Pius wilson vs Kiboko Ya Wachawi live performance ✨

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 лют 2024
  • #gospel
    Listen Pius wilson on UA-cam👇
    / @piuswilson2502
    Boomplay👇
    www.boomplay.com/share/album/...
    Instagram👇
    tvCgE-cIXq...
    The official UA-cam channel of Pius Wilson. subscriber for the latest music videos, performance and more.
    For Bookings$more
    Email visionpius2578@gmail.com
    Call+255622231718.

КОМЕНТАРІ • 82

  • @eliandejeulaya7498
    @eliandejeulaya7498 2 дні тому +2

    Mkubali YESU na kuacha dhambi uokoke hii ni kwako msomaji
    Asomaye na afahamu

  • @ukweliwanenokatikahili7526
    @ukweliwanenokatikahili7526 4 дні тому +2

    Mwimbaji mwenyewe mchawi mchawi ,unavuaje kanisani

  • @sarahkeivaly3351
    @sarahkeivaly3351 11 днів тому +5

    Mungu aturehemu

  • @EngelLameck-nz5nk
    @EngelLameck-nz5nk 10 днів тому +7

    Shetani Yuko kwenye kampeni acheni kumtania Mungu wa Mbinguni ipo siku mtalia na kusaga meno nawaambia

  • @NemayaAbedi-lk9lo
    @NemayaAbedi-lk9lo 5 днів тому +3

    Dunia imeisha

  • @REGNAJAKSONShikakaige
    @REGNAJAKSONShikakaige День тому

    Baba piga kazi

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 11 днів тому +3

    Hapo anatukuzwa kiboko syo Mungu aisee duuh

  • @CadiaOnesmo
    @CadiaOnesmo 4 дні тому +2

    Dunia imefika mbali sanaaa

  • @RashidiRehani-v1l
    @RashidiRehani-v1l 4 дні тому +1

    Wewe mdo wanguu 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 11 днів тому +3

    Kuzumu kumenoga,shetani anafurahia mateka

  • @festotemu2845
    @festotemu2845 18 днів тому +2

    Naomba uninulishe maisha yangu baba

  • @costofamily4861
    @costofamily4861 11 днів тому +3

    Kuna tofaut gani na Bar

  • @BahatiLukumay
    @BahatiLukumay 21 день тому +2

    Baba ubarikiwe Baba naomba unikumbuke bahati

  • @StanleyChibwete
    @StanleyChibwete 18 днів тому +1

    Njoo dodoma nduguyangu usikaee huko daresaalamu kalibu sana

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv 9 днів тому +2

    Yani nikiona hivi nakumbuka neno linalisema kuzimu haishibi duh ...

  • @anna19805974
    @anna19805974 4 дні тому +1

    watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

  • @DoreenFadhili
    @DoreenFadhili 18 днів тому +1

    Nitabirie na mm baba

  • @user-xk3ue8yi3s
    @user-xk3ue8yi3s 18 днів тому

    Aslm kiboko wawachawi naomba unisaidie mimi na watoto wangu tuko na matatizo tuko pamoja iin SHAALLAH

  • @ephraemmwangonda4268
    @ephraemmwangonda4268 18 днів тому +1

    Amina baba,nasubiri utabiri wako baba

  • @user-yo7oo1fh2e
    @user-yo7oo1fh2e 11 днів тому

    Nabii Bwana Yesu asifiwe niombee nipate nauli yakuja kuna vikwazo Antony Matwi wa arusha

  • @moseshaule586
    @moseshaule586 18 днів тому +1

    Naomba unitabirie baba

  • @festotemu2845
    @festotemu2845 18 днів тому +1

    Maisha yangu siyaelewi

  • @amisamaurid1882
    @amisamaurid1882 10 днів тому +1

    😂😂😂😂 hata macho mmeshindwa kuona jaman tunapotea vibaya xana

  • @smartmwakipesile3842
    @smartmwakipesile3842 День тому

    Hakika imeandikwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @rehemahamidu7398
    @rehemahamidu7398 4 місяці тому +1

    ubarikiwe sana kaka angu pius wilson kazi yako ni njema sana

  • @prezidakasuga2595
    @prezidakasuga2595 4 дні тому +1

    Hata ninywe pombe vp lkn yesu wa nazareti yuko hai ndo mtetez wetu

  • @JamesAlfredMAYUYA
    @JamesAlfredMAYUYA 18 днів тому +1

    Amina mtumishi nina changamoto kubwa nahitaji msaada wako

  • @christophermsekena616
    @christophermsekena616 11 днів тому

    Na wimbo mmemuimbia kabisa.... sio Yesu tena ni kiboko ya wachawi...... 😢

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 7 днів тому

    Yesu yu karibu malangoni.

  • @JosephSamwely
    @JosephSamwely 16 днів тому +2

    Niokoe nabii nateseka

  • @lydiabochela9363
    @lydiabochela9363 3 дні тому

    Mmmmh, hatariiii

  • @HazinaAmestone
    @HazinaAmestone 4 дні тому

    Shetan kamili uyo

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 7 днів тому

    Hakuna uwepo wa mungu hapo

  • @user-wx3rl5qs5p
    @user-wx3rl5qs5p 11 днів тому

    Nabii mungu aendelee kukutumia nasi tunapokea kwa njia ya cm

    • @ShomariiMkumbo
      @ShomariiMkumbo 10 днів тому

      Wewe na yeye wotee nyiee ni lanaa tuu

  • @danielbrizzy
    @danielbrizzy 11 днів тому

    mungu yu mwema

  • @silvanusjeremiah8256
    @silvanusjeremiah8256 11 днів тому

    Insane

  • @kikongajoel2693
    @kikongajoel2693 8 днів тому +1

    Makubwa

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 5 днів тому

    Ushetan kamili

  • @user-ic2rl7gz5z
    @user-ic2rl7gz5z 17 днів тому

    Amen baba

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 9 днів тому

    Tatizo nyinyi wakristo ibada yenu kubwa nikuimba tu wala hamjui kuabudu Mungu kazi yenu ni ushetani tu singeli umo umo dansi umoumo bongo muziki umo umo ogopeni Mungu hacheni ushirikina na uchawi abudu Mungu kama anavyotaka waulizeni waislamu Mungu anastaili watu wamuabudu vipi

    • @daltonpaul5838
      @daltonpaul5838 8 днів тому +2

      Wewe ndio shetani tena huna adabu dini haimpeleki mtu popote hayo makanisa ya kishetani yapo na misikiti pia humo humo wako watu wanatumia makanisa vizuri na wako wanaotumia vibaya na waislam vile vile wapunga mapepo,washirikina wanatoka huko huko usichanganye ma file mwanadamu ni mwanadamu tu akiamua kua mwabudu shetani haimaanishi dini yake chunga kauli zako

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 5 днів тому

    Nateseka nitabirie niokoe na machungu🙏

    • @anna19805974
      @anna19805974 4 дні тому

      omba Mungu akuondolee machungu akupe amani katika Kristo Yesu.

  • @Inkubutembo7779
    @Inkubutembo7779 6 днів тому

    Acha wapotee tu.

  • @sophiaadson1498
    @sophiaadson1498 17 днів тому

    Nina changamoto naomba sema neno napokea kwa imani

  • @SteveAvelinBuretter
    @SteveAvelinBuretter 11 днів тому

    Shetani yupo kwenye kampeni

  • @paschalsasagu5610
    @paschalsasagu5610 4 місяці тому +2

    Umefunikaaa kamanda😅😅

  • @kassebo
    @kassebo 10 днів тому

    m.ua-cam.com/video/EeD0i-aMtBM/v-deo.html
    🎥 Kassiano kassebo ~UPENDO WA KWELI. - UA-cam

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 9 днів тому

    Yadunia inaimbaje kwani

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 12 днів тому +1

    Kama kongo wachungaji wako huyu basi wamekwisha karibia kuzimu

  • @braisersavage4644
    @braisersavage4644 4 місяці тому +1

    Mtumishi

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 12 днів тому +1

    Hiii ni kanisa ukumbi wastaleee haaaaa jamani ?maskini watu wanafwata tu

  • @mamaziada134
    @mamaziada134 16 днів тому

    Naitwa esta razaro baba nina changamoto mbaka sitamani kuishi nimeibiwa pikpiki mtu nimempa afanye kazi kaiba kila nilo fanya 0 nimekuja sana buza lakini wap naomba msaada baba

  • @chrithicksambo2287
    @chrithicksambo2287 4 дні тому

    Hivi viongozi wa kikristo hawapo? Kuzifungia hizi Laana

  • @mako331
    @mako331 6 днів тому

    Serikali jamani ingilieni kati haya makanisa ni uhuni na wizi mtupu

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 11 днів тому

    Martha Mwaipaja unadanga siku hizi hadi kwa huyu mwehu anayechungulia chupi za washirika

  • @siamuchunguzi
    @siamuchunguzi 5 днів тому

    Hivi huyu mkongo amepate uraia kirahisi kuja kuwapoteza watz?😢 Mama Samia wasaidie watu wako tafadhali

  • @julianamwamgogwa
    @julianamwamgogwa 12 днів тому +1

    Shetani kachafua kazi yamungu isionekane c kitu .imeandikwa mtawaona kwa matetendo na niwakati wa kuonekana mungu wa kweli ama c mungu wakweli maana hata waganga wamisri walizibadili fimbo zao kuwa nka kama fimbo ya musa lakini nyoka wa musa alivmeza vyote ndivyo itakavyokuwa.ndivyo itakavyokuwa ivi imaingizo vyote vya manabiii hawa wauongo vitamezwa vyote

  • @rosekishinhi8246
    @rosekishinhi8246 13 днів тому +1

    Hivi hiyo ni Martha Mwaipaja wa kweli au?? 😢😢😢 Inaumiza saàna tunakoelekea sasa

    • @julianamwamgogwa
      @julianamwamgogwa 12 днів тому

      Nikweli nimeamini wanawake atuwezi kuhimili mafanikio lazima miguu ipoteenjia

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 12 днів тому +12

    JAMANI NYIMBO YOYOTE INAYOHUSISHA KAMA SINGELI YA KIDUNIA WAZI WATU WANAOWAONGOZA NI WASHIRIKA WA IMANI ZA KISHETANI NYIE WATU HUYO SIYO MTU MWEMA ANAWAPELEKA KUZIMU SOMENI MAANDIKO MTAMJUA ANAMWAKILISHA NANI ACHENI UVIVU

    • @odilomwemeziernest646
      @odilomwemeziernest646 11 днів тому

      Anatukuzwa mtu badala ya Yesu

    • @user-tt7cu2et1x
      @user-tt7cu2et1x 7 днів тому

      Kanisaa zima jehanam at vitu znaimbwa azieleweki. Uyu na jo devi hawana tofaut wanataka sifaaa nyimbo anatungiwa yye badala ya YESU 😢😢😢😢😢token hpo nyie mliyefungwa macho ya rohon

  • @DevidMfipa
    @DevidMfipa 17 годин тому

    Muwe na akiri nyinyi macho yenu yakaone,mbona mnakuwa wapumbavu.mnapelekwa shimoni ukumnaona.akuna kibo ko wala nn shetani mkubwa w

  • @hellenjonson5210
    @hellenjonson5210 9 днів тому

    Hakika amewaloga wala gamjitambui kabisa wengine na elimu zao lkn wamo wanazoom

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 14 днів тому +1

    Nahitaji kuja hapo kanisani nikija buz anishuke kanis kituo gani

  • @DoreenFadhili
    @DoreenFadhili 18 днів тому +1

    Nitabirie na mm baba

  • @JamesAlfredMAYUYA
    @JamesAlfredMAYUYA 18 днів тому +1

    Amina mtumishi nina changamoto kubwa nahitaji msaada wako

  • @DoreenFadhili
    @DoreenFadhili 18 днів тому +1

    Nitabirie na mm baba

  • @JamesAlfredMAYUYA
    @JamesAlfredMAYUYA 18 днів тому +1

    Amina mtumishi nina changamoto kubwa nahitaji msaada wako

  • @DoreenFadhili
    @DoreenFadhili 18 днів тому +1

    Nitabirie na mm baba

    • @LesewaShao
      @LesewaShao 18 днів тому +1

      Naitwa jovitha. Baba nitbilie Mme wangu alikua naduka lafriji amefunga. Naanafanyaga. Kaz naaanayo Fanya pesa aionekn namtoto Wang anakaaga anaumw bba. Mtoto naasaiv anaumw mummbee. Baba

    • @LesewaShao
      @LesewaShao 18 днів тому +1

      Bab natena. Tanngu Mme wangu anioe hjawai kunipeleka. Kwao

    • @LesewaShao
      @LesewaShao 18 днів тому +1

      Bba. Nitabilie .bba mm jovth