KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • KIJANA ALIEDANGANYWA NA MKEWE KUWA AJAZAA SIRI YAFICHUKA YALIYOJIRI KIJIJINI KWA MAMAAKE PART-1
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 766

  • @RamaMsimbe
    @RamaMsimbe 3 місяці тому +16

    Kutakuwa na dhiki kubwa siku za mwisho manabii wa uwongo watakuwepo halo ndipo naamini masiha yupo karibu kurdi mungu tusamehe 😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @ColethaLucassingaile
      @ColethaLucassingaile 2 місяці тому +1

      Watu wanaangamia Kwa kukosa maarifa,mtu anateseka hapo na madrip watu wapo bussy kusikiliza umbeya kama anavosema mwenyewe,mungu si mwepesii wa kutulipiza mabaya tunayofanya,ndo maana ukitubu Kwa kumaanisha anasamehe na kusahau,mungu Bado nalitumain jina lako,hapo mwishoni umesema sahihi usihukum usije ukahukum

  • @AbuuSwafwaan
    @AbuuSwafwaan 2 місяці тому +10

    Alhamdilillah kwa neema ya uislamu

    • @margretdionese493
      @margretdionese493 2 місяці тому

      Yesu kristo anarudi tubuni na kuiamini injili bila Yesu hakuna mbingu WA Islam wote motoni

  • @neemarosedawson3154
    @neemarosedawson3154 2 місяці тому +5

    Ugumu wa maisha unawafanya watu wengi wahangaike Sana kwenye Imani potofu

  • @AsiaMsemo-ox1tg
    @AsiaMsemo-ox1tg 2 місяці тому +3

    Eee bwana yesu naomba uumsaidie huyu kijana wangu aache pombe apate kazi kwa jina la yesu amen

  • @DemetriaDomishen
    @DemetriaDomishen 3 місяці тому +3

    Dady nakukubali,papaaa, niguse ktk nahitaji yangu, nimefukuzwa mkataba Lisa nimekutaja wewe, my dady

  • @fatyherman9705
    @fatyherman9705 4 місяці тому +1

    Bwana yesu asifiwe,mimi ninashida naomba unisaidiye,uniondoleye mshawi anaye angaisha maisha yangu,heri ningekuwa dar ningelifika hapo shida niko Kenya.ubarikiwe

  • @princessezekiel1549
    @princessezekiel1549 4 місяці тому +4

    Ameen mungu azidi kukubariki mtumishi wa mungu

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 8 місяців тому +3

    Bwana asifiwe sana ❤ Ila uandishi kwa mfano hajazaa huku imeandikwa ajazaa mwandishi angalia sana

  • @ZakayoKalinga-nq5qy
    @ZakayoKalinga-nq5qy 5 місяців тому +2

    AMEN nabii Kiboko ya Wachawi Mungu akubariki

  • @SalmaYusuph-jb1sx
    @SalmaYusuph-jb1sx 4 місяці тому

    Najiungamanisha na madhabahu hii ya kiboko ya wachawi nisaidie niongezewe mshahala wangu mwez huu wa sita npokee ela ya kuzid amen

  • @AsiaMsemo-ox1tg
    @AsiaMsemo-ox1tg 2 місяці тому +1

    Naomba unisaidie anayeniroga mimi na familia yangu aonekane kwa jina la yesu amen

  • @ClarrahGerrad
    @ClarrahGerrad 3 місяці тому +3

    Amen mtumishi

  • @RebekaJohn-vt8xf
    @RebekaJohn-vt8xf 5 місяців тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi na bii ,mim naitwa rebeka msuya nasikiza mahubiri yako naomba unisaidie uzao wangu na mume wangu apate kipato kikubwa ,na mimi biashara yangu haiendelei naomba nisaidie asant sana baba

  • @ellymbwambo331
    @ellymbwambo331 4 місяці тому +5

    Piga KAZI mzee NEEMA ya Mungu ni kubwa

    • @AbrahBuraheze
      @AbrahBuraheze Місяць тому

      neema ya mungu au neema ya ushetanii😂😂😂😂

  • @AnthonyVitalis-iy5su
    @AnthonyVitalis-iy5su 5 місяців тому +6

    Mungu ananusuru watu wake na siyo kuhuwa

  • @RamadhanSoah-ss6ij
    @RamadhanSoah-ss6ij 2 місяці тому +1

    Mtumish wa mungu naomba unitolee maradh yaliyopo mwilin mwangu nimesumbuka miaka ming sana

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti 2 місяці тому +1

    Ni mtumishi wa Mungu namkubali tuponye baba.

  • @MedukenyaKoiyaki
    @MedukenyaKoiyaki 5 місяців тому

    Ameen mtumishi wa mungu nafuatilia huduma zako nikiwa mwanga Kilimanjaro nimefungwa kimaisha na hata kuzaa naomba unisaidie past

  • @VivvaaMgee
    @VivvaaMgee 5 місяців тому +1

    Amina afu nyie mnaokaa nakusema watu wanadanganywa kwann nyny mnalazimishwa kusikiliza kama unaona kinacho hubiliwa wewe hakikufai unaweza kuacha kufatiria au nyie ndowale wachawi moto wamungu unawachoma mnaishia kutoa lgha chafu

  • @EufranciaNgombo
    @EufranciaNgombo 4 місяці тому

    Naitwa Eufransia ng'ombo baba naomba uniombee familia yangu kiafya watoto 2 wafaulu mitihani yao pia tumeshuka kiuchumi na mume wangu biashara haindelei vizuri naomba unisaidie baba asante

  • @sospetermussa-ub3er
    @sospetermussa-ub3er 3 місяці тому

    baba nimesumbuliwa na malaz kwa mda najisikia kufunguliwa maisha yangu na familia yangu tuondokane na Magonjwa pamoja na ugumu wa maisha yetu mungu akupe nguvu utusaidie Amen,

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 6 місяців тому

    Glory be to God for this man of God

  • @RucyMakapa
    @RucyMakapa 2 місяці тому

    Aminaa mtumish wakomeshe wachaw tena wauwe wametutesa sanaaa

  • @valentinaanthony
    @valentinaanthony 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana, naomba namm nipate nafasi ya utabiri mana nimejaribu Kwa simu mara kazaa bila mafanikio

  • @adilimmuru9615
    @adilimmuru9615 4 місяці тому +1

    Nipo Moshi naitwa Adili nakufatilia mtumishi sijapata chance kuongea na wewe. Barikiwa sana

  • @AnnamarySeth
    @AnnamarySeth 3 місяці тому

    Inaumiza sana. Mungu azidi kukubariki Baba.

  • @JescaMpweza
    @JescaMpweza 3 місяці тому

    Mtumishi wa mungu napenda sana maombi yako I receive i receive

  • @BenjaminMaiko
    @BenjaminMaiko 6 місяців тому +2

    Nahitaji Nimalize nyumba yangu kwa kina la yesu na nipate biashara kubwa sana mwaka huu

  • @FrankDeo-xu7zw
    @FrankDeo-xu7zw 7 місяців тому +11

    eti mm nimkorofi aisee 😢Mungu nisaidie mm walai tena sio Tanzania wala kenya wala ulaya sijawahi kuwaamini hawa manabii wala mitume na sijawah kuwapenda wala kuwaelewa jmn au mm ndo natatzo ila siku za mwisho ndo hizi, mambo yanaenda kiganga gang tu

    • @mbwamboruth
      @mbwamboruth 6 місяців тому

      Magumu hayakupata my dear ukiona mtu kaenda pale,huyo amepitia mapito sasa hana budi kufanya hivyo,Mungu atupe neema tu

    • @ZainabuOmary-nt7xf
      @ZainabuOmary-nt7xf 5 місяців тому

      Kweli

    • @emmanuelmakenzi1830
      @emmanuelmakenzi1830 5 місяців тому

      kiboko ya wachawi. naombaunisaidie nasumbuliwa na magonjwa nina ngoli, bawa siri na mashine. yangu Iko lege lege sana

    • @Esmark-lp7hu
      @Esmark-lp7hu 3 місяці тому

      Yaaani

  • @ezekealpaulo-ny7ox
    @ezekealpaulo-ny7ox 4 місяці тому

    Nabii naomba uniombee baba mungu anibariki nifanikiwe haliyamasha yangu imekuwa ngumu baba nikipata pesa haikai nabii kilajambo nikifanya haliendi kabisa baba nashindwa kuelewa hata nimejenga nyumba yakuku nimehindwa kumaliza mtumishi naomba unisaidie baba

  • @FadhilaMhando
    @FadhilaMhando 7 місяців тому +3

    Mungu atusaidie Sana

  • @OlesailepuLesinoi
    @OlesailepuLesinoi 4 місяці тому

    Mungu akubariki uwa ponye watu kwa jina la mwenyesi mungu

  • @NyiranezaWarda-bk1yn
    @NyiranezaWarda-bk1yn 6 місяців тому

    Mungu akazane kukupa uwezo zaidi ulliyonawo God bless you 1🥰 💯 🙏

  • @hellenjohn3484
    @hellenjohn3484 5 місяців тому +3

    Amen Amen Mtumishi wa Mungu naitwa Hellen John Mushi

    • @meshachkigumbi6034
      @meshachkigumbi6034 5 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @SelemaniRingia
      @SelemaniRingia 5 місяців тому

      Hellen John Mushi naomba kukufahamu zaidi Kwa kuwa nahisi kuwa wewe ni ndugu yangu!!! Coz na Mimi naitwa Selemani Thomasi Ringia Mushi! Je wewe ni Mushi wa wapi? Coz Mimi natokea kishumundu mtaa wa mararo matemboni!??

  • @ibrahimswai8412
    @ibrahimswai8412 3 місяці тому

    Mungu Ni mwema kila wkt...nipo Moshi

  • @CuttyLushazy
    @CuttyLushazy 3 місяці тому +6

    Kwenye familia yetu tunateseka sna baba tufungueee

    • @Mainatongwe
      @Mainatongwe 2 місяці тому

      Urogwi wew acha ujinga fanya kaz

  • @JumaKiondo-te2qc
    @JumaKiondo-te2qc 5 місяців тому

    Bwana yesu asifiwe naitwa JUMA SAlDI KIONDO mtumishi nisaidie maisha yangu siyaelewi kila nnachofanya matokeo ni ziro afu siko dar Niko ARUSHA nisaidie baba

  • @ZainabuIsmaili-b1g
    @ZainabuIsmaili-b1g 3 місяці тому +2

    Pasta dominic kiboko ya uchawi unisaidie watoto wangu wakike nawakiume wako wawili na wakike mmoja aolewe na Hawa wengine mguu apone mdogo haoni dalasani haoni

    • @زيتونتنزانيا
      @زيتونتنزانيا 2 місяці тому

      Ndugu waume wenyewe wako wapi we mshauri tuu apate kazi ajijenge mwanaume atakuja mwenyewe

  • @veronicachongolo3023
    @veronicachongolo3023 3 місяці тому

    Mungu naomba nianze uduma ndani ya week huu kama kuna nguvu ya giza ndani yake imeshindwa na nainuka kwa kazi ya mungu

  • @chrispineacademicus5784
    @chrispineacademicus5784 5 місяців тому +1

    Yes huyu ni mtumishi wa mungu na siyo Mungu

  • @DionisiaBaynit
    @DionisiaBaynit 6 місяців тому +1

    Mkasome biblia mathayo 24 meeleza wazi kwa habari ya manabii wa uongo, Mwenyezi Mungu akatusamehe na atusaidie Sana

  • @OnesphoriusKabig-ch8dj
    @OnesphoriusKabig-ch8dj 4 місяці тому +1

    Amen Amen

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 5 місяців тому +4

    Nabii wa Mungu alieumba mbingu na nchi, mnaopinga hii huduma mnamapepo na ni makristo wa uongo

    • @AjayKorea-lf6wq
      @AjayKorea-lf6wq 3 місяці тому

      Kwanini mnapinga huduma ya mungu wote mnaompinga huyu nabii mtakufa kama sisimizi wachawi wakubwa na mtakufa

    • @ramadhanimpapalika7131
      @ramadhanimpapalika7131 Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂​@@AjayKorea-lf6wq

  • @winfridamalunguja3287
    @winfridamalunguja3287 8 місяців тому +2

    Sema bhana unatumaliziaa mb zetu

  • @KadumaJose
    @KadumaJose 2 місяці тому

    Amina

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 8 місяців тому

    Amen mtumishi wa Mungu naomba uniombee napitia mapito magumu kimaisha kila kazi ya mikono yangu haistawi

    • @monicakiwia5649
      @monicakiwia5649 7 місяців тому

      Kwasababu bado hujamjua Mungu ukimjua Mungu kazi za mikono yako zitastawi muombe Mungu akupe Neema yakumjua yeye

  • @karibunyumbani3824
    @karibunyumbani3824 7 місяців тому

    Mungu turehemu seriously auwe watoto wote serikali ilikua wpi MUNGU turehemu jmani MUNGU wetu ni wa huruma na anatupenda kweli hizi ni siku zamwisho

  • @festomaswaga-ht5yi
    @festomaswaga-ht5yi 4 місяці тому

    Ubarikiwe mtumishi wa bwana🙏🙏🙏

  • @MarthaSulle-qr6lo
    @MarthaSulle-qr6lo 4 місяці тому +2

    Baba Mimi Nina shida . Kwanza wazazi wangu wamenitenga nanimeolewa na wanaume watatu nakila mwanaume ninamtoto naye nawote wameniacha nimebaki na watoto maisha yamekuwa na msukosuko tu nausiku naota nakula nyama au nanyonyesha mtoto

  • @FridaMtui-pp3lt
    @FridaMtui-pp3lt 4 місяці тому

    Mungu niinulie mtu sahii, unipe kazi amen

  • @NakkuAnderson
    @NakkuAnderson 4 місяці тому +1

    Kauwa watoto kisa mwanaumeeeee mungu anatuhukumuuuu

  • @AbdalaAlimasi
    @AbdalaAlimasi 2 місяці тому

    Amin baba

  • @GloryAminiel
    @GloryAminiel 5 місяців тому

    Amina baba

  • @eunice1552
    @eunice1552 8 місяців тому

    Bwana Yesu asifiwe naomba msaada wa maombi mamaangu ni mgonjwa wa kukohoa na kutapika damu

  • @HalimaShabani-ij4mi
    @HalimaShabani-ij4mi 5 місяців тому +1

    Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!! Basi tu mungu ajueeeeeee

  • @LuclaJohn
    @LuclaJohn 3 місяці тому

    Naomba unisaidie nateseka sana mwanaume kanizalisha bado mtt hamtunzi nakuna dada alichukua pesa za watu kupitia mm kaniachia mm kesi nasumbuliwa nateseka sana mtumishi.

  • @MagretAndeka
    @MagretAndeka Місяць тому

    Amen 🙏

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 4 місяці тому +2

    Jmn ,si mnajua Mimi nilivutaga bangii kweli huu ni utmishi aina gani

  • @MkiwaRamadhani
    @MkiwaRamadhani 6 місяців тому +1

    Nione na mim mtumishi ameeni

  • @yohanaisayasimoni
    @yohanaisayasimoni 2 місяці тому

    Afi mtu hapo Mungu YUKO upande wetu na unabii huo ugeuze kwa mke wako uchonganishi ugomvi baba yao ni shetani

  • @hamzaahmed69
    @hamzaahmed69 4 місяці тому

    Naitwa Hamza hamadi hongera Sana nabii wetu naomba nisaidie uondoe Matatzo yangu yote

  • @Stellahnakhabalewanyonyi
    @Stellahnakhabalewanyonyi 2 місяці тому

    Mungu tuhurumie ss bnadamu mungu hatujui apacho 2nafanya

  • @MwanaidiJuma-k2d
    @MwanaidiJuma-k2d 7 місяців тому +2

    Hata maneno yako siyo ya mungu

  • @zakariamwamburi-7940
    @zakariamwamburi-7940 4 місяці тому

    Watching from kenya God bless you pray for my ministry

  • @BrendaChacha
    @BrendaChacha 2 місяці тому +1

    Mungu atuhurumie sisi nadunia nzima

  • @FlorahKamayugi
    @FlorahKamayugi 4 місяці тому

    Nakata chuma ullete nabi naomba nisaidie maisha yangu mimi na familia yetu ayaelweki

  • @DoreenKisaka-p8m
    @DoreenKisaka-p8m 7 місяців тому

    Naitwa Mary KISAKA, niombee kwa mungu mume wàngu apone kisukari kinamsumbua karibu miaka kumi

  • @PiusremigioalyuduleMueda
    @PiusremigioalyuduleMueda 3 місяці тому

    Naomba barraca kubwa kwajina la jesu amém amém amém amém 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @fatyherman9705
    @fatyherman9705 4 місяці тому

    Baba piya naomba uombeye family yangu piya uzao wangu piya mume wangu apate kazi nzuri kushinda aliyo nayo.asante

  • @Duniawatu
    @Duniawatu 5 місяців тому

    Amina pastor

  • @MarthaSulle-qr6lo
    @MarthaSulle-qr6lo 4 місяці тому

    Hallelujah

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 8 місяців тому +1

    Ameeen baba Siri zifichiliwe

  • @BetinaMalima
    @BetinaMalima 2 місяці тому

    Mungu akubarki mtumish

  • @user-chungamali
    @user-chungamali 8 місяців тому +79

    Katika ulimwengu wa kiroho uyu si mtumishi wa mungu kabiza No No No you're not man of God

    • @ticia950
      @ticia950 7 місяців тому +5

      AMA KWELI MTUMISHI WA MUNGU ANAONGEA PUMBA IVO

    • @kamaulazaro4717
      @kamaulazaro4717 7 місяців тому +6

      Wewe watu wa kiroho unawajua aje??? Uko nao wangipi?

    • @josephbonday8510
      @josephbonday8510 7 місяців тому +1

      KWANINI UNASEMA HIVYO?

    • @FlorenceMlemi
      @FlorenceMlemi 7 місяців тому

      Is not a man of god, but it's man of you

    • @FoibeNicodemas
      @FoibeNicodemas 7 місяців тому +1

      natamani.kusema.kitu.ila hawa wana.nguvu sana

  • @AnethRichard-gj6zn
    @AnethRichard-gj6zn 3 місяці тому

    Naitwa Aneth Richard naomba niombee baba nipate support kwa mzazi mwenzangu.

  • @elizabethjeremiah8323
    @elizabethjeremiah8323 7 місяців тому +1

    Yooooo aliwaua jaman

  • @YohanaThomasi-zk8uo
    @YohanaThomasi-zk8uo 7 місяців тому

    Ubarikiwe Sana babaa ,naomba unifungue mume wangu ananificha Kila kitu Mwema Justine wa kimara

    • @agnessima5032
      @agnessima5032 7 місяців тому +1

      Mbona inaonekana we ndo mume?😂

  • @MonikaSaimoni
    @MonikaSaimoni 4 місяці тому

    Ubaarikiwe

  • @OmbeniMuhindo
    @OmbeniMuhindo 3 місяці тому

    Mungu akuinuliye nuru nabii

  • @AgnesOssward
    @AgnesOssward 5 місяців тому

    nnasumbuliwa na u.t.i. mara kwa mara nimetumia dawa nimechoka naomba nisaidie na watoto wangu 🙏🙏

    • @emmanuelpeter5686
      @emmanuelpeter5686 5 місяців тому

      Njoo in box nikusaidie kadri ntakavyo jaaliwa

  • @NoraMsangi
    @NoraMsangi 4 місяці тому

    Naomba mungu anisaidie nimalizie jengo langu na biashara zangu zsimame

  • @EufranciaNgombo
    @EufranciaNgombo 4 місяці тому

    Mektidis mkapa changamoto yangu mtoto wangu mchawi mumombee haache naali iyo nakwaupande wauchumi wangu zio kabisa

  • @FlorahKamayugi
    @FlorahKamayugi 4 місяці тому

    2:54

  • @MankaJoseph
    @MankaJoseph 5 місяців тому

    Amen

  • @AmotheBrandtv26
    @AmotheBrandtv26 7 місяців тому +1

    Emwenyezi mungu naomba unsaidie nifaulu Gp 3 ya mitihani yangu

    • @rukiamkumbwa
      @rukiamkumbwa 5 місяців тому

      Na Mimi naomba nipate kazl

  • @PeterPeter-tb7nx
    @PeterPeter-tb7nx 5 місяців тому

    Ameni mtumishi wa mungu

  • @Ashura-sr4uv
    @Ashura-sr4uv 7 місяців тому +1

    Mungu wangu naomba nisaidie nipate mume sahihi naomba nipate biashara yangu mwaka huu

    • @laurencemassawe9100
      @laurencemassawe9100 6 місяців тому

      Nicheki

    • @FredMaulid
      @FredMaulid 5 місяців тому

      Mungu ni mwema utapata mwamini pia uwe na matendo mema yatakayoufanya ulimwengu wa roho ukupe mtu anayeendana na mwenendo wako ulimwengu wa roho huwa haukosei

  • @BEATRICEMASSAWE-oc1kc
    @BEATRICEMASSAWE-oc1kc 4 місяці тому

    Amina bab

  • @ernestkatyega5781
    @ernestkatyega5781 4 місяці тому +1

    Amejichubua Tapeli muongo shetani

  • @MariamShagata
    @MariamShagata 5 місяців тому

    Naomb uniombee Kwa wale waliyoniombea mabaya na alivoniambia vibaya yawarudie Kwa jina la yesu? Nifungulie biashara zangu ameen

  • @swaynice1719
    @swaynice1719 4 місяці тому

    Amina🙏 mtumshi

  • @MagrethNgairo
    @MagrethNgairo 7 місяців тому

    munguakubaliki
    mtumishi
    naombauniombee
    fmiliamagonjwa
    nakazizamikonoyanguzikabalikiwe

    • @nelsonnyamle
      @nelsonnyamle 7 місяців тому

      Mjinga wewe soma maandiko umjue huyu mtu kuwa si mtumishi wa mungu mwakilishi wa shetani jamsni

  • @Jojimgani-jm3do
    @Jojimgani-jm3do 3 місяці тому

    ❤❤❤

  • @OscarGregorymosha
    @OscarGregorymosha 2 місяці тому

    Yesu aka sema mimi ndimi njia. bila jina la Yesu ni munguyup?

  • @tumainimpangala.pendezasan2911
    @tumainimpangala.pendezasan2911 4 місяці тому

    Huyo mwanamke acha Mungu amwadhibu Bora angebakia kulea watoto nyumbani kwao hataree sana huyo mwanamke hata uhakika wa mwanaume kuishi vizuri anaweza kumwua

  • @StevenMutale-xt9yj
    @StevenMutale-xt9yj 3 місяці тому

    Sawa nendini mtajuta baadae aujawa kuiwona muijisa ya Mungu sio ya Mungu hii wanapotesa watu Mungu ila ngoja tu saa itafika mtafahamu ukweli niupi

  • @rosemarysombe-es5gc
    @rosemarysombe-es5gc 5 місяців тому

    Naomba kufunguliwa Baba 🙏

  • @princessvai6
    @princessvai6 6 місяців тому +4

    Ee Mungu muhurumie nabii huyu ajui alitendalo🙌🙌

  • @cyruskarimi8837
    @cyruskarimi8837 8 місяців тому +1

    Amen Amen 🇰🇪

  • @annamlozi4538
    @annamlozi4538 5 місяців тому

    AJENTI WA KUZIMU anatumia jina la yesu.