Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Holy Trinity Studio - Njoni Tumuimbie ( Official video )
Вставка
- Опубліковано 12 бер 2023
- KWAYA YA MTAKATIFU CESILIA PAROKIA YA YESU MCHUNGAJI MWEMA KILIMA MOJA - JIMBO KATOLIKI LA MBULU
Video by
Holy Trinity Studios
Mawasiliano:
+255 715 336 515
+255 672 528 073.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital
Namshukuru sana Yesu Kristu alitupenda na kutukomboa wadhambi
Kweli njooni tumuimbie mungu wetu, maana wewe ndio tumaini letu usifiwe milele mungu wetu
Nzur sana hongereni sana na kwa mtunzi ray hongera zako kaka
Kazi safi kabisa😍naomba mwalimu nota zifike Kwa swahilimusicnotes zitatusaidia sana, mbarikiwe Kwa kazi njema.. 🇰🇪
Wimbo mzuri mpaka mzuri Tena!!!!
Hii ni balaaaaaa Ray ufunguo salute kwako mtunzi Mungu akuzidishie❤❤❤ tunaomba notes zake please 😢
Merci beaucoup pour cette belle et profonde chanson, belle chorégraphie. Surtout votre organiste très compétent.
Barikiweni sana kwa wimbo mtamu ❤❤❤❤❤
This is a great piece. The music is well blended.I haven't of late come across such a composition.Ray Ufungue is indeed a wizard.Asanteni wanakwaya wote.Come to kenya guys and preach the word through singing.
Jaman wimbo mzuri sana ninawapenda xna
wimbo mzuri
Tena mwacheza Kwa madaha nawapenda sana
Saaaafi sana. Mnatisha
Kazi nzuri sana. Fr Tesha
Nzuri ❤
Kazi nzuri sanaaaa ❤❤
Natamani sanaaaa kuimba nanyi
Jamanii wimbo mzuri huu
Nice song 🥰🤗🥰🥰
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Mtunzi ubarikiwe na waimbaji wako
Taaaamu sana
Hongeren sana
Ni kweli tuenjoy sote tusaidie copy hiyoo
I can't get enough of this song congratulations
Waaoooh 😳😳😳... Wimbo mzuri sana Ahsante sana Mungu wetu mwema 🙏 🙏 🙏 Kwa ajili ya wanakwaya hawa❤❤❤.
Kila nikisikiza huu wimbo unanibariki Sana kwa ajili kumshukuru Mungu kwa ajili ya maisha yangu na familia yangu. Mungu ni mwema kwetu. Hongereni Sana Kwaya hii!!
Nzuri hii
A very nice hit
Mungu wetu ni mwema sana nimewafurahia sana sana wacha tumsifu Mungu wetu
Huu wimbo unanibariki sana sichoki kuusikiliza iwe asubuh iwe mchana iwe jioni iwe usiku. Sauti zimepangika haswa Nota zake nazipataje hata kule swahilimusicnotes haupo.
Kindly direct me to where I can get the score to the song ,,,,,, I wish people saw what Directors and Producers are doing in the catholic realm. This is a well arranged piece. The culturization and Africanization in this song is just evident of how we have good music out here that many don't listen to.
Hii imeenda💪💪💪👏👏
Hongereni Sana nyimbo nzuri inanibariki Sana, kuimba ni kusali mara mbili karibuni kwetu parokia ya kamili yombo Kiwalani dar
Safi
Hongera sana kwa Mtunzi na waimbaji. Kazi nzuri. Glory be to God.
Jamaa zangu wa Kilimamoja mbarikiwe saanaaa love this song too much ukizingatia ni mazingira ya kijijini kwetu hongereni sana
Huyu jamaa wa piano anajezesha mguu kijishi.Good job,watching from Kenya Nairobi
Wimbo mzuri Sana na pia utunzi wake uko vzr pamoja na waimbaji ...
Ombi langu KWA Rey Ufunguo nyimbo zako ni nzuri lkn hauwekagi nota mtandaoni ...so tunashindwa kuziimba nyimbo zako nzuri kama izo ....so tunaomba utuweke nota mtandaoni ....
Anza na wimbo huu
Maverours song, waoh be blessed walae, nko ndaanii na nyinyi. Voices imepangika, beats.... Amazing. ❤🎉
I'm proud of being a Catholic and may the almighty God bless you
Hongera sana kwa utume mzuri wa uimbaji kazi nzima ipo njema full imetulia
👏👏👏tumwimbie Mungu wetu
Kwakweli MUNGU azidi kuwabariki saaana nimependa saanaaa mmefanya vizuri
🙏🙏🙏🙏mubarikiw san nyimbo nzuri san tena san 🙏🙏 munguazidi kuwabariki
Majirani zangu kwaya ya kilimamoja mko vzr sana hongereni sana mmetisha sana
I have watched the song 30 times...
Much love fro. St Mary's Mukuru Parish Nairobi. 😘😘😘😘😘😘
Waooh welcome
salimiana
Tushu tumsifu yesu kristu.....
Kabisa ❤
Mungu awabariki sana kwa wimbo huu mzuri na wenye utukufu mwingi
Wimbo wangu pendwa
This is the best of the best in all catholic song
Wimbo mzuri Sana. Hongera kwa mtunzi na waimbaji
Amazing
Wimbo mzuri sana
Nimependa sana wimbo huu
Amazing indeed 🎶✨👏❤️
Hapa Kuna vile can't fail to watch this song every morning
Someone too making me to watch it ..
Good work wapenzi
So far the best of 2023, cant get enough of it, have put it on repeat mode❤
Kweli njoni tumwimbie Mungu wetu! Yelele yelele!
Can't have enough of it.
Asante nashukuru 👏👏👏wimbo nimzuri sana, Sambarikiwe na Bwana,
beautiful. Easter prayers from Oklahoma city. Oklahoma.
goood production kwa kweli muziki mtamu wenyu umungu congratulations
Wow!beautiful voices
En the dress code👌
Amazing song, can't get enough of it, replay.
kazi nzuri sana... lyrics ntapata wapi
Nyimbo nzuri sana kabisa, mungu aendeleye kui bariki kazi yake na wanao mtukiya kwa moyo wote,, mbarikiwe kwa kazi ii mnayo fanya niya maana sana,, wengi tunayo hamu kupata nota za wimbo huu mzuri asanteni sana,, from Congo D.R.C
Kaz nzur Sana Mungu azid kuwabark
Kweli kabisa ni heri tumwimbie mungu wetu na tumusifu.nice song thank you our brothers and sisters..all the way from 🇰🇪 kenya
A great piece with wonderful arrangement and vocals are on another level....BRAVOOOO... Kindly share the music score
Kazi safi sana ndungu zetu. Blessings all through
Asante mwalimu tunaomba nota zake plz
Organist Seba, hongera sana na kwaya yako
Nice
Hongereni Sana KAZI nzuri ya kiwango
Organist Seba big up,nakuona bohong' maramm
Najihisi tu niko binguni.😃Nice song, angelic voices.
Ningependa kupata nota.
Kazi safi Sana kwa waimbaji na mtuzi, congratulations Ray ufunguo 🥰🙏
THANK YOU VERY MUCH FOR PRODUCING US THIS MARVELLOUS PIECE OF WORK.
IT GIVES US A LOT OF JOY TO SING AND DANCE FOR OUR LORD.
Kali sana 👏
Hongeran sana kwa Kaz nzurii
Hongereni Kwa nyimbo tamu be blessed
Holy Trinity the best studio
Kazi safi hongereni..
Amen good work guys may God protect you.
Kazi nzurii
So high I salute you all for sweet voices 🎉🎉🎉🎉
Hii imekaaa wimbo mzuri sana
the song is a hit guys cograts and keep the fire burning
Nyimbo Nzuri 💯💯
Hiyo pia inachangamsha
Waaaaahu congratulations nice song ,much love❤❤
Nilitamani hiyo introduction iwe ndio wimbo jinsi ilivyoanza ingeendelea hivyo hadi mwisho
Ya moto sana hii
Your song is soo sweet.keep the Fire burning
Hongerani ,sweet home!
👊nzuri san❤
asante kwa wimbo huu copy ya uyu wimbo tutapa vipi
Kazi safi. Sauti🔥
Please, help with full lyrics of this song
Congratulations guys
asante sana
very nice song
Hongereni sana Jimbo la mbulu....
Kweli utunzi wa hali ya juu Kongole na tuzidi kumsifu mola kwa nyimbo