- 11
- 51 782
KMMM - K/Ndege (Dodoma)
Tanzania
Приєднався 25 жов 2021
Kwaya ya Maria Mama Wa MUNGU inayohudumu katika kanisa la mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Parokia ya Kiwanja Cha Ndege Jimbo Kuu Katoliki Dodoma.
Ni moja kati ya kwaya kongwe inayohudumu parokiani hapo iliyoanzishwa mnamo mwaka 1985.
Karibu kwenye channel yetu ukapate kuburudika,kuinjilishwa kwa njia ya nyimbo na kusali mara mbili.
Kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE (Kisha alama ya kengele) itakufanya uwe mmoja wa familia yetu,pia utakuwa wa kwanza kupata nyimbo zetu kila tunapoziweka.
Kwa ushauri/maoni tuandikie kwenye email : bikiramariakndege@gmail.com
Unaweza tupata kwenye mitandao mingine ya kijamii
Facebook : Kmmm - K/Ndege
Instagram : Kmmm_kndege
Tiktok : Kmmm_kndege
KARIBU MGENI WETU KATIKA KWAYA YA MARIA MAMA WA MUNGU!
Ni moja kati ya kwaya kongwe inayohudumu parokiani hapo iliyoanzishwa mnamo mwaka 1985.
Karibu kwenye channel yetu ukapate kuburudika,kuinjilishwa kwa njia ya nyimbo na kusali mara mbili.
Kwa kubonyeza neno SUBSCRIBE (Kisha alama ya kengele) itakufanya uwe mmoja wa familia yetu,pia utakuwa wa kwanza kupata nyimbo zetu kila tunapoziweka.
Kwa ushauri/maoni tuandikie kwenye email : bikiramariakndege@gmail.com
Unaweza tupata kwenye mitandao mingine ya kijamii
Facebook : Kmmm - K/Ndege
Instagram : Kmmm_kndege
Tiktok : Kmmm_kndege
KARIBU MGENI WETU KATIKA KWAYA YA MARIA MAMA WA MUNGU!
CHAKULA CHA BWANA TAYARI (Na. Stanslaus Butungo)
CHAKULA CHA BWANA TAYARI (Na. Stanslaus Butungo)
Переглядів: 306
Відео
ALELUYA KUU (LIVE PERFORMANCE) (By G.F Handel - Kwaya ya Maria mama wa Mungu (K/Ndege - Dodoma)
Переглядів 5893 місяці тому
Aleluya Kuu (Live Performance) (By G Handel) ViDEO NYINGINE YA PASAKA BWANA AMEFUFUKA : ua-cam.com/video/sEnHUMMetWw/v-deo.html SHANGWE BWANA KAFUFUKA: ua-cam.com/video/xEp50JVE0QQ/v-deo.html unaweza kutufuatilia pia kwenye mitandao yetu mingine ya kijamii Instagram : kmmm_kndege TikTok : www.tiktok.com/@kmmm_kndege Facebook: profile.php?id=100077199876383&mibextid=Zb...
SHANGWE BWANA KAFUFUKA (by Joseph Sikazwe - Kwaya ya Maria mama wa Mungu (Official Video)
Переглядів 12 тис.3 місяці тому
Karibu kutazama utunzi huu wa Bwana Amefufuka, ikiwa ni mwendelezo wa shangwe za pasaka Wimbo : Shangwe Bwana Kafufuka Mtunzi : Joseph Sikazwe Sound Engineers: Makini Stanley & Pascal P (DUKE) Audio by : Tanganyika Productions Video by : Blessings Studio ViDEO NYINGINE YA PASAKA BWANA AMEFUFUKA : ua-cam.com/video/sEnHUMMetWw/v-deo.html unaweza kutufuatilia pia kwenye mitandao yetu mingine ya ki...
BWANA AMEFUFUKA - (By Epitas Sube) - Kwaya ya Maria Mama Wa Mungu,K/Ndege-Dodoma (Official Video)
Переглядів 33 тис.Рік тому
Karibu Utazame Wimbo, Maalumu wa kusherehekea ufufuko wa Kristo.Hakika Mwokozi Amefufuka Aleluya aleluya aleluya Mtunzi:Epitas Sube Organist: Joseph Genuine Sound Engineer: Joseph Genuine Video Director: Mdete TM Audio By: Tanganyika Productions Video By: CGen Pro Stream/Listen Bwana Amefufuka (Na Epitas Sube) -Kwaya ya Maria mama wa Mungu (K/ndege -Dodoma) (Official Audio) on other digital pla...
Tumepewa Mtoto (By Amos Ntiruhungwa)-Kwaya Ya Maria Mama Wa Mungu
Переглядів 1,6 тис.Рік тому
#Kmmmkndege #TumepewaMtoto #MiishoYote #christmas
Miisho Yote (Na. J Makire) - Kwaya Ya Maria Mama Wa Mungu
Переглядів 2,7 тис.Рік тому
#Kmmmkndege #MiishoYote #KmmmDodoma
KARIBU KWENYE TAMASHA KUBWA LA UIMBAJI LILILOANDALIWA NA KWAYA YA MARIA MAMA WA MUNGU K/NDEGE DODOMA
Переглядів 8172 роки тому
Kwaya ya Maria Mama Wa MUNGU inakualika kwenye Tamasha la kufunga mwezi wa rozari tarehe 31 Oktoba 2021. Litakalofanyika parokiani Kiwanja cha ndege,ukiwa kama muumini wa kanisa katoliki lakini pia wewe mfuasi wa kristo unakaribishwa kushiriki tamasha hilo la uimbaji litaloshirikisha kwaya mbalimbali zikiwemo za parokiani hapo. Tamasha litaanza saa 8 kamili mchana na hakutakuwa na KIINGILIO. Nj...
Hongereni sana tunawapata mama Maria awasimamie
Amina sana barikiwa🎉
🎉🎉🎉🎉mauwa jamani tumeupiga mwingi
🎉🎉🎉🎉
😮yes
Hongera saana wana Maria kwa uinjilishaji, Mungu awabariki sana.
Amina sana father tuko pamoja
Asanten wanakwaya
Amina sana katibu wetu wa tehama🎉🎉
Hongereni sana waimbaji Kwa wimbo mzuri hakika ni Moja ya nyimbo nzr za kujiandaa kumpokea Bwana yesu katika maumbo ya mkate na divai.
Shukrani sana barikiwa mtumishi 🙏
Amina. Karibuni sana Bukoba
Amina itabidi tufike huko siku 1 kwa kweli
❤❤❤❤❤
Kaz nzr ,,nausikiliza nikiwa jimbo la singida ,,naweza kupata copy 🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi, tuendelee kusambaza upendo huu, ndio copy unaweza pata una email?
Wimbo mzuri sana,, Hongereni sana wapendwa.. Mwl Danny Hakika kazi ni njema❤
Amina sana mkuu
Wimbo unaburudisha roho mno , hongeren
Amina barikiwa sana!
Very nice Taifa la Mungu, kwa kazi nzuri ya utume.
Good❤❤
Thank you so much🙏
❤❤❤❤ mungu atujalie umoja wetu udumu
Amina 🙏
Great Keep it up!
Thanks a lot🙏
Amina sanaaa.Kutoka UDOM tunawapata
Amina amina🙏
Nice❤
Thank you🙏
Hongereni Sana ,wimbo mzuri Sana sauti zimepangika,mbarikiwe sana,
Asante sana barikiwa pia washirikishe na wapate kuona shangwe🙏
Niungane na wengine kuwapongeza Jaman mmneweza❤
Barikiwa sana dada🌹
Shangwe shangwe Bwana kafufuka 🎉🎉
Hakika Bwana Amefufuka🙌
Safi sana kazi nzuri mmependeza sana kwa kweli na mauwa ya kutosha kwa mtunzi
Amina barikiwa sana 🙌
Asante pia niko Naivasha Kenya
Barikiwa sana tuendelee share na wengine wapate ona 🙌
Hongera nyingi kwenu
Asante sana mtumishi 🙏
Hongern san
Asante sana 🙏
Iko sawa
Asante sana 🙏
Hongereeni Sana Wana wa Maria .......iendelee kuwa kheri ktk utume wenu 🙏🙏
Amina amina 🙏
Nimefurahi sana, hongereni sana mwanzo mzuri
Asante sana 🙏 endelea kubarikiwa na kazi zetu
Top tier.....to the levels
Amen 🙌 ,let's go on share with other
Kazi nzuri sana
Amina sana tunashukuru🙏
Mbarikiwa na Kristo Mfufuka mpaka mshangae
Amina amina🙏
🙏🙏🙏 Amina
Hongereni sana kwa uinjilishaji. Natumaini mwezi Mei mtatoa albam ya nyimbo za Maria pia
Asante sana mkuu, tunaendelea kutembea kwenye misingi ile ile , hakika mama Maria atusimamie tufanikinishe yote 🙏
Sauti zimetulia, mtunzi alujituliza pongezi nyingi
Amina , tunashukuru sana 🙏
Hamjawahi kutuangusha watoto wa mama mpo vizuri mmependeza ni motooo 🔥🔥🔥
Amina amina🔥🔥🔥
Hongeren sana wana wa mama Maria hakika tumebarikiwa na shangwe hili la pasaka🎉🎉
Amina endelea kubarikiwa na kazi zetu 🙌
Asantee
Umeupiga mwing Anjelina ❤️
Ni shangwe kweli🎉
Hakika ni shangwe 🙌🙌
Hongereni sana ,hakika nimebarikiwa
Amina sana tunashukuru kwa pongezi
Amen ,mbarikiwe sana kwa huduma yenu
Amina Amina , tunashukuru sana🙏
Hongereni sana wana wa Mama! Mungu azidi kuwafariji na kuwa bariki ktk utume wenu! Go far keep the 🎉🎉🎉🎉🎉
Amina amina🙏
Woooow❤❤❤
Wooow❤
Woooow❤❤❤
Wooow 🙌🙌
Hongera saana ndugu zangu wana Maria kwa kazi nzuri sana ya kumtangaza Yesu mfufuka. Nawapenda sana na wakumbuka. Hii ni ya kushare sana.Hongera saana.
Hakika father tunashukuru sana tunaamini kupitia maombi yenu tutaendelea kuitangaza injili zaidi na zaidi
Asante sana
Maua yenu hongereni 🎉🎉🎉
Amina sana mkuu🎉🎉
Asante sana
Kazi nzuri sana... hongeren sana Kwaya ya Mt Maria Mama Wa Mungu🎉🎉🎉pokeeni maua yenu
Tumepokea mwalimu 🎉🎉
Asante sana
Hakika Bwana Amefuka Aleluya . Yeye hutawala milele yote Aleluya. Asanteni nyote
Hakika Amefufuka aleluya
Hongereni sana kazi nzuri mno
Shukrani sana mkuu🙏
👏👏👏👏
Hongeren wapendwa nyimbo nzur saana
Amina, karibu sana
Hongereni Sana naomba mawasiliano yenu wandugu ninashinda na copy ya wimbo
Samahani kwa kuchelewa kujibu kwa wakati mpendwa 0655 299 022 wasiliana na mtunzi kwa namba hizi
❤❤❤ safi sana
Barikiwa katibu wetu!
Mbarikiwe Sana
Amina sana kiongozi!