TUNAFURAHA TUMEKOMBOLEWA By: Jonta P.I. - Kwaya Ya Mt. Donbosco, Minga Singida ( official Video)
Вставка
- Опубліковано 7 кві 2023
- karibu utazame wimbo Huu wa Pasaka katika kusherehekea Ufufuko wa Kristo
Mtunzi: Jonta P.I
Audio Producer: Paschal Kabonge
Video Director: MDETE TM
Audio & Video by. AMsi Studioz
#kwayakatoliki #easter #eastereggs #aleluyah #aleluya #gospelmusic #choir
KARIBU USUBSCRIBE CHANNEL YETU, ASANTE
🎉🎉🎉🎉 so cool ❤❤❤🎉🎉
Namtukaza MUNGU Kwa ajili yenu .n'a tena awabariki
Amina sana
Hongeren sana
Congratulations watani zangu nabarikiwa sana na wimbo wenu
Amazing 🎹🎹🎷🎺🎸🎻
Unyama ni mwingi saana❤❤❤
Waooo wana minga mnapendeza sanaaaa
Hongereni sana wana minga
🎉
Mwajifya inoo vanyandughu mubarikiwe inooo
Wajifya waaaaa gurifo
Safi Sana mbarikiwe wimbo mzuri Sana
Mungu aendelee kuwapa nguvu katika Utume wenu
Ameeen
Hongera
Hongeraa sanaa
Asante Sana 💓
Nice 👌 indeed
Sauti tamu kweli kweli. God bless you 🙏🙏
Hongereni sana wimbo mzuri sana❤
Asante sana
Waoooo waoo waooooooo❤🎉🎉🎉 Wimbo mtamu na msafi sana... Hongera Sana Wanakwaya
Asant sana jmn
💯
Nimefarijika sn kwa wimbo huu,Mungu awabariki sn nasi wasikilizaji tubarikiwe pia
Amen🙏
Naomba nijue mko eneo gani hapa dunìanî wimbo mtamu sana huu
Tupo singida mjini kaka parokia ya Minga.
Minga--Singida karibu
Singida Tz
Kabonge unastahili zawadi what a voice
Unitafte we kijana
Mungu awabariki Sanaa wimbo mzuriii
Amen
Haleluyaa.mbarikiwe.sana.kazi.nzuri.watumishi.wa.Bwana.yesu
Nyimbo nzuri sana❤, from Kenya 🇰🇪
Karibu Sana
Ooooh be blessed... Karibu 🇹🇿
Mungu utuongozee kwa tunayotamani
Ameen
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Welcome Christine 🙏
We love you too our kin ... You're most welcome 🇹🇿🇹🇿
Ngoma kali sana mmeimba vizuri na production iko poa sana
Hi ticha bd tunakukumbuka
Tumefanyia kazi moja somo lako kaka Kameja
Kazi nzuuuuuuriiiiiii
Kazi poa sana
❤❤❤ Wo die Sprache aufhört, fängt die Musik an. ❤❤❤
KWELI💓💓💓💓💓
Mbarikiwe Sana
Amina ubarikiwe pia maombi yako
Hongereni sana mmefanya vizuri mnooo Mungu awabariki mnooo mpaka mshangae.
Aminaa na ikawe hivyo
Asante kaka uje ata siku moja tunahitaji support yako pia
Hongereni mmeimba vizuri.
Kazi nzuri, Napataje nota zake?
Hongereni wapendwa,nimependa kazi yenuCongrats much my guy Jonta🙏🙏🙏🤝
Thank u bro
Mungu awabariki nakuendelea kuwap sauti nzur
Amina
Aminaaa
kazi nzuri😗🥰
So nice 🔥
Kazi nzuri
barakà za bwana ziwe juu yenu.
Amina
Tamu sanaa❤️❤️❤️
Asante sana mkuu
Tena sana jmn
Sauti tamu kweli , God bless you abundantly
Asante
Ameen
Nice song
Thanks
Thanks
Thank u
Hakika kazi nziri sana mungu awatangulie
Asante tito paulo
Blessed 🎉
Kiukweli hapo sosolaso mwalimu ulii
tendea haki
🤣🤣🤣🤣 Asante sana
Kazi safi sana hii.. big up 🎉🎉🎉
Asantee
Kazi nzuri sana , pia nimefurahi kuwaona vijana wetu, Joseph moghu ( Jubile)
Asante sana tupeni support wakuu
Mbarikiwe sana waimbaji saudi tamu sana
Ameen
Mungu awabariki Sana wimbo mzuri mno
Amen share kaka
Wow 🥰🥰 so nice jmn home kwaya
Nimewamiss Sana Sana mmetisha Sana..
Hongeraa Sana Anko mwl Jonta kazi nzurii
Karibu nyumbn kumenoga
Mmependezaa jmn mingaa iyoo mbarikiwe Sana kaz ya mikono yenu
Ameen
❤ mbarikiwe mungu awatunze nyote🕊️👏
Ameen
Lovely🎉
Good🙏
Hongereni. Jonta kazi nzuri sana. Mungu akutie nguvu uzidi kutoa vitu vikali.
Ameen jamaa tusaidie kushare
Haki,pongezi nyingi sana.
Ameen
Asantee
Safi sanaaa.. hongereni kwa kazi nzuri
Hongereni sana
Mtunzi nakuzooooom tuh🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎶
Shkran
Kihiyo nakutafuta
Hongera j Mungu akutumie kadiri ya mapenzi yake
Asante sana tupe support ya kushare 🙏🙏
Tuombeeni tufanye makubwa zaid
Wimbo mzuri hongera sana ndugu yangu Jonta P. I
Pamoja san
Hakikaa mwokozi kashinda Mauti ... hongereni sana kwa kazi nzuri 👏
Asante kaka
Video pia ni Kali na noma kinyama... Keep up My able Directoo Bwana Mdete
Ameen sana
Asantee sanaa
Bravo 👏👏👏
Together
Don Bosco from Singida congratulations for this song it's better to play with God. Nawashukurusana Mr ALEX Renayus
Ameen kaka
Thanks a lot dear brother
Imenibariki sana hongera waimbaji pia mtunzi
Mkuu Asante Sana share kadiri uwezavyo
Thanks a lot
Nice nice nice
Namwona pale Bwana Paschal Kabonge akifanya kazi iliyo safi sana upande wa solo... Hongera Kakangu sauti za Malaika kweli
Mungu atulinde tufike mbali kumwimbia mungu na kumtumikia
Namkubali Sana huyu mwamba
Hongereni kwa kazi nzuri
Asante sana
Hongereni sana wanaminga
Asante sana dada
Amen
Mungu awabariki, sauti nzurii. Kongole KAKA angu Jonta Mwl.wa 🎶 Muziki Mtakatifu .
Hongeren sana jaman nimewamc sana hapo hangera pia mwalm wng jont uko vzr ubari kiwe sana