Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Tushangilie Amefufuka - Kwaya ya BMM Yombo Vituka (Official HD Video)
Вставка
- Опубліковано 7 кві 2023
- KARIBU KWENYE CHANNEL YETU
UTAZAME WIMBO MZURI UITWAO.....
TUSHANGILIE AMEFUFUKA
MTUNZI: Pius Paul Fubusa
WAIMBAJI: KWAYA YA BIKIRA MARIA MAMA WA MUNGU(BMM) -YOMBO VITUKA
AUDIO New Hope Production
VIDEO: Tanganyika Production
KINANDA T.John Mayunga
SOUND ENG: T. John Mayunga
GUSA LINK HAPO CHINI
👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽👇🏽
USISAHAU
SHARE, LIKE, NA COMMENT
KARIBU SANA
Amina mmechangamka sn,hakika Yesu kafufuka na atufufue nasi uliokata tamaa
Kazi nzuri kweli ndugu zangu; hata baada ya Mwalimu limila kupumzika , bado mmesimama, natumaini Aliko anafuraha kuwaona Mmesimama tena! Barikiweni nyote na tuzidi kuiombea roho ya Mwalimu iendelee kupumzika Kwa amani Mbinguni.Amina
Asanteni kwa wimbo mziriwa kumsifu na kumshukuru Bwana Yesu Mfufuka
🎉🎉🎉🎉❤❤❤ Kazi nzuri sanaa nzuri
Hongereni sana BMM, Kristu mfufuka azidi kuubariki uinjilishaji wenu. 🤝
Kuzimu ameifungua.. Amina wana wa MUNGU
safi sana mpo vizuri sana
My favorite choir
Shangwe kwelikweli... Hongereni Santa BMM
Safi sana good song
Asante kwa wimbo mzuri
Hongereni sana!!!.
❤❤❤nawapenda
Hongeren sana ,kweli amefufuka,nafurahi kumwona bwana mdogo Jordan
Hongereni sana wana BMM kazi nzuriiii mno
😂😂😂😂😂😂Woyoooooooh!! Hahahah nimependa Hiii Gud
Ni njema
Twimbe aleluyaaaaaaaaaaaa
Hongereni sana, Pia pongezi kwa Mtunzi
Hakika ni shangwe kuu
Mungu awabariki Amefufuka hakika
Kaka #Pius_Fubusa nafuatilia sana kazi zako hongera sana Mungu akubariki zaidi katika #utume wako. Pia hongera kwa wote waliofanikisha kazi hii ya muziki #Mtakatifu Mungu awabariki pia.
Aleluia aleluia Deus vos abençoe 🙏 Feliz Páscoa 🇲🇿