UNAAMBIWA JUMBA LA MULOKOZI LUKU YAKE KWA MWEZI HAIZIDI LAKI 5, WAFANYAKAZI WANNE WANALIHUDUMIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 108

  • @AllanNestory
    @AllanNestory 7 місяців тому +9

    Huyu brother nimemkubali sana ameni inspire kinoma “ Hii ndio maana halisi ya Mungu ni Baba yetu ametuweka duniani ili tuishi sio tupite”

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 місяців тому +19

    Mwenyezi MUNGU nipe uzima na maarifa niondoleee umasikin wa roho na mwili nisiwaze eti sote tutakufa vyote tutaviacha😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      Mshenzi kweri wewe 😂😂😂😂

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 7 місяців тому

      😂😂😂 taviacha lakini kutafuta ni ibada, Sasa usitafute alafu Mungu anakuzadia miaka Zaid ya 120

  • @KhalfaniFarisy-hv1nn
    @KhalfaniFarisy-hv1nn 7 місяців тому +4

    NDUGU HONGERA SANA! MUNGU AKUZIDISHIE KIPATO UENDELEE NA MOYO HUO HUO WAKUSAIDIA NDUGU ZAKO NA JAMII

  • @benedictmallya620
    @benedictmallya620 7 місяців тому +4

    Haya maisha bhna 😂, nimekuwa na idea ambayo nimekomaa kutafuta fund kuanzia 2019... Nimehangaika haswaaa..Then guess what mtaji kabisa wa hiyo idea ndo kwanza ni bei ya kochi hapo etii imagin,, Yaani hapa kuna mtu anakalia mradi wangu hivi hivi....Yaani ile project ninayoitamani watu wanakaa hapo wa'watch movie... 😢😢 sema sawa.

    • @MomaDedu
      @MomaDedu 7 місяців тому +1

      Endelea kupambania ongeza nia kuna wakati utafika utahadithia utafanya zaidi ya ulichokua nacho

    • @alexandertimberson8599
      @alexandertimberson8599 7 місяців тому +1

      😂😂😂😂 pole

    • @benedictmallya620
      @benedictmallya620 7 місяців тому

      Asante.. Ni suala la muda tu hakika

  • @mlamytz
    @mlamytz Місяць тому

    Maanina mungu akumekubariki broo hongera

  • @christinalawrence7493
    @christinalawrence7493 7 місяців тому +2

    Naomba kazi ya usafi kwenye compuni Yako hata usafi tu au kazi ya chef

  • @emanuelherman7029
    @emanuelherman7029 7 місяців тому +9

    Ayo tv tumalizie stori ya mulokozi bado haichoshi kusikiliza

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 7 місяців тому +4

    Hongera sana bosi nyumba ya kifahari sana vipi nyumba hii imejengwa babati mtaa gani??

  • @luciadanny8590
    @luciadanny8590 7 місяців тому +3

    God when 🙏🙏

  • @moriskalegeleshusha2619
    @moriskalegeleshusha2619 7 місяців тому +2

    Kuna boss anakupa kazi tu ya kabati la m3 tu mnapigizana kelele utadhani hajawahi kuishika hiyo hela

  • @Mahene-w1l
    @Mahene-w1l 7 місяців тому +5

    😁 Expensive Life Kama namuona..!!!

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 7 місяців тому

    Mungu Kwanza
    Maana Haya Yote tutaacha .. ila hongera Kwa Mafanikio hayo Bro

  • @barakajonas3209
    @barakajonas3209 11 днів тому

    Mimi nimenyamaza sina hela 😂😂

  • @shedrackshaibu1986
    @shedrackshaibu1986 7 місяців тому +3

    Lak tano mbona kawaida sana aseeee tembea mzee baba uone vitu wabongo bhanaaaaaaa Kuna watu wanatumia umeme mzee njoo Zanzibari nyumba za kawaida tu angalia umeme unavokwenda haaaaaaaa

  • @shafiisound4115
    @shafiisound4115 7 місяців тому

    Amiini yalabi kwa sote

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 7 місяців тому +2

    Watu wana hela duniani hapa daaah

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 4 місяці тому

    Seble imejaa pombe ukute boss mwenyewe hatumii wenzangu na mimi sasa 😅😅😅😅

  • @erickenock3198
    @erickenock3198 7 місяців тому +2

    Muhaya mmmmh

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 7 місяців тому +18

    Umeme ni mshahara wa mwalimu

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 7 місяців тому +3

    Hii nyumba haichoshi kuangalia

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 7 місяців тому +16

    Akague vizuri lazima kuna sehemu ina shoti. Mimi nina jumba kumbwa kuliko hilo na luku kwa mwezi ni 180,000/- mwambie akague hitilafu.

  • @geofreysadok4823
    @geofreysadok4823 7 місяців тому +8

    Umeme ni take home ya TGS C 😂 watumishi wa umma mpooo???

  • @nwntz
    @nwntz 7 місяців тому

    Nice life

  • @joshuajustustz
    @joshuajustustz 7 місяців тому +1

    Asante Wajina Mr Mulokozi.... Sema ujifunze Piano ili ukija kustaafu uwe na piano Yako uongeze umri mrefu wa kuishi.
    Umenifurahisha hapo Dak ya 6 kasoro eti Gharama ya nyumba/ Smart house 🏠 siwezi kuitaja nisiwe kama kina Mwijaku vurugu tupu hahahaha. Haya maisha raha sana.
    Dak ya 8 Mulokozi anakwambia 1B ni furniture tu na House Insurance ni 3 Billion hapo hatujazungumzia mjengo wenyewe😂😂😂.
    Mimi naomba Milioni 5 tu nitimize ndoto yangu ya kuwa na Studio production (Audio) ❤❤❤
    Thanks Millard Ayo Kwa Episode hii 🎉🎉🎉🎉

  • @davidmsele9908
    @davidmsele9908 7 місяців тому +1

    Naona ya mwijaku B1.3 ndio bima ya mulokozi na vichenshi Vya kununua kiwanja kkoo 😅😅

  • @gildasnyaki3812
    @gildasnyaki3812 7 місяців тому

    Mlokozi ni bright sn

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 7 місяців тому +3

    Siku moja nitapata nafasi ya kukutana na mlokozi na ninaamini akinipatia nusu saa ya mazungumzo naweza kuvuna jambo la mda wote lakin hata mimi nitamwambia kitu nacho naamini anaweza kukifanyia kazi na kikamzidishia mihela.

  • @Moteswa
    @Moteswa 7 місяців тому +2

    Insurance bil 3?? Okay

  • @selefundi
    @selefundi 29 днів тому

    unakula raha ya Dunia

  • @suleimanamani6413
    @suleimanamani6413 7 місяців тому

    Millard part 5 ya hii interview huku weka tunaomba utuwekee

  • @zamdanamwenje9415
    @zamdanamwenje9415 7 місяців тому

    Tufanye iwe historical site

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk 7 місяців тому +3

    KUMEANZA KUCHANGAMKA

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 7 місяців тому +1

    Millard Ayo acha tamaa, umeshamtaman Mulokozi wetu maana kila siku ni mulokozi mulokozi, Mulokozi wa nyoko?

  • @oscarclaine5878
    @oscarclaine5878 7 місяців тому

    Huyu jamaaa ni jiniazi

  • @davidmsele9908
    @davidmsele9908 7 місяців тому

    Kmmk tutafute ela😂😂

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Місяць тому

    UNAWALIPA NGAPI HAO MAGADENER?.

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 7 місяців тому

    Loo siwezi kusaidia mtu kama huyu, Sidhani kama hii pesa ni halali. Mwizi tu, huyu. Mwizi mkubwa au Freemason.

    • @dicksonulotu7427
      @dicksonulotu7427 29 днів тому

      Kwahiyo wewe unaamini shetani ndo anatoa utajiri.nikupe Pole

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 7 місяців тому +3

    Sebule imejaa pombe ukijiskia kulewa nikuji sevia

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      Ndio ujue shetani Yuko kazini mana hamna hata neno la kumshukuru mwenyezi mungu

    • @michaelsamson9663
      @michaelsamson9663 7 місяців тому

      @@kamarhelo pesa imekaa pabaya

  • @fehthysigalla-ep9tu
    @fehthysigalla-ep9tu 7 місяців тому

    ayo tuumalizie hii story ya uyu jamaa

  • @jaydenayubu1068
    @jaydenayubu1068 7 місяців тому

    Kwani hakuna habari zingine mnachosha bhana

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 7 місяців тому +2

    Anauza sumu ya vijana simuungiii mkono afuu Tajili nimmoja East Africa....HAMIS KIGUNDA ,tuuuu hawa wengine sifa mitandaoniiii

  • @mh9251
    @mh9251 7 місяців тому

    Sasa laki tano ndio nini. Mimi nyumba ya kawaida tu natumia luku karibu 350 kwa mwezi mjini. Nikiweka starehe hivi ntatumia milioni moja. Huyo labda mgumu ndio maana anatumia ya laki tano kwa kuokoa mara anazima pump ya pool n.k.

  • @kamarhelo
    @kamarhelo 7 місяців тому +1

    Wala sioni cha ajabu kwenye hio nyumba mana naona kama mabanda ya kuku

    • @hamisimahenge5807
      @hamisimahenge5807 7 місяців тому

      Hahahaha😂😂😂😅😊😊

    • @yanja69
      @yanja69 7 місяців тому

      Hebu posti Mabanda Yako ya kuku tuyaone kama yanafaninia hata kwenye ndotooo😂😂😂😂😂

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 місяців тому

      We nae mshamba tu kwaio unaona hio ni nyumba inayo eleweka si angejenga gorofa kabisa

    • @yanja69
      @yanja69 7 місяців тому

      @@kamarhelo Tuonyeshe ya kwakooo 😁😁😁

    • @uchebetz7284
      @uchebetz7284 7 місяців тому +2

      Ukipunguza wivu utafanikiwa

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 7 місяців тому +1

    Bongo bado washamba sana

  • @PatrickMwamba289
    @PatrickMwamba289 7 місяців тому

    Watanzania ni Aibu kunyamaanza wakati Harmonize anaharibu kazi za Wasanii wa WCB youtube ⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️⚠️

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 7 місяців тому

      We nawe umekunywa pombe Gani ? Sisi inatuhusu nini hiyo ?

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 7 місяців тому

    Mulokozi Ndo nani ..?

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 7 місяців тому +2

      Si yule baba yako wa kambo ushamsahau?

    • @AishaHaji-jn7sg
      @AishaHaji-jn7sg 7 місяців тому

      @@fahadfaraj6474 unamambo ya kike sana …kama huna jibu unakausha nimeuliza kwa uzuri ili nijue unaanza kuleta habari za kimama….

    • @fatumazuberi9842
      @fatumazuberi9842 7 місяців тому

      Mnamajibu jamani😂😂😂😂​@@fahadfaraj6474

    • @kadiakirua7621
      @kadiakirua7621 7 місяців тому +1

      Kama humjui mulokozi mpk leo utachelewa kupata pesa mama

  • @BabyCleaver
    @BabyCleaver 7 місяців тому

    hee kumbe hafikii mimi umume ninaotumia 8760000 kwa mwezi tuu

  • @oscarclaine5878
    @oscarclaine5878 7 місяців тому +2

    Huyu jamaaa ni jiniazi