Bwana Yesu asifiwe.nisaidie kufafanua ndoto hili. Baba ya mwanangu alioa mke na mara mimi huota huyu mke yuanialika kwa mlo wa nyama mingi na mara tunagombana akilia ati mimi ndiye nimemsababishia machungu maishani. Hii ni nini jamani
Mungu akubariki sana baba, wengi tunapokea kilakitu bila kuhakiki kama ni cha kimungu kwa kuhisi ndo imani yenyewe na kuhakikisha ni kama kutokua na imani. Umenifunza kwakweli
Halafu mmewekewa hapo namba za sadaka, kwa wale mnaopenda miujiza bila kufanya kazi , wenzetu wanzungu wanafanya kazi usiku na mchana , ndomana wanafanikiwa, sisi tunasubili miujiza, africa,
Baba my name is Amanda siku zote huwa napita tu kwenye chanel yako sikuwai kufikiri nitakusikiliza leo nimeota and hapa I was so struggling kutafuta mtumishi wa Mungu kuongea nae, baba kila ulichokiongea it's me I day dream sana na pia usiku. All I can is asante umenifundisha kitu. Thank u very much
Baba nimefurahia Sana hiki somo Kuna ndoto nimeota imejirudia mala 3 na siku ya nne nikaruhusu kile kitu kitokee na nikweli kikatokea ktk ulimwingu wa mwili
Pastor, asante kwa mafundisho yako, hii ni mara ya kwanza kusikiliza mafundisho yako. Naomba kujua kanisa lako lipo wapi ili niwe naudhulia mafundisho au semina zako.
Kanisa lipo Dar es Salaam,Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Pia tuna Huduma DODOMA kila Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama,Area C njia panda ya kuelekea Arusha.Karibu sana.
Ansante pastor kwa mafunzo hayo. Naomba unieleze maana ya ndoto .. nimekuwa nikiomba mungu anibariki na ndoa baada ya week mbili nikaota nikiambiwa ghafula nijitayarishe kuvaa nguo ya harusi na ya suprise niliota 4am na wakati huo Sina mjumba. Lakini naona nimefanya harusi na mtu nilikuwa nimeanza kuchumbiana baada ya week mbili akapotea. Ikawa mwezi moja umepita hamna mawasiliano lakini ndiye naonyeshwa nafanya harusi naye na alikuwa mzungukutoka americani. Baada ya week moja rafiki yangu kaniambia Kuna nduguye ako ngambo familia yake ingetaka tujuane na tuoane na ako UK. Canada . Ningependa uniambie inamaana gani? From Kenya
Pst Mimi nilikaa Kwa ndoa kwamiaka ine lakini kuna siku moja sister in law akakuja kuniambia aliota tumeachana na mume wangu tulikaa 1yaers tukaajana lakini bwana wangu anatezeka sai pls PST ni saitia, God bless you
Bishop,,,kuna dugu yangu alikufa na kabla hajafa nilikuwa naletewa doto nikimwekelea mkono lakini nilikuwa bado mdogo miaka na pia kiroho,,,kipindi baada ya kumlaza,,,alikuwa ananijia kwa doto na kunishika mkono kwa umati mkubwa wa injili huku amevaa descent suit) maanake nn
Kila siku nina ndota za pesa,nahesabu pesa,naficha pesa,yakuficha pesa nimeota mara mbili nikificha notes kwa drawers,nikificha coins mingi kwa mifuko na chumbani.
Ahsante mtumishi, umenibariki sana. Mimi huwa naota niko na watu wengi kisha kuna minyama mingi ninakula. Ndoto hii inakuja mara nyingi, baada ya siku nasikia msiba mahali. Nifanyeje?
Mtumishi nimebarikiwa sana yani mimi kila siku naonyeswa matukio tofauti tofauti kunamda hadi nakuwa sijui niombee lipi niache lipi Natamani kupata namba yako ya WhatsApp tafadhari nahitaji unipongeze japo kidogo tu nitaelewa
Bwana asifiwe mtumwishi wamungu Mm niliota kuwa Niko kwenye stage yamagari bt kila gari lilikuwa linakuja limejaa baadaye Kuna gari lapik up LA yellow likaja na ndereva alikuwa mwanamke wang'ambo yaani muzungu na mume wake na watoto wawili vijana Sasa huyu kijana mmoja alisema tuingie kwa gari lao baadae tulipo ingia harufu ya pombe na sigara ilianza kunukia bt ule kijana mmoja alisema tunyamase kimya tuSiongee Kitu Then tukaanza safari bt gafla gari likakosa control then likamake accident bt huyu mtu atoki damu mahali namtu mwenyewe ni kiwete
Hilda nekesa sichangi hapo MUNGU anazungumza nawewe huenda wapo watu wanaokuzunguka hawamjui MUNGU ndomaake kiwete mlemavu n.k.nakusubiri gar pengne una huduma ya MUNGU unapaswa ufahamu usipitwe nasauti ya MUNGU maana ndoto namaono ishara utabir nisaut ya MUNGU asemapo nawatu wake sasa muombe MUNGU akupe kujua
Thanks for this lessons. Am born again and I mostly dream of bad things and if I don't pray they will happen. Is it alright to have bad dreams? I would wish to wake up smiling after sweet dreams but it's never so.
@@realityofchristchurch mtumishi naomba namba yako mimi nnahitaji maombezi yangu na familia yetu mimi nipo Masasi mtwara na Familia yetu ipo bukoba mtumishi Nina shida sana
@@realityofchristchurch Mchungaji ninayo shida ya kumwona mime wangu kwa ndoto na sa zingine analala namimi za zingine anatabazamu. Kwa mwil uhisiano wetu ni mbaya sana 2. Kuna kipindi fulani nasikia ni kama kitu kinanitembea kwa mwili kama nyoka na za zingine nikifunga macho naona mapicha za manyoka, Niko mbali nifanyeje, nisaidie, hela sioni nikiona ni kwa ugumu,.
Hapo ujue ni jini mahaba linakuwa limejibadilisha tu umbo au sura ndio linakujia, hivyo hiyo ni ujanja tu wa jini mahaba kujibadilisha kuwa kama mwanao au mzazi wako au laweza likavaa umbo au sura ya chochote!! 2korintho 2:11 ni mbinu tu za jini mahaba,anakuja kukuchochea uzini
Amen... Mtumishi wa mungu umenibariki kwa jumbe zako za ufunuo
Am betty from kenya pastor ukiota unaombea watu mapepo yanatoka inamaanisha nn
Ina maanisha una huduma ndani yako
Asante mungu akubarik pastor
Bwana Yesu asifiwe.nisaidie kufafanua ndoto hili. Baba ya mwanangu alioa mke na mara mimi huota huyu mke yuanialika kwa mlo wa nyama mingi na mara tunagombana akilia ati mimi ndiye nimemsababishia machungu maishani. Hii ni nini jamani
Mungu mwema kutuinulia mtumishi huyu, Asante sana Yesu. Ubarikiwe Baba.
Mungu akubariki sana baba, wengi tunapokea kilakitu bila kuhakiki kama ni cha kimungu kwa kuhisi ndo imani yenyewe na kuhakikisha ni kama kutokua na imani. Umenifunza kwakweli
Halafu mmewekewa hapo namba za sadaka, kwa wale mnaopenda miujiza bila kufanya kazi , wenzetu wanzungu wanafanya kazi usiku na mchana , ndomana wanafanikiwa, sisi tunasubili miujiza, africa,
Thanks umenifundisha sana !Mungu akubariki sana
Thanks Pastor God bless you nimesoma vyema kuhusu ndoto kutoka kwako..Mungu akuzidishie wisdom and knowledge🙏🇰🇪
Ubarikiwe na Yesu aliyehai
Mungu akubariki sana mtumishi, hakika someone hili limenifungua, Mungu azidi kukutumia
🙏barikiwa Mtumishi
Mungu akubariki sana muchungaji nimebarikiwa sana
Baba my name is Amanda siku zote huwa napita tu kwenye chanel yako sikuwai kufikiri nitakusikiliza leo nimeota and hapa I was so struggling kutafuta mtumishi wa Mungu kuongea nae, baba kila ulichokiongea it's me I day dream sana na pia usiku. All I can is asante umenifundisha kitu. Thank u very much
Baba nimefurahia Sana hiki somo Kuna ndoto nimeota imejirudia mala 3 na siku ya nne nikaruhusu kile kitu kitokee na nikweli kikatokea ktk ulimwingu wa mwili
Mungu akubatiki sana mtumishi wa Mungu. Akutie nguvu na akuongezee upako
Thanks for the teaching.Mungu akubariki sana
Nukupenda sana baba mungu azidi kukuinua kwa viwangi vingine
Somo hili limenisaidia sana,ni halisi kabisa, mtumishi wa Bwana 🙏 Yesu aendelee kukuinua kwa kazi yake🤝
Asante Mtumishi umenifundisha kitu ubarikiwe sana
Mungu aku bariki mtumishi wa Mungu
Ubarikiwe mtumishi
thank you umenifunza kitu God bless you
Namshukuru Mungu kwaajili yako nimepata kitu kuhusu ndoto . Naomba Roho mtakatifu anifunulie
Nimebarikiwa sana nahili somo la ndoto
God bless you 🙏,mafundisho yenye kuelimisha watu . 🇰🇪 .
Ameni 🙏🏼
Ubarikiwe Sana,nimejifunza kitu muhimu.🙏
Mwalimu mwema sana wa neno la Mungu.
Asante Mtumishi kwa fundisho zuri
Amen 🙏 nimejifunza kitu leo kbs God bless you 🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
BWANA YESU ASIFIWE watu wa MUNGU, nina mdogo wangu natamani sana awe anasali reality, mpo sehemu gani dare salaam ,mana mm nawafatilia nikiwa arusha
Dar es Salaam tupo Sinza Mori,ni karibu sana na ofisi za TAMWA.
Karibuni sana.
@@realityofchristchurch asante mtu wa MUNGU
Asante mtumishi was mungu. I have learned something new from you
Have learnt alot from this sermon God bless you sir
5
hallelujah
Amen Mtumishi wa MUNGU Barikiwa
Asante sana mchungaji Kwa ujumbe mzuri.
Always blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Thankyou JESUS CHRIST...May GOD bless you Man of GOD 🙏🙏
Nakuelewa Sana mtumishi...Barikiwa..
@@loycegodson7754 6
are you Kenya people
Man of God be blessed🙏
Pastor, asante kwa mafundisho yako, hii ni mara ya kwanza kusikiliza mafundisho yako. Naomba kujua kanisa lako lipo wapi ili niwe naudhulia mafundisho au semina zako.
Kanisa lipo Dar es Salaam,Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Pia tuna Huduma DODOMA kila Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama,Area C njia panda ya kuelekea Arusha.Karibu sana.
@@realityofchristchurch kwa upande wa Dar, semina inafanyika siku gani na sangapi na uwa ni mara ngapi kwa wiki huduma inakuwepo
Asante sana Man of God kwa mafundisho mazuri
Amen mtumishi somo zuri asante mwalimu
Umesema vema baba
Ubarikiwe sana kweli umenigusa sana sikujua
Great message man of God
Hongera sana Baba Mchungaji kwa mafundisho mazuri. Mwenyezi Mungu Akubariki sana👏👏👏
Amen mchungaji
Ansante pastor kwa mafunzo hayo. Naomba unieleze maana ya ndoto .. nimekuwa nikiomba mungu anibariki na ndoa baada ya week mbili nikaota nikiambiwa ghafula nijitayarishe kuvaa nguo ya harusi na ya suprise niliota 4am na wakati huo Sina mjumba. Lakini naona nimefanya harusi na mtu nilikuwa nimeanza kuchumbiana baada ya week mbili akapotea. Ikawa mwezi moja umepita hamna mawasiliano lakini ndiye naonyeshwa nafanya harusi naye na alikuwa mzungukutoka americani. Baada ya week moja rafiki yangu kaniambia Kuna nduguye ako ngambo familia yake ingetaka tujuane na tuoane na ako UK. Canada . Ningependa uniambie inamaana gani?
From Kenya
Asante sana Mungu
Thank you for the sermon,ntazidi kutafakari it's a lot to learn 🙏
Amen🙏🙏🙏😓 from 🇴🇲
Amen. Kunakitu nimepata ubariliwe
Pst Mimi nilikaa Kwa ndoa kwamiaka ine lakini kuna siku moja sister in law akakuja kuniambia aliota tumeachana na mume wangu tulikaa 1yaers tukaajana lakini bwana wangu anatezeka sai pls PST ni saitia, God bless you
Mtumishi hiyo inatokea Sana kwangu na huwa naumia kutaka Kukumbuku Ndoto nilosahsu
Ameni
Amin ubarikiwe kwa somo zur
Asante kwa mafundisho nimebarikiwa sana 🇰🇪 🇦🇪
Amen barikiwa mutumishi wa Mungu
TEACHER!
Ameen
tuned
nabarikiwa sana
Very true
Thank you for the good topic
Amen ...am blessed by the teachings ave learnt alot..God bless you man of God
Amen Amen Amen
Naombeni namba ya simu
🙏🙏🙏🙏🙏
Jaman Mimi nikiota kitu lazima kitimie sasa cjui ni ya. Mungu au vipi hmm
Great message
Naji funza mana of God
God bless you sana Margaret Wambui from Nairobi
Barikiwa pastor
Great revelation prophet of God,I never understood
Be blessed. A man of Jesus christ .
Mm nilikuw naota sana na ninakumbuka lakin hivi karibun imekuwa tofauti ninaota lakin nikiamka ckumbuki,najitaidi kukumbuk lakin haziji
Amen
Asante mchungaji kutufunulia Mambo makuu
🙏🙏🙏
Ndiyo baba
Be blessed man of God
Nikwer pastor hatamimi mdahuo hua naota na hua zinatokea kwer
Nitumie watsap mtumishi
Bishop,,,kuna dugu yangu alikufa na kabla hajafa nilikuwa naletewa doto nikimwekelea mkono lakini nilikuwa bado mdogo miaka na pia kiroho,,,kipindi baada ya kumlaza,,,alikuwa ananijia kwa doto na kunishika mkono kwa umati mkubwa wa injili huku amevaa descent suit) maanake nn
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Kila siku nina ndota za pesa,nahesabu pesa,naficha pesa,yakuficha pesa nimeota mara mbili nikificha notes kwa drawers,nikificha coins mingi kwa mifuko na chumbani.
Ahsante mtumishi, umenibariki sana. Mimi huwa naota niko na watu wengi kisha kuna minyama mingi ninakula. Ndoto hii inakuja mara nyingi, baada ya siku nasikia msiba mahali. Nifanyeje?
Je nikawaida kuota mchana zaidi ya ndoto moja?
Mtumishi nimebarikiwa sana yani mimi kila siku naonyeswa matukio tofauti tofauti kunamda hadi nakuwa sijui niombee lipi niache lipi Natamani kupata namba yako ya WhatsApp tafadhari nahitaji unipongeze japo kidogo tu nitaelewa
Dream manipulation ✅
Nasahau karibu kila ndoto ninayoota au nakumbuka vipande vipande vidogo sana.
Na kuna ndoto naiota mara nyingi sana, nifanyeje?
Bwana asifiwe mtumwishi wamungu
Mm niliota kuwa Niko kwenye stage yamagari bt kila gari lilikuwa linakuja limejaa baadaye Kuna gari lapik up LA yellow likaja na ndereva alikuwa mwanamke wang'ambo yaani muzungu na mume wake na watoto wawili vijana Sasa huyu kijana mmoja alisema tuingie kwa gari lao baadae tulipo ingia harufu ya pombe na sigara ilianza kunukia bt ule kijana mmoja alisema tunyamase kimya tuSiongee Kitu
Then tukaanza safari bt gafla gari likakosa control then likamake accident bt huyu mtu atoki damu mahali namtu mwenyewe ni kiwete
Hilda nekesa sichangi hapo MUNGU anazungumza nawewe huenda wapo watu wanaokuzunguka hawamjui MUNGU ndomaake kiwete mlemavu n.k.nakusubiri gar pengne una huduma ya MUNGU unapaswa ufahamu usipitwe nasauti ya MUNGU maana ndoto namaono ishara utabir nisaut ya MUNGU asemapo nawatu wake sasa muombe MUNGU akupe kujua
Iko vzuriiii
Thanks for this lessons.
Am born again and I mostly dream of bad things and if I don't pray they will happen.
Is it alright to have bad dreams?
I would wish to wake up smiling after sweet dreams but it's never so.
Shalom🙏🏿 it is the holy spirit telling you of future things, so that you pray and stop them. God bless you Sister in Christ!😃
Sasa inakua aje wakati Mutu anatolewa unabii wake in public ijapokua ni mambo ya Siri ? Je ! Kama hapo kuna mutu mubaya hapo, hawezi iharibu ?
Otherwise nimebarikiwa na series hizi kabisa.
Samahani mbona namba tatu sijaona naona namba nne
Sehemu ya tatu ipo, imeandikwa MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (MAOMBEZI).
Katika sehemu ya tatu tulikuwa na maombezi.
Ahsante Mtumishi
@@realityofchristchurch mtumishi naomba namba yako mimi nnahitaji maombezi yangu na familia yetu mimi nipo Masasi mtwara na Familia yetu ipo bukoba mtumishi Nina shida sana
@@realityofchristchurch Mchungaji ninayo shida ya kumwona mime wangu kwa ndoto na sa zingine analala namimi za zingine anatabazamu.
Kwa mwil uhisiano wetu ni mbaya sana
2. Kuna kipindi fulani nasikia ni kama kitu kinanitembea kwa mwili kama nyoka na za zingine nikifunga macho naona mapicha za manyoka,
Niko mbali nifanyeje, nisaidie, hela sioni nikiona ni kwa ugumu,.
Mm kuna ndoto ime nitatizsa sana mpaka sasa yani nime ota na zini na mwanangu fast born hii ina maana gani mtumishi
Na mimi niliota naingiliana na baba angu yanii😭😭😭😭
Hapo ujue ni jini mahaba linakuwa limejibadilisha tu umbo au sura ndio linakujia, hivyo hiyo ni ujanja tu wa jini mahaba kujibadilisha kuwa kama mwanao au mzazi wako au laweza likavaa umbo au sura ya chochote!! 2korintho 2:11 ni mbinu tu za jini mahaba,anakuja kukuchochea uzini
Unahitaji usaidiwe maombi ya kujitenganisha na hiyo roho
Anaombeni watsap number ya mtumishi
Umesema vema baba
Amen and amen