NDUGU WAWILI WASHEA MUME NA KUMZALISHA MMOJA NA KUKIMBIA NYUMBANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • NDUGU WAWILI WASHEA MUME NA KUMZALISHA MMOJA NA KUKIMBIA NYUMBANI
    #church #jesus #god #bible #christian #love #faith #worship #jesuschrist #gospel #prayer #christ #architecture #christianity #pray #photography #holyspirit #godisgood #travel #hope #blessed #bibleverse #art #catholic #grace #truth #amen #believe #religion #ig

КОМЕНТАРІ • 129

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 7 місяців тому

    Amen naomba waliyonifunga maisha yangu uchumi wangu wateketee kwa jina la yesu

  • @Milodominic-in4ub
    @Milodominic-in4ub 2 місяці тому

    Nibaliki kiuchumi na kimaisha naomba uniombee imani yangu iongezeke amen

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 7 місяців тому

    Amen napokea kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mikono wa watu wa giza kiuchumi ndoa ujenzi gari uzao

  • @JoyceMhangilwa
    @JoyceMhangilwa 5 місяців тому

    Amina Baba nafuatilia sana maombi Yako na Mimi Mungu anikumbuke

  • @MwanduKombe-wp8dm
    @MwanduKombe-wp8dm 5 місяців тому

    Amen mtumishi naimani namm nikifika nitapona matatizo yangu ❤❤😢😢

  • @IgnasRaymond
    @IgnasRaymond 5 місяців тому

    Mtumishi tunakuombea uzidi kutusaidia katika jina la Yesu Kristo amina

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому +1

    Amen I received

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 місяців тому +1

    Ameen mtumiishi naomba nami nikatendewe km unenavyo

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 5 місяців тому

    Baba mi nakupenda sana ipo siku na mimi nitafunguliwa hiro naamini nipo kwenye ndowa uke wenza wa3 mimi wa2 ila nimepata vita sana wakati wa kuzaa hadi nimechanwa fuko la uzazi na mitihani mingi kama kuna mke mwenzangu yoyote ananiendea kinyume na afe kwa jina la yesu

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 4 місяці тому +1

    Baba naitwa supat kukay nitabiriye nipate izo pesa Niko kwenye maisha magumu baba yangu

  • @user-up8xw2xg5b
    @user-up8xw2xg5b 8 місяців тому +1

    Naomba iwe kwangu kwa jina la yesu

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 7 місяців тому

    Naomba waliofunga maisha yangu wateketer katika jina la yesu wafe wote

  • @rithanickolaus2881
    @rithanickolaus2881 4 місяці тому

    Naitwa ritha mwakasege baba naomba unifungue kiuchumi nipovibaya maisha yangu yapohatarini,nipo kisemvule

  • @user-xg3pe7du7v
    @user-xg3pe7du7v Місяць тому

    Atari sana. Tunaitaji huruma ya mungu.

  • @HildaMarcus
    @HildaMarcus 4 місяці тому

    Amina Baba namimi nafatilia kipindi ipo siku nami nitafungulia

  • @OdiliaEduard
    @OdiliaEduard 3 місяці тому

    Ubarikiwe baba Kwa kutusaidia

  • @joeloileoile4786
    @joeloileoile4786 6 місяців тому

    Mtumishi na kutazama nikiwa Kenya naomba kupokea huo mafuta natamani sana .naitwa SAVERIO ADUNGO niombee shida ya familia asante

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 7 місяців тому +1

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @user-ey7ub3it7n
    @user-ey7ub3it7n 7 місяців тому

    naitwa Ibrahim chembele Baba mchungaji naomba unitabilie lakini pia uniombee maana maishayangu siyaelewi kabisa Baba mchungaji nakuomba

  • @angolina1768
    @angolina1768 5 місяців тому

    Nakupenda baba Mungu akubariki ❤❤❤❤

  • @hassanzuber
    @hassanzuber 2 місяці тому

    Nisaidie mtumishi nimevunjika mguuni ninamuda mrefu mtumishi

  • @NakuYona-kn6us
    @NakuYona-kn6us 3 місяці тому

    Baba🎉ameeni nimefurahi sana kuna cku nitakuja

  • @magekimei4676
    @magekimei4676 Місяць тому

    Nabii naomba ntabirie maisha yangu naitwa mage kimei

  • @user-pv3un2yp8e
    @user-pv3un2yp8e 6 місяців тому

    Flora Pius Amen najiapatanisha na Ibada hii

  • @user-hb1dd7kr2r
    @user-hb1dd7kr2r 7 місяців тому

    Amina mtumishi wa mungu

  • @user-pv3un2yp8e
    @user-pv3un2yp8e 6 місяців тому

    Mungu atende muujiza kwenye maisha yangu

  • @NeemaNyalandu
    @NeemaNyalandu 3 місяці тому

    Mungu aniongoze nataka unitabiri nina kiwanja nimeshindwa kujenga na na mguu upone

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 8 місяців тому

    ❤ ponya hapo mtumishi waende wamepona

  • @GORETHKALEMERA
    @GORETHKALEMERA 2 місяці тому

    Nabarikiwa sana shuhuda

  • @patrickmusokwe8464
    @patrickmusokwe8464 5 місяців тому

    Baba yangu nakufatiliasana baba nahoba mahobi yakobaba

  • @BahatIssa
    @BahatIssa 4 місяці тому

    Naitwa Msenga Salumu,nipo kigoma naomba unifingue uchumi wangu unateketea nabii

  • @MwajabuAhmed-po4me
    @MwajabuAhmed-po4me 5 місяців тому

    Walah nabii mi napenda sana ukweli wako Mungu akuongoze

  • @MwajumaYusuph-gr3hi
    @MwajumaYusuph-gr3hi 2 місяці тому

    Nabii naomba nisaidie baba naomba niombee niponye naumwa sana miguu ,magoti , mgongi , kiuno , , mikono inauma na ina ganzi yaani kwa ujumla ni mifupa yote inauma nimeumwa miaka 15, naitwa Mwajuma Yusuph

  • @franciscokanyenye9582
    @franciscokanyenye9582 3 місяці тому

    Mungu aendelee kukupa kipawa hiki ili uweze kutukomboa

  • @Voxmediatz
    @Voxmediatz 3 місяці тому

    My favorite

  • @eliaikangui6543
    @eliaikangui6543 7 місяців тому

    Naomba pesa ya dola ifike mikononi mwangu kwa moto wa Roho Mtakatifu amen

    • @eliaikangui6543
      @eliaikangui6543 7 місяців тому

      Dada Maria Omojo naomba ANITUMIE dola mara kwa mara Mimi ni MJANE anipende anitunze kwa Yesu ni faida nyingi sana amen

  • @NeemaNyalandu
    @NeemaNyalandu 3 місяці тому

    Namini mungu atatenda

  • @PriscaMayala-yl7mz
    @PriscaMayala-yl7mz 2 місяці тому

    Nikweli watu tunapitia matatizo sana ktk dunia hii lkn so kwamazingaombwe haya kwanza ngoja niulize ww mungu siunamwamin anakulinda sasa hao walinzi wanaokuzunguka hapo wakaz.gan bx mungu hayupo hapo kwashogaako

  • @user-ue2ut1tx6e
    @user-ue2ut1tx6e 6 місяців тому

    Hii ishu isikie tu wa mtu usiombe ikukute haya Mungu alinivusha nashukuru sana

  • @user-ly6qh2ip9e
    @user-ly6qh2ip9e 6 місяців тому

    Amin napokea

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 7 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏

  • @sifaabel-dc7js
    @sifaabel-dc7js 8 місяців тому

    Amen baba

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 4 місяці тому

    Baba nitabiriye anaye niaribiya maisha naitwa supat kukay

  • @fatumamichael5664
    @fatumamichael5664 6 місяців тому

    Ameeni naomba niombee

  • @vanessamayunga3805
    @vanessamayunga3805 7 місяців тому

    Mungu akulinde mtumishi uishi miaka mingi sanaaa

  • @ZuwenaSinkamba-cc2ml
    @ZuwenaSinkamba-cc2ml 7 місяців тому

    Amen

  • @user-ly6qh2ip9e
    @user-ly6qh2ip9e 6 місяців тому

    Amiin

  • @MwanaharusiKodema
    @MwanaharusiKodema Місяць тому

    Nabii baba naomba uniombee naumwa kizazi
    Mwili wote zaidi ya miaka kumi niliona huduma ya kwenye mtandao nimekubali baba .Kila nikitaka kutuma sadaka jina linalokuja sio lako sijui kama nakosea namba

  • @maicondingoli2022
    @maicondingoli2022 4 місяці тому

    Naomba nifunguliwe Mtumishi

  • @GladysMnyazi-ou2on
    @GladysMnyazi-ou2on 8 місяців тому

    Amen 🙏🙏

  • @jasmineomary4325
    @jasmineomary4325 5 місяців тому +5

    Sisi sio wajinga mjinga wewe unaewapinga watumishi wa mungu tupo pamoja baba

  • @tinamushi4847
    @tinamushi4847 3 місяці тому

    Baba naumwa nakiuno kunavitu nasikiya kama usua nahamini ww nimasata utaniponya naamini nakusikiliza vipindi vako hadi na piga saluti kwako baba

  • @priscamchomvu4021
    @priscamchomvu4021 6 місяців тому

    Nmecheka km mazur Yesu umeumba ukaleta mtumishi Tz Mungu amtunze

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 7 місяців тому

    Njoo uzichukue ninazo😊😊😊

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 8 місяців тому

    AMEN

  • @Milodominic-in4ub
    @Milodominic-in4ub 2 місяці тому

    Nabii naomba musada wako okowa maisha yangu

  • @Annamgohole
    @Annamgohole 2 місяці тому

    Naomba madeni yangu yaishe na ninaowadai wanilipe

  • @anitababyderickwasike7872
    @anitababyderickwasike7872 3 місяці тому

    Hatari

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 2 місяці тому

    Hy nn maigzoo

  • @user-rs4vz2vt9z
    @user-rs4vz2vt9z 2 місяці тому

    Nabii tabiri juu yangu napitia wakati mgumu sana.

  • @RegginerSm
    @RegginerSm 3 місяці тому

    Mh!

  • @EVELINSimon-ru2le
    @EVELINSimon-ru2le 4 місяці тому

    Napokea hizo dola mtumishi

  • @VioletFrank-kw3of
    @VioletFrank-kw3of 2 місяці тому

    Baba naomba unitabirie kuhusu ugonjwa wa mtoto angu anasumburi na magonjwa ya kisukari

  • @kadejahh4036
    @kadejahh4036 3 місяці тому

    Namin siku moja nitakufikia ba ba namatatizoyngu.yatakuwa mwisho

  • @PascalSwai
    @PascalSwai 4 місяці тому

    Fungua uchumi wangu nabii

  • @Thomassamatwa-pn1vm
    @Thomassamatwa-pn1vm 2 місяці тому

    Nibariki kiuchumi

  • @user-kk3qq9rk6i
    @user-kk3qq9rk6i 8 місяців тому

    Amina

  • @KulekatsengeHaruni-sb6qc
    @KulekatsengeHaruni-sb6qc 7 місяців тому

    😂😂😂😂😂❤nakupenda

  • @IreneMarroh
    @IreneMarroh Місяць тому

    Nabiii naomba na m uniombe jmn

  • @AnateliaShitindi
    @AnateliaShitindi 3 місяці тому

    1nakàta kifo

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp 7 місяців тому

    Muwe munatuletea murejesho

  • @stephenruth050
    @stephenruth050 6 місяців тому

    nacheka kama mazuri

  • @lilianlilian7821
    @lilianlilian7821 5 місяців тому

    Mtumish naomba niombee naumwa upande wa mguu wakushoto

  • @reinfridlipili5666
    @reinfridlipili5666 5 годин тому

    Hivi hawa body guards ni kwa ajili ya nn?

  • @noellaniyokwizera379
    @noellaniyokwizera379 3 місяці тому

    Mugu aendereye kukupa guvu

  • @rithanickolaus2881
    @rithanickolaus2881 4 місяці тому

    Nami niwe mmoja waowakupata izo dola

  • @RehemaJonas-yj7ed
    @RehemaJonas-yj7ed 3 місяці тому

    Kwaimani napokea kwajina layesu

  • @maicondingoli2022
    @maicondingoli2022 4 місяці тому

    Mtumishi nisaidie mimi masai naomba msada Mtumishi

  • @renaldegidi
    @renaldegidi 4 місяці тому

    Nisaedia nmimi

  • @hildarajab2891
    @hildarajab2891 3 місяці тому

    😂😂😂😂mtumishi ana kifua😂😂😂

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 6 місяців тому

    Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

  • @EstherDismas
    @EstherDismas 7 місяців тому

    Ombea wachawi wote wafe

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed Місяць тому

    Ivi haya mambo kweli jamani au? Au Sanaa?

  • @AudaxLuhangisa
    @AudaxLuhangisa 3 місяці тому

    Baba naitwa audax luhangisa ni ashida ya kifamilia pia uchumi umeyumba mnoo nataka kuuza nyumba yangu ipo hapo dar kimara bonyokwa naomba nipate mteja sahii

  • @user-ec4br4pd3o
    @user-ec4br4pd3o 5 місяців тому

    Baba Kuna kaka angu kichaaa ana miaka kama 30 ya ukichaa waganga tumemaliza makanisa tumemaliza Bado kichaa kina endelea baba

  • @user-kq9lb7bd8l
    @user-kq9lb7bd8l 4 місяці тому

    Yani kama nimimi nikifika nyumbani nampiga ngumi mpaka kieleweke mmmm mdogo wangu ka

  • @LizaeliMjema
    @LizaeliMjema 3 місяці тому

    Anatia huruma na mtt mgongon

  • @user-li1lx9fi9h
    @user-li1lx9fi9h 6 місяців тому

    Dunia hii lakini inamambo mengi Sana

  • @ThomasErro-tx9td
    @ThomasErro-tx9td 8 місяців тому

    Mtumishi tunaomba sauti, sauti yako iko chini

  • @AllMarwa
    @AllMarwa 3 місяці тому

    Mtumishi Mimi npo na wewe watu atupendi ukweli wanasaau ukweli ndio unaweka mtu kua uru

  • @user-np5rp2fi5t
    @user-np5rp2fi5t 5 місяців тому

    Mweeee mweeee mweeeee

  • @beatricemwakasyuka699
    @beatricemwakasyuka699 2 місяці тому

    Nko mkoa songwe naomba mtoto wangu aache pombe 7:20

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 8 місяців тому

    Kasheshe

  • @JaneMavika
    @JaneMavika 4 місяці тому

    Naitwa jane mavika niombee baba angu

  • @user-tt1nm9xs4n
    @user-tt1nm9xs4n 8 місяців тому

    Hapa hapa amaliz

  • @LivinKimario-xy1fe
    @LivinKimario-xy1fe 2 місяці тому

    Nabii naomba nifunguliwe kiuchumi

  • @AnateliaShitindi
    @AnateliaShitindi 3 місяці тому

    Nakataa. Kifo

  • @JayMusic-fd7dm
    @JayMusic-fd7dm Місяць тому

    Nabii tabirijuu yangu Mimi ibrahim mgonja

  • @Voxmediatz
    @Voxmediatz 3 місяці тому

    NAKUKUBALI SANA