Sheikh fuata ushauri Wa dada Raya, Pia video zisiwe ndefu Sana mb zinaenda sana, Punguza mbwembwe na miqaddima mirefu Sana inakula mb, nenda kwenye Lengo watu wengi wataangalia video zako nyingi
Maa shaa Allah kuhusu kusilim hebu njoo kwenye what's app yangu nikuelekeze Kwa no ±255713521944 au Tafuta masheikh huko ulipo waambie wakusilimishe inshaa allah
Mash Allah nimesikiliza nimevutiwa na Dua hii,natama ningetuma chochote kati ya laptop au cm ili na mimi ukaniombea ila inshallah siku nikijaliwa nitafanya hivyo.
Mm nawapenda sana ila mukieka jina tayari na faida zake lzm mtu atakuwa ashajua ni jina gani na faida yake Nini lkn musipoliweka mkalitaja katikati ya kipindi.wstu watatakakujua ni jina gani lkn nyinyi mwaeka jina tayari na faida zake lzm mtu ataipita video maana ashajua ni jina gani
Naam dada Raya ruta twashkuru Sana Kwa ushauri wako mzuri ila lengo letu sio watu kusikiliza tu Bali hata kusoma pia ni Moja ya lengo letu kutimia kikubwa zaidi ni kupata radhi za mola wetu kwakutoa elimu kwanjia mbalimbali inshaa allah
Mm naona hakuna ttzo mana ataa mtume aliwaambia maswahaba zake Fanya kitu flan kwa ajili ya kupata kitu utakacho sasa kwa kutuelimisha sio ttzo cous kila mtu ana matatizo yake
Àsalam aleiqum warahmatullahi wabarakatu Nko na swali iwapo hzi swala sitapata mda wa kuisoma naeza zisoma usiku nilipishe ama??? Alafu niulize mtu akitaka kuwanunulia hyo za kutumia mko wapi, mm nko kenya na naeza jitolea kwa ajili ya Àllah 🙏
Yes unaweza kulisha usiku lakini pia sisi twapatikana Tanzania dar es salaam hivyo ikiwa utafanikiwa kutuchukulia hivyo vifaa au kifaa ni rahisi Sana kutuma Kwa hapa tz ±255713521944
Amin yaraby
Shukran sheikh
Mwenyezi mungu akupe kilala kheir na akuongezee umri mrefu wenye amani na imani na afya njema amiiiin Amiiiin ❤
Ameen
Allah akulipe kila lakheri nawapenda kwaajili ya Allah
Ameeen thumma ameen ahsante Kwa Dua Yako dada amina
Tunashukuru sana Allah awape wepesi wa kila jambo
Ameeen inshaa allah
Mashallah
Naomba
Duwa
Wakusahauuu
Vitu
Njoo what's app
Mashallah Allah akulinde shekhe
Ameen inshaa allah
Amina
Mung
Anifungliy
Kwajinali
Ashallah
Inshaa allah
Lailaha Illallah Mohammadur Rasulullah, Subhana Rabiyyl álaa.
Maa shaa allah
Sheikh fuata ushauri Wa dada Raya,
Pia video zisiwe ndefu Sana mb zinaenda sana,
Punguza mbwembwe na miqaddima mirefu Sana inakula mb, nenda kwenye Lengo watu wengi wataangalia video zako nyingi
Abdallah sima dokta sima shukran Sana dokta wangu na nashkuru pia kua kipenzi changu tangu tukiwa watoto mpaka ukubwani shukran
@@TURIYU Napenda sana ufanikiwe ndugu yangu, ukifanikiwa wewe, tunafanikiwa wengi INSHALLAH
shukran sheikh
Ahsante maalim
Mimi''muniombe''duwa''munguanilaishishiyeanipeye''mumeninaye''mupenda'sana''''''''nakinginemimi''nimefulahiiyishen''mimini''muklistu''nikiswa''nikifatisha'iyomashariti''nitajibiwa'''''''''inginé'''swali''mimi''sijuwepesaningapi''awomutu'anatowazenye'anazo'''''''naniko''congonitazitumaaje''''''kinginenawezakuslim''aje''''''''
Maa shaa Allah kuhusu kusilim hebu njoo kwenye what's app yangu nikuelekeze Kwa no ±255713521944 au Tafuta masheikh huko ulipo waambie wakusilimishe inshaa allah
Asante amen💋💋💋
Sheghe mwenyezi MUNGU Akubariki Sana. Pia kwa wasio waislamu inakuaje??
Kama sio muislamu bas atamtafuta muislamu amfanyie
MashaALLALH shukran sanaa shehk wetu
Shukran
MashaAllah shukran
👍
Maashaallah
❤❤ naaamuu kbs
👍👍
Mashallah tabaraka allah 🎉🎉
Shukran sana
Mungu awalipe Kwa Kila jambo jema
Ameen
Mash Allah nimesikiliza nimevutiwa na Dua hii,natama ningetuma chochote kati ya laptop au cm ili na mimi ukaniombea ila inshallah siku nikijaliwa nitafanya hivyo.
Inshaa allah hamna shida inshaa allah
ALLAH AWALIPE KHEIR AWAONDOLLE KILA BAYA.
Ameeen shukran dada fatma
Naomba namba yako
Allah akuwekee wepesi kwa kila jambo lako yote
Inshaa allah ameen
Ameena Allah akulipe
Ameen
Masha Allah inshaAllah Mwenyezi Mungu awajalie umri mrefu mzidi kutuelimisha
Ameen inshaa allah
Assalamu alykum warhatuallah wabarakatuh
Waalaikum salaam warahmatu llahi wabarakatuh
Masha'Allah!
شكرن
Allah awape mnacho stail inshaallaah
Ameen inshaa allah
Maashalaah
Shukran
Nzurii sana
Shukran
Allahu akbar
Bi idhinillah nitafanya nitakuja kuleta jibu hapa hapa
Inshaa allah usiache kufanya
Aslamykum kheh Allah akupe maisha marefu
Ameeen ahsante sana dadaangu
Masha allah
👍
🙏🙏🙏🙏
Umesemakweri shekhe.
Shukrani inshaa allah
❤❤❤
❤❤❤❤
Mashaallah mungu akubariki naomba number yako nataka kutibiwa
Namba IPO kwenye hio video
Shukran
Ahsantum
Sasa kwa wanawake siku alizokua haswali jjee jee alitaje ivo ivo apange tu mda ule wa swala alitaje au inakuwaje hapo
Taja tu Haina shida ila kusoma qur aani ndio haifai ukiwa periode
Masha Allah
Inshaa allah
شكرن
سكرا❤😢
انشا الله
🙏😔
N
❤❤❤❤ hasante
بارك الله فيكم
asalam alekum warahmatulahi wabarakatu mashala shehe naomba duwa mimi nnaishi nchini zambia natafuta kazi shehe tukopamoja Asalam ale kum
Pole ila sikiliza vizuri hayo majina utapata tu ikupe barka ya kazi
TURIYU TV
MAA SHALLAH
Naaam alhabeeb dokta sima karibu dokta mwenzetu utupe na ushauri mwingine wa kidaktari pia
@@TURIYU Wallah
Daktari Mkubwa ni wewe Shekhe, mí ntasema nini alhabib
Amina❤❤❤
Karibu
Allah hammdulilah 🤲🤲🤲🤲🤲
Maa shaa allah
sasa kwa mm mskristo na ruhusiwa kulitaja hill jina mara 94
Mkristo Unaruhusiwa KUTAJA maana wewe ni mja wa mungu hata kama dini Yako ni tofauti maadam utambue kua unamtaja mungu tu
sawa nashukuru sana nimefarijika. mungu akupe maisha marefu sasa natakiwa kulitaja muda gani.maana c jui chochote
Waongo, mbona hawasome misktni wakaacha kuchangisha ela
Makanisani kola siku yesu anatajwa na michango au sadaka zinaombwa, tofautisha sadaka na kuomba fedha
Sikiliza, ikiwa huelewi acha, au acha kuwasikiliza kabisa mana hawajakuita kwenye chanel yao
Neno km si lako achana nalo,sisi tumeelewa vzr sana
Hivi unakijua unachokitamka???😢
Marshall nitumiye namba yenu ya whatsapp
±255713521944
Naomba dua sheikh nasumbulia sana na kizunguzungu
Pole Sana ndugu yangu inshaa allah mungu atakusimamia mi nadhani hao ni mashaitwani tu
Asalam Aleykum naomba kujua Dua yakuwacha kusahausahau shukran
Dua ya KUACHA kusahau fungua jina la arrahmani utapata maelekezo yake inshaa allah
Tuko wengi wa kusahau sahau
Mm nawapenda sana ila mukieka jina tayari na faida zake lzm mtu atakuwa ashajua ni jina gani na faida yake Nini lkn musipoliweka mkalitaja katikati ya kipindi.wstu watatakakujua ni jina gani lkn nyinyi mwaeka jina tayari na faida zake lzm mtu ataipita video maana ashajua ni jina gani
Naam dada Raya ruta twashkuru Sana Kwa ushauri wako mzuri ila lengo letu sio watu kusikiliza tu Bali hata kusoma pia ni Moja ya lengo letu kutimia kikubwa zaidi ni kupata radhi za mola wetu kwakutoa elimu kwanjia mbalimbali inshaa allah
Mashallah 🥰
MashaAllah Allah awahifadhi mzidi kutupa elmu na faida ktk dini yetu
Assalaam alykum shehe ukifunga unafunga siku mfululizo na ukiwa unaswali nilazima swala za jamaa au
Mm naona hakuna ttzo mana ataa mtume aliwaambia maswahaba zake Fanya kitu flan kwa ajili ya kupata kitu utakacho sasa kwa kutuelimisha sio ttzo cous kila mtu ana matatizo yake
Mbona mnaficha sura zenu wapendwa? Tutaogopa tutafikir matapeli.
Mimi sura yangu imejaa Sana katika video nyingi FUATILIA utaniona ila pia Mimi siuzi kitu hivyo hakuna element zozote za utapeli dadaangu
Unachekesha sasa hapo utapeli uko wapi na mtu hakutaka pesa kwako kakufundisha uradi wa maana. Kama ni tapeli hata akiweka sura ni bure
Àsalam aleiqum warahmatullahi wabarakatu
Nko na swali iwapo hzi swala sitapata mda wa kuisoma naeza zisoma usiku nilipishe ama???
Alafu niulize mtu akitaka kuwanunulia hyo za kutumia mko wapi, mm nko kenya na naeza jitolea kwa ajili ya Àllah 🙏
Yes unaweza kulisha usiku lakini pia sisi twapatikana Tanzania dar es salaam
hivyo ikiwa utafanikiwa kutuchukulia hivyo vifaa au kifaa ni rahisi Sana kutuma Kwa hapa tz ±255713521944
Salam aleikum nitakutumia hela nunuwa lap top ni dollar ngapi nipe number ya whatsapp niko belguim
Inshaa allah
Mashallah
Mashallah
👍