NABII AJITOLEA GARI KWA JESHI LA POLISI NI UKARIMU MKUBWA SADAKA YA MWAKA PART|1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • KIBOKO YA WACHAWI AJITOLEA GARI KWA JESHI LA POLISI NI UKARIMU NA UKARIBU NA SERIKALI YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA PART|1
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 56

  • @RaphaelKanju
    @RaphaelKanju Місяць тому

    Bwanayesu asifiwe mtumish hakika Mungu amekuleta kwaajili ya Tanzania na watu walioko ndani yake hakika mwenye Iman atapona kupitia neno lako

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k Місяць тому

    Watanzania wana utu sana nimejionea kwa macho yangu Mungu aniwezeshe nyuma ya myaka nitoke uraya Nije kuishi tanzania

  • @pambanassoro
    @pambanassoro 7 місяців тому +2

    Barikiwa sana mtumishi ongela Kwa huduma nzuri mungu azidi kukuinua

  • @fransiskamwingara2482
    @fransiskamwingara2482 7 місяців тому +8

    Naitwa fransiska mwingira Baba naumwa mwaka 4 Baba kutembea siwezi kukaa siwezi kurara kwangu shida Baba ninakidonda Baba linasumbua nisaidie Baba nateseka sana

    • @user-wp8ip4jn6j
      @user-wp8ip4jn6j 7 місяців тому +1

      Mwambiye mtu akupeleke ndugu yangu kwa hivyo humpati

    • @user-wp8ip4jn6j
      @user-wp8ip4jn6j 6 місяців тому

      Basi nisaidiye wewe uwende kws niaba yangu

    • @madamboss6323
      @madamboss6323 5 місяців тому

      Mpijie sim mamy

    • @user-wp8ip4jn6j
      @user-wp8ip4jn6j 5 місяців тому

      @@madamboss6323 nigaiye namba yake

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 3 місяці тому

    Baba kiboko ya wachawi Niko Arusha sakina baba nateseka madeni maisha yangu magumu kila ninachofanya kina feli nimekata tamaa baba wototo wangu wako nyumbani Kodi Nadaiwaa Ada Nadaiwaa baba naomba uniambie Nini kinanitesa Sina furaha na maisha kabisa nisaidie baba nimetafuta nauli nije sijapata naomba msaada baba yangu nakupata sanaa mida hii nakusikilizaa baba

  • @user-ek6vi1uz8q
    @user-ek6vi1uz8q 7 місяців тому +1

    Barikiwa sana Nabii kwa kazi nzuri

  • @IriniKessy
    @IriniKessy 7 місяців тому +2

    Amina Baba ubarikiwee sana

  • @user-ui4nf5fp7t
    @user-ui4nf5fp7t 6 місяців тому

    Tukujie hapa Kenya nabii, tunakufatilia Sana mtumishi nitabirie nami maisha yangu pia mtumishi

  • @ErickHonest-z4h
    @ErickHonest-z4h Місяць тому

    Mungu alibariki sana Baba

  • @user-qt3sw3iw3y
    @user-qt3sw3iw3y 5 місяців тому

    Mungu akubariki. Pastor

  • @methodywela7827
    @methodywela7827 2 місяці тому

    Baba niombee nifunguliwe na nguvu za giza kwangu na familia yangu kila mchawi naalie tuma majini yaaina yoyote afe namimi nipone nafamilia yangu

  • @user-hn4cu7xb9p
    @user-hn4cu7xb9p 2 місяці тому

    Naitwa Joanitha Phirbet,nasumbuliwa mizumi,pa

  • @lucypangahela5603
    @lucypangahela5603 7 місяців тому +1

    Nimefurahi SANA BABA Mungu akutunze sana umekua 😂😂🙏🙏🙏zawadi kubwa kwetu

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 3 місяці тому

    Naitwaa jeni lyatuu Niko Arusha baba naomba msaada natesekaa baba uchumi madeni nimekataa taamaa naomba nisaidie kiboko ya wachawii

  • @agnesnachicha9973
    @agnesnachicha9973 6 місяців тому

    Ninaitwa Doris nipo Mtwara, baba nisaidie kufungua maisha yangu, nina miaka 58 sina maendeleo yoyote, kila nilifanyalo halina muendelezo wowote.

  • @SakinaMfyagisa
    @SakinaMfyagisa 4 місяці тому

    Naomba nitabilie nabii

  • @shehebakar-gr1fm
    @shehebakar-gr1fm 7 місяців тому +1

    Kiboko ya wachawi nisaidie baba nimeshuka kiuchumi sana ,mume wangu mwaka wa kumi anaumwa rehema

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 7 місяців тому +1

    Amen

  • @user-fl6hy8ek2v
    @user-fl6hy8ek2v 7 місяців тому +2

    Naitwa rose baba..nataka unabii juu ya maisha yangu kuhusu ndoa ninan mwanaume sahihi kati ya sebastian

  • @user-ql7wl7iw2z
    @user-ql7wl7iw2z 5 місяців тому

    Nabii Nina mtoto Ambae ana uvimbe waanatazamia kumuweka upasuaji alhamis ya mwez wa tatu baba naomba maombi Yako,

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 5 місяців тому +1

    umekosea kuaoa upareni ni wachoyo kwa kirakitu ndugu zako hawatokaa kwako

  • @mariakalegi1714
    @mariakalegi1714 6 місяців тому

    Kuwa na maneno ya kumuogopa mungu kutoa maneno ya kejeli kwa watumishi wa mungu

  • @PulkeriaMahundi
    @PulkeriaMahundi 3 місяці тому

    Banana yesu asifiwe,naitwa pulkeria jonasi niomba uniombee nipate kufunguliwa ninapambana sana kimaisha lakini cifanikiwi maintains yangu

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 7 місяців тому +1

    Danganya toto hiyo kwanini huko ni kufanya wema kwa mwenye uwezo unampa aliyenacho mayatima wapo hoi wengine wapo kanisani kwake kuna nini hapo wewe kiongozi wa aina gani kwa hiyo ulipotoa zawadi ukabakishwa hiyo ni nini sasa wewe unajiona upo vizuri kweli una shida sana

    • @ombenkallenge1924
      @ombenkallenge1924 7 місяців тому

      Hata bible inasema "mwenye nacho ataongezewa na hasiye nacho atanyanganya hata kile alichonacho " fikiria 🤫

  • @user-pf8pj9oj9b
    @user-pf8pj9oj9b 7 місяців тому +1

    Naitwa mage baba nione nisaidie wachaw wamefuga tumbo lagu

  • @scolaebenezer4538
    @scolaebenezer4538 3 місяці тому

    Niombee nipate kufunguliwa maisha yangu kiuchumi

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 7 місяців тому +2

    Waumini wanalia shida

  • @tumsifurudovikoNtakamulenga
    @tumsifurudovikoNtakamulenga 3 місяці тому

    Naitwa tumusifu rudoviko Ntakamulenga ninashinda yadeni ninatakamiteja wakaritus nikamuuzie nikaripedeni nitakuja kushukuru pasita nisaidie niriwahikufika hapo kanisani ubarikiwesana

  • @MosesMauboo
    @MosesMauboo 4 місяці тому

    Baba naomba unixaidie dugu zang amenitenga

  • @TumusifurudovikoNtakamurenga
    @TumusifurudovikoNtakamurenga 4 місяці тому

    Nabi uwa mikubwa wangu ananisumbuwasaana Johnston John goma ananizurisaana

  • @furahaabonga6642
    @furahaabonga6642 5 місяців тому

    Tanzania akuna hutu wowote,subiri siku hao mashemashi wakuibie ndo utaelewa.

  • @noelimlinga9694
    @noelimlinga9694 7 місяців тому +1

    Naomba kujua jina linatoka nani kwa mimi ninae taka kutuma sadaka kwa njia ya m-pesa

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 7 місяців тому +2

    pesa za waumini

  • @mantagoyohanajeangekufa1087
    @mantagoyohanajeangekufa1087 7 місяців тому

    Amina

  • @miriamjgoliama3513
    @miriamjgoliama3513 7 місяців тому +1

    Mwaka huu usipite bila kunipa heshima

  • @MeshakShedrack
    @MeshakShedrack 3 місяці тому

    Kiboko ya wachawi niombee nipate kazi kila siku pesa kila siku

  • @janelyatuu1135
    @janelyatuu1135 3 місяці тому

    Naomba unifungue

  • @ItonIsack-yj6me
    @ItonIsack-yj6me 7 місяців тому

    Naitwa ton baba naomba uombee matokeo yangu ya kidato cha NNE yawe mazuri

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 5 місяців тому

    sisi wa tz kanisani kwako atukipendi ccm wengi sisi ni cdm au chadema

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 7 місяців тому

    Hzo hela si sadaka za haoo unaoowaibia😊

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 7 місяців тому

    ❤❤❤

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 7 місяців тому

    Barikiwa baba sana

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 7 місяців тому

    Endelea kuwaibia

  • @RhodaMshana-ih4qu
    @RhodaMshana-ih4qu 7 місяців тому

    Baba naumwa miaka míngi kidogo naguswa na maombezi Yako utanissifiaje,?

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 7 місяців тому

    Hizo hela si ndio sadaka za wajinga unAOWAPIGA

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 7 місяців тому

    Serikali na dini wapi na wapi

  • @user-ig8ps1oc1w
    @user-ig8ps1oc1w 7 місяців тому

    Baba nitabirie Mimi n emanuelkimario

  • @AidanBosco
    @AidanBosco 7 місяців тому

    😅😅😅😅😅😅

  • @RaphaelKanju
    @RaphaelKanju Місяць тому

    Bwanayesu asifiwe mtumish hakika Mungu amekuleta kwaajili ya Tanzania na watu walioko ndani yake hakika mwenye Iman atapona kupitia neno lako