YESU AMEFUFUKA (Official Video) - TUMAINI SWAI // SMS SKIZA 6932496 TO 811 TO GET THIS SONG
Вставка
- Опубліковано 17 кві 2022
- KARIBUNI KUSIKILIZA NA KUTAZAMA WIMBO WA PASAKA UITWAO "YESU AMEFUFUKA" UKIWA NI UTUNZI WAKE TUMAINI SWAI. UMEIMBWA NA LAWRENCE KAMEJA, TUMAINI SWAI NA BAADHI YA WANAFUNZI WA UIMBAJI WA THE CATHOLIC HOUSE OF TALENT ARUSHA, REDEMPTA HENRY, FAUSTER SHAO NA PRISCA SOKWA. TADHALI SUBSCRIBE, SHARE, LIKE NA COMENT ILI WENGINE WAPATE HIZI BARAKA ZA YESU KRISTO MFUFUKA. ZIPO KAZI NYINGI NZURI ZINAKUJA USIACHE KUTEMBELEA CHANNEL HII MARA KWA MARA ILI USIPITWE. ASANTENI SANA NA MUNGU AWABARIKI
Karibuni msikilize na kutazama wimbo wa Yesu Amefufuka. Umetungwa na Tumaini Swai na kuimbwa na Lawrence Kameja, Tumaini Swai na baadhi ya wanafunzi wetu wa uimbaji mzuri. Tafadhali usipite bila kushare, kulike, kucomment na kusubscribe kama hujafanya hivyo bado. Yapo mambo yanakuja stay tuned......Mungu awabariki sana kwa kuendelea kutupa moyo.
Sawa nawafuatilia sana kutoka Eldoret Kenya, kwa kazi nzuri mnayoifanya🥳
Mkuu Hongera Sana!!! Tuko pamoja Mungu aendelee kukuinua Kiongozi.
T
Kaz nzur San. Tunaomba nota zake jmn
Nñnnnnnnñnñ
Absolutely amazing. Great composition Mw Tumaini Swai
Amazing work guys👏👏. Everything is amazing🎉🎉.
Fauster nakuona😃💕💕.
🥰🥰 Thank You Anne
Thanks a million
@@fulgencetumaini81 Much welcome.
Huu wimbo mzuribsana umenibariki sana ombi langu muuweke kule vidmate tuweze hata kudownload jaman tunawapenda sana ❤❤❤❤
Safi sana mkuu
Nyimbo nzuri sana barikiweni kwa uinjilishaji
Kazi safi
Hongera saaana mkuu .hujawahi kuniangusha.
Hongereni Wakuu
Kweli kafufuka!🙏🙏
Mbarikiwe wimbo mzuri mno
Hongera sana mkuu🔥🔥
Asante sana kaka Munywoki
See U since Gabon🇬🇦🇬🇦🇬🇦 ( center of África).
We are french nation but, I like so much our langage swahili.
Want to lurn much but no posible.
ASANTE SANA!!
Welcome
Wow, kazi nzuri hii
Kaka uko vizuri mno hongera sana
Hongereni sana kwa kazi nzuri
Congratulations all singers you have done a good job ❤ so proud of you keep it up❤❤
Song Tamu, kinanda nayo ni 🔥🔥🔥.Swai be my best Organist👍👏👏
Asante sana Tonny
kazi nzuri mkuu
Kaka swai Mwenyezi MUNGU akutunze kwaajili yetu, hongera sana ukiwa kwenye piano unazikonga nyoyo zetu, unafanya tuone kupiga piano nikazi rahisi sana kumbe!!!😂 barikiwa sana mpaka viwango vya juu mno
kazi nzuri . hongera
Kazi nzuri sana wakuu
Kazi safi sana
Creativity
Uko vzr sana hongera,,,nyimbo zako na upigaji wako kinanda ashukuliwe mungu na wazazi wako kwa zawadi yako🙏🙏
Siku Zote tuimbe kwa shangwe kwa kumtukuza Yesu Mfufuka
kazi safi sana
One of my favorites 👏👏❤️
Kazi poa bwana Swai
Good job guys👏👏
Asante Sana my dear
@@lawrencekameja9730 you're welcome dear
Kazi safi sana.
Hongera san
Good work mkuu🙏
Hakika kazi nzuri sana Tumaini Mwenyezi Mungu azidishe mkono wa Baraka.
Asante sana dada yangu Florida
ubarikiwe sana kaka
Hongera mkuu, kazi safi Sana kweli.
Amefufuka kweli ni mzima 🎉
Ubarikiwe sana
Wow , hii imeweza
Kazi nzuri kwelikweli mwalimu swai...mpagilio mzuri wa maneno ,naupenda sana huu wimbo,mwenyezi mungu na azidi kukupa neema zake kwenye utunzi na uchezaji wa kinanda wako
Asante sana kaka
Tuimbe kwa shangwe
Amina
Kumbe Kuna mambo mazuri hivo huku na hamsemi😂😂hongera sana swai na kundi lako
Nice work guys, hii ni kinanda gani mpya mnaitumia🤔ni mtamu sana
Keep up the good work
Kazi nzuri Bwana Tumaini Swai mkiwa pamoja na Bwana Lawrence... Mzidi kutunikiwa baraka tele tele na Mola...
Swai nakutafuta nimekosa njia ya kupata ulipo
Huyu Mama mrefu apewe maua yake anacheza vyema sana
Ongera kamejam Unazidi kutoa Uduma ya mibaraka kwa kusifu
Asante Sana bro ubarikiwe Sana
Kazi njema. Mubarikiwe
Amen bro
Hongeren Sana watumishi wa mungu nyimbo inaujumbe mzur
Barikiwa sana dingii
Swai, my best organist, napenda kazi yako kaka
Tumuimbie Bwana naomba notes za huu wimbo
You've made my day. Pongezi
Amina
Hongera sana Lawrence na wenzako. Nyinyi mnajua.
Asante Sana Kaka ubarikiwe Sana
Hongera Sana Tumaini Swai kazi nzuri mno
Asante sana kaka
The song is good
❤❤❤
Nimekupata vyema kaka swai Kazi nzuri sana kindly keep it up
Good job
Atukuzwe Mungu kupitia vipaji vyenu hasa mwlm Swai,tungo nzuri imetulia. Plz naomba kopi yake
Hongera Sana bwanà swai Nyimbo zako nzuri kweli.Hongeea
Hongera.mtumishi.wa.mungu.nyimbo.nzuri.sana
Waaa oooo so so nice one love it
Glad you enjoyed it
Nice Song naomba nitumie kopy brother
Safi sana swai keep it up
Asante sana broh
kazi nzuri saaana,,,be blessed🙏
Asante Sana Kaka ubarikiwe pia
Nawapenda mno Mungu aendelee kuwa tunza mtuinjilishe vyema
It's awesome! What a song! Hongereni sana wote kwa uinjilishaji
Asante. Barikiwa
Kazi nzuri mungu azidi kuwabariki mno
He! Kumbe mambo mazuri yako huku? Tuimbe Alleluya. Yesu ni mzima. Amina
Hongera kwa kazi nzuri mwalimu, ubarikiwe👏👏👏
Hakika wimbo huu mzuri mbarikiwe wapendwa
kumbe kuna mambo mazuri huku hamjaniambia mapema, kazi nzuri sana hii
Tunaomba nota zake
Very nice. Wimbo umetulia. Big up
🎉
Hangers kaka swai
Asante sana
Good work kaka, I'm blessed with this
Ubarikiwe kaka
Mubarikiwe watumishi wa Bwana kwa kazi njema ya utume
Forever Catholic.
Good piece, excellent vocals. Keep up the good work.
@Lawrence Kameja much love n God Bless you dear.♥️
wow, watching from united states, kazi nzuri mnooo
Kazi nzuri kweli. Uko jimbo gani kaka. Niko MN.
@@edumay7422 Washington DC kaka.
Soon nami nitakuwa pamoja na ninyi. Tuombe uzima
Boss swai.....umejua kunibariki asee
Nimeupenda Sana wimbo utunzi mzuri mno
Thanks so much Anne
Heart soothing. Keep up with the good work. 🥳🥳👏👏
Amen Faith
Utume mwema katika Bwana wetu Yesu kristu
waoo, Hongereni sana Mungu awabariki mnoo
Amen Sana be blessed
This song is just awesome..is it possible to have the copy please.
Asanteni sana watumishi wa Bwana kwa ujumbe iyi nzuri mlio tuletea Yenye kujenga katika maisha yetu Mungu awabariki na kuwajalia nguvu za roho mtakatifu ili mpate kumtumikia siku zote za maisha yenu Amina
Amen
wimbo mzur san umenibariki sana
So wonderful ❤️ asante sana kweri
Mnastahili sifa hakika...mbarikiwe🙏🏻
Absolutely FANTASTIC SWAI!! BRAVO !! Keep it up
Thanks a lot
Wooow....Nyie jamaa ni wa moto🔥🔥🔥🔥
Asante Sana Kaka barikiwa
Hongereni kwa kazi safi. Kwa kweli amefufuka.
Amen
Amen be blessed
Kazi nzuri naomba score tafadhali nitumie KWa watsup yangu🙏
Kazi Nzuri.mungu awabariki
Mko na kipaji cha kipekee sure,,hongera hongera.sauti tamu kweli kweli.
Asant sana Fredrick
Mungu awabariki, kazi nzuri sana..
Amen
Jesus loves you, Unfathomable Love
Amina Amina Amina...Nice Song
Amazing✨
Be blessed Mr okari
Wimbo mzuri sana! 👏👏
Asante sana