BWANA AMEFUFUKA - FR . G.F KAYETA
Вставка
- Опубліковано 29 бер 2024
- WIMBO : BWANA AMEFUFUKA
MTUNZI : FR.G.F KAYETA
WAIMBAJI : MT. SESILIA MAVURUNZA
ORGANIST : PAULUS NG'WANASESERE
AUDIO & VIDEO : UCHAJI MEDIA
@uchajimediautumewaamani @HOLYTRINITYSTUDIOS @radiomariatanzania @KANISAKATOLIKITANZANIATEC @tumainitelevision @UpendooTV @TBC_Online @JugoMedia @AnsbertNgurumo @katolikimoshionlinetv @anastaciamuema @Valerie365 @floridajoseph9787 @prostudios2361 @
Kwaya yangu..my favs❤❤❤❤
Wimbo mzuri , video nzuri saaaana. Mungu azidi kuwabariki🙏🙏🙏🙏🙏
Amina
Excellent 😊❤
Saf sana naona cameraman kaitenda kazi yake kwa haki
Good performance
Kazi nzuri🙏
Muzuri sana uyu wimbo wa ufufuko Wa Bwana. Baba wa Bwana wetu Yezu Kristu awajaze na baraka kwa vipaji yenu. Asante sana. Alphonse Marie.
Amina
What a master piece! A topnotch work, kudos. Keep up the good work.
Thank you very much!
@@kwayayamt.sesilia-mavurunz9894 I look forward to seeing more extraordinary works. God bless you.
Hongereni saaana
Asante. Nanyi asanteni kwa production nzuri.
Hongereni wapendwa kazi nzuri ❤❤
Asante. Tumshukuru Mungu
Nzuri sana Lovely
WOW amazing................say what you played very richly i loved it😍😍😍 may GOD PROTECT THEM MORE AND MORE 😇😇😍
Glory to God..Amen
Hongereeni sana kwa video nzuri na Pongezi kwa Marehemu F.G.Kayetta kwa tungo safi. Karibuni Mt. Theresia wa Mtoto Yesu Dodoma Makulu.Dodoma Tanzania.
Asante kwa pongezi na mwaliko.
Wimbo mzuri huu jamani! Asanteni sana watu wangu!! ❤❤❤
Amina. Atukuzwe Mungu
Nomaaaaaaaaaaaaaa
Naam..na tuifanye karamu katika Bwana
safi sana , hongereni
Asante sana kwa utume wenu mzuri tumebarikiwa sanaa
Amina
Mkwela ndani ya familia nyingine tumekuonaaa🎉🎉 congrats to all🎉🎉
Karibu nawe ujumuike nasi
Hogereni sana
Asante. Tumshukuru Mungu
Kiukweli nimebarikiwa
Tumshukuru Mungu. Amina
Hongereni Saana
Asante. Sifa kwa Mungu
Safi😊
Amina
Hongereni sana
Asante. Tumshukuru Mungu
Hongereni sana dada
Asante. Tumshukuru Mungu
Hongereni sana sanaa❤❤❤❤
Asante. Tumshukuru Mungu
🙏🏿
Furaha ya Kristu Mfufuka.
Aleluya aleluya
Hongera sana watumish kazi nzuri ila hawa wazee walikua na utulivu wa hatari katka tungo zao wimbo unamiaka zaidi ya 30 lakin utadhani wa juzi tu 👏👏👏👏
Asante. Hakika tuna mengi ya kujifunza toka kwa wazee hawa manguli wa muziki mtakatifu
U have made my PASAKA.
Basi tuile karamuye na tuimbe aleluya
incredibly performed master piece
Amen
Good job🎉🎉🎉 nipitie hapo pia subscribe and like🙏🙏
Asanteni Sana na hongereni 🙏🏾🙏🏾
Asante. Tumshukuru Mungu