Mt. Kizito Makuburi - Mwamba Yesu kafufuka (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 тра 2023
  • Kifo cha Msalaba ni adhabu ya aibu kwa wahalifu wakubwa katika enzi za utawala wa Kirumi.
    Kwa upendo na msamaha wa Mungu, Yesu Kristo anakubali kuteswa hadi kufa msalabani kwa ajili ya wokovu wa wanadamu.
    Baada ya yote hayo bado alishinda vita kwa kufufuka siku ya tatu, ni Mwamba imara usiotikisika.
    Kwaya ya Mtakatifu Kizito Makuburi inakuletea wimbo unaomuelezea Yesu jemedari wa vita, na Mwamba aliyeshinda mauti kwa kujitoa sadaka.
    WIMBO: MWAMBA YESU KAFUFUKA
    MTUNZI : JUSTIN SALISALI
    WAIMBAJI : KMK MAKUBURI
    ORGANIST : BARAKA THOMAS MASHIBE
    AUDIO BY : HOLY TRINITY STUDIOS
    VIDEO BY : DIVINE STUDIOS & KMK DIGITAL PRO
    SCRIPT WRITER : HENDRY KIMARIO
    DIRECTED BY : HENDRY KIMARIO
    SUBTITLES BY: DICKSON NYAMWIHULA
    Usisahau kusubscribe, like na kucomment.
    MUSIC SCORES & LYRICS:
    www.kmkmakuburi.co.tz/pdf/mwa...
    You can support evangelism through
    ⭐MPESA TZ : +255742000089
    Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
    ⭐VODACOM LIPA NAMBA : 5425652
    Name: KWAYA YA MTAKATIFU KIZITO
    ⭐Bank Name: Kenya Commercial Bank (KCB)
    A/C No: 3390899162
    Name: KWAYA MT. KIZITO - MAKUBURI
    Branch: OYSTERBAY -Dar es Salaam, Tanzania
    Swift code: KCBLTZTZ
    #badokunaMwamba
    #Mwambakafufuka
    #kmkmakuburi
    #pasaka
    #Mwamba
    #35thkizitoannivessary

КОМЕНТАРІ • 251

  • @anastaciamuema
    @anastaciamuema Рік тому +17

    Kazi safi sana!👏👏👏
    Hakika Mwamba ni mzima🙏.
    Hongereni sana KMK🤗🥰🥰

  • @mwesigacredius9852
    @mwesigacredius9852 9 місяців тому +8

    Mwamba Huyu Hapa na Amefufuka...Guys you are in your own league! Thanks

  • @kundaikyliengwerume3001
    @kundaikyliengwerume3001 Рік тому +9

    I'm not a Catholic neither do I understand your language but your songs always go straight to my heart. I will definitely visit this choir one day if God allows . You are the best 😊. sending love from Zimbabwe

  • @mosesisura4350
    @mosesisura4350 Рік тому +18

    Am not a catholic bt....i truly love ur songs

  • @bensongitongadavid6051
    @bensongitongadavid6051 Рік тому +6

    Keep it up my favorite Choir lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @andrewmushi281
    @andrewmushi281 Рік тому +2

    Safiii

  • @lazarusmulwa6128
    @lazarusmulwa6128 Рік тому +2

    First to comment 🎉❤

  • @julianaseleman2839
    @julianaseleman2839 3 місяці тому

    Bwana Yesu kweli kashinda mauti ❤💗🧡🧡

  • @gaspermunishi7610
    @gaspermunishi7610 Рік тому +3

    Tuliisubiri sana

  • @kwekalucasferan
    @kwekalucasferan Рік тому +2

    ❤ Hongereni sanaaaaa..... Alooo🎉. Kweli Mwamba Kafufuka.

  • @sisiniwazalendo6558
    @sisiniwazalendo6558 Рік тому +11

    WIMBO WA KIZALENDO KWA MWAMBA YESU ALIYESHINDA VITA YA UMAUTI...GONGAAAAAA LIKEEEEEE

  • @ManifredCharles-ur9ug
    @ManifredCharles-ur9ug Рік тому +4

    Safi sana KMK uimbaji wenu unakonga mioyo ya watanzania wengi na kwaya nyingi zinajifunza kupitia utume wenu asante sana.

  • @adhiamboagatha8366
    @adhiamboagatha8366 10 місяців тому +2

    St .Kizito makuburi choir the best in the world

  • @lazarusmulwa6128
    @lazarusmulwa6128 Рік тому +3

    Kitu Kali kama Nini 🔥🎶

  • @vincentpaulomondi8403
    @vincentpaulomondi8403 Рік тому +5

    Tanzanian choirs are just on another planetary level hawa wasee wako vizuri....

  • @janeturuka3934
    @janeturuka3934 Рік тому +2

    Hongereni sana km Kwa Kaz nzuri

  • @user-lp3eb1ou5e
    @user-lp3eb1ou5e Рік тому +3

    Nawapenda❤sana nina furaha kuwa mkatoliki

  • @despinae.mdende
    @despinae.mdende Рік тому +1

    Hongeren sana watu Wa Mungu Kwa kazi nzuri.

  • @user-ln2cg9rg1g
    @user-ln2cg9rg1g 4 місяці тому

    Mungu zaidi kuwabariki mnoo aweongee viwango na viwango

  • @johndgurty9011
    @johndgurty9011 3 місяці тому

    Mko vizuri sana jamani wana KMK wewe SaliSali wewe barikiwa sana pia utunzi wah!!!

  • @NestoryPaschal-jr3oj
    @NestoryPaschal-jr3oj 4 місяці тому

    Nani kama mungu hakika mnaenda na wakati bigap sana mbalikiwe amina

  • @poncegk5263
    @poncegk5263 Рік тому +1

    Kwaya iliyo kamilika kila idara, Great work

  • @rosentinyari6561
    @rosentinyari6561 Рік тому +1

    Wimbo mzuri wenye kubariki roho za wengi...

  • @ProsisterKashindye
    @ProsisterKashindye 4 місяці тому

    Wimbo umetuliaa hakika mwamba amefufuka

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 Рік тому +1

    Furaha mlio nayo kabisa amefufuka yeye ni mwamba

  • @user-fk7kh3ie6s
    @user-fk7kh3ie6s Рік тому +1

    Hongereni kwa wimbo mzuri

  • @bonfacemutunga9671
    @bonfacemutunga9671 Рік тому +1

    Ujumbe mtamu huo tumeupata congrants

  • @bonymaina226
    @bonymaina226 Рік тому +5

    Listening to this song when it is fresh in UA-cam. Great and awesome song! Mungu awabariki

  • @alckimuinde
    @alckimuinde Рік тому +2

    I love you guys I'm coming next month guys

  • @user-hb7vi1cc4d
    @user-hb7vi1cc4d 4 місяці тому

    Raha sana Tena najiona fahar sana kua mkristu ,,, Asante mungu wangu sio kwa raha izoo

  • @emmanueltemba3533
    @emmanueltemba3533 Рік тому +2

    Hongeren sana mafundi

  • @cleophasodoyo5743
    @cleophasodoyo5743 3 місяці тому

    Amegeuza hofu ya kifo kuwa uzima....Ni hodari wa vita mwamba ni mzima kafufuka.....wow wow just wow!!!!!

  • @revaniakataga8070
    @revaniakataga8070 Рік тому +1

    Hongereni sana wanakwaya kwa kazi nzuri sana Mungu awabariki sana ,nawapenda sana

  • @antonymangi1325
    @antonymangi1325 Рік тому +1

    Salisali🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @beatricekitchen
    @beatricekitchen Рік тому +1

    Mwamba wa vita🔥🔥🔥🔥🔥

  • @eliaskanyamaha6447
    @eliaskanyamaha6447 Рік тому +2

    Very tishabo...neno
    Mwamba limetumika mda mwafaka...

  • @hurumadanda4205
    @hurumadanda4205 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana. Mbarikiwe

  • @emilygatabi4425
    @emilygatabi4425 Рік тому +6

    Wow....from Hamkujua fee days ago to this🎉 ❤ you KMK Makuburi you're the best ❤ have always loved your songs from kitaambo till to date. Congrats KMK mungu azidi kuwabariki. One day I will meet you. I love you my people ❤

  • @ThomasKwanja
    @ThomasKwanja 4 місяці тому

    Haleluya Haleluya Bwana ni Mzima
    Hongereni kwa utume uliotukuka 👌🏿

  • @Tuikong
    @Tuikong Рік тому +1

    Mwamba ni Mzima na mshindi hakika. Hongereni wanaKMK. Baraka tele.

  • @elizabethakinyi7223
    @elizabethakinyi7223 7 місяців тому +1

    Amazing voices, Hongera sana
    Mwamba Yesu ni mzima..... Ameshinda mauti, ni hodari wa vita!!!!

  • @annmwende8339
    @annmwende8339 Рік тому +2

    Asante kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki

  • @teoslasmbunda3936
    @teoslasmbunda3936 Рік тому +1

    Super, 🙏🙏🙏🔥🔥🔥

  • @januarius-js2xl
    @januarius-js2xl Рік тому +4

    Hongereni sana waimbaji wa Mtakatifu kizito Makuburi...kama kawaida mko 🔥🔥🔥🔥...hii ndio kwaya yangu ya maisha... nawapenda mno ajabu..

  • @mikelazaro4479
    @mikelazaro4479 Рік тому +12

    Salisali kwenye hizi ngoma huwa hukosei mzazi toka ile ngoma ya Simba wa Yuda na hii ya Mwamba aaah uko vzr hongera kwa utunzi mzuri.

  • @gracewanjiku2534
    @gracewanjiku2534 Рік тому +2

    Asante St makuburi Kwa wimbo safi kabisa , hapa Kenya tunasema mbarikiweni Sana.

  • @johnmalibiche7454
    @johnmalibiche7454 Рік тому +1

    Kazi nzuri Mungu awabariki sana

  • @martinoluoch1954
    @martinoluoch1954 4 місяці тому

    Kwaya ya mtakatifu makuburi mwanibariki na nyimbo zenu Asante sana . Kaburini hayumo.

  • @vumiliajoseph7788
    @vumiliajoseph7788 4 місяці тому

    Nimebarikiwa na wimbo huu, mungu aendelee kuwaimarisha nyote na wito wenu kwa mungu

  • @user-vh6fw7xf4z
    @user-vh6fw7xf4z Рік тому +1

    Nice kwa kazi nzuriii mm hapo mwanzo mnavo anza pamenikosha

  • @Ndelegeorge
    @Ndelegeorge Рік тому +2

    Asante kwa wimbo. Ni mzuri sana

  • @chalejunior2614
    @chalejunior2614 Рік тому +3

    Salisali JM hujawahi kosea kaka. Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa namna inayompendeza zaidi. Nabarikiwa sana na tungo zako.

  • @paulkabazo
    @paulkabazo Рік тому +9

    Hapa congo tunawapenda sana. Njooni Siku moja huku tuwaone in live.
    Paulo Prince Kabazo

  • @germanandunguru6586
    @germanandunguru6586 Рік тому +1

    Wimbo Mzuri 🥰🥰na video

  • @veronicalugola8790
    @veronicalugola8790 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana hongereni kmk

  • @hananivan1188
    @hananivan1188 4 місяці тому

    Ukisikia utukufu wa Mungu unatukuzwa ni kwenye kwaya ya mt.kizito.Mungu awabariki watumishi wa njia ya uimbaji.

  • @audifacejosephat7071
    @audifacejosephat7071 Рік тому +1

    Hongera Prof salisali kwa utunzi mzuri sana Mungu azidi kukutumia na kukiinua kipaji hicho

  • @carolinemaina3362
    @carolinemaina3362 Рік тому +1

    🎉yaani nimewazoea hadi nawatambua mmoja baada ya mwingine,,I love you darlings

  • @kihiyoemmanuelpianist
    @kihiyoemmanuelpianist Рік тому +2

    Maestro Salisali Mzee wa simba wa yuda ....nina njegere zako popote ulipoo

  • @cakebailey
    @cakebailey 11 місяців тому +2

    Wow! My best choir like your songs , fantastic wish God allows me one day visit this choir, teachable, touchable songs ,be blessed always 🙏🙏

  • @Muziki_tamu_katoliki
    @Muziki_tamu_katoliki Рік тому +1

    wanasema Justin Salisali akiamua kutunga ni baraka kweli

  • @lilymoshi7886
    @lilymoshi7886 Рік тому +2

    Hongereni mno wimbo ni mzuri mno nimebarikiwa mnooooo kusikiliza huu wimbo asanteni wote mliotia mawazo yenu kwenye hii nyimbo

  • @mainakariuki4033
    @mainakariuki4033 2 місяці тому

    Imani yenu inavutia na pia kwaya zenu zimeweza.

  • @martinmurimi5240
    @martinmurimi5240 Рік тому +2

    Wimbo mzuri, video Iko sawa sana, hasa mavazi ya tamaduni za Kiafrika. Maneno ya wimbo yamewazwa vyema. Hongera sana Salisali kwa utunzi wako mzuri. Hongereni Sana WanaKMK kwa uimbaji wenu mzuri na wa kujitolea.
    Kweli aliye hodari wa vita na Mwamba ni mzima!!! 🎉🎉 AMEFUFUKA KWELI!!!

  • @waltermasinde6648
    @waltermasinde6648 Рік тому +1

    Kazi nzuri sana. Hongera kwa wote waliohusika.

  • @geofreychirwa2574
    @geofreychirwa2574 Рік тому +2

    Hakika kmk itaendelea kuwa taasisi na chuo Cha muziki wa kanisa Tanzania. Mbarikiwe mno.

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 Рік тому +2

    Hongereni Sana .Jimbo kuu Machakos tuko ndani huku Kwa father kioko Mimi nilikua Na nyinyi live.nawapenda kweli

  • @thomasnduva9662
    @thomasnduva9662 Рік тому +1

    Enyewe kuwa Na subira ni Jambo muhimu Sana .hongereni kmk

  • @edinamoses840
    @edinamoses840 Рік тому +2

    Mt.kizito mnaimba vizuri aisee mbarikiwe sana
    ...tumemisi mazingira asilia, sijui kwann kwaya nyingi siku hizi wanapenda kufanya video shooting studio

  • @ernestkashunja1514
    @ernestkashunja1514 Рік тому +2

    Asanteni kazi tamu sana ,Mungu awabariki sana

  • @user-vh6fw7xf4z
    @user-vh6fw7xf4z Рік тому +1

    Ilove kmk

  • @simonmlelwa440
    @simonmlelwa440 Рік тому +2

    Finally here we are …. Asanteni sana Kwa huduma na Mwenyezi Mungu awabariki sana Kwa utume wenu

  • @elizahmwaniki8871
    @elizahmwaniki8871 2 місяці тому +1

    Powerful n solemn song

  • @piussimon7062
    @piussimon7062 Рік тому +2

    Hakika furaha yangu ni nyimbo za katoliki nafurahia sana kazi nzuri kwenu

  • @albinmassawe4005
    @albinmassawe4005 Рік тому +2

    Shooting imekaa vizuri. Mmeimba vizuri sana. Mtunzi yupo vizuri. Hongereni sana

  • @peterkilambo8844
    @peterkilambo8844 Рік тому +2

    waoooohh very sweet !!!!!! hongereni sana

  • @ImaraInternational
    @ImaraInternational 3 місяці тому

    Napenda nyimbo zenu zote.

  • @mercycherotich3737
    @mercycherotich3737 Рік тому +1

    I love your songs sijasahau mlikuja st Joseph frenademetz kuja kuimba

  • @user-xq6ji4fu5w
    @user-xq6ji4fu5w Рік тому +1

    AWESOME! So ,,,,,,,.proud to be a catholic .Amen

  • @vickyvictor406
    @vickyvictor406 Рік тому +1

    wimbo mtam kweli much love from Kenya.NI UPENDO TU

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia Рік тому +1

    Nice

  • @dokctv_dokccatholic
    @dokctv_dokccatholic Рік тому +2

    🙏

  • @clementmakokha4526
    @clementmakokha4526 Рік тому +2

    Magnificent! This song is amazing. Keep it up good work of preaching through songs!

  • @anicetmrosso122
    @anicetmrosso122 Рік тому +2

    hii sasa ndo kali kuliko ya kwanza na nilichagua box B mapema

  • @ayubuduke3436
    @ayubuduke3436 Рік тому +1

    Wimbo wangu bora basi2 ngoja nikae kimya ila ni mzuri mno mno ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KMK MAkuburi🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥

  • @juliustarimo1257
    @juliustarimo1257 Рік тому +2

    Wimbo mtamu mno, wawezaunywea chai😀😀 Niliusubiri Sana Tangia Jana, nilijua tu lazma uwe unique. Mnsnikosha kweli, Hongereni kmkm

  • @Ykdejan
    @Ykdejan Рік тому +1

    Blessed song kudos 😊

  • @thestring_boy8592
    @thestring_boy8592 Рік тому +1

    I love the Africanacity in the video

  • @magreth1492
    @magreth1492 Рік тому +1

    Bwan Yesu ni mzima,kashinda mauti mwamba ni mzima nihodari wa vita mwamba ni mzima kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BONIFACEMPONZI-wu2du
    @BONIFACEMPONZI-wu2du Рік тому +2

    Waleteee🔥🔥🔥🔥

  • @baziliosasila5064
    @baziliosasila5064 Рік тому +1

    Hakuna mtunzi asiyetamani wimbo wake usiimbwe na kurekodiwa na kwaya bora @KMK. Wanatisha hawa jamaaa.

  • @marymarcel3824
    @marymarcel3824 Рік тому +1

    Waooo hongereni sana kwa wimbo mzuri kwaya ya kizito🔥🔥🔥💪

  • @emmanuelireri4734
    @emmanuelireri4734 Рік тому +1

    Whaaat!yaani kazi saafi sana wakuu,❤

  • @pharm.kayombo
    @pharm.kayombo Рік тому +2

    Good music

  • @magdalenakulwa4802
    @magdalenakulwa4802 Рік тому +3

    Sauti tamu sana... video concept tamu sana... utunzi mtamu sana.. injili ya Bwana na isonge mbele

  • @user-fc1oy1jd4j
    @user-fc1oy1jd4j 10 місяців тому +1

    May Almighty God bless you all

  • @theresiajoseph1943
    @theresiajoseph1943 Рік тому +2

    Mtunzi umenikoshaaaa sanaaa🔥🔥🔥🔥 Hongereni kwa kazi nzurii

  • @franciskironjo9369
    @franciskironjo9369 Рік тому +1

    Good job kmk

  • @BonfriInsuranceAgency
    @BonfriInsuranceAgency Рік тому +1

    Safi kabisa

  • @jepkemei
    @jepkemei Рік тому +4

    As always, excellent work, Well done KMK ! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥