JE MTU ALIYEOKOKA ANAHITAJI KUFUNGULIWA? BY PASTOR SUNBELLA KYANDO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 31

  • @enithamtela3280
    @enithamtela3280 2 роки тому +1

    Somo zuri sana

  • @alexamutawa5396
    @alexamutawa5396 3 роки тому +6

    Nakupata vizuri nikiwa Nairobi,kila wakati huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako mtumishi wa Mungu.Mwenyezi Mungu azidi kukuinua zaidi

  • @paulinemurugi8566
    @paulinemurugi8566 2 роки тому

    Mtumishi wa mungu niko Nairobi mafundisho yako mungu akumbaliki natamani sana kutuma sadaka nisaidie vyenye kufanya Ili sadaka ikufikie plzzz

  • @malaikalihuda2831
    @malaikalihuda2831 Рік тому

    Asante mungu kuna vitu napokea 🙏

  • @abelikihwele9860
    @abelikihwele9860 3 роки тому +3

    Heee! baba Ubarikiwe sana yaani tokea nizaliwe sijawahi kusikia mafundisho ya kunizibua fahamu namna hiyo

  • @leahkaneza1731
    @leahkaneza1731 2 роки тому

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @henrithamatiku423
    @henrithamatiku423 3 роки тому +3

    I connect myself and my family in Jesus name .. Amen 🙏

  • @elizabethrabanus3990
    @elizabethrabanus3990 3 роки тому

    Barikiwa Sana mtumishi wa Mungu nabarikiwa kwa mafundisho yako Tamani siku moja nikuone

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 роки тому

    Ameeeeeeen

  • @rusiwadonatrusi3603
    @rusiwadonatrusi3603 3 роки тому

    Nakupata vizuri mchungaji mungu akubariki

  • @marycheupe8613
    @marycheupe8613 3 роки тому

    Hallelujah mtumishi wa mungu haki barikiwa sana sana

  • @bennamuchau6487
    @bennamuchau6487 3 роки тому

    Amen.

  • @everlineeva594
    @everlineeva594 3 роки тому

    Ameeen mtumishi nimejifunza sana kwa hili somo be blessed am watching yu in 973

  • @esmilykipele4008
    @esmilykipele4008 3 роки тому

    Amen despite all resistance we will overcome . Thank you Lord I will press on

  • @abelikihwele9860
    @abelikihwele9860 3 роки тому +4

    Haaa wewe baba ningekujua unakoishi ningekujA kukushukuru hee aiseee yaani Mungu kakutumia kuniponya ufahamu kweli inatuweka HURU nimeamini

  • @cecyaghabu3211
    @cecyaghabu3211 3 роки тому

    Hivi nlikua wapi kuyajua haya mafundisho jamani, mbona ningekua mbali kiroho.... Dah.... Ila asante Yesu hata kwa wakati huu.

  • @rehemahaonga6400
    @rehemahaonga6400 3 роки тому

    Unafundisha wengi si hao ulionao tu,Barikiwa

  • @ajunanekemia2244
    @ajunanekemia2244 3 роки тому

    Barikiwa mtumishi unazidi kunifunguwa

  • @onesmoemmanuel3842
    @onesmoemmanuel3842 3 роки тому

    Umeniongezea kitu BABA ubarikiwe

  • @christopherisrael8438
    @christopherisrael8438 3 роки тому

    Amina mtumshi.Hakika umejaliwa kufundisha

  • @radhiasamwel9042
    @radhiasamwel9042 3 роки тому

    Hakika tunabarikiwa sana.Mwanza mtakuja lini? Karibu sana Mwanza

  • @estherulikaye3268
    @estherulikaye3268 3 роки тому

    Ubarkiwe

  • @rahabusanga1559
    @rahabusanga1559 3 роки тому

    ameeen

  • @husnakibwana6944
    @husnakibwana6944 3 роки тому

    Amen baba. Ujumbe umeeleweka

  • @kishiwalimbu9886
    @kishiwalimbu9886 3 роки тому

    Amina baba

  • @hildanjau3991
    @hildanjau3991 3 роки тому

    Amina nimekuelewa sana

  • @msangwatv7169
    @msangwatv7169 3 роки тому

    Amen

  • @esmilykipele4008
    @esmilykipele4008 3 роки тому

    Sounds like me

  • @christinesavai884
    @christinesavai884 3 роки тому

    Amen

  • @georgebugangazpoa4975
    @georgebugangazpoa4975 3 роки тому

    Amen