MKOJO WAMVURUGA HUSSEIN BASHE, MAAJABU YA MKULIMA IRINGA

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 39

  • @linusjohn4941
    @linusjohn4941 Рік тому +4

    Huyu mh waziri Bashe anafaa kwenye wizara zote big up waziri wa kilimo

  • @charlesmanga7362
    @charlesmanga7362 6 днів тому

    Hongera sana mheshimiwa waziri..... huwa nakuona lkn sasa nakuamini ni msaada........

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z 2 місяці тому +1

    Hongera mh. Bashe....

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 3 роки тому +3

    Safi saana Mh. Bashe
    Ingefaa huo mti ufanyiwe utafiti wa kama hiyo sumu haina madhara kwa matumizi ya Binadamu na kwa muda gan baada ya kupuliza Ni salama hizo nyanya kutumika kwa Binadamu
    TMD na Mkemia Mkuu wanaweza kusaidia.
    Na zikiwa approved basi tushirikiane na viwanda vyetu ku-scale up huo mmea katika sehemu zingine

  • @jaafarwibonela7402
    @jaafarwibonela7402 Рік тому +1

    Bashe, wewe mtu wa watu. Mungu akubariki na akuhicadhi. Nakuheshimu, nakupenda

  • @sosthenessotter9432
    @sosthenessotter9432 3 місяці тому

    Well done mheshimiwa BASHE!!

  • @CK-ri1mo
    @CK-ri1mo 3 місяці тому

    Namkubali sana waziri bashe🙏🙏

  • @ericagalla6921
    @ericagalla6921 2 роки тому

    Aisee milion 400 nyingi sana hongera sana muheshimiwa

  • @paulmayunga-bz5mr
    @paulmayunga-bz5mr 2 місяці тому

    Bashe umetisha

  • @salumnyiga3801
    @salumnyiga3801 4 роки тому +3

    Kwa Bashe kweli tumepata jembe
    Hongera sana

  • @azizimpwanyera-oo2iw
    @azizimpwanyera-oo2iw 9 місяців тому

    Bashe ur the best minister

  • @emiryfaida2437
    @emiryfaida2437 Рік тому

    Bashe Yuko vzr sana

  • @benjambesseltdltdt.v.shiny9457
    @benjambesseltdltdt.v.shiny9457 3 роки тому +1

    *☺☺😊Tulepela wasukuma tujuane*

  • @laulymo2063
    @laulymo2063 3 роки тому +1

    Kweli hii ni timu ya KAZI hongeren sana bashe

  • @eyoboboytzeyobo1187
    @eyoboboytzeyobo1187 2 місяці тому

    Naomba namba yako mr msekwa niko mkwa university hapa nahitaji nije kujifunza kilimo cha nyanya kwako apo

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z 2 місяці тому

    Naomba mh. Bashe unifahamishe namba yako

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 4 роки тому +2

    Safi ile mikataba ya kutuuzia madawa yenye sumu mwisho itakoma tu

  • @user-uz9mw1ie6z
    @user-uz9mw1ie6z 2 місяці тому

    Naomba namba yako mh. Mkulima.

  • @karimujuma-mj3uj
    @karimujuma-mj3uj Місяць тому

    Bashe apewe kuwa rais tu Basi anafaa Sana.

  • @Sutfashion
    @Sutfashion Рік тому

    Bashe zidi kupiga kazi na mi natamani kuingia kwenye kilimo.

  • @stanlugallah-ux1vn
    @stanlugallah-ux1vn 11 місяців тому +1

    Kilimo ndio mpango

  • @user-nt6zo4no5l
    @user-nt6zo4no5l 7 місяців тому

    muheshimiwa, bashe, naomba, unisaidie, niludishiwe,. mashine, yangu, ya, kuvutia, maji, niliyonyanganywa, na, mkuu, wa, wilaya,. nilijalibu, kufuatilia, sikuweza,. Kufaniliwa,. naomba, unisaidie

  • @mosesamon6233
    @mosesamon6233 2 роки тому

    Naomba nitumie picha ya muda na je unachanganyaje huo mikono. Maji kiasi gani.

  • @lawrenciamkolwe796
    @lawrenciamkolwe796 2 роки тому

    Naomba namimi nijiunge na wewe kwenye kilimo hicho

  • @najmamgallah8154
    @najmamgallah8154 8 місяців тому

    Ndg yng funguen mipaka mahindi rukwa 55000 gunia moja, n mbolea mbazid kupandisha bei, je hy mbolea tunanynua na nn? Ikiwa hatujauza mazao tunalima vip , tuoneeni hurumaaa

  • @yohanasefue869
    @yohanasefue869 2 роки тому

    Mi natafuta hiyo machine ya kungolea miti nitapata wapi

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Рік тому

    Enzi za Jpm hizo hakuna kulala

  • @simonmwanyika8288
    @simonmwanyika8288 3 роки тому +1

    alie sikia kambun gonga like yako hapa,

  • @mariamm2724
    @mariamm2724 3 роки тому +4

    Iringa sehem gan jmn nimfuate huyu mzee nikajifunze

  • @abdallahmdiliko8088
    @abdallahmdiliko8088 Рік тому

    Mimi AFISA UGANI ABDALLAH MDILIKO KUTOKA BAHI. NAELEWA SAWA FALSAFA YAKO YA KILIMO. MALENGO MAKUBWA KUWAINUA WAKULIMA WA TZ. KILIMO NI BIASHARA

  • @mussasadick770
    @mussasadick770 Рік тому +1

    Dawa za mitishamba nazo zitumike kwenye kilimo ili kupunguza gharama kama zinauwezo wa kufanya kazi

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 Рік тому

    Hi serikali ilikuwa makini sana kwa umeme huyu waziri makamba amebadilisha ķaabisa Tanesco yetu imekuwa ngumu mpaka wanyonge haitujali

  • @nderingomunis5398
    @nderingomunis5398 Рік тому

    Unaitwa utupaaa huoo

  • @pascalsamson4721
    @pascalsamson4721 Рік тому

    duu

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 9 місяців тому

    Mh bashe ni jembe Sasa wakulima wapewe Nini tena jamni