Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Naandika tena Mimi ni Muslim lkn napenda sana mafunzo yako ,maneno yako Mungu aendelee kukubariki baba
Umetisha Sana
Pastor wewe ni mwalimu mzuri sana, naomba tu uniombee nifanikiwe maishani na naomba ndoa, na nyota yangu
Natamani siku moja mwenyezi MUNGU🤲🤲 anipe kibali nikutane na pastor sunbella asantee sana kwa huduma
Nimepokea uponyaji na nimefunguliwa kwa jina la yesu Amen 🙏🙏
Nimepokea uponyaji na nimefunguliwa kwa jina la yesu Amen
Mtumishi upo vizuri sema mavazi ya madada ni hatari
Binafsi nimebarikiwa sana somo kama unaniongelea hivi mwalimu
Amen mtumish Kuna vitu natengenezwa kupitia mafundisho yako naomba mungu anipe kibali Cha kufika Ibadan nizidi kubarikiwa k
Kweli kabisa unafunguka taka usitake Mungu endelea kumpigania mtumishi wako mtie mafuta zaidi na zaidi tunaponywa sn
Na barikiwa na somo kutokana na maisha yangu kufanana na mfano wa somo hili.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwakutufungua macho ya kiroho
Nimepokea somo kubwa sana leo🙏hakika nimepata ufunuo wa jambo lililonisumbua for years🙏barikiwa Baba
Mungu asante Kwa kutulisha chakula kitamu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu aliye hai👏👏👏
Mafundisho yako Yana faaaa mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Amina mtumishi nimebakikiwa sana na mafundisho yako
Amen, huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako na mahubir yako na ndiyo yanayotokea ktk maisha yetu. Mungu aendelee kukutumia na kukubariki pia
Amen pastor be blessed, God tenda jambo jipya katika maisha yangu
Nimebarikiwa sana. Ila nomba uniombee niondolewe kwenye cage maana niliona ndoto nikiwa kwenye cage sauti ikasema atakaye nitoa humo ndani ni Mungu tu. Sasa nimiaka zaidi ya kumi maisha nimzunguko tu
Kama haupo mbali mtafute mtumishi akusaidie
Wee baba ni kama unanihubiri mimi uuwiiihhhh!!!!Yesu akutunze kwa ajili ya wengi.Hili kanisa lipo wapi?
Kuna vitu havichoshi kuona wala kusikia Mungu azidi kukutunza mtumishi wake Amina
Nabarikiwa saana na wewe mtumishi
Sana huyu mtumishi nizaid ya mwalim angetusaidia akafungua chanel na ss tuliopo mbali tumfadi live kweny tv
Woow nilimiss pastor Sanbella kyando blessed pastor
Ameeen nimebarikiwa sana Mungu aendelee kukupa mafunuo zaidi na zaidi ili uwe kisima kisicho kaukiwa
Kujua chanzo Cha tatizo ni muhimu sanaaa
I came across this preaching by Gods direction and guidance.God bless you pastor.
Bwana Yesu asifiwe, jambo ulilolosimulia kuhusu nyumba ambayo watu hawakuweza kuishi ktk nyumba hiyo, ndio shida inayonipata na mimi.
Mtafute sasa mtumishi ili upate msaada, usiendelee kuvumilia hali hiyo
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
I receive my breakthrough outside the cage. Baraka milele tuu kabisa 👏
Barikiwa mtumishi
God bless you pastor Sunbella......God review my problem in marriage in Jesus name 🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu, ubarikiwe mtumishi
Uwa unanibariki Sana sitabaki Kama nilivyo
Sikujua kuwa uko-loaded namna hii mwalimu. From now onwards am your student.
Barikiwa baba wakiroho Mungu akuweke daima hili fundisho limekuja kwasababu 😭🙏🙏 mungu aniwezeshe izi changamoto pekeangu siwezi mimi
Asante kwa mafundisho mazuri.
Ameeen nabarikiwa sana asante Yesu kwa neno lenye uhai na uzima toka kwako! Na asante kwa kumtumia mtumishi wako huyu 🙏
Asante sana mtumishi mungu akubariki
Good preaching
Amen amen I declare that I will be remembered in Jesus name be blessed mtumishi🇰🇪🇰🇪
Love. You Sana my Daddy
Such an eye opener message...God bless you man of God..you are a blessing to my life 🙏
Amina baba
Mungu akutunze utimize kusudi
Amina tumishi nasikia furaha Sana nikisikiriza neno lako
Neno hilo limenifungua sana bwana ambaliki mtumish wake
Jamani mwenye ataeza nipa NO ya huyu pastor atakua ameokoa maisha yangu na mwanaangu
Amina mtumishi natamani Kuonana na wewe nna shida pamoja na mwanangu
Someone connect me with this great man of God
Amen, be blessed
Nazidi kupokea baraka kupitia maneno yako Mungu azidi kukuwa daima tupate chakula Cha kiroho
Mungu tusaidie
Mungu akubariki mtumishi wake.Naamini na nimepokea
Hakika
Barkiwa sana MTUMISHI WA MUNGU.
Asante sana mtumishi nikweli kabisa
Nime barikiwa sana na neno
Good lesson ❤️Amen baba
The lesson you taught has real changed my life...Be blessed pastor
Nimejifunza Mambo makubwa ubarikiwe Sana mtumishi
Amen. Everything has a reason for happening. Patience pays 💯🙏
Mungu akubariki mtumishi,
Ameeeeeeéeen 🙌🏿
Glory to God mtumishi im blessed so much
Amina mtumishi Mimi pia nimetokewa na hayo mambo mungu azidi kunitetea kwa damu ya yesu
Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu
Ameen mwalim
Ameen I'm bleesd papa ..
Uwii nimebarikiwa na somo jamani sanaa,natamani kutuma ssadaka yangu
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
Nimebarikiwa sana mtumishi
🙏🙏🙏🙏Amen
Mungu akutunze uendelee kutuhudumia
Thank you LORD for setting your children free through this word in Jesus' name.
Barikiwa sana baba
Oooh hallelujah!
Ubarikiwe sana Mchungaji, bali anzisha Masomo kwa njia ya whasap ili tuweze kujua zaidi bando ni ghali
God bless you Man of God, You’re a good Teacher.
Mimi niliota nimefungwa kama miguu na mikono na moyo wangu umechanika kwenye chamber moja na ukashonwa na kamba ya mgomba.
Nimebarikiwa
Kweli hatujitambui kumjuwa mungu kwa ndani
You are such a great commander in spiritual realm, even physically such deception is being taught
Can I get his details please 🙏
Asante kwa Neno.Nimebarikiwa.
Nakuelewa vizuli
🙏😇Mungu aendelee kukubariki mtumishi wake
naomba kufamu ntumishi anapatikana wapi?nataka kufika kanisani kwake tafadhali msaada
Amina.Mtumishi wa Mungu.
Eeh mungu nisaidie na unipe hekima
Kaka shalom, ubarikiwe
Asante Yesu
Ameen mtumishi wa Mungu
Baba nashukuru sana kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏.Mungu azidi kukuinua
Nisaidie Mungu wangu.. Amen
Napokea kufunguriwa kwa chochote niricho fungwa Leo funguriwa kwa jina la yesu
Amina 🙏🙏🙏
Thanks for the reminder of those evil altars in my life,now help me also break those demons of delay
Powerful message,you're good preacher.
Ameni baba nashukuru kwa mafundisho yako yesu akubariki
Mungu akubariki sana baba yani mahubiri yako yana ni jenga sana
Amen ,, Mungu akubariki pastor
God bless you pastor the word have open my eyes
In Jesus' name, amen
Asante kwa maarifa haya MUNGU wangu Hayaniachi nilivho mm na NYumba yangu AMINA
AMEN @Pastor for ur powerfully message of GOD💫
Naandika tena Mimi ni Muslim lkn napenda sana mafunzo yako ,maneno yako
Mungu aendelee kukubariki baba
Umetisha Sana
Pastor wewe ni mwalimu mzuri sana, naomba tu uniombee nifanikiwe maishani na naomba ndoa, na nyota yangu
Natamani siku moja mwenyezi MUNGU🤲🤲 anipe kibali nikutane na pastor sunbella asantee sana kwa huduma
Nimepokea uponyaji na nimefunguliwa kwa jina la yesu Amen 🙏🙏
Nimepokea uponyaji na nimefunguliwa kwa jina la yesu Amen
Mtumishi upo vizuri sema mavazi ya madada ni hatari
Binafsi nimebarikiwa sana somo kama unaniongelea hivi mwalimu
Amen mtumish Kuna vitu natengenezwa kupitia mafundisho yako naomba mungu anipe kibali Cha kufika Ibadan nizidi kubarikiwa k
Kweli kabisa unafunguka taka usitake Mungu endelea kumpigania mtumishi wako mtie mafuta zaidi na zaidi tunaponywa sn
Na barikiwa na somo kutokana na maisha yangu kufanana na mfano wa somo hili.
Mungu akubariki mtumishi wa mungu kwakutufungua macho ya kiroho
Nimepokea somo kubwa sana leo🙏hakika nimepata ufunuo wa jambo lililonisumbua for years🙏barikiwa Baba
Mungu asante Kwa kutulisha chakula kitamu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼 Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu aliye hai👏👏👏
Mafundisho yako Yana faaaa mtumishi wa mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU
Amina mtumishi nimebakikiwa sana na mafundisho yako
Amen, huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako na mahubir yako na ndiyo yanayotokea ktk maisha yetu. Mungu aendelee kukutumia na kukubariki pia
Amen pastor be blessed, God tenda jambo jipya katika maisha yangu
Nimebarikiwa sana. Ila nomba uniombee niondolewe kwenye cage maana niliona ndoto nikiwa kwenye cage sauti ikasema atakaye nitoa humo ndani ni Mungu tu. Sasa nimiaka zaidi ya kumi maisha nimzunguko tu
Kama haupo mbali mtafute mtumishi akusaidie
Wee baba ni kama unanihubiri mimi uuwiiihhhh!!!!
Yesu akutunze kwa ajili ya wengi.
Hili kanisa lipo wapi?
Kuna vitu havichoshi kuona wala kusikia Mungu azidi kukutunza mtumishi wake Amina
Nabarikiwa saana na wewe mtumishi
Sana huyu mtumishi nizaid ya mwalim angetusaidia akafungua chanel na ss tuliopo mbali tumfadi live kweny tv
Woow nilimiss pastor Sanbella kyando blessed pastor
Ameeen nimebarikiwa sana Mungu aendelee kukupa mafunuo zaidi na zaidi ili uwe kisima kisicho kaukiwa
Kujua chanzo Cha tatizo ni muhimu sanaaa
I came across this preaching by Gods direction and guidance.God bless you pastor.
Bwana Yesu asifiwe, jambo ulilolosimulia kuhusu nyumba ambayo watu hawakuweza kuishi ktk nyumba hiyo, ndio shida inayonipata na mimi.
Mtafute sasa mtumishi ili upate msaada, usiendelee kuvumilia hali hiyo
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
I receive my breakthrough outside the cage. Baraka milele tuu kabisa 👏
Barikiwa mtumishi
God bless you pastor Sunbella......God review my problem in marriage in Jesus name 🙏🙏🙏
Utukufu kwa Mungu, ubarikiwe mtumishi
Uwa unanibariki Sana sitabaki Kama nilivyo
Sikujua kuwa uko-loaded namna hii mwalimu. From now onwards am your student.
Barikiwa baba wakiroho Mungu akuweke daima hili fundisho limekuja kwasababu 😭🙏🙏 mungu aniwezeshe izi changamoto pekeangu siwezi mimi
Asante kwa mafundisho mazuri.
Ameeen nabarikiwa sana asante Yesu kwa neno lenye uhai na uzima toka kwako! Na asante kwa kumtumia mtumishi wako huyu 🙏
Asante sana mtumishi mungu akubariki
Good preaching
Amen amen I declare that I will be remembered in Jesus name be blessed mtumishi🇰🇪🇰🇪
Love. You Sana my Daddy
Such an eye opener message...God bless you man of God..you are a blessing to my life 🙏
Amina baba
Mungu akutunze utimize kusudi
Amina tumishi nasikia furaha Sana nikisikiriza neno lako
Neno hilo limenifungua sana bwana ambaliki mtumish wake
Jamani mwenye ataeza nipa NO ya huyu pastor atakua ameokoa maisha yangu na mwanaangu
Amina mtumishi natamani Kuonana na wewe nna shida pamoja na mwanangu
Someone connect me with this great man of God
Amen, be blessed
Nazidi kupokea baraka kupitia maneno yako Mungu azidi kukuwa daima tupate chakula Cha kiroho
Mungu tusaidie
Mungu akubariki mtumishi wake.Naamini na nimepokea
Hakika
Barkiwa sana MTUMISHI WA MUNGU.
Asante sana mtumishi nikweli kabisa
Nime barikiwa sana na neno
Good lesson ❤️Amen baba
The lesson you taught has real changed my life...Be blessed pastor
Nimejifunza Mambo makubwa ubarikiwe Sana mtumishi
Amen. Everything has a reason for happening. Patience pays 💯🙏
Mungu akubariki mtumishi,
Ameeeeeeéeen 🙌🏿
Glory to God mtumishi im blessed so much
Amina mtumishi Mimi pia nimetokewa na hayo mambo mungu azidi kunitetea kwa damu ya yesu
Ubarikiwe sana Mtu wa Mungu
Ameen mwalim
Ameen I'm bleesd papa ..
Uwii nimebarikiwa na somo jamani sanaa,natamani kutuma ssadaka yangu
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
Nimebarikiwa sana mtumishi
🙏🙏🙏🙏Amen
Mungu akutunze uendelee kutuhudumia
Thank you LORD for setting your children free through this word in Jesus' name.
Barikiwa sana baba
Oooh hallelujah!
Ubarikiwe sana Mchungaji, bali anzisha Masomo kwa njia ya whasap ili tuweze kujua zaidi bando ni ghali
God bless you Man of God, You’re a good Teacher.
Mimi niliota nimefungwa kama miguu na mikono na moyo wangu umechanika kwenye chamber moja na ukashonwa na kamba ya mgomba.
Nimebarikiwa
Kweli hatujitambui kumjuwa mungu kwa ndani
You are such a great commander in spiritual realm, even physically such deception is being taught
Can I get his details please 🙏
Asante kwa Neno.Nimebarikiwa.
Nakuelewa vizuli
🙏😇Mungu aendelee kukubariki mtumishi wake
naomba kufamu ntumishi anapatikana wapi?nataka kufika kanisani kwake tafadhali msaada
Amina.Mtumishi wa Mungu.
Eeh mungu nisaidie na unipe hekima
Kaka shalom, ubarikiwe
Asante Yesu
Ameen mtumishi wa Mungu
Baba nashukuru sana kwa ujumbe mzuri 🙏🙏🙏.
Mungu azidi kukuinua