DK 20 ZA MAAMUZI YA SPIKA KUWAONDOA ASKARI "WANANCHI WANANYANYASWA NA HAO POLISI MARA MOJA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 91

  • @emmanuellemalali3034
    @emmanuellemalali3034 2 місяці тому

    Umewasilisha vizuri , hongera sana kiongozi wangu MP wangu ( kiteto)

  • @bloodofjesus7542
    @bloodofjesus7542 3 місяці тому +24

    Spika kama vile katokewa na Mungu usiku maan hizi siku mbili Yuko vzr 😂😂😂😂 au ndo hofu ya vita ya kenya

  • @MusaAlly-wf6tm
    @MusaAlly-wf6tm 3 місяці тому +4

    umetisha spika

  • @babalao910
    @babalao910 3 місяці тому +2

    Yaani Kila mtu anashangaa, spika kabadilika ghafla

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 2 місяці тому

    Kwanza kwann serikali yetu inatumia polic wetu vibaya kuarasi wananchi wasio na hatia cyo vizuri haki itendeke iwe kwenye chaguzi au rasilimali watu kwanini mnajengea wananchi wenu sumu kila cku malalamiko hayaishi na wananchi ukiingia kwenye mipaka ya mbuga mazingira ya migodini hususa ishu za arzi nichangamoto kubwa sn hebu tupumzisheni jmn mnajenga bomu kubwa sn ndg zangu

  • @prospermbwambo2265
    @prospermbwambo2265 2 місяці тому

    Huyu spika iko day atakuwa rais aminini maon yangu

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 3 місяці тому +2

    Yaani mbunge akishateuliwa kuwa waziri anakuwa adui wa wananchi

  • @MosesJoseph-hb5ob
    @MosesJoseph-hb5ob 3 місяці тому

    Spika umeongea vizur sana na roho mtakatifu amekuongoza sana katika hili.. waangalie na wananchi wako wa jimbon kwako mbeya.. maliza mgogoro ule wa sae na kilimo.. mbona lukuvi aliruhusu alipokua wazir..

  • @issashekh4726
    @issashekh4726 3 місяці тому

    Safi sana kwa kutuwakilisha vyema

  • @stephanokaaya1881
    @stephanokaaya1881 3 місяці тому +1

    Mbunge anaejielewa kama huyu wananchi wamechagua mtu halisi

  • @MaimunaSikumbili
    @MaimunaSikumbili 3 місяці тому

    Huyu Mama kichwa sana

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 3 місяці тому

    Sipika uko sahihi 🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako

  • @jamesbayo1910
    @jamesbayo1910 3 місяці тому +18

    Hongera Spika TULIA umetenda haki Nyuma ya pazia la kutaka kupora Ardhi ya Wananchi na kunawadhulumaji Ndani ya Serekali ndiyo maana wanatumia POLISI . kuweni MAKINI Mungu awabariki WATETEZI WA HAKI ZA WANANCHI.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 3 місяці тому +1

      Hongera Gani Kwa huyu spika

    • @donaldbenedict5761
      @donaldbenedict5761 3 місяці тому +1

      Police wa nani na wananchi wa nani? Hii nchi viongozi wake watakuws na weledi lini? Kama kuna uongozi sikivu hii migogoro kila siku yanini

  • @josephk90
    @josephk90 3 місяці тому +13

    Ila huyu mbunge wa Kiteto anajua kujieleza vizuri.

    • @604LM
      @604LM 2 місяці тому

      Shukuran sana

  • @alexanderfute4559
    @alexanderfute4559 3 місяці тому +5

    Madam Speaker jitahidi kuendesha bunge Kama ulivyofanya Leo, hakika utapendwa na kukubalika sana

  • @gustavkimaro4065
    @gustavkimaro4065 2 місяці тому +1

    Dear brothers and sisters..
    Mh Rais Samia Suluhu Hassan alosema mifumo ya serikali haisomani..
    Ninachoona ni kweli mifumo ya Serikali haisomani..
    Mh Jerry.. usijibu kisiasa sema kuna kosa kwenye maamuzi ya wizara.
    Mawazi 8 walishuka kwa Helicopter na wakatatua.. Mh Spika super ulichouliza ni sahihi sana.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 3 місяці тому +6

    Ndio Kwa maana wafanya biashara wanataka bungelitunge Sheria na sio matamko ya viongozi

  • @Kakozi-pj6ib
    @Kakozi-pj6ib 3 місяці тому +3

    Ume chapa kazi ya wana kijiji vizuri sana ""* miaka mitano ina kusubiri """ mbunge mwenye asira kali mbeli ya vigogooo"** ebu nyie mawaziri kuweni makini,leo Kenya ime ingia pa baya juu ya kauli hizo zisizo eleweka ""** msiaombe ya kenya please tatueni mgogoro ya wananchi wenu hao ndo maboss wenu" kwn nyie mawaziri mtatumika kazi bila watu "** elimu zenu zime toka shuleni ama porini"

  • @aliakrabi8321
    @aliakrabi8321 3 місяці тому +4

    Huyo Angela Kairuki hovyo hajui kujibu swali, hajui kufuatilia wizara yake

  • @nabimanyafesto5014
    @nabimanyafesto5014 3 місяці тому +5

    Ameona mbunge alivyoleta hoja alikua na msimamo na akajua kinachoendelea Kenya

  • @EmmaculateGembe
    @EmmaculateGembe 3 місяці тому +1

    Uchaguzi lazima abadilike ngoja wakipata uchaguzi mtayashudia Yale Yale ya nyuma

  • @nicksonngaamanya1946
    @nicksonngaamanya1946 3 місяці тому +8

    MADAM speaker keep it up unafa kua speaker wama speaker Good bless you in what ever your & in what ever you do let ur speech be blessed always ASIE kwelewa atakua mgum wa kwelewa.

    • @dianerditto
      @dianerditto 3 місяці тому

      Anafanya kazi nzuri sana lakin mbeya yake kaisahau kabisa ukifika mbeya ya miaka 10 iliyopita ilikuwa inapendeza kuliko mbeya ya 2024😢

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 місяці тому +2

    Kenya iwe fundisho, hivi sasa waheshimiwa wabunge mmeona wenyewe raia maskini wa Kenya wakielekeza hasira bungeni. Naomba mfanye yale yatakayowapa wananchi amani kuondoa tafrani kama za majirani zetu.

  • @petermgaya9693
    @petermgaya9693 2 місяці тому

    Kero zote zingekuwa zinashughulikiwa hivi tungekuwa mbali sana. Bio up Tulia

  • @linnusaloyce6559
    @linnusaloyce6559 2 місяці тому

    Mweshimiwa slaa nakukubali sn mkuu kwa utendaji wako ila kwa hili umekotola umeingizwa chaka ukajaa kiongozi wangu maana kijiji kimevamiwa na pori boss hebu cyo vyema kuangaisha raia

  • @gustavkimaro4065
    @gustavkimaro4065 2 місяці тому

    Mh Spika umefukia mambo.. Kama Mh Rais alishasema sasa ni nani wa kumjibia? Hapana ni some sort of rehearsal..

  • @KaraniSindiyo
    @KaraniSindiyo 2 місяці тому

    Kwa hili sipika Nalipongeza sana lakin pia Mbunge wa Kiteto Nalipongeza sana kwa kujieleza Vizuri sana tena sana

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 3 місяці тому +4

    Mali Asili ndio waliouanzisha mgogoro huo.

  • @SaidChambi
    @SaidChambi 3 місяці тому +5

    Spika yupo vizuri Kwa hoja hii .Kwa maswali ya mipaka

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 3 місяці тому +2

    Tangu niipate akili huyu ndo spika smart kuliko wote

  • @leeheyon
    @leeheyon 3 місяці тому +7

    dah spika uko vzuri sana leo nimekuelewa san namna unavyo ongoza bunge 🎉

  • @jeconiamlonganile2443
    @jeconiamlonganile2443 2 місяці тому +1

    Spika tunae kweli kweli 👏👏

  • @hashimuuhehwa1320
    @hashimuuhehwa1320 3 місяці тому +2

    Tulia akili anayo sanaa ili anajifanyaga kapinda

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 3 місяці тому +1

    Hawa masai kila poli wanavamia mnawaendekeza sana kama wako nahaki wapewe kama hawana muwatoe bila huluma

  • @mariamjamali1444
    @mariamjamali1444 3 місяці тому

    Si msemi kwa ubaya lkn Angela Kairuki uwezo wake ni mdogo sana,ukiangalia anavyojibu maswali,anavyojenga hoja yaani huoni hiyo level ya kuwa waziri unless family background ndio huenda inambeba,Nadhani Mh.Rais apitie tena Baraza lake km akiona inampendeza apumzishe wengine!
    Mali Asili na Utalii ni wizara nyeti sana inahitaji kuwa na timu ya watu makini sana kwa sababu linagusa maslahi ya Serikali hasa kimapato na maslahi ya wananchi kwenye Ardhi yaani kilimo na ufugaji. So ni Wizara nyeti na ya pekee sana!

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 3 місяці тому

    Inawezekana wawekezaji wanatumia UREFU WA KAMBA ZAO na kama ndivyo Taharuki inawezakuzuwasaratani kwa wenye udhahifu waAfya, moyo kisukari figo nyonga zina tahabika na kurudi nyoma Kimaisha na ndicho kiini ninacho kiona mimi, bali kujifunza kutakwisha pale tutapo Kufa na ufahamu unasimama, hivyo mgogoro upo na ni vibaya kuchereweshwa maisha ni mafupi mtu anadai kiwanjatangu anazaliwa mpaka akikipata Umri umwkwisha mawazo hayayanacuuza nafsi kudhurika na kuingiza chuki hasira farakani huruma simanzighazabu na kadharika , uchungu mmoja raha moja kuridhishana muhimu

  • @PartySekemi
    @PartySekemi 2 місяці тому

    Ndio maana mampenda huyu spika wallah❤

  • @SAIDIMUKSIN-iy2op
    @SAIDIMUKSIN-iy2op 3 місяці тому +1

    Kiteto mmepata mbunge

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 3 місяці тому

    Wamasai vichwa sana. Tangu sokoine mpaka ngoyai lowassa. Ngoja nimkazanie yulee mmasai wangu na mimi😅😅😅😅

  • @polinatusmwemezi-pc2pl
    @polinatusmwemezi-pc2pl 3 місяці тому +1

    Congradulation Dr Tulia Akson your Ideas are keen!

  • @alexlipili9343
    @alexlipili9343 3 місяці тому

    Msomi ni msomi tu anaweza kuwa spika boora toka miaka yote nimeanza kufuatilia vikao vyote vya bunge, daah hongera Dr. Tulia hakubali hoja kirahisi kama ina ukakasi hata itoke kwa nani yani!!

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 3 місяці тому +2

    Tulia akson sikuiz naanza kukuelewa uko vzur

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 3 місяці тому +1

      Alichomfanya Mpina je?

  • @lekishonmolele1859
    @lekishonmolele1859 3 місяці тому

    Tulia amendesha hii kikao kwa utulifu na kutenda haki ukiendelea hifi tutakua mbele

  • @abdallaameir3153
    @abdallaameir3153 3 місяці тому

    Nawakumbusha tu tupo 2024 2025 ipo karibu na kenya wanapigana sasa hii sio akili zao kuna vitu vimewaamsha

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 2 місяці тому

      Acha ujinga kenya inakujaje kwenye hoja hii??!!! Iache kenya ipambane na shida zake na sisi tupambane nazetu kivyetu!!!

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 3 місяці тому

    HUYO MREMBO HANA JAMBO!CHAGUENI MAWAZIRI SIO WAREMBO!

  • @konemelau9068
    @konemelau9068 3 місяці тому

    Congratulations mbunge wetu olelekaita hakika unaipigania kiteto

  • @KiriaKipara
    @KiriaKipara 3 місяці тому

    Daa leo nimekukubali na juwa unaweza kutenda haki ila sku nyingine unahasira

  • @iutv2469
    @iutv2469 2 місяці тому

    Spika kwa hili upo sawa

  • @benjaminmiselya2622
    @benjaminmiselya2622 3 місяці тому

    Mmmh nadhani Kenya imetoa.funzo🤣😂😂

  • @SimonLenyirai
    @SimonLenyirai Місяць тому

    Jembe jembe

  • @abdulrahmanmohammed4449
    @abdulrahmanmohammed4449 3 місяці тому +2

    Slaa yuko fiti

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 3 місяці тому

    Dah, siku hizi speaker unakitendea haki kiti

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking 3 місяці тому

    Msipoondoa Kodi za m pesa na luku tutaandamana.

  • @jackisonmlaari4556
    @jackisonmlaari4556 3 місяці тому

    Huyo mwana mama ni mbishi kaa nini sijui ni wasiri gani

  • @benny4345
    @benny4345 2 місяці тому

    Tulia nailing it. Safi

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 3 місяці тому

    Shida mkiwaondoa Askari wananchi watapata shida

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 3 місяці тому +1

    Mhe. Spika pokea maua yako.

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 3 місяці тому

    Hongera sana Mheshimiwa Spika tunataka Bunge kama hili la kutetea wanyonge.

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 3 місяці тому

    Ngoma ya Kenya imewapa adabu angalau.

  • @mikemutabuzi3665
    @mikemutabuzi3665 3 місяці тому

    12:06 Kuendelea, nani kasema ahsante, Mtazamo, 😂😂😂

    • @EdwardSamson-uf1ee
      @EdwardSamson-uf1ee 3 місяці тому

      Hahahahahahahah, kumbe na wewe umesikia ee. tena ni sauti ya mwanamke ile

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 місяці тому

    WANANCHI , SIYO WANANCHI WAKO 😮😮.

  • @SeleNdiboi
    @SeleNdiboi 3 місяці тому

    lekata oyeee hapo nimekubali

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 місяці тому

    Muendeleee kufuatilia yanayoendelea 🇰🇪

  • @levinalyimo6240
    @levinalyimo6240 3 місяці тому

    Jamani Kama ni spika Tanzania tunae

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 3 місяці тому

    Waziri wa maliasiri haeleweki

  • @AzariaMkweli
    @AzariaMkweli 3 місяці тому +1

    Ko maduka

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 3 місяці тому

    Huyo kairuki ndio mzigo kabisa

  • @JosephinaKibiriti
    @JosephinaKibiriti 3 місяці тому

    Ivyoivyo aoniwaongo sana

  • @brunonsungwe8389
    @brunonsungwe8389 3 місяці тому

    Hakika hatukukosea kukuchagua

  • @AbdulMajid-kj5bi
    @AbdulMajid-kj5bi 3 місяці тому

    Mh spika heshima kwako

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 3 місяці тому

    Sipka wa Tz tunakuelewa

  • @Kusag-i9z
    @Kusag-i9z 3 місяці тому

    Mume watulia amepata mke

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 3 місяці тому

    Kiteto migogoro mingi sana

  • @AMEMUSSA-cr8my
    @AMEMUSSA-cr8my 3 місяці тому

    Spika nakukubali sana.

  • @jofreymngoke6313
    @jofreymngoke6313 2 місяці тому

    Kazi nzuri

  • @shebemakey2349
    @shebemakey2349 3 місяці тому

    Kispika iki nakikubali sana