BILIONEA WA MAPARACHICHI, SHAMBA EKA 1000, MILIONI 200 KWA MSIMU, NYUMBA, MAGARI YA KUTOSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 тра 2024

КОМЕНТАРІ • 180

  • @halunimnenwa5224
    @halunimnenwa5224 25 днів тому +25

    Uyu jamaa mungu amubariki sana ana roho nzuri sanaalikuja hospital wanging'ombe aliwap wagonjwa sh10000 sh10000 na mama yangu akiwemo ubarikiwe sana ndugu yangu mungu akuzidishie pale ulipo toa

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz Місяць тому +95

    Kila uwekezaji unalipa ila chanzo cha mafanikio ni muwekezaji mwenyewe. Amefanya kilimo cha parachichi zaidi ya miaka 10 na bado anaendelea. Usiache unachokifanya Kwa kuhisi hakina maslahi mapana. Faida ipo. Mtangulize Mungu pia jikite kwenye kuongeza elimu juu ya unachokifanya... Utanishukiru baadae

    • @LastKakats
      @LastKakats Місяць тому +3

      Amen

    • @zuhuraomary2782
      @zuhuraomary2782 Місяць тому +2

      Uko sahihi 100%

    • @jephonaplatinumz8475
      @jephonaplatinumz8475 Місяць тому +1

      Ata kama anauza big jii aendlee kusubiri kuna siku itamlipa?

    • @jakom254
      @jakom254 Місяць тому

      Maeneo gani

    • @movie.reporter
      @movie.reporter Місяць тому

      Ukikuza mtaji utaenda na utauza vitu vingine. Mafanikio ni mchakato wa muda mrefu kaks​@@jephonaplatinumz8475

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j Місяць тому +23

    Huyu mkulima ninamjua Sana kapambana kutoka chini mwache ale maisha ananithamu ya kazi

  • @PastorsTz
    @PastorsTz Місяць тому +40

    Nampenda sana huyu jamaaaa anaunyenyekevu sana,,hata ukikutana naye na ukienda kununua miche kwake utafurahi

    • @mussaelia8693
      @mussaelia8693 Місяць тому

      Mzee naweza pata mawasiliano Yako
      Nataman nijue nijifunze

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 25 днів тому +1

      Uyu jamaa mungu amubariki sana ana roho nzuri sanaalikuja hospital wanging'ombe aliwap wagonjwa sh10000 sh10000 na mama yangu akiwemo ubarikiwe sana ndugu yangu mungu akuzidishie pale ulipo toa

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 6 годин тому

    Kijana wa saizi anazani mshikaji kapata huo utajiri mwaka mmoja au miwili iliyopita tafadhali muandishi umesahau kumuuliza bwana steve time interval,downfalls kukusanya huo utajiri💪💪💪💪💪

  • @princemimi2090
    @princemimi2090 5 днів тому +3

    hii ngoma angeisimamia millard ayo tungejifunza mengi

  • @LandrickXl
    @LandrickXl Місяць тому +20

    anakwambia kwa bahati nzuri wazazi hawakuwa na uwezo 😂 au hamjamskia kwasababu ana hela

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 22 дні тому +2

    Me Wallah nimedhamilia nitaenda kuchukua mafunzo kwa hyu Mzalendo..Barikiwa kaka

  • @stephenmmbago4975
    @stephenmmbago4975 Місяць тому +8

    Really story is inspiring alot vijan tupambane

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj Місяць тому +6

    Mungu huwapinga wajikuzao, lakini huwapa, wanyenyekevu neema.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 18 днів тому +13

    ALIFAULU KWENDA SEKONDARI LAKINI BAHATI NZURI WAZAZI HAWAKUA NA UWEZO HIVO HAKUENDELEA NA SEKONDARI!!!!!! POWERFUL MINDSET

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 17 днів тому +1

      Nini hukuelewa kijana alichaguliwa kwenda secondary uwezo wa wazazi wake ulikuwa mdogo Hivyo hakufanikiwa kuendelea na masomo akaishia la saba.

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 17 днів тому +1

      @@AlhajiIssa-jb9hr hujanielewa ndugu yangu

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 17 днів тому +1

      @@patrickKitambo ok sorry.

    • @patrickKitambo
      @patrickKitambo 17 днів тому +1

      @@AlhajiIssa-jb9hrnilicho maanisha angekua ni mtu mwingine baada ya kufaulu na wazaz kushindwa kumlipia ada angelaumu wazaz angesema..... bahati mbaya wazazi hawakua na uwezo ila badala yake yeye anasema bahati nzuri wazazi hawakua na uwezo ...kwaio anamtazamo chana na ndo unamfanya afanikiwe sabab angekua mwingine angekaa kwenye hiyo hali kila mara na wala asinge ona fursa zingine bali angebak kulaumu tu wazazi kila siku

    • @user-yx5fs5fn4n
      @user-yx5fs5fn4n 2 дні тому

      Yuko sahihi ni bahati nzuri. Angeajiriwa asingefikia hatua hiyo.

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Місяць тому +5

    MashaAllah 🙏🙏🙏God bless 🙌

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz Місяць тому +5

    Hongera sana Ubarikiwe sana nifika zawadi yako hipo usaidia jamii undelea hiyo

  • @patrickmlimbila7715
    @patrickmlimbila7715 27 днів тому +4

    kumbe na sisi tuna bilionea ok safi

  • @E.A.C.t
    @E.A.C.t 27 днів тому +3

    kila kitu kinawezekana ,amini fanya kazi na omba mungu tu

  • @doglassepimack8172
    @doglassepimack8172 26 днів тому +3

    Huyu jamaa ali amin katika kidogo alicho nacho wengi wa watanzania una weza mpa project ambayo ana weza tengeneza pesa lakini Wana taka mafanikio kwa muda mfupi ni washudia wengi

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 25 днів тому +2

    Hivi vichwaaa adimu Sanaa umetufunza mnoo ❤🙏🏿

  • @kevinmary7129
    @kevinmary7129 21 день тому +3

    Bora walikufukuza kaz za usafi maana ungekufa maskini, mungu huwa nina makusudi

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 Місяць тому +8

    Wale wa kutaka mafanikio ya wiki tatu kama broiler long term project hawataki.

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok Місяць тому +1

    Safi sana CEO

  • @doreenchuwa3630
    @doreenchuwa3630 19 днів тому +6

    Ila watangazaji mnaboaga, sasa nyumba mara magari yote hayo ya nini ??? Ulizeni maswali ya msingi .

  • @innocentgerald1889
    @innocentgerald1889 Місяць тому +12

    TRA liked your post 😁

  • @BeatusKitwange
    @BeatusKitwange Місяць тому +6

    Ingependeza pia kujua uhakika wa soko

  • @pceodhc
    @pceodhc 15 днів тому +1

    Hongera sana kaka!

  • @user-hx9ps9nk5z
    @user-hx9ps9nk5z Місяць тому

    Hongera sana

  • @pulikisia7963
    @pulikisia7963 Місяць тому +1

    Safi sana.

  • @RamadhaniSelemani-bn1fz
    @RamadhaniSelemani-bn1fz Місяць тому +1

    Napenda kilimo

  • @melchiadepaschal3097
    @melchiadepaschal3097 Місяць тому +1

    Welldone

  • @user-sm7gj4mn5n
    @user-sm7gj4mn5n Місяць тому +1

    Hongera kiongozi Mungu akupe maono makubwa

  • @user-rw8yu7xt4c
    @user-rw8yu7xt4c Місяць тому +1

    Hongera sana kiongozi

  • @jumarajab5316
    @jumarajab5316 Місяць тому +11

    anavosimulia kama rahisi vile

    • @EDDY4D
      @EDDY4D Місяць тому

      Kama jana na leo

    • @johnlongoy7952
      @johnlongoy7952 Місяць тому

      Eheee nilikuwa natafuta kamati ya roho mbaya nimewapata 😅😅

    • @EDDY4D
      @EDDY4D Місяць тому

      Hakumanisha unavo hisi kamanisha katika kutafuta ili ufanikiwe inachukuwa mda na ndomana kasema anavoongeya kama kitu rahisi bro hiyo sio rohombaya ina taka subra naujikaze sana​@@johnlongoy7952

    • @doglassepimack8172
      @doglassepimack8172 26 днів тому

      Commitment ndio iliyo mfikisha hapo

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 22 дні тому

      ​@@johnlongoy7952😂😂😂😂😂

  • @mchumiajuani1993
    @mchumiajuani1993 Місяць тому +2

    Ni kweli kwa njombe ni moja ya wakulima wakubwa, ni mpambanaji jamaa

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 6 днів тому +1

    Stivini Jones Muimbila

  • @josephtesha872
    @josephtesha872 29 днів тому

    My hoppy one day💓

  • @numbibonzo4238
    @numbibonzo4238 Місяць тому +8

    Kwa bahati nzuri Wazazi hawakua na uwezo😅

    • @joshuajustustz
      @joshuajustustz Місяць тому +1

      Kumbe umeisikia hiyo😂

    • @numbibonzo4238
      @numbibonzo4238 Місяць тому +3

      @@joshuajustustz yah kumbe kuna muda wazazi kutokua na uwezo wa kuku somesha inawzkn ikawa ni bahati nzr huenda ange soma asinge fika alipo

    • @joshuajustustz
      @joshuajustustz Місяць тому

      @@numbibonzo4238 nadhani ulimi uliteleza

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 Місяць тому +1

      Ulimi hauna mfupa jaman

    • @AlhajiIssa-jb9hr
      @AlhajiIssa-jb9hr 17 днів тому +1

      ​@@numbibonzo4238Ndio ni nzuri Kwa upande wake na Sasa ni bilionea😂😂😂

  • @gilbertkulaya815
    @gilbertkulaya815 27 днів тому +1

    Risk taking
    Wengi ambao hawajasoma sana, huwa hawahitaji mahesabu mengi ili kufanya jambo, hufanya kwa imani tu, ndio maana wanatajirika.
    Msomi anataka afanye kwanza mahesabu meeeengi aone kama kuna faida ndipo achukue hatua.
    At the end anapoteza nguvu ya kuanza.
    Hongera sana mkuu. 🤝

    • @saidkhalfan8207
      @saidkhalfan8207 26 днів тому

      Fact

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 25 днів тому

      malo bila daftari hupotea bila habari km hvy basi kampuni zote zingekua zinaamrishwa tu fany hv fanya vile

  • @user-qg3nu1kv2n
    @user-qg3nu1kv2n Місяць тому +2

    Hongera mpambanaji tuko nyuma yako

  • @emanuelmsaky8074
    @emanuelmsaky8074 Місяць тому +1

    Hivi shamba la heka moja shilingi ngapi sahiv hapo njombe

  • @user-oo5ud3ts9b
    @user-oo5ud3ts9b Місяць тому +1

    Nemes ze Don

  • @user-yl7cm2mf7e
    @user-yl7cm2mf7e Місяць тому

    Ushauri mzuri sana

  • @HapsaHaji-bg5jk
    @HapsaHaji-bg5jk Місяць тому +1

    labda msim upi mzuri kwakilimo cha viazi kwa kupata faida kubwa

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 26 днів тому +3

    Huyu ni mfanikiwa wa Ukweli. Lakini huyo Mlokoxi Nina mashaka sana sana ktk mapesa yake.

    • @user-kx7ob5rx4p
      @user-kx7ob5rx4p 4 дні тому

      Nyie ndio walewale

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 4 дні тому

      @@user-kx7ob5rx4p Akina nani? Freemasons au waizi?

  • @Revelation1412.
    @Revelation1412. Місяць тому +2

    Daah,
    Nmejifunza mengi kwa huyu jamaa

  • @gracekilacy512
    @gracekilacy512 Місяць тому +1

    Nimecheka kwa sauti

  • @sililubala8845
    @sililubala8845 12 днів тому

    Hongera sana kwa vile ulivyoeleza mafanikio ulioyapata mpaka sasa na uzoefu ulionao kwa masiliano zaidi kukupata wapi? au email yako Asante

  • @florenciamassawe4925
    @florenciamassawe4925 Місяць тому +1

    Ni huduma gani zinazohitajika kwenye miti ya parachichi 6:15 6:18

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 Місяць тому +2

    Kilimo!! Jichanganye!!!!😅😅😅😅😅😅

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 Місяць тому +1

    Eeet anamajiniii jmn pambana ufanikiwee usaidie ndgu zako

  • @user-lg8xu9tt3b
    @user-lg8xu9tt3b Місяць тому +4

    Everything is possible

  • @ahmedkitandu8403
    @ahmedkitandu8403 Місяць тому +3

    Ivi kwann darasa la 7 ndo watu ambao wamefanikiwa kmaisha ndo matajiri kuliko waliofka vyuoni??

  • @vom84
    @vom84 Місяць тому

    Parachichi ni hela

  • @Laizer3
    @Laizer3 Місяць тому +5

    Ivi kwanini watu walioishia la 7 wanawazidi utajiri wasomi wa vyuo vikuuu?

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 Місяць тому

      Lakini pia hao waloishia la 7 wanazingatia kwa uaminifu mkubwa na kwa umakini sana ushauri wa wasomi,, ndomana wanafanikiwa, tofauti na wasomi, wao wanatabia ya kudharau. Ndo maana wasomi wengi hawafanikiwi.

    • @joshuajustustz
      @joshuajustustz Місяць тому

      NIDHAMU

    • @kachorionlinetv497
      @kachorionlinetv497 Місяць тому +1

      Wasomi Wengi hawataki Kujishusha na Kuanzia Chini Kufanya Kazi Ndogo Ndogo Lakini aliemaliza la 7 hasubiri Bali anaanzia Popote...

    • @franklyn7439
      @franklyn7439 Місяць тому +3

      Kati ya wasomi na wasiosoma matajiri wengi ni wasomi. Story za matajiri wasiosoma zinavutia zaidi ndio maana ni maarufu. Msomi akiwa tajiri watu hawastuki

    • @gilbertkulaya815
      @gilbertkulaya815 27 днів тому

      Risk taking ability

  • @emmanicko1535
    @emmanicko1535 Місяць тому

    MWENYEZI MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKUONGEZEA KAKA ANGU

  • @magigesabai8674
    @magigesabai8674 17 днів тому

    naomba namba yake

  • @RoseMkupala-xw7jo
    @RoseMkupala-xw7jo Місяць тому +2

    Hongera sana kaka,mi natamani kulima parachichi ila sina utaramu nitakupataje naomba namba yako,tafathali

  • @fristonactary1371
    @fristonactary1371 23 дні тому

    Hiyo ShortKat Kaelezea! Jichanganye SASA🤣🤣🤣

  • @mussaelia8693
    @mussaelia8693 Місяць тому

    Natamani nipate mawasiliano yake

  • @habyhabib7538
    @habyhabib7538 24 дні тому

    Ukishakua muandishi jitahidi unapofanya uchunguzi hakikisha taarfa ziwe sahihi
    Sio kupotosha wananchi
    Inakera sana kupotosha jamiiii

    • @MoviesAde
      @MoviesAde 24 дні тому

      Sasa kampotosha nani??? Anae hojiwa it’s true ana shamba na nimkulima, yeye anauliza tu maswali na mkulima anajibu, kapotosha nini sasa?? Acha makasiriko na jaribu kujifunza huku ukiweka positivity in things, Dah! Comment yako ya roho mbaya sana

    • @habyhabib7538
      @habyhabib7538 24 дні тому

      @@MoviesAde
      Nenda saloon urudi u comment!acha manung'uniko au unataka utumiwe maparachichi ??ulitoka kwa laisa haya umehamua ktk maparachichi,sio lazima kila mahal u comment!tuliza kizaga hapo

  • @hasirazahoro4938
    @hasirazahoro4938 Місяць тому

    Halafu anatokea mvivu mmoja anamuita mchawi

  • @hamisathuman-ef2ug
    @hamisathuman-ef2ug Місяць тому +3

    Usitoe namba zako mabinti washakutamani

  • @paschalkigala6628
    @paschalkigala6628 19 днів тому

    Jichanganye.

  • @sheikhfadhilaljahdhamy6751
    @sheikhfadhilaljahdhamy6751 Місяць тому +2

    Shamba limeweza kufanya billionare

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому +5

      Ulaya na marekani mkulima ni Tajiri huku kwetu tu ndo kinyume

    • @BARAKA-ns3jv
      @BARAKA-ns3jv Місяць тому

      Asante Kwa kumuelimisha. Huyo

    • @birianination7097
      @birianination7097 Місяць тому

      ​@@FahadAbubakari mbona huku wapo wengi tuu!

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari Місяць тому

      @@birianination7097 ila c wengi

  • @mariakabonge
    @mariakabonge 29 днів тому

    Au naweza kukupigia wewe au ripotar wako please nikonecti na huyo ndugu me pia nimenunua shamba huko, please nisaidie

  • @evancemoevt8597
    @evancemoevt8597 Місяць тому +1

    Kila Biashara inalipa ukihadithiwa!!!😂😂😂😂

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 Місяць тому

      Mbona yeye imemlipa? Issue sio kuhadithiwa issue ni kuingia shambani nakuanza ifanya

  • @NeemaShababi-nu8dr
    @NeemaShababi-nu8dr Місяць тому

    Vipi kuhusu mbengu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 29 днів тому

    KAKA STEVEN MBONA SISI WENZENU TUNAUZA KWA HASARA?WENZETU MNAUZAJE MPAKA MNANUFAIKA HIVYO?

  • @asmahozza8468
    @asmahozza8468 Місяць тому

    Tunapataje mawasiliano yake

  • @mariakabonge
    @mariakabonge 29 днів тому

    Please milad naomba nitumie number zake

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 Місяць тому +1

    Ekari 100 siyo mchezo

  • @user-ok6lv3je4b
    @user-ok6lv3je4b 26 днів тому

    Balikiwa ukitaka Mali kaifate shambani

  • @kephathicke9452
    @kephathicke9452 24 дні тому

    kuna hawa wa lasaba'A af kuna nyie wa chuo kusubiria kuajiriwa mpate 10M kwa mwezi

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 Місяць тому +1

    Tunaomba number jamani

  • @salitosofo5561
    @salitosofo5561 Місяць тому

    Awagonje tra sasa

  • @mohamedaden8483
    @mohamedaden8483 Місяць тому

    Maparachichi hayahaya ninayoyajua mimi?

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 3 дні тому

      😂😂😂😂we si kazaramooo parachch utalijulia wap

  • @user-ku4xq4nd9v
    @user-ku4xq4nd9v Місяць тому

    Kuna miche ile ya sh 20,000/ ni mizuri sana ni miezi nane unavuna nilinunua kwake Nemes

  • @giftchristianmeela1409
    @giftchristianmeela1409 23 дні тому

    Wakenya wakiona hii wanahamia huko njombe 😅

  • @ephraimndelwa4073
    @ephraimndelwa4073 19 днів тому

    Nina shamba la miti nauza lina eka 10 lipo ukange, Lupila makete..

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 24 дні тому

    Ukiitaka pesa ya parachichi ni lazima uingie front kama hivyo. Kaa porini fuatilia kila hatua ya ukuaji wa miche, hadi utakapotoka baada ya miaka mi 3... vinginevyo hiki kilimo hakitaki simu...

    • @PeterMinde-y3b
      @PeterMinde-y3b 4 дні тому

      Hiyo ni point kaka, tuache kilimo cha remote

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 Місяць тому

    Huyo ni milionea au bilionea? Jamani tofautisheni B na M.

    • @RutaRubedi
      @RutaRubedi Місяць тому

      Faida ya kuvuna mara moja ni 200ml, akivuna mara tano tu tayari ni bilionea

    • @lakasid3860
      @lakasid3860 Місяць тому

      ​@@RutaRubedikibongo bongo atakuwa ni Billionaire ila kidunia atakuwa millionaire

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 Місяць тому +1

    Mchawi tu

    • @jimodefighter
      @jimodefighter Місяць тому +1

      acha ufara co Kila ki2 uchaw

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa Місяць тому

      Ndiyo maana umekuwa masikini wa kutupwa kwasababu tu ya kuamini uchawi

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 Місяць тому +1

    Ndoto yangu ni kuwa bilionea wa kilimo cha Chinese,,,Nipo hapa nasaka mtaji.

    • @RutaRubedi
      @RutaRubedi Місяць тому +1

      Mungu ni mwema utafanikiwa

    • @PeterMinde-y3b
      @PeterMinde-y3b 4 дні тому

      Acha ukenge kijana, labda ukalime hiyo chinese China 🤪😜

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 3 дні тому

      😂😂😂😂😂

  • @jewtv1732
    @jewtv1732 Місяць тому +2

    NAMJUA HUYO JAMAA ANA MAJINI KINOMA