BWANA AMEFUFUKA - (By Epitas Sube) - Kwaya ya Maria Mama Wa Mungu,K/Ndege-Dodoma (Official Video)
Вставка
- Опубліковано 14 кві 2023
- Karibu Utazame Wimbo, Maalumu wa kusherehekea ufufuko wa Kristo.Hakika Mwokozi Amefufuka Aleluya aleluya aleluya
Mtunzi:Epitas Sube
Organist: Joseph Genuine
Sound Engineer: Joseph Genuine
Video Director: Mdete TM
Audio By: Tanganyika Productions
Video By: CGen Pro
Stream/Listen Bwana Amefufuka (Na Epitas Sube) -Kwaya ya Maria mama wa Mungu (K/ndege -Dodoma) (Official Audio) on other digital platforms all over the world 🌎
Boomplay 👉www.boomplay.com/songs/123417344
Audiomack👉audiomack.com/Kmmm_kndege/son...
Soundcloud👉 / bwana-amefufuka-na-epi...
Deezer 👉www.deezer.com/us/album/43053...
Apple Music👉music.apple.com/us/album/bwan...
Tidal👉tidal.com/browse/track/289457972
Amazon Music👉amazon.com/music/player/album...
Yandex Music👉music.yandex.ru/album/2554718...
Anghami👉play.anghami.com/song/1105059517
Stream/Listen,like & Share
#kwayakatoliki #easter #eastersunday #eastereggs #pasaka #gospelmusic #gospelsongs #bwana
Hakika Bwana Amefuka Aleluya . Yeye hutawala milele yote Aleluya. Asanteni nyote
Hakika Amefufuka aleluya
Hongeren wapendwa nyimbo nzur saana
Amina, karibu sana
Woote tushangilie
Hongereni Sana naomba mawasiliano yenu wandugu ninashinda na copy ya wimbo
Samahani kwa kuchelewa kujibu kwa wakati mpendwa 0655 299 022 wasiliana na mtunzi kwa namba hizi
Ushirikiano da Mage!!!😀😀😀😀
Ufufuko kwake ilitupatia ushindi
Hakika
Kazi nzuri mbarikiwe na BWANA
Amina sana barikiwa🙏
❤❤❤ safi sana
Barikiwa katibu wetu!
Bwana amefufuka hakika
🙏🙏
Ntawakumbuka Sana ,by bathoromeo rwelamila mzee wa tumba
Amina sana mzee wa tumba ubarikiwe
Mbarikiwe Sana
Amina sana kiongozi!
👏👏👏👏
❤❤❤❤❤
Hongereni sana kazi nzuri mno
Shukrani sana mkuu🙏
Hongereni kwa wimbo ndege
Amina endelea kubarikiwa kwa kutazama wimbo wetu🙏
Kazi nzuri
Amina sana🙏🙏
Jamani kwaya ya Mama yetu Bikira Maria Mama wa Mungu Kiwanja cha Ngede Dodoma hongereni sana kwa wimbo mzuri sana wa kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristu
Amina sana Fr Revocatus ubarikiwe🙏🙏
Hongera sana. Kweli Bwana amefufuka.
Asante sana fathe🙏
Hongereni sana
Amina sana barikiwa mno kaka Martin Mabala 🙏
Kazi nzuri wapendwa..!
Barikiwa sana wa kwetu!
Hongereni wapendwa kazi nzuri MUNGU AWABARIKI mzidi kumtumikia wapendwa
Amina amina🙏
Hongereni Sana ndugu zangu KAZI nzuri Sana
Asante sana! Barikiwa🙏
Hongereni Sana kwa wimbo mzuri Sana wa Kristu mfufuka. Aleluya!
Asante sana barikiwa🙏
Wacha tuendelee kufurahia ufufuko wa Bwana wetu Yesu kristo....Hongereni❤❤
Amina Amina🙏
Wa kwanza kufika, hongereni kazi nzuri sana
Asante sana barikiwa!
Hongera sanaa wimbo mzuri sanaaa
Asante sana barikiwa
Watching all the way from DRC Congo 🔥🔥🔥
Hatari🔥🔥🔥
Kazi nzuri wapendwa🎉
Amina🙏
Hongereni sana wimbo ni mzuri!
🙏🙏🔥
Nice 👍
Thanks
Hongereni sana wana wa Maria kwa kutuinjilisha pasaka hoi, pongezi nyingi kwa mwalimu wetu mpendwa kwa utunzi uliotukuka!
Keep it up!
Amina sana🙌🙌🙌
🙌🙌