TAZAMA MTOTO NA MAMA YAKE WALIVYOPITIA MAISHA MABAYA NA ROHO YA KUKATALIWA
Вставка
- Опубліковано 1 січ 2024
- TAZAMA MTOTO NA MAMA YAKE WALIVYOPITIA MAISHA MABAYA NA ROHO YA KUKATALIWA
#church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig
Amina baba
Amina
Mtumishi Nabii niombee roho ya madeni iondoke na kupata mafanikio ya kiroho na uchumi Gilba Costa
Amen 🙏🏿🙏🏿
BwanaYesu Kristo wa kiboko ya uchawi mfungue kwenye madawa ya kulevya .Amen.
Naomba baba watoto wangu wawili tomas na elia wafunguliwe na mali yangu alipe ninaemdai
amina baba gody nashida mjombaangu kafariki kifo chake hakikueleweka niko ruvuma
Baba cm azipokelew
Baba wakiboko yawachawi niombe baba nipone maradhi
Wachawi wote wafe wanatuharibia maisha sana
Wachawi wa Chwele Bungoma wakufe
Kama mimi baba
Hao michawi ichomwe moto.Yanajifanya kushikilia maisha ya wa2.
Na bii unapo mfungua huyo mama na mmnapokea kwa ajiri ya mwanangu eliki na princess
Naomba niguse mimi
Niguse na mimi kwenye tumbo langu la uzazi baba
Nikombolee ndoa yangu mtumishi wa mungu tumeishi miaka name lakini mwanamke alimshika mume wangu na madawa saigine anatuogelesha vizuri sazingne ywatublock fahamu baba nisaidie