Soma Suurah Hii X73 Ukidhulumiwa Na Kuonewa / Dawa Ya Dhuluma Ni Hii /Sheikh Hashimu Rusaganya
Вставка
- Опубліковано 28 бер 2024
- Soma Suurah Hii X73 Ukidhulumiwa Na Kuonewa / Dawa Ya Dhuluma Ni Hii /Sheikh Hashimu Rusaganya
Mashaa Allah Sheikh Hashimu Rusaganya akielezea kwa uzuri na ubora wa hali ya juu Ya Soma Suurah Hii X73 Ukidhulumiwa Na Kuonewa / Dawa Ya Dhuluma Ni Hii /Sheikh Hashimu Rusaganya
usisahau kutu support kwa subscribe channel yetu na kutu follow kwenye social media zetu inshaallah support yako ni muhimu sana
Support us DARSA TV
M-PESA +255 765100906
Airtel Money +255782466586
Paypal 👇👇👇👇
paypal.me/DarsaTv?locale.x=en_US
Get MORE of DARSA TV:
► WATCH MORE: • Swala za Mtume Zinazop...
► FOLLOW DARSA TV on Instagram: /
► LIKE DARSA TV on Facebook: /
Subscribe
Comment
Like
And
Thanks
Tu follow katika social media zetu
Facebook @Darsa tv
Instagram @Darsatv
UA-cam @Darsa tv
TikTok @Darsa tv - Розваги
Alhamdullah Allaah subhaanahu wataala akuhifadhi
TabarakaAllah fii ustadhi
Mashaallah ...shekh Allah akuhifadh
Shehee hiyo duwa ya kuzurumiwa na kuonewa naomba MSAADA nisome kwa kiswahili
Jadhakallah kheri Shekh wangu
MashaAllah be blessed Ameen
Mashaallah shekhe wangu
Amiin shekh wetuu
Mashaallah tabarakallah
MashaAllah
شكرا جزيل
Allah akuzidishie
Aamin yarabbil'alamin
Shekhe naomba namba ya simu nina shida na ww sana tafadhali
Sheikh ni siku gani na saa ngapi kufanya/kusoma dua hii?
Ni Udikteta ukikamatwa na polisi kama wamekizuia lazima wakupe chakula, mnaishi katika nchi ambayo haifuati sheria.
Shehee tafadhali naomba namba no ya simu
Naomba niisome kwa kiswahili kiarabu sikijui mm mkiristo
aya sawa
Usilimu kwanza maana hiyo ni Quran na haitafanya kazi ukiwa huna Imani ya kiislamu.
Nahuliza sheikh wetu akuna fusho? Utafusha?
Shekhe mimi naomba namba namba zako
Leo nafanya kuna mtu kanitapel pesa yng
Shekhe mimi naisoma naweka maji kwa glas najina lahuyo mtu ninaye mnuia nikisha maliza nayapaka mwilini nalala sasa kazi kwenye ndoto Allah akibar nawanyanyasa
Kaka nipe ujuzi huu
@@abdulkisome9538 Huwa mimi binafsi naswali lakaa 2 nikishatoa saramu nasoma Alamtallah 27 Tambati adah 27 nikisha maliza natia nia tu
Na fatilia nikiwa saudia
Mashallah
Ivi Mtume ndivyo katufundisha hivi ukidhumiwa???
Dalili juu ya hili Shekhe
Wauliza swali au watoa ukumbusho wa mtume ?
Kwenye u Islam ni Sawa kurudisha ubaya kwa aliye kudhulumu ila kusamehe ni bora zaid
utamswalia mtume mara ngap