Ukifanya Haya Kila Usiku Wa 8 Utafanikiwa / Soma Nyiradi Hizi Ukiamka Usiku/Sheikh Hashimu Rusaganya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 лют 2024
  • Ukifanya Haya Kila Usiku Wa 8 Utafanikiwa / Soma Nyiradi Hizi Ukiamka Usiku / Sheikh Hashimu Rusaganya
    Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Ukifanya Haya Kila Usiku Wa 8 Utafanikiwa / Soma Nyiradi Hizi Ukiamka Usiku / Sheikh Hashimu Rusaganya
    usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
    Support us DARSA TV
    M-PESA +255 765100906
    Airtel Money +255782466586
    Paypal 👇👇👇👇
    paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
    Get MORE of DARSA TV:
    ► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop... ​
    ► FOLLOW DARSA TV on Instagram: / ​
    ► LIKE DARSA TV on Facebook: / ​
    Subscribe
    Comment
    Like
    And
    Thanks
    Tu follow katika social media zetu
    Facebook @Darsa tv
    Instagram @Darsatv
    UA-cam @Darsa tv
    TikTok @Darsa tv
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 103

  • @user-bk2de8ov6c
    @user-bk2de8ov6c 4 місяці тому +9

    Bismillah ya sheikh Allah ajaliye mwishomwema alhammdulillah kwwa drass namimi nimefanya iyo zikri mwikimijatu kwahuwizowrke(Allah)kanijibu sheikh Allah akuhifadhi❤

  • @joycebongo9275
    @joycebongo9275 4 місяці тому +10

    Mashallah hata mimi nimgeni wa hii dini lakini hua sheikh najifunza kutoka kwako

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 місяці тому

      mashaa Allah karibu kujifunza zaid

    • @ttss3712
      @ttss3712 4 місяці тому

      Mashallah karibu

    • @user-zu7tn4gi1r
      @user-zu7tn4gi1r 4 місяці тому

      MAshallah mungu akuongze n karb Islam din y hki

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 4 місяці тому

      Mashaallah

    • @jaffjeff6912
      @jaffjeff6912 3 місяці тому

      In Shaa Allah ingia haraka kwenye njia iliyonyooka

  • @zainabolenga2829
    @zainabolenga2829 4 місяці тому +18

    Merci ya shekhe rusaganya Allah akulipe kheri.

  • @Quranbond
    @Quranbond 4 місяці тому +5

    اللهم افرغ عليهم صبرا وثبت اقدمهم وانصرهم علل قوم ضلمين.

  • @user-ok1ph4kb7l
    @user-ok1ph4kb7l 4 місяці тому +9

    LAILA HAILA ALLAH wahdahu la sharika lahu lahul mulku walahul hamdu wahuwa ala kuli shain qadir .
    Alhamdulillah wasubhana wallah walailahaila wallah wawahuakbar walahaula walakuwata ila bilah.

  • @fgg8794
    @fgg8794 4 місяці тому +8

    Yaa rabbi tupe mwisho mwema kesho kiyama 😭😭😭🙏🙏🤲🤲☝️☝️🤝🤝

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 4 місяці тому +8

    Assalamu alaykum
    Maalim Rusaganya tumejifunza kwako tukiwa wadogo na tunajifunza kwako tukiwa wakubwa
    Allah Aza wajah
    Akuweke na waislamu wazidi kufaidika kwako
    حافظك الله
    ربي يحغظك

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 місяці тому +2

      shukurani karibu

  • @MohamedIbrahim-gx1ei
    @MohamedIbrahim-gx1ei 4 місяці тому +3

    Mungu atujaliye wepesi kufanya na kufata maneno mazuri sana na mungu atujaliye mwisho mwema

  • @user-cz1pb6zn3h
    @user-cz1pb6zn3h 4 місяці тому +2

    Allah akulipe JANNAH sheikh. Tunanaskr sana sana sana kwa ELMU hii kubwa. Alhamdulh.

  • @user-nk5ux9qp6q
    @user-nk5ux9qp6q 4 місяці тому +3

    Manshaalla mnyezi mungu atuwezeshe inshaallaa

  • @Ntamba-rq8my
    @Ntamba-rq8my 3 місяці тому +2

    A w w shkh mimi niliolewa nilimpenda sana Tena sana mume wangu ila mume wangu hakuwa kweli Kumbe nimzinifu mbaya anakwenda kuzini na mke warafikiyake siku aliniowa hakunambiya cocote nilibijuwa ku watu yake alileta maneno anayatowa kwa ule mzinifu mwenzake eti mimi nilikuwa hawara ya ule alimziniya mke sikuwayi nikamuita dada wa huyo mwanaume mume wangu aliyezini na mke wa kaka yake dada alikata sa nilijuwa mume wangu nimzinifu nilichukiya sikumbenda Tena niliomba Talaka yangu sikuwa namapenzi nae Tena nilichukiya sana kumbe alitaka nijuwe kama nimzinifu akaniangaisha nilimtuka akanipa Tanaka nilifurahi sana ila mpaka sasa ananiuzi na mamemo sitak8 nifanye nini ju ninawstoto wa kike asije amazini na watoto wangu niombeye duwa stoke mu familie yangu sitaki Ata tujuwane aendeley na mzinifu mwenzake

  • @user-ju1dg4xt4l
    @user-ju1dg4xt4l 4 місяці тому +2

    Mashaala allah Mashaala allah Mashaala allah Mashaala allah 🙏 💖 ❤️ ♥️ 😢 😊 😊allah akupe mwisho mwema

  • @user-ju9mi1ft4v
    @user-ju9mi1ft4v 4 місяці тому +3

    Shukran jazallah kheri

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 3 місяці тому

    Jazakah llah kheer shekh Rusaganya kwa kutuelimisha akupe kheer ktk maisha yako🤲

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 4 місяці тому +2

    Jazakhallah khairan

  • @user-cw2vh1xc9e
    @user-cw2vh1xc9e 3 місяці тому +1

    Allah atuwezeshe inshaallah yarab

  • @zenaibrahim437
    @zenaibrahim437 2 місяці тому

    Jazakah allah kheri sheikh. Allah akupe kila la kheri. Katika. Maisha yako

  • @user-nc6dk7eo7t
    @user-nc6dk7eo7t 4 місяці тому +1

    Jazzallahu ghaira kwa ukumbusho sheikh wetu

  • @ZuwenaOthman-yl4bp
    @ZuwenaOthman-yl4bp 4 місяці тому +2

    Masha Allah

  • @user-uh7nb9db6x
    @user-uh7nb9db6x 4 місяці тому +1

    Aminii nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @AminaAllyzuber
    @AminaAllyzuber 2 місяці тому

    Allah atupe wepes tuwe wenye kufata mafundisho ya viongozi wetu amin

  • @sofiarajabu1210
    @sofiarajabu1210 3 місяці тому +1

    Mwenyezimungu akusimamie kweny Kila jambo shekhe wangu

  • @user-oj6st8xf9b
    @user-oj6st8xf9b 2 місяці тому

    Alhamdulillah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Oooh allah tukinge waja wako nacwaovu na uturekebushe tunapo kosea mola wangu allah akulipe shekhe

  • @user-rt5vq5vc3k
    @user-rt5vq5vc3k 4 місяці тому +3

    Shekhe shukran mm nikiamka kusali usiku nikirudia kulala Huwa naota ndoto mbaya sana

    • @jamalkishangu
      @jamalkishangu 4 місяці тому

      Zidisha Dua huwenda shetani anakuchezea.

    • @radhiamataka4045
      @radhiamataka4045 3 місяці тому

      Shkran Sheikh Allah akulipe ujira mwema

  • @leylaruhabaye9017
    @leylaruhabaye9017 4 місяці тому

    Amiin sheghe kiongozi wety dini allah atakulipa akupe afya njm Ishaallah

  • @HassanSinani
    @HassanSinani 4 місяці тому +1

    Shukran jazakallah

  • @mikdadmarwa4671
    @mikdadmarwa4671 4 місяці тому

    Allah akulipe dunian na Ahella.Atujalie mwisho mwema Amin.🙏

  • @fatumahassan636
    @fatumahassan636 4 місяці тому

    Mungu ni mwema azidi kukupa malifa zaidi kher

  • @user-ed1sp3gi4r
    @user-ed1sp3gi4r 4 місяці тому

    Jazakallahu khery Sheikh kwa elimu unayotupatia

  • @abasnjopeka9003
    @abasnjopeka9003 4 місяці тому +1

    Jazakalahu kheiran

  • @juniorcantona4040
    @juniorcantona4040 4 місяці тому +1

    Ma Shaa Allah

  • @asiyajuma3135
    @asiyajuma3135 4 місяці тому +1

    Ameen ya rabbyli ala minn 🤲🤲🤲

  • @mjomba2333
    @mjomba2333 4 місяці тому

    Jazakallahu Khairan

  • @roiyajuma9709
    @roiyajuma9709 4 місяці тому +1

    Mashaa Allah

  • @Mnira-wd8oe
    @Mnira-wd8oe 2 місяці тому

    Jazakalahu kheri sheikh

  • @CHEEDYBOYY
    @CHEEDYBOYY 4 місяці тому

    Jazakallahu khayr ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sheikh

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Allah atusitiri yarabi na siku hiyo ngumu

  • @omarswaleh5900
    @omarswaleh5900 4 місяці тому +1

    Shukran🎉

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 4 місяці тому

    Shukran sheh

  • @husna34562
    @husna34562 4 місяці тому +1

    شكران

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Allah atujaalie tuwe ni miongoni mwa wenyr kusali sala za usiku

  • @zainakidile3826
    @zainakidile3826 4 місяці тому

    Subhaallah yarabb tujalie mwisho mwema

  • @hadyaAlii
    @hadyaAlii 4 місяці тому

    Asante ❤❤mashaallah ❤❤

  • @user-sh1vb1zt1j
    @user-sh1vb1zt1j 4 місяці тому +1

    Mashallah

  • @binthasan7532
    @binthasan7532 4 місяці тому +1

    Mashaallah

  • @user-hj5fq7rt5m
    @user-hj5fq7rt5m 3 місяці тому

    Asalaam alaykum kwa hiyo sunna ya jua linapochomoza ni dhuha au tofaut na dhuha

  • @user-po6su3yo7b
    @user-po6su3yo7b 4 місяці тому

    Baraka Allah fikah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Subhanallah allah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Aaaamiiin sumaaaaaah aaamiiiin ❤❤

  • @swidiqrajab4519
    @swidiqrajab4519 4 місяці тому +1

    اللهم امين يارب العالمين، اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين، اللهم بلغنا رمضان وبارك لنا فيه اللهم انصر اخواننا في الفلسطينين

  • @faizunmohd9839
    @faizunmohd9839 3 місяці тому

    Shukran

  • @khadijaShungu
    @khadijaShungu 3 місяці тому

    Shukran 🙏

  • @ashamussa5129
    @ashamussa5129 4 місяці тому +1

    MASHALLAH

  • @musaelhaji7832
    @musaelhaji7832 4 місяці тому

    Alhamduliah ya Allah

  • @user-bk2de8ov6c
    @user-bk2de8ov6c 4 місяці тому +1

    Allahummah yarrab. Amin

  • @khadijakombo4638
    @khadijakombo4638 4 місяці тому

    Waslam wotee inshaallah

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 2 місяці тому

    Allah akbar

  • @husseinfundi1982
    @husseinfundi1982 4 місяці тому

    maashallah

  • @hebamuhammad7278
    @hebamuhammad7278 3 місяці тому

    Manshaalla tabarakalla 💔

  • @FatimaFatima-xu2ff
    @FatimaFatima-xu2ff 4 місяці тому +1

    ALLAH Akuhifadh shekhe wetu❤

  • @omarswaleh5900
    @omarswaleh5900 4 місяці тому +1

    ❤ Allah

  • @JazzarShekhe
    @JazzarShekhe 3 місяці тому +1

    Taja sura shekh

  • @user-gl1bz8ql3b
    @user-gl1bz8ql3b 4 місяці тому

    Ameen

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 3 місяці тому

    Inshallah

  • @user-md8gs2mk2m
    @user-md8gs2mk2m 4 місяці тому

    Subuhaanallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 4 місяці тому

    Ameen 🤲🏾🤲🏾

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    naomba mwenyezimungu utulinde namitihani yadunia nautupe mwisho mesma am

  • @SalimKarama-fw7tt
    @SalimKarama-fw7tt 2 місяці тому

    Shekh uradi huu lazima ulale ndipo ukishtuka usome na jee kwa wale wanaofanya kazi za usiku hawalali je wakisoma uradi huu pia ni sawa?ama lazima ulale kwanza

  • @falidiamiiamii-jz5pf
    @falidiamiiamii-jz5pf 4 місяці тому

    Uhsant sh kil la kher

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    emwenyezimungu tujalie wajawko 14:04

  • @user-nk5ux9qp6q
    @user-nk5ux9qp6q 4 місяці тому

    Ahmedi ndibalema

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    emwenyezimungu tujalie wajawko

  • @sitiabas2686
    @sitiabas2686 4 місяці тому +1

    Shehe nataka namba zako

  • @bellasi349
    @bellasi349 4 місяці тому

    Soma wewe shecke ufanikiwe wewe apo unaishi kwa sadaka za waumini😂😂 jameni kwani usiwafundîshe kutafuta pesa kwa jitahada wakupe na mipango ya kubana matumizi

    • @HassanSinani
      @HassanSinani 4 місяці тому

      Usilete mzaha kweny dini za watu utaangamia punde jiangalie sana

    • @wearetogether8497
      @wearetogether8497 4 місяці тому +2

      Unatoa hoja za kipuuzi sana kama huna cha kukomenti kaa kimya. Inaonyesha hata wewe sio mtu wa imani hii.

    • @user-zu7tn4gi1r
      @user-zu7tn4gi1r 4 місяці тому +1

      Wew hujtmbui hao mapadri wantgmea nn clez ww

    • @bellasi349
      @bellasi349 4 місяці тому

      @@user-zu7tn4gi1r wewe fanya hayo sasa tuone mazinge soon anakufa akiwa masikini siaende akamwambie afanye huo ujinga anafundisha yan waafrica bwana ndo maana wazungu wametutubisha ju akiri hamuna kufata upumbavu we kuna duna inayoleta maisha mazuri kenge wewe Muhammad mwenyewe kafa masikini why hakufanya ayo mambo 8 achen upumbavu

    • @bellasi349
      @bellasi349 4 місяці тому

      @@wearetogether8497 sio wa imani iyo ni kweli ila kwa kuwa amekuja mtandaoni lzm kucoment vinginevyo nendeni msikitini kwan hamna misikiti au

  • @user-pi3pg5we1c
    @user-pi3pg5we1c 3 місяці тому

    Mashallah

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    emwenyezimungu tujalie wajawko 14:04

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    emwenyezimungu tujalie wajawko

  • @farajihoseni
    @farajihoseni 4 місяці тому

    emwenyezimungu tujalie wajawko