ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • ALIYEKUWA AKILETA NYOKA WA KICHAWI KANISANI AKAMATWA NA HIRIZI NYEKUNDU
    #peace #scripture #biblestudy #photooftheday #instagood #music #o #praise #travelphotography #kirche #igreja #life #nature #italy #chiesa #inspiration #churches #history #sunday #iglesia #picoftheday #bhfyp #family #instagram #jesuslovesyou #cathedral #photo #community #landscape #jesussaves

КОМЕНТАРІ • 235

  • @JohnLukumay-wb2db
    @JohnLukumay-wb2db 2 місяці тому +3

    Mungu akulinde nakupenda bure baba

  • @Yasinta-cb6bt
    @Yasinta-cb6bt 29 днів тому

    Mungu akutie nguvu m2mishi niombe na matatizo na watoto wangu naomba mungu awatulize maana wanahangaika Sanaa naitwa yasinta p kimario

  • @ellykawa4755
    @ellykawa4755 3 місяці тому +3

    Kama mtu huna imani na nabii kaa kimya wacha ss tunaemwamini tupate uponyaji kwa jina la Yesu na kwa damu ya Yesu wachawi wafeee kabisaaaaaa

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 3 місяці тому +3

    Mimi sitaki kujua kama ni mganga au mchungaji ila ninachotaka wachawi wote wafe.

  • @PiusMaira
    @PiusMaira 2 місяці тому +1

    Yesu yupi ,tamka kwa jina la Yesu kristo mkombozi wa ulimwengu.

  • @priscashiyo9392
    @priscashiyo9392 Місяць тому +1

    Mbwana Yesu asifiwe mchungaji naomba umwombee mjukuu wangu haongeei vizuri. Sasa hivi anamiaka 7 naomba msaada wako Niko Arusha

  • @ngenabuloze9984
    @ngenabuloze9984 Місяць тому

    Amen

  • @ManVoice-tk4dx
    @ManVoice-tk4dx 5 місяців тому +1

    Nakupenda sana mtumishi wa mungu ninazawadi yako

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula Місяць тому +1

    Nice🎉🎉🎉

  • @LuciaMwijarubhi
    @LuciaMwijarubhi 3 місяці тому

    Baba kazi yako ni njema na mwenyezi mungu aendelee kukutumia kutusaidia,baba imi naomba uniombee na familia yangu hatuna amani wala fulaha tumekuwa ni watu wakutengeneza maneno ya kutuumiza wenyewe na tunashindwa hata kusaidia,baba naomba uniombee pia mahusiano haya niliyonayo.

  • @user-dc7hj6uj3r
    @user-dc7hj6uj3r 3 місяці тому

    Baba kwa jina la Yesu anayekutumia nami naomba unisaidie kaka yangu anaumwa Mungu na alishakatwa mguu mmoja na Sasa wapili anatakiwa kukatwa nisaidie vilevile Mtoto wangu simuelewi ameisha udhurua hapo kwako naomba unisaidie baba

  • @user-dc7hj6uj3r
    @user-dc7hj6uj3r 3 місяці тому

    Kazi zako baba ninzuri sana naomba unganishe familia yetu na vile vile mm nawaombea sana familia yangu matokeo yake naitwa mchawi baba niombee kama nimchawi bila kujua sipendi uchawi wachiwi wabaya nami kama mchiwi nife

  • @edwineMbuya-nd9gb
    @edwineMbuya-nd9gb 2 місяці тому

    Nabii niombee Kazi zamikono yangu wabaya wangu wapigwee kwa jina la Yesu Kristor

  • @martinbarabara4370
    @martinbarabara4370 3 місяці тому

    nabii kiboko ya wachawi niombee mimi na ukoo wangu maisha ya furaha na amani naandaa kikao mwezi wa sita 2024

  • @francismalisho5862
    @francismalisho5862 2 місяці тому

    Nabii kwanza napongeza kazi yako naona mungu akikutumia vizuri,
    Mimi kwa majina naitwa Francis John Naomba unisaidie kwa maombi kwani mambo yangu kiuchumi umeyumba sana kila ninapo Pata kazi sidumu katika kazi nikifanya biashara zinakufa tu, kazi hazipatikani mke wangu anaumwa sana na meno, mwanangu mkubwa ameshahangaika sana kutafuta kazi hapa
    TAFADHALI sana nabii nisaidie katika swala Zima la kiuchumi nirudi kama mwanzo ubarikiwe sana baba

  • @catherinemaua5115
    @catherinemaua5115 2 місяці тому

    Akufe katika jina la yesu

  • @happymwangoka6203
    @happymwangoka6203 3 місяці тому

    Mungu wanabii was uchawi kila uchawi utakao inuka juu yangu uteketee Kwa moto Kwa jina la YESU

  • @katabaronsheka2665
    @katabaronsheka2665 3 місяці тому +1

    Kazi Nzuli Baba

  • @Gracenassary-zv4qc
    @Gracenassary-zv4qc 2 місяці тому +1

    Wachawi wanatutesa,babaa tusaidie watoto wangu awajapata ndoa,wakike na wa kiume

  • @user-kx2wp2ox4d
    @user-kx2wp2ox4d 5 місяців тому +1

    Kwo unakubali mchawi akutese mbona mnamtukana mtumishi WA mungu ? Ujue maandiko ya biblia yanasema usiache mwanamke mchawi kuish Baba mungu akulinde miujiza yesu aliye kuwa akizisema asante❤❤❤❤❤❤

  • @RoseGabriel-l6v
    @RoseGabriel-l6v Місяць тому

    Bwana yesu asifiwe mtumishi baba napitia majaribu makubwa sana sina kaz kila mwanaume ninae ishi naye ananiacha mimba sibebi baba najuwa wewe ndie msaada pekee kwenye maisha yang

  • @FarajaMapunda
    @FarajaMapunda 2 місяці тому

    Mtumishi naomba unisaidie binti yangu wa kidato cha pili kusumbuliwa na kifua mara tu anaporejea shuleni.pia naomba umponye na mama yangu mzazi anayesumbuliwa na kuishiwa damu mara kwa mara, amina.

  • @catherinemushi6360
    @catherinemushi6360 3 місяці тому

    Tabiri juu yangu baba naomba nisaidie napata shida kwenye maisha yangu

  • @AsiaMsemo-ox1tg
    @AsiaMsemo-ox1tg Місяць тому

    Kama kuna mtu anayemroga mtoto wanga aungue kwa jina la yesu amen

  • @UmaziMuweye-sq1jw
    @UmaziMuweye-sq1jw 4 місяці тому

    Amen Amen Amen

  • @magekimei4676
    @magekimei4676 Місяць тому

    Mungu ni mwema Nabii naomba ntabirie mim Magreth John

  • @user-xj6yn1qv9p
    @user-xj6yn1qv9p 5 місяців тому

    Barikiwa baba naomba unikomboe mm nafamilia yangu baba tunateswa sana nawachawi

  • @WinfridaJoseph-c8u
    @WinfridaJoseph-c8u 23 дні тому

    Jaman uyonae hatar kutuma nyoka akiamungu

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 3 місяці тому

    Mtumishi wa mungu naomba kuniombea

  • @ellykawa4755
    @ellykawa4755 3 місяці тому

    Nabii kiboko wa wachawi mwombee kaka yangu Onisaeli Jackson yko kalazwa Muhimbili hali yake sio nzuri kabisa vipimo vinaonyesha ana homa ya ini amepoteza kumbukumbu kabisa kwa uwezo wa Mungu kupitia wewe najua utapona

  • @TinaModest-hh2pf
    @TinaModest-hh2pf 7 місяців тому

    Njoo Arusha mtumishi watu wapone....Umeitwa na Mungu kufanya kazi hii...wanaokupinga ndio wachawi namba moja...walipue

  • @PeterLaiza-zu3iz
    @PeterLaiza-zu3iz 3 місяці тому

    Mtumishi bwana yesu asifiwe naomba uniombe. mim nafamily yang namme wang pya naomba uniombe nijifungue salam

  • @luendosabah2047
    @luendosabah2047 4 місяці тому

    Mchawi anaye loga family yangu afe sasa hivi kwa jina la Yesu.

  • @RobertMilamba
    @RobertMilamba 4 місяці тому

    Nabii mungu azidi kukulinda zaidi kwa kazi ya mungu unayoitenda wengi wanafunguliwa wengi wanaponyeka nami nitende Nabii mambo yangu yafunguke Kila kilichofungwa kifunguliwe kiuchumi kiafya ni Mimi Robert Mathias milamba nipo Temeke Mbande

  • @SophiaMichael-k4u
    @SophiaMichael-k4u 2 місяці тому

    Baba.mungu naakubari naomb muombe bitiyangu hasiki..masikio

  • @RechoSanka
    @RechoSanka 3 місяці тому

    Amen amen 🙏🙏🙏

  • @fapypano9684
    @fapypano9684 3 місяці тому

    Baba mungu akuzidishie nguvu zaid.tuombee nas tuijue kweli yake.

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c Місяць тому

    Marine water

  • @user-bg3dx3qt8b
    @user-bg3dx3qt8b 4 місяці тому

    Niombee baba naomba uniombee nifunguliwe Mimi na familia yangu pia naomba umuombee mama yangu apone maradhi yanayomsumbua Mimi berry Tarimo

  • @AnnaLyatuu
    @AnnaLyatuu Місяць тому

    Jamani hawa watumishi wa Bwana hawajajiita wenyewe wametumwa na mungo acheni kuwakashifu kikubwa ni IMANI

  • @Patricksabore
    @Patricksabore Місяць тому

    Mungu akuongeze zaidi

  • @magebenedict823
    @magebenedict823 Місяць тому

    Amen baba

  • @VailetiMushi
    @VailetiMushi 2 місяці тому

    Amina Baba yetu

  • @HawaMtayogola
    @HawaMtayogola 6 місяців тому

    Akufe leo kwa jina la yesu

  • @SiteraMushani
    @SiteraMushani 3 місяці тому

    Mungu nawomba uniponye mauvimbe kwenye kizazi

  • @MonicaMohina
    @MonicaMohina 3 місяці тому

    Mungu akubaliki sana mchungaji

  • @RachelJoseph-cb6vb
    @RachelJoseph-cb6vb 3 місяці тому

    Ubarinkiwe saaana BABA

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 6 місяців тому +1

    Mnaontukana mtumishi ipo siku mtamtafuta aawasaidie

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 4 місяці тому

    baba nabii mungu akulinde wanawo pigana nawewe mungu apigane nawo uwawachawi

    • @FrankMushi-cs5js
      @FrankMushi-cs5js 3 місяці тому

      Wewee acha upumbavu amna mchungaji hapo nimaigizo tuuu

  • @IreneWilly-gk3gd
    @IreneWilly-gk3gd 4 місяці тому

    Naomba niokoe mtumishi wa Mungu

  • @GraceKaguo
    @GraceKaguo 5 місяців тому +2

    Naomba yoyote aliyechafua Familia zetu aadhibiwe

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c Місяць тому

    Dying beared

  • @MbarakaHussein-hm3oi
    @MbarakaHussein-hm3oi 3 місяці тому

    nabiiii kazi yako nimeiyona mungu akubaliki sana tena sana

  • @NaaminEmanuel
    @NaaminEmanuel 2 місяці тому

    Kuja kwetu kilimanjaro jamani wilaya same kata hedaru;;! Mungu akupe kibali mtumishi

  • @furahakiza1782
    @furahakiza1782 3 місяці тому

    Amina sana

  • @FaudhiaAthuman
    @FaudhiaAthuman 3 місяці тому

    Nisaidie baba ali yangu inabadika kila siku na sio maisha yangu aya

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti Місяць тому

    Neno la Mungu linasema usimwache mchawi aishi hivyo huyo mchawi kifo ni haki yake kabisaaaaaa.

  • @aminarama711
    @aminarama711 7 місяців тому +2

    Njoo Kenya please sisi tunahitaji msada wako

  • @MagrobiUrasa
    @MagrobiUrasa 3 місяці тому

    Aminaa

  • @user-gw4kg3uc3z
    @user-gw4kg3uc3z 5 місяців тому

    Achakumtukana mtumishi was mungu

  • @zakariamwamburi-7940
    @zakariamwamburi-7940 2 місяці тому

    Nakuamini paster watching from kenya

  • @MerryKmwaitolage
    @MerryKmwaitolage Місяць тому

    Funga mdomo kama uamini acha si tuamini wengin wamekufa so kwa mapenzi ya Mungu ko Mungu anamtumia mtumishi mungu akuponye

  • @magrethmrutu7298
    @magrethmrutu7298 7 місяців тому +1

    Nabii tunakuomba sana kipindi cha redio na sisi wa Moshi tupate

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 місяців тому

    Lifeee tuu! Tuanateseka sana.

  • @AsteriaJoseph
    @AsteriaJoseph 2 місяці тому

    Uje na shinyang mtumish

  • @sarahMbilinyi-e8q
    @sarahMbilinyi-e8q Місяць тому

    Mm nashanga watu kila mtushi mushawi kwahio mnataka twende kwawanganga hatuachi kamwe

  • @priscashiyo9392
    @priscashiyo9392 Місяць тому

    Naomba msaada kwa watoto wangu mchungaji

  • @ManVoice-tk4dx
    @ManVoice-tk4dx 5 місяців тому

    Naitwa kadoda Mohamed niombee mtumishi wangu

  • @fapypano9684
    @fapypano9684 3 місяці тому

    Naomba yeyote anaetesa familia yangu asiione Kesho

  • @user-gy3ge6xn2k
    @user-gy3ge6xn2k 4 місяці тому

    Baba naomba unisaidie naumwa baba,naitwa Ashula moshi

  • @SuzanaOlonde
    @SuzanaOlonde 7 місяців тому

    Wachawi wabaya sana wafe

  • @MagrobiUrasa
    @MagrobiUrasa 3 місяці тому

    Amina

  • @celesGamez
    @celesGamez 7 місяців тому

    Ameeen

  • @user-oy9hg5iz6g
    @user-oy9hg5iz6g 2 місяці тому

    Nikweli hata na mimi weme mukibiza mama yangu😢😢😢

  • @eaglegirl907
    @eaglegirl907 5 місяців тому

    Nakuomba baba angu Dominic kiboko ya wachawi baba nabii niokoe baba angu baba😢😢

  • @KasukuAlex-ex9bk
    @KasukuAlex-ex9bk 7 місяців тому

    Akate Moto baba wanatutesa ss

  • @user-ly6qh2ip9e
    @user-ly6qh2ip9e 6 місяців тому

    Amin

  • @DoanaJoseph-yv6bx
    @DoanaJoseph-yv6bx 3 місяці тому

    Naomba baba niisaidie nipate kupona Afya yangu na familiya yangu ipokeee kazi ndoa na nilipwe pesa zangu walizonizurumu

  • @MarthaRobert-lj4de
    @MarthaRobert-lj4de 4 місяці тому

    Mmeshindaje uko

  • @user-hx9qf6vz4i
    @user-hx9qf6vz4i 2 місяці тому

    Sichoki kuamin unachokifanya nabii niponye maumivu yangu ya kiuno na mgongo tumbo pamoja na kichwa nateseka kwa jina la yesu ntapona naita korudul

  • @Tadei-uk2hu
    @Tadei-uk2hu 3 місяці тому

    Tuna kupata vizur

  • @user-vm4xx6uu4j
    @user-vm4xx6uu4j 7 місяців тому

    Ameni

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 3 місяці тому

    Nami nipo marekani naomba maombezi yako🙏🏿

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 7 місяців тому +2

    Eeee Mungu wangu wafungue watu wako macho,akuna maombi ya kuombea adui yako mabaya.
    Mathayo 5
    43 Mmesikia kwamba imenenwa, Umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako;
    44 lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi,
    45 ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
    46 Maana mkiwapenda wanaowapenda ninyi mwapata thawabu gani? Hata watoza ushuru, je! Nao hawafanyi yayo hayo?
    47 Tena mkiwaamkia ndugu zenu tu, mnatenda tendo gani la ziada? Hata watu wa mataifa, je! Nao hawafanyi kama hayo?
    48 Basi ninyi mtakuwa wakamilifu, kama Baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

  • @user-kz6sx2yq8g
    @user-kz6sx2yq8g 4 місяці тому

    Naomba baba msaada wako uniokoe Mimi mwanao ninapitia shida kubwa ya kes

  • @EdinaKagoma
    @EdinaKagoma 2 місяці тому

    Baba mume wangu amepata ajari kwa njia yakutatanisha amefariki nisaidie

  • @Jamesijonasi
    @Jamesijonasi 7 місяців тому +6

    Yani wew Mchungaji unajiita Kiboko yawachawi Wewi Ndomchawi Unaye roga watu kwenye hiyo mazabahu yako. kazi ya Mungu nikuhuwisha vilivo kufa vipate uhai sasa wew unasema eti unanguvu yakua Kama sio shetani Anakutumia

    • @credychipungahelo496
      @credychipungahelo496 7 місяців тому +5

      Nyamaza wewe kaa na wachungaji wako wanaokuwa na huruma za kijinga

    • @user-gs3ji9eg3m
      @user-gs3ji9eg3m 7 місяців тому +2

      Kila mchawi afe kabisa akafie kwao huyo

    • @user-gg9us4rd8d
      @user-gg9us4rd8d 7 місяців тому

      Pole sana

    • @winfordmosha11
      @winfordmosha11 7 місяців тому +3

      Hata Kama Ni mchawi hiyo uchawi yake nimeipenda YESU KRISTO aliitwa mkuu wa belzebuli

    • @user-vm4xx6uu4j
      @user-vm4xx6uu4j 7 місяців тому +6

      Kama yy ni mchawi sisi hatujui, kama yeye ajatumwa na Mungu sisi hatuji tunachojua ni kwamba anataja jina la Yesu watu wanafynguliwa hiyo inatosha nadhani, na kuna watu wanafanya mambo ya ovyo na hawasemwi bora huyoanasaidia watu

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c Місяць тому

    Hii Ni mchezo

  • @esthershaban1732
    @esthershaban1732 3 місяці тому

    Baba mimi nipo zanzibar nataka unionbee pamoja na familia yangu ganzi imetAwala kwenye nyumba yangu

  • @CellinDion-ic9kn
    @CellinDion-ic9kn 3 місяці тому

    Ata bibilia imeandikwa usimuache mchawi aishi

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 3 місяці тому

    Mtumishi wa naomba kuniombea ninashinda

  • @DanielDamianDanielDaniel
    @DanielDamianDanielDaniel 4 місяці тому

    Naitwa Daniel Damian. Naomba maombi yako Mtumishi. Mpango yangu haifanikiwi kila nikipanga

  • @SalamaKadeyi
    @SalamaKadeyi 2 місяці тому

    Mutumishi Naomi uniombeye

  • @ndongokazi3263
    @ndongokazi3263 4 місяці тому +1

    Usitukane wala kukashifu mtumishi kama imani y'ako haijaongeaa na wewe unapita tu . Hujui jinsi watu wanavopitia magumu KWA ushuhuda zaidi tembelea mtu aliyefunguliwa na huyu mtumishi ndo utapata the general overview

  • @GmathewMathes
    @GmathewMathes Місяць тому

    Mtumishi mtotowangu wa kwanza hayukosawa hata sasa yuko kidato cha nne lakini wamefukuza ninae nyumbani kama kuna uchawi uliofanyika ufe arudi shuleni anaitwa richard godfrey msumari

  • @TumaiValentine
    @TumaiValentine 3 місяці тому

    Unajuwa watu wanao mtukana nabii niwale wasiyo juwa kitu

  • @user-zq1bn8zs2v
    @user-zq1bn8zs2v 3 місяці тому

    Ungemuuliza kwanza kwanini anafanya ivyo na ninani kamtuma na akafie uko kwajina la.yesu sina uruma kabisa na wachawi dawa ya mchawi nikuuliwa tu

  • @UpendoChurch-u6c
    @UpendoChurch-u6c Місяць тому

    MUNGU hasaidiwi Na maji,Huu wako Ni uchawi

  • @PachaPanga
    @PachaPanga 3 місяці тому

    Wafeeeee wanaotutesaaaa

  • @JacklineSikuyakwenda
    @JacklineSikuyakwenda Місяць тому

    Uishi milele baba