JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Kuna vitu vikubwa Mungu ameviweka ndani yako lakini unashangaa kuwa watu waliokuzunguka hawavioni,na hii wakati mwingine inakuumiza sana unapojua kuwa una uwezo mkubwa sana ndani yako wa kufanya vitu fulani lakini hakuna anayethamini.
Mungu anapoweka ukuu ndani yako huwa anakuwa ameandaa na watu watakaouona,na watu hao watakushika mkono na kukusogeza pale ambapo Mungu amekusudia ufike.
Kuna watu wakiweza kuona kitu kikubwa Mungu alichoweka ndani yako watatafuta kukiua,kwahiyo unapoona hawakioni mshukuru Mungu na uendelee kuomba kionekane mbele ya watu sahihi na kwa wakati sahihi.#PastorSunbella#Kuachilia#Watu
🎉kama umependa mafundisho weka like
❤❤❤nice teaching be bless
Baba Nina ku chukuru kwa mafundisho haya .. Asante piya Mungu kunipa kibali kikubwa ili ni ku sikilize.
Barikiwa Sana pastor nimepata kitu Mungu akutumie zaidi
Mungu naomba unipe watu sahihi mungu atusaidie sanaa wapendwa
Ameni mtumishii umenifungua kwa aya nayopitia mungu aingilie Kat
Nilikuwa hapa mwaka wa 2021 nikiwa na maumivu ya mausiano lakini hii message ilinifanya kupata ujasiri wa kuachia niliyempenda aende na Leo nina ndoa na mtoto imedumu miaka tatu sasa bila mavutano
Hongera sana😂
Jimepnd ushuhud wak
The problem of youths being unemployed as been there since.Lets humble ourselves to our President to ask if he is able to stop this menace.We have many youths gratuating yearly and no one even a single President since has ever called the youths to discuss!...Kindly our President do something about this cause we,ve been promised by our Teachers, parents,society and the Nation in general about great jobs after Education.If youths problems cannot be addressed, it will reach a time they shall refuse also to school!...
The holy spirit has led me here. There is something having been praying for but today God has answered me. May His name be praised
Nabarikiwa na mahubiri yako mtumishi wa Mungu uzidi kuongezewa uwezo wa Roho Mtakatifu ili ufundishe mema kwa watumishi wa Mungu 🙏🙏🙏
Mungu ni mwema sana!
Bishop umefanyika mbaraka katika maisha yangu, masomo yako naimani yatafanya mabadiliko makubwa huu mwaka 2024 ndio nimeanza kukufatilia. Ubarikiwe sana
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU.
Amen Bishop Sanbella 🙏..Nam nmejifunza kuachiaa watu.ktk moyo wangu..nataka nifikiye destiny ya maisha yangu...I wish nikujee Reality Christ..one day. Asante Sana kwa somo zuriii BABA.
Amen..barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho haya mazuri..Mungu akubariki na ukuzidishie pale umepunguza Amen
Salvatory Rwechungura ee bw Yesu fungua bishara yangu amen
Amina baba . ubarikiwe sana
Amen Amen mtumishi mungu azidi kukipa maarifa ya kroho ili watu wapate kujúa mungu 🙌🙌
Very true mtumishi
Ameeen Mungu azidi kukubariki na kukuinua mno,umesema ukweli pastor
Thank you mtumishi kwa kujenga mioyo yetu mungu Azindi kukuinua
Great preaching. I wish though, background music itolewe.
Sunbelaa nakukubali sana ase
Asante, bishop Mungu akubariki Kwa mafundisha Haya Mazur, God bless you so much
Amen. Mafundisho Yako nayapenda sana mtumishi wa Mungu. Umebarikiwa sana.
Nimeipenda hii❤❤❤
Happy to know you
Sitazama Bali nitaendelea mbele kwa jina la Yesu kristo.Aminaaa
Amen mtumishi upendo wa mungu
Ubarikiwe Pastor
Amen Man of God
Ukweli kabisa😢
Amina mtumish ubarikiwe
You are God sent pastor
AMINA HALLELUYA.
Haleluuya Mtumishi. Uko sahihi sana.
Am blessed with the powerful message may God bless you man of God,pst Favour Timothy tuned from Nairobi Kenya
Kweli pastor umeongea ubarikiwe sana
Well said let them go 🚶♂️
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu azidi kubariki mafundisho yako
Amen
Amen
Love you daddy 💕
Kweli huyu ni mungu anafanya.
Mungu akubariki snaaa past
Amina baba
Barikiwe baba
Ubarikiwee mtumishiii mafundishooo mazuriii sanaaaaa
Wooow!!This man Ana Mungu.Anavyo fafanua biblia sasa
Mchungaji naomba uniombe nipona naumwa ombi baba
Hakika na kweli
Amen, thank you Jesus for this revelation I tap on it all entirely days of my life as you continue to give life on me ❤❤❤❤🙏
Amen nimeachia
This preaching has really uplifted my life. Thank you Mchungaji
Amen 🙏🙏
Mungu Akubariki
Amina Mungu akubariki sana
Ni kitabu gani mtumishi
Amen dad
Najifunza saana
Amen Amen
Amen 🙏
Am Blessed 🙏🙏
🙏🙏🙏✍️✅
Ameen
Una jina zuri
Eimen
God bless you too much
Am happy to hear from u pastor am blessed I have learned to release things
Uyuuu baba ananibariki Sana🙏
Anaebariki ni Mungu,yeye anafundisha tu mafundisho ambayo ukiyafuata utabarikiwa!
Njinio
Powerful message
Mimi Laina faustine kutoka Bukoba nilikuwa naomba unisaidie nifanye nni ili baba angu aache pombe,Kama kuomba nimeomba lakn bad anakunywa
✍️
💯❤️
Mimi Laina faustine kutoka Bukoba nilikuwa naomba unisaidie nifanye nni ili baba angu aache pombe
🙏🙏🙏
🤝🤝🤝
God has made you for us .. ❤️
Mimi naitwa Laina faustine kutoka Bukoba nilikuwa naomba unisaidie nifanye nni ili baba angu aache pombe?
Muendelezo wa hili somo ??
This is great
Nabarikiwa na mahubiri yako mtumishi wa Mungu uzidi kuongezewa uwezo wa Roho Mtakatifu ili ufundishe mema kwa watumishi wa Mungu🙏🙏🙏
Ameen
Amen Amen Amen
Amen
🙏🙏
🙏🙏🙏✍️✅
Amen
🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen