Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
Вставка
- Опубліковано 18 чер 2024
- Eliud Samwel Mwakasege @eliudsamwel ni msanii mahiri wa vichekesho aliyejpatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania kupitia sanaa ya uchekeshaji majukwaani na katika mitandao ya kijamii.
Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ amefanya mazungumzo na @eliudsamwel ambaye pia ameelezea kuhusu simulizi za Farida (Aunty Ramota) ambazo zimempa umaarufu mtandaoni
#bbcswahili #tanzania #sanaa
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili
Mcha Mungu , ana adabu na heshima, Mwijaku jifunze huku
Unamoyo wa kupenda Eliud, kitendo cha kumpa neema nafasi umefanya kama Kristo alivoagiza..ulimpenda kuliko nafsi yako...Mungu aendelee kukuinua❤
Eliudi yuko smart and real. Nadhani Hii inamfanya asitumie Nguvu Kubwa kuandaa content. Ana KITU maalum atafika MBALI
Kweli
Kitendo Chakumpa nafasi Neema... Ndicho kimekufanya uwe na mafanikio kias hicho kaka nmejfunza kitu
Kweli Eliud alipata Neema kupitia Neema ni somo kubwa kwangu
Jamani Eliud samwel hadii rahaa
Uko vzuri eliud nimejifunza ktu kikubwa sana mungu akubariki nakufuatilia sana
Kumjua Mungu raha sana❤
Too smart brother eliudi
ushakuwa wa viwango vingine
Nimependa interview hii,Pongezi sana Mc Davy BBC
Eliudi kwel mung yupo...umefika HADI BBC....da hongera br.👊👊
Eliud una uwezo mkubwa sana, MUNGU akuinue zaidi akulinde pia, usije ukabadilisha ualisia wako
Hadi BBC kaka hongera sana home boy❤
😂😂😂😂huyu jamaa comedy sana
Kaka Mungu akubaliki kaz yako njema
Kujieleza kwake tu anaonekana ameiva big up dogo
Duh.. huyu kaka!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ninachofurahia ni kuitambua Neema ya Mungu maishani, unyenyekevu na Lugha ya upendo.
Hongera sana Mr eliud unapambana sana kijana wangu mwaisa
Very intelligent man. Congra bro
Nice interview brother
Eliud to the world! 💪
❤❤❤❤
wakati wa Mungu ni sahihi
Mwaisa mwaka BBC umetoboa mzee. Mungu akubariki ufike mbali zaidi
😂😂😂kwe jua kali waliongeza taa mbili Eliud jamani sema i appreciate ulijitoa ukampa nafasi Neema lakini Mungu akakufanyia nafasi hongera sana kwa hilo Mungu amekutambulisha!!
aseeeeeeeeeeeee Eliud 🔥🔥🔥🔥
We love you, anganile
Unaweza nichekesha nikacheka kumbe nakucheka 😂😂😂😂😂
Hongera kijana uko vzr mwaisa
Hii interview nimecheka sana mwanzo mwisho
Kumbe ulikuwa unaenda kuangalia video kwa kina Neema 😂
Host the sound is poor .. get close to the mic man …
MBEYA CITY ✊🏾🔥🔥🔥
Uyu jamaa ana kipeo😆😆😆 ati ata kwenye Jua kali waliongeza Taa mbili
Taaa is typing ✍✍
Am wait
Nakubali kutoka kahama Tanzania
Dah eti ht jua kali waliongeza taa mbili yaani mtoto wa Kilasa unajua sana😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kwao tulikuwa tunangalia video jamani Eliud MUNGU awe nawe
Yeeea
Namkubali mwamba
Hongera sana ndugu
Hongera sana kaka
God bless you Samwel
Hongera sana❤
Nice nice ❤
Interview yenyewe inachekeaha😂😂😂😂
Kumbe stori ya Neema imeanzia mbali hivi
Kwakweli mnachekesha
🎉🎉🎉❤
Mimi pia msistue farida akija
Et watoto wangu wanyime tu samaki 😅😅😅ila maharage
😂😂😂 jmn ety ata kwenye juakali waliongeza taa mbili
Elihudi unafikiri vichekesho vinakuza lugha ya Kiswahili zaidi ya Music?
Hawa watu wambea atari
Ahahha et kingeleza kinavyonza maji
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
Safi sana Eliud,simama na imani
😂😂😂😂😂😂