i am actually embarrassed that i have been listening to your songs over the years without subscribing to your channel... but trust me, you have my views
Kongole za dhati kwaya ya Mtakatifu kizito Makuburi. Wimbo huu waniliwaza na kunikolezea imani nikiwa Vilimani Mbagara,gatuzi la Kakamega nchini Kenya kwenye Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa -Mautuma Jimbo Katoliki Kakamega. Hewallah!!
Christ thy kingdom come Sam Magima family&friends take this opportunity to congratulate st kizito makuburi choir for this great composition and good performance. We like everything about the song. This is super . May Almighty God continue to give you good health to serve him.
Hamjawahi toa kitu chepesi siku zote. Mtazidi kuwa juu kwa ubora. Atukuzwe sana Mungu aliyewapa karama hiyo. Pongezi kwa menejimenti yenu, walimu na wanakwaya kwa ujumla. Tunatakatifuzwa kwa kazi zenu BORA.
Kama kawaida they never ruins their long-standing history 🔥. MUNGU Azidi kutenda maajabu kupitia Ninyi. Eng. Mushobozi at least kapata Mrithi. MUNGU ni Mwema
Ni moto 🔥 balaa Kimario hongera jamaa yangu, hongereni sana wanakwaya kwa kuutendea haki huu wimbo hilo vibe nalo mmenikosha hongereni sana kwa production nzuri ,,,,kinanda🔥🔥🔥🔥 aliyecheza Mungu anamuona ngoja ninyamaze maana kwenu kufanya mambo moto sio ajabu🔥🔥 hongereni sana
Wuuuuweuweeeeee... Wao Waoooooo... This is it wana KMK... Atleast we have another ufufuko hit... Keep up Malaika Waimbaji na Mtunzi Kimario. Hapa umetutendea haki kweli mkuu
Safi mmeutendea haki huo utunzi, na pia pongezi kwa utunzi wenye historia ya kifo na ufufuko.
Hongereni sana KMK mmeupiga mwingi sana,pasaka imenoga sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻😊
i am actually embarrassed that i have been listening to your songs over the years without subscribing to your channel... but trust me, you have my views
Kitu mzitoo Malaikaa wa Mungu
Hongereni Sana, Mungu wa mbinguni awabariki ktk utume wenu
Nawapenda sana nyie jamani hongereni sana
Woow.. good song for Easte❤️❤️❤️ be blessed 🙏🙏🙏
Alleluia alleluia alleluia Amen
Wooow,Mungu wabariki ndugu zangu wa catholic from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The best Catholic choir in the world, what does it take your choir to pay us a visit in Kisumu Kenya
Na siku nyingine msitucheleweshee vitu vikali hivi 😂big up brothers and sisters
baaana izi vitu kali zifuatane
Baana waambie vitu vikali mapema ndio best❤
❤
😂😂😂 mpk tunajiskia uchungu na kuumwa wanavyochelewesha
Banaa
Quality Catholic choir in my soul really God be with you All
Tamu kweli.
Amina
GOAT
Malaika hawa
😂😂😂😂😂 nzuri sana
My Lent season blessed with these amazing songs from St. Kizito
wonderful song, wonderful costumes, wonderful video, beautiful vocals. Encouraging song. God bless KMK MAKUBURI
Mbalikiwe sana wimbo mzuri voko km Malaika, mtu unajua uko paradiso, wanaume Mungu awazidishie baraka nyingi Nashukuru sana. Moyo unafurahi sana
Wioooowwww Mbarikiwe mnooooo kazi nzur8 wapendwa
Wana MT KIZITO HONGERA KUTOKA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃💃👏👏👏👏👏👏
NI MZIMA NI MZIMA ALLELUJA. HONGERENI WANAKWAYA WA KMK., 🙏🙏🙏
Hongereni nazipenda nyimbo zenu zinafariji
Ongereni wanakwanya
Hamkujua kama tuliutaka sana huu Wimbo siku ya pasaka yenyewe 😂 all in all hongereni sana kmk
Banaa 😂
Kongole za dhati kwaya ya Mtakatifu kizito Makuburi. Wimbo huu waniliwaza na kunikolezea imani nikiwa Vilimani Mbagara,gatuzi la Kakamega nchini Kenya kwenye Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa -Mautuma Jimbo Katoliki Kakamega.
Hewallah!!
Pongezi kwenu waimbaji kwa kutuinjilisha kwa njia ya wimbo, barikiweni saaaana
Hakika Mungu atukuzwe
Mbarikiwe🎉🎉
Hongereni kwa utume.
Ongereni kwa utume Kaz zur❤❤❤
Tanzanian's never disappoint when it comes to GOD. Your songs inabariki regardless of denominations. mubarikiwe mkitubariki na sis
Christ thy kingdom come
Sam Magima family&friends take this opportunity to congratulate st kizito makuburi choir for this great composition and good performance. We like everything about the song. This is super . May Almighty God continue to give you good health to serve him.
Hallelujah!
✨sasa twajua!
Alelujah hakika mwajua
Hamjawahi toa kitu chepesi siku zote. Mtazidi kuwa juu kwa ubora. Atukuzwe sana Mungu aliyewapa karama hiyo.
Pongezi kwa menejimenti yenu, walimu na wanakwaya kwa ujumla. Tunatakatifuzwa kwa kazi zenu BORA.
Wooow nice one 🎉
Litle Angel amezunguka vizur na gauni lake santeee kwa tafakari nzuri.*#Hakika Ni mzima
Congratulations from Kenya ❤❤❤
Wanakwaya wa makubul hongeren sana
Kazi safi
Great job
Kama kawaida they never ruins their long-standing history 🔥. MUNGU Azidi kutenda maajabu kupitia Ninyi. Eng. Mushobozi at least kapata Mrithi. MUNGU ni Mwema
Hmjawahi kuniangush KMK soon nakuja kujiunga!!!
Wow❤ Lit😍😍
Utunzi murua kanisa hongereeni Kwa uinjilishaji mtamu. Mzidi kumtumikia muumba Kwa utunzi vitamu kila wakati.
Hizi Ngoma na bezi .Yan mpangilio wa sauti😊😊❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉😊,. I LOVE JESUS
Mungu akawabariki kwa nyimbo nzuri
KMK barikiweni sana kwa nyimbo zenu nzuri
Nawakubari sana mnajua kuimba
Chonjo sana hongera 👏👏
amina san mbalikiwe kwa wimbo Mzuri san
Bonge la nyimbo kama umeupenda shusha comment zako hapa chini usipite hivi hivi jaman🎉🎉🎉
Hongereni sana 🙏
Ni moto 🔥 balaa Kimario hongera jamaa yangu, hongereni sana wanakwaya kwa kuutendea haki huu wimbo hilo vibe nalo mmenikosha hongereni sana kwa production nzuri ,,,,kinanda🔥🔥🔥🔥 aliyecheza Mungu anamuona ngoja ninyamaze maana kwenu kufanya mambo moto sio ajabu🔥🔥 hongereni sana
A different angle seen from the norm Master Bernard Mukasa. Gr8 fiesta. Kudos to all the choristers at large.
🔥Wimbo safi, waimbaji safi, Kinanda safi aliyecheza Mungu amuone popote alipo, Production safi👏🏽👏🏽👏🏽 Hakika amefufuka Aleluya 🔥
❤hakika wameutendea haki wimbo. 🙌
Kila siku lazma niuangalie yaani naisi kubalikiwa🙏
Bwana wape nguvu na hekima 🎉
Makuburi mkovizuri kwa kumwimbia mungu awalinde
Hongereni sana mt kizito makuburi, hamjawahi kukosea, ni roho mtakatifu ndiye anayewaongoza. Mbarikiwe kwa uimbaji mzuri
Makuburi mko vizuri
Hongera sana mwalimu Michael kwa kazi nzuri Mungu akutuñze
Nobody is talking about that babygirl 🥰much love from kenya❤❤❤
Wuuuuweuweeeeee... Wao Waoooooo... This is it wana KMK... Atleast we have another ufufuko hit... Keep up Malaika Waimbaji na Mtunzi Kimario. Hapa umetutendea haki kweli mkuu
Mmependeza sanaaaàaàaaà jaman hongeren Kwa kumtunza mungu
KMK hamjawahi kuniangusha, hongereni Sana Wana wa Mungu, endeleeni kumtukuza aliyejuu
This song speaks to me now
Hakika ni mzima ila mbona mmetucheleweshea hili baragumu 🥰🥰
❤🎉🎉
this is a masterpiece👌❤
🇰🇪 Kenya twawapenda kweli tena na sana.... 🙏🙏🙏
Ivi hamkujua Kama tunawapenda San.
heko kwa waimbaji na mtunzi🥰
Hongereni sana, wimbo mzuri hatuchoki kuwasikiliza....
Imendeza sana yaaani sifa na utukufu ni kwamungu.💔💔
A blessed morning ❤.
Mnatuinjilisha
WOW KUJENI KENYA MKO MELODY POA SANA
Wimbo mzuri sana
Wow am blessed 🙏
Mungu atatusamehe kwa upendo wake mwenyewe. Natutubu dhambi zetu jameni !!!
Mko vzr kazi nimeikubali,siku nyingne mtuleteee msitucheleweshee kazi nzuri Kama hiyo,utupiwe mapema,ili tuwahi kubarikiwa
Saffi kabisaa kazi nzur 🙏😅
Bomba ileee👍👍👍
Asanteni Makuburi, Mungu azidi kuwabariki kwa kadri mnavyomtukuza
Congrats Kwa organist, ... Apokee maua yake
🎉🎉🎉 kazi nzuri kwakila aliyeshiriki
These people sing like they will never sing again😅😅😅😅....Much appreciations brothers and sisters, I always love hearing from Makuburi choir
They sure do sing like will never sing again
Hongera san mt kizito makubur kwa wimbo mzuri Siku zote naangalia kaz zenu
Alleluia Kristu amefufuka
HAMKUJUA..TUMEJUA SASA.
AMEFUFUKA KWELI. THE VOICES FOR ME...VERY EXOTIC
❤️❤️ mna moto saana hongereni
Nakosa maneno!!!!! Asante kwa Mungu kwa wimbo huu. Asante Ndugu zetu wanamakuburi kutuletea somo lingine!
Jamani kila mara mwapakua ulio moto zaidi daaah 🔥🔥🔥🔥 nawapendeni sana.
Hongereeni sana wana KMK. Kazi tamu sana
Hongereni sana watumishi wake Bwana
Mungu wa mbingu azidi kuwabariki mpo vizuri
Kongolee🎉
Nawakilisha wakenya❤❤❤❤ wimbo mtamu kweli
Amazing
Aisee Mungu aendelee kutukuzwa nasi Tutakatifuzwe
Ni mzima Kweli Amém
KMK Makuburi is the best Catholic Choir of All Time. Keep going..We love y'all
Kazi safi🎉
may you be blessed from