MZEE ALIETAFUTWA NA ROHO YA KUPOOZA NA WENGINEWE WAPATA UPONYAJI LEO KWA KIBOKO YA WACHAWI
Вставка
- Опубліковано 15 січ 2024
- MZEE ALIETAFUTWA NA ROHO YA KUPOOZA NA WENGINEWE WAPATA UPONYAJI LEO KWA KIBOKO YA WACHAWI
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
AminA
Amina
Baba ubarikiwe ata dunia yote Mungu akupe tunabarikiwa sana❤❤❤😂
Bwana Yesu Asifiwe Pastor,,,wote walionitesa na kunifuatilia maisha yangu wafe kwa Jina la Yesu
Aminaaaaa babaaaa
kiboko ya wachawi wote walioniharibia maisha yangu kwa jina la yesu wafe asibaki hata mmoja amona
Connet
Ameb
Amina sawasawa🙏🙏
Najiungamanisha na madhabahu ya kiboko ya uchawi kila anaeponywa hapo madhabahuni na mimi na familia tuponywe kwa jina la yesu ameeen
Naitwa Hafidhi Salum
Naomba Unitabilie baba..
Nabii kaka yangu anaumwa Sana naomba nisaidie
Mungu akubriki Baba tunateseka na wachawi wauwe Nabii
Nakataa kifo kwenye familia yanguuu
Naomba unitabili baba naitwa kassim kawambwa
Nami najiungamanisha na madhabau niponywwe nami
Najiungànisha na nguvu ya mutumishi wa mungu kiboko ya wachawi na kwangu wafe
Naomba uniombe familia yangu imekaa k atika hali isiyo eleweka niko kenya jina langu Devota Alois
Naomba unitabili
Faya
A. men
Amina baba wafe wachawi wote
Amiinaa
Nabii kiboko wa wachawi Mimi nakaaa Arusha nisaidie mkuu
Baba uwa anaye niaribiya maisha yangu
Bwana Yesu asifiwe shuhuda hazifikii mwisho zinakuwa nusu nusu Amina Nakupenda Mtumishi Bwana anakutumia
Malizaaa
Nakataa kuzeeka masiki
Baba nakuja mbele ya madhabau hayo
Baba naomba mke wang arudi nyumbani na mimi niache pombe
Maliza
Namimi ruben najiungamanisha nawe kiboko ya wachawi maana nimeshachoka kufeli