FAMILIA YENYE WAREMBO NA WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUOLEWA LAKINI WAMEFUNGWA NA MADHABAO YA WACHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • FAMILIA YENYE WANAWAKE WAREMBO NA WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUOLEWA LAKINI WAMEFUNGWA NA MADHABAO YA WACHAWI
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 203

  • @tahnsorg3855
    @tahnsorg3855 7 місяців тому +3

    Nabii Mungu akubarik. Namshukuru Mungu kwa ajil yako naomba uniponye na familia yangu. Hao mabinti wanachopitia ndicho familia yangu tunapitia.

  • @antelmidonasian7950
    @antelmidonasian7950 6 місяців тому +1

    Mungu wa Nabii DOMINICK "naomba unisaidie nipate kazi ya kudumu .Nipate kufunga ndoA na GracE singaNo _amen

  • @JosephMbithi-ic3if
    @JosephMbithi-ic3if 6 місяців тому +1

    Mtumishi wa Mungu napitia maisha magumu saana,nafanya kazi napata Hela na hazinisaidii,mwaka Jana bibi yangu mpendwa akalala hosipitali akiugua ugongwa wa sukari na pressure,baadaye akafa na tukamzika mwezi wa saba.mengi magumu napitia na ninaitaji msaada wa amani,kumpenda Mungu na kufanikiwa katika maisha yangu.mipango mizuri ya maisha yangu nipanga sifanikiwi,ni naimani kwamba ukiniombea Mungu atanite dea na maisha yangu itangaa,ningekua na namba yako ningepiga simu tuongee na ninaimani ukiomba nitasaidika.Barikiwa sana ,Niko kenya .

    • @user-kd8wn4fm4p
      @user-kd8wn4fm4p 5 місяців тому

      Tusaidiye baba tumechaka kuka a uses baba tusadiye

  • @STARJAMAL-my4mq
    @STARJAMAL-my4mq 6 місяців тому +2

    Jameni watching from Uganda

  • @aikamringo
    @aikamringo 3 місяці тому +1

    Nabi naangaika sana kazi sipati nikipata hela haionekani naomba maombi yako

  • @user-oe6hv9wz6n
    @user-oe6hv9wz6n 7 місяців тому +1

    Ameen paster mungu akubriki sana natamani nifuke kwako unisaidie

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula Місяць тому

    Nice🎉🎉🎉

  • @user-iy2qb4iu7d
    @user-iy2qb4iu7d 6 місяців тому +1

    Ameen na Mimi naomba nyumba yangu ifunguliwe na familia yangu pastor naamini

  • @PetroMhoja
    @PetroMhoja Місяць тому

    Mugu akubaliki sana sana kwamsaada unao utoa kwamasikini walio zulumika haki zao zamafanikio

  • @florenceasindikha1374
    @florenceasindikha1374 7 місяців тому

    Amen and amen Vile uyu Bibi anakufa ata mimi mjawi wangu akufe leo nimeteseka yakutosha naomba pastor uniombeye mimi Florence kutoka kenya

  • @rebeccakibona
    @rebeccakibona Місяць тому

    Amina baba naomba ifungue family yetu

  • @GeorgiaRweyemamu
    @GeorgiaRweyemamu Місяць тому

    Barikiwa sana Baba

  • @user-ru7kp8sq3k
    @user-ru7kp8sq3k Місяць тому

    Amina natamani kufika mazabahuni kwako baba nisaidie

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 3 місяці тому

    Amen amen

  • @gfrayjulius5207
    @gfrayjulius5207 7 місяців тому +1

    Naomba maombi yako katika familia yangu pamoja na uchumi wangu pastor

  • @davidkilajaga8842
    @davidkilajaga8842 4 місяці тому

    Amen

  • @CathelinYeremiah
    @CathelinYeremiah 2 місяці тому

    Amina amina

  • @OliviaBenias
    @OliviaBenias 2 місяці тому

    Bwana asifiwe nabii Samahani naitwa Oliva Benias naomba na Mimi kifunguliwa make familia yangu sielewi

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 2 місяці тому

    Naomba niunganisheni na Mtumishi wa Mungu

  • @felistermorungu7976
    @felistermorungu7976 2 місяці тому

    AMEN

  • @WilsonJLaizar
    @WilsonJLaizar 2 місяці тому

    baba mchungaji shikamoo bwana yesu asifiwe mchungaji naomba maombi yako utuombee familia yangu familia yetu kwa ujumla hata mimi mwenyewe cyuupo salama pamoja na familia yangu naomba maombi yako baba pamoja na maombi yako niweze kuhudhiria maombi kanisani kwako sahizi nipo kenya na mimi nyumbani ni arusha Tz naomba maombi yako mchungaji

  • @user-gc8vb3gv8c
    @user-gc8vb3gv8c 5 місяців тому

    Pastor, Mungu akubariki. Na sisi familia yetu
    Mimi na watoto4 tumefungwa maisha ni
    tabu, roho ya umaskini, mafarakano. Amani hakuna. Niombee baba.

  • @user-vk5qp5gy2u
    @user-vk5qp5gy2u 3 місяці тому

    AMINAAAAA

  • @user-er5hr1od6k
    @user-er5hr1od6k 4 місяці тому

    Amen Amen Amen 🙏 🙏

  • @WinneWinnemzmbe
    @WinneWinnemzmbe 2 місяці тому

    Amena Aminaaaaaaaaaaa

  • @NyiranezaWarda-bk1yn
    @NyiranezaWarda-bk1yn 3 місяці тому

    Amen amen amen 🙏🙏

  • @RahmaAbdallah-hd7xt
    @RahmaAbdallah-hd7xt 3 місяці тому

    Amina

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 5 місяців тому

    mungu kupitiya kiboko ya wachawi nawomba unisaidiye kwenye maisha haya piya saidiya familiya yangu nawomba uwasaidiye kaka yangu wanakunywa pombe mpaka wanachanganyikiwa

  • @JOHNJOSEPH-tv4bk
    @JOHNJOSEPH-tv4bk 2 місяці тому

    Aminaa🙏🙏🙏 nionee na mimi

  • @ZainabDesouza
    @ZainabDesouza 5 місяців тому

    I trust you

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 6 місяців тому +9

    Tufungue na sisi baba tuko wazuri lakini hatuolewi na hata tukiolewa tunaachwa bila sababu. Hata tukifanya biashara hatufanikiwi kabisa. Tumeishia kuombaomba tufungue na sisi Baba kwa jina la yesu.

  • @AbdallahPembe
    @AbdallahPembe 2 місяці тому

    Baba bwana yesu asifiwe baba naomba niombee uchumi wangu hata siuwelewi naangaika muda mlefu baba

  • @MARTINEMUKANTABANA
    @MARTINEMUKANTABANA 7 місяців тому

    Bwana Yesu Asifiwe Nabii mungu azidi kukubaliki naomba na Mimi unisaidiye na family yangu🙏

  • @IssaPara-bt9hg
    @IssaPara-bt9hg 2 місяці тому

    Mungu akuongezee maish marefu mchungaji

  • @RukiaMpambanaji
    @RukiaMpambanaji 27 днів тому

    Baba naomba namma unifungulie nilikuwa napesa nimefilisika baba naomba nisaidie maishayangu yamekuwa magumu sana napambana sana lakini wapi Pesa haikai baba namba nisaidie baba

  • @SophiaAkiyda
    @SophiaAkiyda 7 місяців тому

    I receive

  • @HappyNyangasi-w7l
    @HappyNyangasi-w7l Місяць тому

    Tufungue na sis baba hatuolewi kazi hazieleweki na tumesoma

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 6 місяців тому

    Mtumishi wa mungu tufungue mimi na familia yetu kwa jina la yesu.❤❤

  • @JayMusic-fd7dm
    @JayMusic-fd7dm Місяць тому

    Naitwa abrahamu eliuze mgonja nimeteseka sana nikipatahela zinaishia kwamagonjwa naamba tabirijuu yangu 🙏🙏🙏

  • @user-hi1hi6ib4u
    @user-hi1hi6ib4u 6 місяців тому

    ❤ kifaa cha Mungu wa majeshi.... Baba nifungue

  • @user-wz6yd8wx1g
    @user-wz6yd8wx1g 4 місяці тому

    Ameen

  • @atuganilemosses5268
    @atuganilemosses5268 3 місяці тому

    Bwana asifiwe pastor
    Mdogo yangu anaumwa miezi 6 sasa
    Tumbo lake linajaa mani yakitolewa yanarudi anateseka sana naomba maombi yako apone

  • @AnaMauricioPatricio
    @AnaMauricioPatricio Місяць тому

    Amém 🙏🇲🇿 tunaomba namba baba

  • @user-gm4qi3nn9n
    @user-gm4qi3nn9n 4 місяці тому +1

    Nimeamini mtu unaemuota kila siku ndo mchawi wako na nimekuja 5z😢 ndani 6a miez mi3 mil 3 imepukutika sasa kwa jina la Yesu adui zangu mwaka huu mtakufa

  • @ClarisWayesu-qh4ty
    @ClarisWayesu-qh4ty 2 місяці тому

    Baba namm nsaidie napitia hali ngumu kiuchumi mumewangu niyeye nakudhulumiwa nandugu tuombee mchungaj

  • @ZainabuAlly-cc4ef
    @ZainabuAlly-cc4ef 6 місяців тому

    Asante baba nami napokeya uponyaji ktk jina layesu Amina

  • @magekimei4676
    @magekimei4676 Місяць тому

    Baba nabii naomba nifungue namim mim magreth john

  • @maqueen-rs6in
    @maqueen-rs6in 7 місяців тому

    I connect with you pastor

  • @UmaziMuweye-sq1jw
    @UmaziMuweye-sq1jw 3 місяці тому

    Amen Amen Amen

    • @UmaziMuweye-sq1jw
      @UmaziMuweye-sq1jw 3 місяці тому

      Amen natazama nkiwa Saudi mm n mkenya naomba maombi pastor nko na kitu kwa koo iko na miaka kama nne

    • @UmaziMuweye-sq1jw
      @UmaziMuweye-sq1jw 3 місяці тому

      Na sijui n nn haitoki

  • @saimonjuma2411
    @saimonjuma2411 3 місяці тому

    Napenda sana kukufatilia maombi kwenye yotub mtabiri wetu

  • @niyiesther6571
    @niyiesther6571 7 місяців тому

    Ameeen. Na Mimi na familia yangu tuta sheherekea mapema saaana kilio kimekwisha

  • @JOSEPHMwakibinga
    @JOSEPHMwakibinga 3 місяці тому

    Nateseka sana na maisha sielewi nimefungwa nimefanya kazi miaka mwingi lakini Sina maendeleo Kila ninalopanga halifanikiwi nisaidie nipo mbeya

  • @ReginaKaizirege-sd3hn
    @ReginaKaizirege-sd3hn 2 місяці тому

    Pastor nakuomba sana nakuomba niongee na wewe

  • @EdnaSwai
    @EdnaSwai Місяць тому

    Baba ninakuomba msaidie binti yangu kila akitafuta kazi apar anaaidia lakini aitwi

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому

    Tusaidie baba🙏

  • @user-ek5wg7jh4q
    @user-ek5wg7jh4q 2 місяці тому

    Asande mungu kwa ukombozi

  • @tamimmakame633
    @tamimmakame633 7 місяців тому

    Doing great baba

  • @SofiaMvungi-zu5tg
    @SofiaMvungi-zu5tg 2 місяці тому

    Mungu wajalie wanangu wapate wenza sahihi

  • @ImakulataLazaro
    @ImakulataLazaro 3 місяці тому

    Mabinti zangu wafunguliwe na waje. Kuolewa kwa sherhe kubwa BABA

  • @user-py3ks2ft1i
    @user-py3ks2ft1i 5 місяців тому

    Pastor na bii kiboko yawachawi naomba uniombee uchumi wangu uongezeke baba mungu akubariki

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 6 місяців тому

    Amina baba

  • @Antho-ci5we
    @Antho-ci5we 3 місяці тому

    Papa mimi Niko Muji wagoma nateseka NAMI kwa juu ya umasikini papa naomba sana mungu wako ani funguwe mimi nime fungwa Sina maisha nateseka papa na zarauliwa sana sijifaniziake kitu papa nisaidiye papa Nina langue Anto na ishi Nord Kivu na miye uniondowe bi fungo

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 6 місяців тому

    Amina Baba

  • @SililaManda-q7g
    @SililaManda-q7g 25 днів тому

    Nayitwa silila manda natokeya malawi nawomba tisayidiye kwa family yenthu kuna matatizo mengi
    Baba namama awayerewani nawatoto piya atiyerewani
    Namimi piya mwiri wangu najisikiya vibaya
    16:46

  • @user-jz5jo9hs7b
    @user-jz5jo9hs7b 6 місяців тому

    Papa.namiye.nivo..ivi.nafamiriya.yangu.nisayidiye.mawobwi.niko..Burundi..ninayitw. Niyonzima.Groriose

  • @BiteNdomba
    @BiteNdomba 7 місяців тому

    Mungu hakubariki nabii dominiki,hakulinde cku zote

  • @tatumaganga-zx1qo
    @tatumaganga-zx1qo 3 місяці тому

    Funguwa familia yamtoto wangu mchungaji

  • @njembeyehaonga5837
    @njembeyehaonga5837 5 місяців тому

    Ameni leo

  • @lembrisabraham4060
    @lembrisabraham4060 4 місяці тому

    Pasta Mungu apewe sifa,mimi naishi Arusha Arumeru Kiranyi naitwa Lemburis Abraham Paulo nimepata maombi yako ya papo hapo naomba unisaidie maisha hayaendi nikipata hela sifanyi maendeleo zinaisha hivyo hivyo na madeni ni misumari kama umegongelewa mahali naomba nisaidie Pasta kiboko cha wachawi.

  • @TABWEAlyne
    @TABWEAlyne 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana

  • @WinneWinnemzmbe
    @WinneWinnemzmbe 2 місяці тому

    Baba fungua uchumi wangu kwa jina la yesu

  • @mkuninwambelechi2446
    @mkuninwambelechi2446 7 місяців тому

    Amen 🙏

  • @user-mm7gh3yv5r
    @user-mm7gh3yv5r 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana baba uniombee na mimi baba uchumi

  • @Derrickcontez-sj3qf
    @Derrickcontez-sj3qf 7 місяців тому

    Man of God naomba ukanikumbike kwa maombi nimeteseka sana

  • @user-pv3un2yp8e
    @user-pv3un2yp8e 6 місяців тому

    Amen mtumishi

  • @ChinaKamama-oi8ue
    @ChinaKamama-oi8ue 6 місяців тому +1

    Tufungue na SS mtumishi maana mamangu toka mamangu hameondoka hajawi kupatikana mpaka Leo nimiezi ymitani hat simu haipatikani

  • @user-kq2sl8uz6x
    @user-kq2sl8uz6x 7 місяців тому

    Aminaa kubwaa 🙏🙏🙏🙏

  • @GraceBonyo-sm6ti
    @GraceBonyo-sm6ti 7 місяців тому

    Mtumishi wa mungu tunaomba utembele geita

  • @godlizennassari5525
    @godlizennassari5525 4 місяці тому

    Ameni

  • @OliviaBenias
    @OliviaBenias 2 місяці тому

    Bwana asifiwe nabii Samahani naomba na Mimi kifunguliwa make familia yangu sielewi

  • @user-pv3un2yp8e
    @user-pv3un2yp8e 6 місяців тому

    Flora Pius Amen

  • @JanethBikorimana
    @JanethBikorimana 3 місяці тому

    Nabii naomba uniombee nateseka sana na miguu

  • @user-hi1hi6ib4u
    @user-hi1hi6ib4u 6 місяців тому

    Mungu akubarki Baba kwa uduma ....naomba unisaidie Baba

    • @MusaJuma-pz9xr
      @MusaJuma-pz9xr 4 місяці тому

      Tumshuru mungu kwa kutupa kiboko ya wachawi adi anatuombea tunaponywa asante mungu angewasaidia watu kongo mungu wa amependeswa tuponywe watanzania mungu atukuzwe kwa kutupa kiboko ya wachawi

  • @TINAMSIGWA
    @TINAMSIGWA 6 місяців тому

    Kupitia madhabahu hiii familia yangu italudi kuwa na amani

  • @tatumaganga-zx1qo
    @tatumaganga-zx1qo 3 місяці тому

    Fanya utalatibu huohuo kwenye familia ya watoto wangu

  • @user-nl4jx2zw6e
    @user-nl4jx2zw6e 6 місяців тому

    Mtumishi ubarikiwe nitabiriye na Mimi nakuhomba baba

  • @DaniNnyari-sn7ye
    @DaniNnyari-sn7ye 3 місяці тому

    Naitwa dani naomba umuombee mama yangu apone miguu

  • @CalisterpauloKilingo
    @CalisterpauloKilingo 5 місяців тому

    Amina mchungaji nipo napitia magumu nisaidie

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 7 місяців тому

    Amen 🙏🙌

  • @user-gc8vb3gv8c
    @user-gc8vb3gv8c 5 місяців тому

    Mtumishi , kañisa liko wapi

  • @EsterMasota
    @EsterMasota 3 місяці тому

    Baba naomba unifunguwe niweze kupata mme sahihi wakunioa kila nikingia kwenye mahusiano yangu hayadum

  • @JessicaKapona
    @JessicaKapona 4 місяці тому

    Naitaji kujua Radio 📻 inaitwaje?? Niwe nasikiliza

  • @dorothymueni-fz8xx
    @dorothymueni-fz8xx 7 місяців тому +1

    Pastor ukiompa niompee nimetoka kenya kijana wangu alikua police nahakawacha kasi nahanaongea mpekee nakukula miraa kama mpusi nampimpi yake alienda kwao pastor nimetempea kwokwote sijavanikkiwa pastor nisaindie kijana hapone nahajijue yeye ninani narundi kasi

  • @tomatonyanya6731
    @tomatonyanya6731 6 місяців тому +1

    Hii nguvu kuna mahali inatokea sio Mungu aliyeumba mbingu na nchi jamani huyu kuna Lugha ya kuzimu katumia yakuita nguvu duh nilisikia mchungaji katekela anafundisha duh hatari sana

    • @TABWEAlyne
      @TABWEAlyne 4 місяці тому

      Mungu akusame ni kwasababu unatumaini wangaga

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 3 місяці тому

      We nae kujifanya unajua lugha za shetani😏

  • @mantagoyohanajeangekufa1087
    @mantagoyohanajeangekufa1087 7 місяців тому

    Nabii naomba maombi kwa familia yangu mototo wangu anateseka sana

  • @rahmamwakyusa5843
    @rahmamwakyusa5843 3 місяці тому

    Baba mbona redioni hatukupati mbeya na Huwa unapatikana redio gan
    Mwanzo nilikuwa nakupata saizi sikupati tena.
    Hata sisi kwenye familia yetu tunashida kama hiyo ninaomba utuombee baba

  • @PetroMhoja
    @PetroMhoja Місяць тому

    Nami naitaji kuokolewa niko bali naumaskn umenikadamiza najitahidi kutoka lakini inakua gumu naitaji kuokolewa mimi petro mhoja

  • @user-fy9vi2lp6p
    @user-fy9vi2lp6p 6 місяців тому

    Eva Florence Gawile, nisaidie mume wangu Gerald Mkama Misana aache pombe na apate kazi za mkataba.

  • @addo1776
    @addo1776 5 місяців тому

    Na mim naomba familia yangu ifunguliewe kiuchumi na tuponywe magonjwa eeeh baba nasi utuone

  • @zakariamwamburi-7940
    @zakariamwamburi-7940 3 місяці тому

    Kweli mimi nimefanywa maskini maliza Adui yangu