JIFUNZE KUELEWA UKIMYA WA MUNGU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 26 гру 2021
- UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our UA-cam: ua-cam.com/channels/67L.html...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando UA-cam
/ @pastorsunbellakyando
Ila we Baba jaman 🙌🙌🙌 Yesu wangu Akuzidishe
Kuna kitu nimekumbuka Leo kupitia mafundisho yako tukiwa mtaani kwetu kunamzee nilikua nampokea mizigo yake nampelekea nyumbani kwake mapaka Leo ndio baba yangu kabisa kaniozesha mana Mimi wazazi wangu walishafariki nikiwa mdogo namshukuru MUNGU Kwa ajili yake
Wow
Amen umenipa imani ...nyengine be bless however your
Nabarikiwa Sana mtumishi, God bless you kuna mahari unanivusha👏👏
Amen asante baba nimepokea sijatoka mtupu.mungu akupe afy ya roho na mwili ww na family yako. Ilituendelee kuppkea kuto kwako
AMINA 🙏 mtumishi
Asante baba nmeumizwa mno na watu nliowatendea mema,you are a blessing ,nmejifunza 👏🏽👏🏽
Powerful, huwa sichoki kusikiliza neno la Mungu na mafundisho yako🙏🏾
Amen. Amen. Mweshimiwa Mchungaji niombeeni ili Mwenyezi MUNGU Anijalie hekima ya kutosha niweze kufikia Hatima yangu.pia Asanteni sana kwa somo hili🙏🙏🙏
Mungu wa madhabahu hii namuogopa najihuliza nilikua wapi kukutana na huduma hii nafwatilia kutoka mkoani lakini Mungu wa hapa ameniponya amenifungua sana sana Mungu anisaidie siku nimuone baba sunbella Mungu akupe maisha marefu baba
Powerful preaching God bless u i missed the live service but iam so blessed
Amen neno la mungu limenibariki bwana ahimidiwe milele.
Ohhhh Lord Jesus I connect myself with this prayers. Naliinuliwe jina lako takatifu kupitia mahubiri haya.
Amen .. Bishop Sanbella 🙏 barikiwa Sana..bado sijakata tamaa . ninaendlea kutafuta jins ya kukuona mpka nikuone.aisee! Aijalish miaka miez imepita.. Barikiwa Sana Dad Sanbella kyando
Neno langu hili Asante pastor Mungu akubariki sana.
Verse hii inanena ndani ya maisha yangu kwenye mwaka 2022. Nitamwona mungu wa musa
Mtumishi Sanbela unaongea kama unaniona na macho yako hakika roho mtakatifu Iko ndani yako nakufuata sana kwa UA-cam channel am from Kenya Diani beach
Ubarikiwe sana Mchungaji nabarikiwa na mafundisho yako
Rafiki ongeza mithali 7:1-12, kumb. 22:5, mwanzo 35: 1-5, isaya 3:14-23, 1timotheo 2:9-10, 1Petro 3:3-5, yakobo 3:2-6, yakobo 1: 22-25, mambo ya walawi 26:27-28,
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen,thanks to God for everything am blessed with the word of God,be blessed too servant of God 🙏🏽🙌 Let God add you more years to live by doing His work 🙌
Amen
I wish siku moja nihudhurie ibada Reality of Christ
Amen, be blessed servant of God, power sermon 🙏😇
zzq
Asante Mungu Baba kwa neno lako , nisaidia kutimiza hatma yangu, na umbariki mtumishi na kanisa lako.
Have missed the services got to listen to this
Unanifanya nimpende huyu yesu ktk safari yangu.kiukweli nimepata kusongea hatu moja kwwnda nyingine badiliko naliona kutokea ndani ya moyo wangu.mungu akubariki sana
Yesu siyo yesu mtumishi
@@rahelchilale1075 Dada soma alicho kiandika mwenzako ...kupitia mafundisho mtumishi amemfanya ampende yesu huyo ndiyo nimeelewa
Hili somo limenigusa sana , ubarikiwe mtumishi
Ubarikiwe Sana Pastor, ufunuo huu ni mpya kwangu. Blessings
Ubarikiwe sana Baba
Yaani haya mahubiri ni kama ananisema mimi jamani😪😭😭😭😭😭Mungu kwa siku hizi coaches zilizobaki naomba nipe hekima katika maamuzi yangu........
Mtumishi hana mbwembwe ni Neno tu..Pia nafatilia sana masomo yake ni mazuri
Amen
Asante Baba kwa neema hii 🙏🏻🙌🏼
Amen thanx LORD this Revelation is great to me in 2022 help Jehovah to increase my faith in you
I am really blessed by this man of God
Mwenyezi MUNGU akuweke kwa ajili yangu watu mnaotungua huwa madumu🤲🙏nakuombe uhai kwa ajili ya wote tunaokuelewa mtumishi wa MUNGU.
Asante Sana mutumishi was Mungu. Am blessed thank you for sharing the powerful word.
The message was so powerful we bless the Lord for using you.indeed it was my message for this year,Mungu akuzidishie.shalom
Amina sana mtumishi.
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,maubiri yako hunibariki zaidi, niko Kenya
Amen.Amen. Amen!Baraka juu ya baraka. Asante sana Pastor kwa neno nzuri sana.
Amina
Asanteee mutumish kwa neno Zur nimebalikiwa . Naweka hitaji juu ya maish yang mung snipe hekim ya kimung anatani nitumukie mung katika maisha yang ameen
Nimebarikiwa sana mtumishi umenivusha sehemu nyingine barikiwa sana
Woow what a revelation !!! Kings connect with Kings
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu .
Am blessed through this video 😭😭😭kupitia mambo magumu ninayopitiaa
ooooioiii
Be blessed pastor👏🙌🙌🙏 indeed I'll never b the same May God continue to fight our battles
Daaah hili somo nimelifurahia Sana👏👏👏very powerful message 🔥🔥
Jose mwanangu uzima uwe juu yako in Jesus name 🙏
Wa injili imeingia Hadi Kwa mishipa,God bless you servant of God
What a message. Thank you Pastor
Amen baba Mungu akubariki sana
The richest
Nimebarikiwa na nimejifunza vitu vingi kwenye hilo Somo. Narudia kusikiliza mara kwa mara. Mungu akutunze Mtumishi 🙏
This word is very powerful
Amen.Asante Roho Mutagatifu
Nimebarikiwa na ujumbe mzuri ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
Sifa na utukufu ni kwabwana Yesu tu barikiwa mtumishi
Duh aiseee am blessed beyond.. napenda sana unyenyekevu wako na hekima zako.
A men a men mtujshi blessed so much
Ubarikiwe sana baba mutumishi was mungu
Asante Mungu
Asante sana baba.nimebarikiwa sana baba.asante mungu kwa ability yako
Asante Mungu, amen 🙏🙏
Nmebarikiwa Sana mtumish wa Mungu ubarikiwe na Mungu Sana sana
This is powerful and such an eye opening Message,
Thanks M.O.G,,
Indeed character and discernment can elevate us or denote us.
Father, create in me the spirit of discernment 🙏
Me be. .
Powerful
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Wow such a good word, ume hubiri vyema kwa upole Sana bila vituko am blessed. Amen
Somo hili mafundisho haya yanahusu maisha yangu yote Mungu niongoze /nitangulie katika Safari ya maisha
Nimeguswa, nimepokea ujumbe mzito nitautendea kazi kwa jina la yesu!!!
Hili kanisa lipo sehemu gani jmn.
Mbona huyu baba anamafundisho mazuri sanaaa
Am blessed
Nimebarikiwa na haya maombi 🙏🏽🙏🏽😂Kweli mwakani ni mwaka wangu 🙏🏽🙏🏽
Nmemuona Mungu kupitia kwako baba
Ala! Aina ya marafiki ..Nashukuru kuwajua
Ubarikiwe daima mtumishi wa mungu
Napenda Sana mahubiri haya mtumishi wa mungu🙏🙏
AMEN❣🙏
Barikiwa sana mtumishi nimebarikiwa
Thank you for the preaching & opening my eyes.
Pastor nimejifunza vitu vikubwa sana kwako kwa mda mfupi nilioanza kukufahamu
Amina mtumishi Neno limenikaa
Amina Mungu naomba unifunisaidie napitia kipindi kigumu sana
Ee Mungu nisaidie 😭😭😭👏👏
Usiwe n shaka mungu yuko
Amina sana, somo limeniinua sana
Amina, Mungu akubariki MTU wa Mungu,
Amina mtumishi barikiwa
Nimelipenda sana ili somo 👏👏👏
Amen👏🏾God Bless You👏🏾Pastor Sir
God bless you pastor powerful message
Asante sana baba🙏 nimebarikiwa mnoo
Upako + Mungu= Hekima na maarifa
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana Baba❤️
Hallelujah 🙏
Asante sana Barikiwa sana
Jifunze kujuetevusha nakukakimya nauwachane na mambo za wengine.kaa maisha yako.
AMEEN AMEEN AMEEN
Amen Amen Amen
Ameen🙏
mafundisho yako mazuri sana ubarikiwe
AMEEN