Makonda katika Jicho la 3 nakuona ni Raisi wa Tanzania mwaka 2055... KUWA NA SUBIRA VITA YAKO NI KUBWA SANA KUFIKIA KIWANGO CHA UONGOZI HUO MKUBWA NCHINI, MPENDE SANA MUNGU NA KUWA KARIBU NAYE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUWEZESHA KATIKA VITA KUBWA ILIYO MBELE YAKO HAKIKA UTASHINDA...... I like your consistency, smartness and capability in leadership.... In short the real meaning of leadership described by Dc Paul makonda.🎉🎉🎉🎉
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa. Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
Ubarikiwe makonda nakuombea uje kua rahis wa tanzania kama magufuri mambo yako, mtetezi wawanyonge makonda uwe na afya njema nakufatiliaga sana ukiwa haupo sawa naumia sana
Muheshimiwa uko vizuri kuongea na wananchi kusikiliza shida zao kongole,,, jamani wengine muige huu mfano kusikiliza kero za wananchi inafaa watu kero nyingi unafaaa kuwa rais
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi, Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
Kuna sehemu makonda anakosea, mtu hawezi kuhifadhi kichwan taarifa zote zinazoendelea katika kijiji, ndo mana zinahifadhiwa so anavosema baadhi ya taarifa zpo ofisini anatakiwa amuelewe.
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
Dah! Yaani kwenye ukuu Kuna mipaka ya mikoa. Angebaki kule kule kwenye uenezi. Kule alikuwa anatumbua Kila mtu kasolo wazili mkuu tuu na raisi. Sijui kwanini katolewa kule
Safi sana Mkuu wa mkoa Makonda.Nipo nakuomba kwa vita ulivyo navyo kwa haki uliyo nayo kwa wengine.Mungu zaidi kukupa hekima na busara katika kuamua yaliyoshindikana kwa usahihi.Wewe ni sawa Mfalme Sulemani kwa hekima
Makonda wewe ni mtu wakupenda haki daima Mungu akuinue ktk ngazi ya juu zaidi
Makonda, hebu wakupe ubunge, uwe waziri unyooshe mambo. Big up kijana wetu!!
Makonda katika Jicho la 3 nakuona ni Raisi wa Tanzania mwaka 2055...
KUWA NA SUBIRA VITA YAKO NI KUBWA SANA KUFIKIA KIWANGO CHA UONGOZI HUO MKUBWA NCHINI, MPENDE SANA MUNGU NA KUWA KARIBU NAYE YEYE NI MWAMINIFU ATAKUWEZESHA KATIKA VITA KUBWA ILIYO MBELE YAKO HAKIKA UTASHINDA......
I like your consistency, smartness and capability in leadership.... In short the real meaning of leadership described by Dc Paul makonda.🎉🎉🎉🎉
Hongera kwa KAZI nzuri mungu akulinde mh! Makonda
Q😊😊😊😊😊😊q❤❤❤❤❤😊
❤
Laana ya dhuluma, unyang'anyi, rushwa, ndiyo inayoididimiza nchi na kitu ambacho ulimwengu haujui ni kwamba pesa ya dhuluma hata ungefanyaje kamwe huwezi kufanikiwa.
Asante mtumishi wa BWANA katika kazi yote ya kutetea haki ya wanyonge. hakika inasikitisha sana na inahudhunisha sana! Ashukuliwe MUNGU wa mbinguni kwa kuweka kaburi ambalo ni mwisho wa kila mwanadamu mwenye jeuri
Mkuu makonda utendaji wako unanikumbusha uncle magu hongera baba Mungu akulinde kwa huu utendaji wako
Hongera makonda Kwa kazi nzur
Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Hongera sana Makonda👏👏, Mwenyezi mungu akulinde 🤲
this mzee magufuri legacy
Mtoto unae tembea kwenye kivuli cha mh.magufuli..hongera mheshmiwa
Mheshimiwa Mkuu wa mkoa Paul Makonda, unafanya kazi nzuri sana.Endelea kutenda haki kwa wananchi na Mungu atakubariki!
Kweli😭😭 kajifunz vitu Ving lakn kwa maguful
Makonda we ni kamanda wa uongozi! Mungu akulinde ututumikie watanzania. We love you! Big up kijana wetu
Best kind of leadershirp i prefer, bravo Regional commisinor Makonda🙌🙌💥
Kabisa
Ubarikiwe makonda nakuombea uje kua rahis wa tanzania kama magufuri mambo yako, mtetezi wawanyonge makonda uwe na afya njema nakufatiliaga sana ukiwa haupo sawa naumia sana
Tupowengi
Mh Makonda unaakili sana Mungu akulinde.Mungu ibariki Tanzania Linda viongozi wetu wenye moyo wa kusaidia wananchi
Arusha mtanyooshwatu😂😂😂😂
Huyo ndio makonda bwaaanaa
Big up makonda Arusha Kun shida mungu akusimakie na kukusaidia kutafuta kero z awananchi Kuna dhuluna n ubabaishaji
Ibada hii ni nzuri sana ,hongera sana mtumishi wa MUNGU BABA Makonda ,ubarikiwe kwa kazi nzuri
Mungu ni mwema Safi sana
😊q
Unazingua
Muheshimiwa uko vizuri kuongea na wananchi kusikiliza shida zao kongole,,, jamani wengine muige huu mfano kusikiliza kero za wananchi inafaa watu kero nyingi unafaaa kuwa rais
@@cantonaiddy6042😂😂😂😂😂😂😂
Upo sahihi mkuu,kaziyako ipo vizuri
Mh Raisi Daktari Samia nakusifusana kwamaono mazurisana kumteua Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Paulo Makonda Tangu aanzekufanyakazi yupo vema Tanzania safiii kazi iendelee
Upo sahihi kabisa. Hii hazina ni kama ilifichwa
Natamani ungekuja kuwa Raisi baada ya Mama Samia uwe mfano was marehemu Magufuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akulinde na akuhifadhi siku zote umtetezi wa wanyonge
Hongera sanaa mkuu wa mkoa Arusha Kwa kazi nzuri 😢
rait hii nchi ingekuwa na system kama hii,hata ambao wanawania nafasi za ngazi za kijiji na kata wasingewania(gombea) nafasi hizi,
Asante Mh. Makonda kwa kutuamsha
Haki Mungu akubaliki kaka Makonda Proud of you Africa need leader like you
Live from Uganda Paul makonda pole kazi nzuri
kweli kabisa
Asante Makonda kwa Kazi nzuri Mungu akubariki. Yani nikikuona Makonda namuona Magufuli hakuna Tofauti kabisaa ❤❤❤
HAKIKA
Daah kazi mzuri mweshimiwa mkuu wa mkoa makonda Mungu akubariki sana sana sana
😅0
Leadership ni utatuzi wa matatizo ya unaowaongoza na kuweka mazingira sawa kwaajili ya shunguli zingine! Hongera sana Makonda👏👏👏
Rais mama Samia kusema kweli kkayangu makonda afanya kazi Mzuri Sana Allah ambariki na akubariki wewe inshaallah.
MUNGU akutunze daima Kwa kazi nzuri unayoifanya mheshimia makonda
Kazi nzuri japo kuwa nchi nzima migogoro ni mingi mmno haina mtatuzi, big up.
From Zambia makonda keep it up
Hongera mkuu wa mkoa. Ila Acha niseme kitu,wewe unaependa kunyanyasa watu,kujiinua kwa kuwa una mabawa,hakika yupo Mungu anayerudisha vyote vilivyoibiwa. Kama ulimnynyasa mtu au kumdhulumu mtu kwa njia yeyote,lazima utalipa tu.Asante Mungu usiyelala. Mungu ibariki nchi yetu Tanzania Mungu ibariki Africa yetu
Acha kuongea ujinga kwa makonda unachuki kwa huyu mkuu
Amina
ww nae ni mpumbavu
Makonda unafanya kazi nzuri, tuna viongozi walio jisahau kuwajibika kwa wananchi
Jasho la mnyonge linalipwaa na Mungu baba hakika kazi yako ni nzuri sana God bless 🙌
Ipo siku utakuwa kiongoz katika nchi hii bro makonda .....uko vizuri
Duh! Jamani Mimi siwezi kusema ila huyu makonda jeshi la malaika wamzunguke pande zote ulinzi kamili
K
Hongera makonda mungu akulinde nipo mbeya mjin.
Hongera makonda kwa kazi nzuri ya kuwatetea wanyonge mungu akulinde
Amina❤❤❤
Makonda udumu zaidi mungu akulinde siku zote za maisha Yako na ukuzidishie hekima zaid ya hapo tuna kutegemea zaid👏👏👏👏👏
BEST ADVICE from Paul MAKONDA. I have never seen
Mr. Makonda is a best leader in the world! I love Makonda.
Makonda ¡!!kazi iendelee mzee maguu anakuona na kukufurahiaaa
Makonda mkuu wa mkoa yuko vizuri sana sana tunampenda
Makonda, makonda, makonda, endelea kuwasaidia wananchi. Mungu atakulipa aise. Kwenye nchi hii madudu ni mengi sana.
Ongera sana makonda kwa kazi nzuli bila wew Mzee dio Alisha zurumiwa mungu akubalik makonda
Kuna sehemu makonda anakosea, mtu hawezi kuhifadhi kichwan taarifa zote zinazoendelea katika kijiji, ndo mana zinahifadhiwa so anavosema baadhi ya taarifa zpo ofisini anatakiwa amuelewe.
Unajuwa kazi anayo ifanya huyu bwana kazi njema sana na inatufanya sisi kuwa jasiri katika kutambua haki zetu na Mungu akutunze sana pia tunakuitaji kigoma
Kweli kabisa
Viongozi mnapaswa kufanya kazi mlizo aminiwa, Mungu akulinde mh. Makonda
Ubarikiwe sana baba mungu akulinde makonda juu
Hongera sana makonda kwa kutetea haki za wanyonge Mungu akulinde daima.
Iyo supana ninoma mkuu watasema tu kaz nzuri mungu akusimamie
From Burundi Makonda you ar like the last president john pombe magufuri😊😊😢
5r BB-
Makonda natamani ungekuwa mkuu wa mkoo wa morogoro ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Dah! Yaani kwenye ukuu Kuna mipaka ya mikoa. Angebaki kule kule kwenye uenezi. Kule alikuwa anatumbua Kila mtu kasolo wazili mkuu tuu na raisi. Sijui kwanini katolewa kule
Mungu akulinde Mh Makonda
Watu wa Arusha mnapo muomba MUNGU kwa ajiri ya Afya zenu msimsahau na makonda ni wazo tu
sawa❤
Safiii
Amina
😂😢 4:05 @@REGNARDkiswagachimbo
❤
Upo vzr mungu akubariki sana kwa kaz nzur unayoifanya......
Makonda na Magufuli tofauti ni sura tu... lakini Akili wanafanana, Hekooooo Kaka Makonda
🤣🤣👍👍👍👍👍👍👍👍👍🏃
Hpn magu kiakili alikua juu ila makonda anajitahidi kufata nyayo zake
Hongera mkonda chapa kazi ccm iheshimike mungu akubar kwa wamuzi mzuri huo
Mwenyezi mungu akulinde makonda
Ameen 🙏🙏
Seriously no 1 like our makonda in tanzania , God bless you Samia suruhu Hassan for voting makond
Yaani huyu Mzee alitoa milioni 30 halafu mnamnyima hekari moja na nusu Wanaomponda makonda wote ni wale waliofanya madudu kwenye maofisi yao
Am very proud to having leader like makonda
Watanzania sio wajinga, muda wa kuwadharau na kuwaona ati ni mbumbumbu umeshapita! Makonda kudos! I see maturity in leadership here. congrats Makonda.
Nampenda r c makonda❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mungu akutunze mheshimiwa Makonda
mzee makonda hongera sana baba unatenda kazi nzuri Allah akufanyie wepesi❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😢Makonda unafanya kazi nzuri Mungu akubariki sana
safi sana
I see magufuli face in this man
Hongera sana Makonda! Mungu akutunze.
makonda mimi ni mkaazi wa mbeya tutamuomba mama akulete mbeya kazi yako nzuri
Yaaani aje aje aje kuna Mwenyekiti nimsemeleeeee🤣🤣🤣🤣🤣
kweli kaka mkuu wetu kapoaa
Ila kweli mbeya kumeozaaa
Big up sana Mheshimiwa kwa kazi nzuri kwa kutenda haki.
Makonda unafanya mpaka watumishi wa sehemu nyingine wafanye kazi kwa kukuangaria ww
Huu ndiyo uhalisia wa mambo vijijini, Hongera Makondo kwa kazi hii nzuri
Sio Makondo ni Makonda
😂😂😂😂😂😂@@DianaHyera
Kbs
Safi sana Mkuu wa mkoa Makonda.Nipo nakuomba kwa vita ulivyo navyo kwa haki uliyo nayo kwa wengine.Mungu zaidi kukupa hekima na busara katika kuamua yaliyoshindikana kwa usahihi.Wewe ni sawa Mfalme Sulemani kwa hekima
Baba amerudi nyumbani lazima ujue asiye mtaka mkuu wa mkoa Makonda Mungu kamrudisha duuu Mungu afananishwi
Daaah! Mungu akulinde na akusimamie Mh Po Makonda,,,mi mweyewe nilinyangh'anywa eneo ambao ni shamba la wazazi wangu
tunakupa uliz wa mungu makonda wetu
P. Makonda Allah Akutangulie
Makonda Mungu akusimamie
Makonda you are too much, safi sana Mkuu wa Mkoa Mungu atakulipa
Kazi nzuriii makonda. Wanaonea sana wananchi
Nani hao???
Mtendaji kwanza umesha kula sana chapa zako mwendo.
I appreciate you rc makonda ur the best
Shule inadarasa moja na chumba kimoja cha walimu ,Raisi anabeba wasanii kwenda Korea nchi hii Mungu atunusuru tu 🙌
Hahahaha
Huo sasa wivu bhn
Jiulize Wasanii wanatoa bilioni ngapi kodi za mauzo
Ako ka mama kameanza kuruka ngoma uzeeni, anafikilia kuwa msanii wa taalabu ndio maana yupo kaliibu sana na wasanii.
Acha ujinga wewe, kwani wewe hauoni?? Nchi ina migogoro bado yeye anaruka nyoka.
Uko vizuri mweshimiwa
Raisi wa mkoa hoyeeeeeeeeee😅😅😅😅❤❤❤
Hoyeeeeeee
P makonda Mungu akutangulie Baba
Kazini kwa makonda kuna kazi
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hawa ndio viongozi tunawakosa Kenya 🇰🇪,Makonda mtetezi wa wanyonge 💪
Watendaji wa serikali hutumia kigezo hicho kuchukua maeneo ya watu.Ukifuatilia utagundua wamejimilikisha njoo Kilombero Morogoro .
Makonda anafanya kazi mzuri sana
Mh makonda mungu akulinde san na akupe maalifa zaid
Mungu tu akubariki kaka makonda kwa unayo yafanya mungu akuongezee siku za kuishi kwakweli
Chapa kazi jembe makonda una jambo jema kwa mkoa wetu wa Arusha siku zote wasiojali watasema wewe ni mwonevu lakini wewe ni mtetezi 💪💪💪🇹🇿💪🇹🇿🇹🇿🎉
HONGERA MWEHESHIWA MAKONDA MUNGU AKUBARIKI AMEEN ❤
Uwiiii Makonda asitolewe Arusha Tunakupenda😊
Hatariiiiiiiiiiiii
Hongereni sana arusha sisi huku dar,ni ovyo
Hapo wa Tanzania mlipata Magufuli wa pili Mungu amlinde makonda,mimi hutoka kenya
😊❤
Pole na hongera sana mzee Makonda,unakutana/pambana na mambo mazito.Mungu akutilie wepesi!.Aamin.
Kiongozi bora wa kwanza leo naombeni like zangu
Kazi nzuri sana
Makonda kiboko, ana maswali mazuri hatari 🙌🏾
Daaahh!!!!! Kama ni hivi ? Iko kazi.
Nakubali kaziyako🎉🎉🎉🎉
Naombeni mnilinde maana haya mambo ya siku hizi hayaeleweki wasije nilisha sumu 😅😅😅
😅😅😅😅😅😅
Thanks 4 yo patriotism bro
Kazi nzuri,na tunasubiria kata yetu ya Musa