungua kwenye vifungo tulivyofungwa 🙏

  • @fatmaally4190
    @fatmaally4190 2 місяці тому +1

    ❤mungu akubarik sanaa amakakika wewe ni mtume wa kwelii

  • @HonestijohnKimario
    @HonestijohnKimario 2 місяці тому

    Amina mtumishi mungu akuinue zaidi uitangaze kweli yake maumivu ya hawa yalinipata nikapita hali ngumu Sana siwaamini tena

  • @GeofreyFikiri
    @GeofreyFikiri 2 місяці тому +2

    Mungu akubaliki mtumishi wa mungu

  • @GabrielyKibona
    @GabrielyKibona 2 місяці тому

    Mungu akubariki mtumishi wa Mungu wewe songa mbele ktk kusema kweli maana haha Yesu alichukiwa kwa kusema kweli.Endelea kuwafumbua macho walio vipofu wapate kuona.

  • @ZacchaeusIsaya
    @ZacchaeusIsaya 3 місяці тому +4

    Pascal cassian nakukubali sana mtumishi wa mungu unacho ongea kuhusu hawa matapeli wa uongo ni true kabisa

  • @ModesterMgawe
    @ModesterMgawe 2 місяці тому +1

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu

  • @AlexSiwale-q1y
    @AlexSiwale-q1y 2 місяці тому

    Mungu akulinde na azidi kukuinua katika Imani maana msema kweri ni mpenzi wa mungu.

  • @dunstangeorge3263
    @dunstangeorge3263 2 місяці тому +1

    MCHUMGAJI RICHARD HANANJA ALISEMA UKWELI NA UKWELI UTAKUWEK HURU, PROUD TO BE RC🙏

  • @victoriamtangi3287
    @victoriamtangi3287 3 місяці тому +3

    Mtumishi vip yule mtumishi anavaa viatu vya like kwenye ibada 😂😂 buski😂😂

  • @PatriciaFelix-hx9wc
    @PatriciaFelix-hx9wc 2 місяці тому +1

    Amina mwenye sikio na asikie tufundishe usichoke na mungu WA mbinguni atakujaza mwenye akili anaelewa

  • @graceshirima6072
    @graceshirima6072 2 місяці тому

    Sema ukweli mtumishi wa Mungu watu wa Mungu wapate kupona na Mungu akulinde siku zote za maisha yako,

  • @PaschalSimon-ir9vy
    @PaschalSimon-ir9vy 2 місяці тому

    Ee mungu mtie nguvu mtumushi wako aweze kuwabadilisha watu wako maana wanapotea kwa kufata manabii wa uongo EV PASCHAL CASSIAN MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @PaulinaNyanzalashija
    @PaulinaNyanzalashija 3 місяці тому +3

    😊Cassian fanya yako achana na kazi au shughuli za. Watumishi,nabii. Kutwa wewe
    kuwachambua manabii huo ni wivu tu wa kiuchumi tu hakuna binadamu aliyekamilika manabii wanasaidia sana kuliko tukuelewe ,tuvutiike

    • @boniventurematta1419
      @boniventurematta1419 3 місяці тому

      Hata waganga wa kienyeji wanasaidia watu kwa hiyo na wenyewe waitwe watumimishi wa Mungu?

    • @EdmundTemba-pz8ui
      @EdmundTemba-pz8ui 3 місяці тому

      Pole mingu akusaidie

    • @jonsonigwakisa1162
      @jonsonigwakisa1162 2 місяці тому

      Hata wewe umechukuliwa umekuwa wa kuzimu

    • @kigongomasalu7402
      @kigongomasalu7402 2 місяці тому

      Unamulikiwa mwanga Bado huoni!!!!? Utatumbukia shimoni

    • @rosemarykimath9337
      @rosemarykimath9337 2 місяці тому

      Huyu ana wivu kwani amekuwa Mungu hadi kuwajudge wengine

  • @ineejohn-vs3dr
    @ineejohn-vs3dr 2 місяці тому +2

    Acha kuhubiri huduma ya mwenzako ..hubiri ya kwako Mungu aliokupa.

  • @Rehemajoshua-ne2ic
    @Rehemajoshua-ne2ic Місяць тому

    Baba mungu akutie nguvu uendelee kuelimisha hawa watu waliofungwa katka shimo la kuzim maana hawajui wanalolifanya

  • @GraceAmiry-ry3te
    @GraceAmiry-ry3te 2 місяці тому

    Bwanayesu asifiwe pasta mungu aendelee kukutumia kwaviwango vya juu uendelee kusema ukweli maana watu wametekwa wanahangaika na miujiza wanapotea wamejazana huko kwa manabii na mitume hawamtafuti mungu wanatafu miujiza tuombe neema ya mungu ituongoze sawasawa maana matapeli niwengi

  • @nadiatanzania
    @nadiatanzania 3 місяці тому +6

    Yan huyu ndio mchungaji naweza mpa mda wangu kusikiza no more 😘

  • @KundaelGeorge-tv8mz
    @KundaelGeorge-tv8mz 3 місяці тому +2

    Mungu atusaidie sana

  • @michaelwanyanga
    @michaelwanyanga 3 місяці тому +1

    Paschal Cassian, you are real a man of YHWH-God. May the Lord Yahshua protect you against these crazy baldheads tormenting the nowadays church. I give you right hand to stand against these folks.

  • @UpendoMbonica
    @UpendoMbonica 3 місяці тому +3

    Mungu atupe macho ya rohoni

  • @RoseChipasula
    @RoseChipasula 2 місяці тому

    Amina munguawe nawewe xikuzote naakiweke xikuzote endelea wataachat mungu akubalik

  • @ivongailo4600
    @ivongailo4600 3 місяці тому +7

    Mungu akulinde na huduma yako

  • @Namaize-lc8sh
    @Namaize-lc8sh 2 місяці тому +2

    Hubri neno la mungu watu wakuelewi acha kutumia nguvu nyingi kukosoa wengin.hata sio mkamilifu hukumu si juu yako mwachie mwenye mamlaka

    • @ClaraKanuti
      @ClaraKanuti 2 місяці тому

      Watu wangu waangamia kwakukosa maarifa kubali kufundishwa ukae kwenye njia sahihi

  • @MERYMOSES-kl7dr
    @MERYMOSES-kl7dr Місяць тому

    Baba ubarikio sana na Mungu aliye mbinguni

  • @MariaJerome-u7j
    @MariaJerome-u7j 3 місяці тому

    Binafci nimebarikiwa sana kwakua umetufumbua macho wengi, stay blessed!

  • @garamakalama407
    @garamakalama407 3 місяці тому +2

    Mungu akulinde naakpe ngvu😢 maradu upambane nawapnga crsto

  • @JacklineKalinga-y4j
    @JacklineKalinga-y4j 3 місяці тому +2

    Jaman jaman inahuzunishaa eee mungu wangu ukowap utuokoeee

  • @JoyceFungo-c8k
    @JoyceFungo-c8k 3 місяці тому +1

    Watu wengi tunapenda miujiza bila macho ya rihoni, Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu sema tupone Ameena.

  • @agnessndabhalu
    @agnessndabhalu 3 місяці тому +1

    Barikiwa sana mtumishi Cassian

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 місяці тому +2

    Tunaokuelew tunasema emen❤❤

  • @mahechaalfeyo
    @mahechaalfeyo Місяць тому

    Amina.Mungu.akubaliki sana

  • @JAckayaJoohn
    @JAckayaJoohn 2 місяці тому +1

    Nimekuelewa sana mchungaji umenitoa kwenye giza

  • @ChiruzaBienvenue
    @ChiruzaBienvenue Місяць тому

    Mungu mlinde mtumishi wako Pascal casian

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Wewe siyo mungu kuhukumu watumishe wa mungu 😊

  • @johnmboma771
    @johnmboma771 27 днів тому

    Bwana Yesu akutunze Mtumishi wa Mungu

  • @JoanathaNovath
    @JoanathaNovath Місяць тому

    Hii ni kweri kabisaa mtumishi sema watu wapone maan hizi ni nyakati za mwisho kwahiyi mwenye masikio na asikie maana bwana yesu alisemtambua m2 kwa matendo huu ni wakati wa mwisho wapendwa

  • @NancyMatuli-fb5jp
    @NancyMatuli-fb5jp 3 місяці тому +1

    Hilo libaba nilichawi jamani tunaomba mungu aingilie kati kwa majitu kama hawa waliyoamua kumchafua Mungu wetu

  • @YuenPonsiano
    @YuenPonsiano 3 місяці тому +1

    Pascal kusema ukwel ww ndio mchungaji unajaribu kuchunga kondoo wa bwana wasipotee mungu akulinde

  • @CHIDIBAITI
    @CHIDIBAITI 2 місяці тому +3

    NAKAMA ULIKUWA AUJUI IKIFIKA JUMAAPILI ANAWATESA WATU ANATUPA ELA WATU WANAGOMBANIANA ADI WANAPIGANA WANAUMIZANA YANI HUYU KIBOKO YA WACHAWI ANAROHO MBAYA SANA

  • @EzekielNdabalinze
    @EzekielNdabalinze 2 місяці тому +1

    Hakika huku huku kigoma nilipo nakupata, Mungu atusaidie tupate kuelewa neno lake

  • @ev_abediespoir490
    @ev_abediespoir490 Місяць тому

    Dunia iko mwishoni kabisa. Paza sauti mtumishi wa Mungu

  • @RUTHKANJALE
    @RUTHKANJALE 2 місяці тому

    Mungu akulinde kamanda jembe la bwana yesu

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 2 місяці тому +1

    Kazi yako njema mtumishi.

  • @EasterGlory
    @EasterGlory 3 місяці тому

    I wish kukuona kwa ukaribu tufanye interview kidogo mtumishi wa Mungu nayakubali mafundisho yako

  • @JacklineKalinga-y4j
    @JacklineKalinga-y4j 3 місяці тому +2

    Tatizo akil zetu zimetekwa mungu atusaidie Yan hatujielew chochote tukiambiwa ni ameeeeen duh et u star

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Mwambie mtumishe wa mungu hapa umekosea siyo kusema kila wakati

  • @ZamdaAllyHassan
    @ZamdaAllyHassan 2 місяці тому

    Hawa watumishi wa Mungu wakubwa Yesu anawatumia vizuri watu awaliwi tena na wachawi wala kuonewa wachawi sasa we usie amini emdelea kuto amini na ndo wachawi wanachotaka watu wasiamini ili waendelee kuvusha vitu vyao ...poleni sana wafata mkumbo msio jielewa na mmefungwaa masikini😅

  • @elishampoki8751
    @elishampoki8751 3 місяці тому +2

    Sema mtumishi wa Mungu
    Lakini Hao manabii wamewekwa na Mungu ili wale wasioamini kweli ya Mungu waende huko ili wakaukumiwe kwa Haki,
    Maana Mungu alisema Nitawaletea nguvu ya upotofu ili yasioami ni injili wauamini uongo,

    • @mwakipiano4568
      @mwakipiano4568 3 місяці тому

      Mpoki nisaidie Hilo andiko nisome mpendwa

  • @Siti_maroneit
    @Siti_maroneit 2 місяці тому

    Mungu atulinde tu hilo tombe sanaa

  • @HASSANNGITU
    @HASSANNGITU 3 місяці тому +1

    Mmm Yesu yu karibu.

  • @vailethmsigwa1987
    @vailethmsigwa1987 2 місяці тому

    Mungu tusamehe sana kaka nakukubali sana naomba mawasiliano yako kuna mambo nataka unisaidie

  • @RoseChipasula
    @RoseChipasula 2 місяці тому

    Jaman mtumishi anazungnmzia kumjua munguwa kwerinasio upako ambao sikweri au mpona mana ii wAuong

  • @LusajoKabuka
    @LusajoKabuka 3 місяці тому

    Kweli hao mashetani nimeelewa tutaangamia kwa kukosa maarifa tatizo watu tunataka mtelemko mungu wa mbingu na nchi awatupilie mbali amina

  • @LilyMaganga
    @LilyMaganga 3 місяці тому

    Mungu atusaidie na atupe neema kubwa sana ya kuwatambua manabii wa uongo

  • @vailethmsigwa1987
    @vailethmsigwa1987 2 місяці тому

    Mimi naamini Mungu baba Mungu Mwana na Roho Mtakatifu

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Hiyo siyo kazi yako nikazi ya mungu

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 3 місяці тому +1

    Nipo Tunduma tunakupata vilivyo mtumishi endelea kutufumbua macho mungu atakulipa kwa hili

  • @EphraimMwenebatu
    @EphraimMwenebatu Місяць тому

    Ubarikiwe mchungaji hii ni ukweli huyu mtu siyo mtumishi wa Mungu

  • @LucyKapinga-fg4dk
    @LucyKapinga-fg4dk 3 місяці тому +1

    Mungu Awafungue

  • @Kichekelo
    @Kichekelo 2 місяці тому

    Upo vizuri shida nimoja tu unaubili ya wenzako Tupe neno la MUNGU c tufunguliwe na ibada zako

    • @chrisophermazanza6499
      @chrisophermazanza6499 2 місяці тому

      Utaokoaje roho zilizotekwa gizani na manabii hao pasipo kufundisha kupambanua Giza na nuru

  • @FrankNovathi
    @FrankNovathi 2 місяці тому

    mungu akubaliki sana mtumishi

  • @barikimaluli6107
    @barikimaluli6107 3 місяці тому +2

    Just waoooh nimeipenda sana hii injili jamani jina la bwana libarikiwe sanaa

  • @SaimoniMathayo98
    @SaimoniMathayo98 2 місяці тому

    Barikiwa sana kwa huduma iliyo kweli

  • @Ushindiemmanuelushindi
    @Ushindiemmanuelushindi 3 місяці тому +4

    Cassian MUNGU akubariki sana❤❤❤❤

  • @evelynemitima5809
    @evelynemitima5809 2 місяці тому

    Mungu anatujuwa sisi sote kama wana wake, na yeye sikipofu ili awa ace walio wake waangamie, mwanadamu kila mara ukosea, anajaa sifa, ujimimi na zarau ila Mungu yu na ubakie mwaminifu.Mambo ya kanisa tu muacie Mungu .

  • @ZamdaAllyHassan
    @ZamdaAllyHassan 2 місяці тому +1

    KUHANI MUSA BABA LAO ...tunakupemda mpaka raha miyoni
    ..na watumishi wote wa Mungu pigeni kazi fanyeni kile mlichoitiwa na Mungu

  • @HawaOman
    @HawaOman Місяць тому

    Acha kusema watumishe tu mishe wa mungu hskuna aliekamilika

  • @KINYONGAMASAUTIY-f3z
    @KINYONGAMASAUTIY-f3z Місяць тому

    Jamani mimi katika wachungaji wote Tanzania huyu mchungaji namkubali sana maana haogopi mtu yeyote anakuchuna live

  • @MenardMackidonald
    @MenardMackidonald 2 місяці тому

    Kwa kwelii, Mungu atusaidieee

  • @Pendopasilika
    @Pendopasilika 3 місяці тому +3

    Mh mh jamani watu wanatekwa vibaya lakini wanaona mambo mabaya kama hayo lakini bado hawafunguki MUNGU wangu ulie mbinguni wasaidie watu wako baba wafunguliwe wamepotea lakini hawaoni kuwa wamepotea simama mwenyewe YESU

    • @AverinaShirati
      @AverinaShirati 3 місяці тому

      Huyo kiboko mkorofi mara awafukuze washilika

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 3 місяці тому

      ​@@AverinaShiratiLakini hata mwonekano tu Hana Kama Ni mpakwa mafuta wa BWANA

  • @subiraanatory9957
    @subiraanatory9957 2 місяці тому

    Hakikaa ni sahihii kwa Elimu hiyo,asante baba

  • @rubensamson8681
    @rubensamson8681 2 місяці тому +1

    Uzuri wote hizi dini tumezikuta tunasoma t kwenye vitabu hakuna binadam aliekamilika hata wewe unamuongelea huyo wakati siyo kazi yako we fundisha kondoo wako kumjua mungu achana na habari zao,kila mtu na imani yake!