Aslm alkm ww.... Wallahi Sheikh Othman ni mambo ya kuskitisha. Mombasa kuna kanisa flani waislam wamehamia huko, tunaelekea wapi????? Allah atulinde. Allah akujazi kheir Kwa kuyazungumzia hayo. Shukran sana Sheikh wetu kipenzi chetu doctor 💊 wetu. Allah atulinde.
Alafu me nnachokiona katk waislam wanaoenda makanisani et kisa wana matatizo ni wale ambao hawajaisoma dini yao wakaielewa wallah alieisoma dini yake hata kama ni kidogo kisha akaielewa Kule haendi ila kama kasoma kama kasuku tu afute aende kwingine au hajasoma kbsa uislam wake anakwambia wee me sijasoma ila hunidanganyi sasa hii dini co sijasoma ila hunidanganyi hapa ni usome na ujidhatiti ktk dini ndo utaona ladha yake
Ninahisi kupenda na kuyafuatilia zaidi kwnye mawaidha yake.mwezi uliopita ijumaa alikuwa msikiti wa Lindi,nilitamani wasaa uende Ila ndio hvyo muda wa swala ulikuwa umewadia. Allah akutangulie katika kila lenye kheri
Hello Sheik Othman Michael,my name is Ismail from Kenya,,nathani kwamba unaweza kunielekeza vle ntapata haya haya mafuta matakatifu hapa kwetu Kenya InshaAllah Ustadh
Assalaam aleykum natumai hamujambo nyote inshaaAllah nilikuwa naomba tafadhali sheikh uthman kama utaweza kunitengezea hayo mafuta ya kuchanganya kisha unipe idadi ya pesa ya gharama ya hiyo dawa mm niko Kenya kisha unitumie nami nikutumie pesa zako
Tunshkur ostadh kw mafunzo yako mola akufanyie wepec kila hitaji la moyo wako...allah akuweke amini
Jazakallau kheiri Allah akuzidishiye hekma namaarifa akustiri akupe aman akupe mwisho mwema inshallah 🤲
Aslm alkm ww.... Wallahi Sheikh Othman ni mambo ya kuskitisha. Mombasa kuna kanisa flani waislam wamehamia huko, tunaelekea wapi????? Allah atulinde. Allah akujazi kheir Kwa kuyazungumzia hayo. Shukran sana Sheikh wetu kipenzi chetu doctor 💊 wetu. Allah atulinde.
Alafu me nnachokiona katk waislam wanaoenda makanisani et kisa wana matatizo ni wale ambao hawajaisoma dini yao wakaielewa wallah alieisoma dini yake hata kama ni kidogo kisha akaielewa Kule haendi ila kama kasoma kama kasuku tu afute aende kwingine au hajasoma kbsa uislam wake anakwambia wee me sijasoma ila hunidanganyi sasa hii dini co sijasoma ila hunidanganyi hapa ni usome na ujidhatiti ktk dini ndo utaona ladha yake
@@ummuhkhalfan5542 ni dunia imewavaa ila ckua hawakusoma .kunamtu yuajiita mujaj nimsomi na ni alhaji.nayeye aliretadi😭
SHEKHE hayo mafuta yanauzwa shilingi ngapi??
Waache bwana kila mtu ana ambana kwa nnjia yake ili awe sawa jamani ndini aina shida kikumbwa imani na unacho kiomba
Mashallah shukran jazeerah .ALLAH AKULIPE AKUJAALIE JANNATUL FIRDAUS NA AKUJAALIE MAISHA MAREFU SANA YENYE AFYA TELE
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
MashAllah...Mwenyezi Mungu akujalie katika kila jambo lako la kheri
MashaAllah Allah akulipe kwa wema wako hapa dunian na kesho akhera🤲🤲🤲
MashaAllah may Allah give you the highest rank in paradise
ALLAHUMMA AMIN Mashaallah shukran wa jazaka ALLAH Kheir AMIN
Mashaallah tabaraka Allah Allah akulipe kila la kher
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Jazaka Allahu khery ya shekh
Jazaka allahu kheir sheik outhman kwa elimu yako
Tuna shukuru Sanaa kweli shkehe wetu Allah akupe umbri mrefu uzidi kutupa somo
Maashaalah hazakallah kher sheke
Maashaallah, Sheikh tunaomba vipimo ya kila mafuta
Jazakah allah kheir
Shukuran jazakka Allah kheiran Allah akubarikie Sana kwa kutufunza dawa hii adwim Mola akuhifadh na akulinde na kila shary
Jazaka llah kheir
Mashallah napenda mawaidha yako, umetulia hakika ukitoa mawaidha, Mashallah
Ninahisi kupenda na kuyafuatilia zaidi kwnye mawaidha yake.mwezi uliopita ijumaa alikuwa msikiti wa Lindi,nilitamani wasaa uende Ila ndio hvyo muda wa swala ulikuwa umewadia.
Allah akutangulie katika kila lenye kheri
Masha Allah may almighty Allah protect us,
Assalamualaikum warahmatulahi wabarakatu Shee Wangu inachemshuwa au bada ya kuchanganya inatosha. Shukran Kwa darsa hii muhimu
Masha Allah shukran shehk
Shukran saana sheikh
Jazaka llah kheyr. Bei gani kichupa kimmoja
Masha's Allah mola akuzishie yarab uzidi kutuelimisha.
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazaka Allah khaira
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
@@fravianajackson2457 mashallah
Shukran
Barakallahu sheikh
Masha Allah 🙏🙏
Shukran Shekh,hasante sana na
mahari mupo tumefahamu asante.
Namshukulu sana she mungu akulinde hivi vitu ndio vinasumbua watu nimeandika naenda kizitafuta
Jazzaka llahu kheir yarab iwe mafuta makubuli
Shukran kwa darsa zuri
Mashalla mungu akuzidishie shekh
Barakallah fiq
Jazakallah kheillah
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Masallah xhee
Mashaallah.barakallah lak.
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Jazzakallahu khaira
Jazakalla hulkheir alla akupe majazamema inshaalla naumri twawel wakherip amin
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Assalam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh ndugu wa Islam
Shukran shekh, Allah akulipe kila lenye kher na azidi kukupa umri
AMEEN
Alhamdulilah 🙏
Maa Shaa ALLAH tabaraka ALLAH
Jazakalahu kher
Masha allah tabaraqallah
Jazakallah
MASHAALLAH Allah akulipe badala
Shukran jazakallahu kheir insha'Allah
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Hayo mafuta nayapaje mm npo tabora shekhe ??
She tusukumie izo haya kwenye mtandao barakallahu fiq
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Mashallah shukuran
Dah Allah akuhifadhi tunaomba nakule kwenye tv yako sheikh
Alha
Akuhifadhi
Mashaallah kwa mawaidha mazuri allah akupe huo moyo
Shekhe shukraan snaaaa allah akubarik.
Mashallah
Asalam aleikum. Nashukuru sana kwa mawaidha yako na ilmu yako mwenyezi mungu akubariki akuhifadhi
Khardar ni nini kwa kiingereza?
Najivunia kusikiliza hiki kipindi mm nipo Buguruni kwa uwezo wa mungu nitafika ofisini
Asante kwa mafunzo
Allah akulipe kheri
Hello Sheik Othman Michael,my name is Ismail from Kenya,,nathani kwamba unaweza kunielekeza vle ntapata haya haya mafuta matakatifu hapa kwetu Kenya InshaAllah Ustadh
Mashaa. Allah. Ustadhi. Allah. Akupe. Nguvu. Uzidi. Kutupa. Daaaw. Pamoja. Naelim
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Allah akubarq
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Jazakumllah khaira, Allah akulipe Lila la kheri sheikh duniani na kesho akhera,
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
@@fravianajackson2457 aslm alkm naomba majina ya haya mafuta
Maashaallah
May GOD blesss
Subhanna llah
Allah akbaru
MashaAllah
Assalaam aleykum natumai hamujambo nyote inshaaAllah nilikuwa naomba tafadhali sheikh uthman kama utaweza kunitengezea hayo mafuta ya kuchanganya kisha unipe idadi ya pesa ya gharama ya hiyo dawa mm niko Kenya kisha unitumie nami nikutumie pesa zako
Maa Shaa Allah nahitaji hayo mafuta uliochanganya sheikh tutapata vipi tupo 🇬🇧 UK
Kataja no zake hapo mwisho
Mashllh allh akupe afya njema menimekuangly2 mwili umenitetemek
MashaaAllah tabarakallah 🇧🇭🇧🇭🙏
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Naomba sheck unitumie hio mafuta asante niko Nairobi gatina 56
Mungu.akubariki
Mashaallah shekh shukran kwa kutuelimisha Allah atakulipa
❤❤❤ 👇 *BONYEZA*
ua-cam.com/video/jpnUT3uMd-k/v-deo.html
Allah anifikishe mwakwan insha allah nifike yaarab
Mbona namba yake haingi ata
@@najmabakari8607 ulimchek sio
Assalamualaikum warahmatullahi wabarakatuhu si unitajie majina haya mafuta
assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatu ulipewa majina na haya mafuta
Nipo
Mwenye anayo aniuzie na shida jaman tafadhal,,
Mashekh mnajiaibisha mambo gani hayo dah
Naitaji hayo mafuta muhimu sana kwangu na wanangu tunapitiya mambo mingi
Al hamdu lilah sh nashukuru nime pata faida kubwa sana kwangu na haya mafuta na mimi pia nime is an towa sadaka kwa watu barka allah ffiki
MaShaAllah very nice Allah akuongoze Ameen
S.a sheikh kwa ngapi hayo mafuta
Salaam alaykum warahmatullah wabarakatuh.Allah akuhifadh insha'Allah sheikh mi Nina shida Sana nataka Dua kwa wanangu jee nakupataje?
Aslamu Alaykum shekh naomba unifundishe dawa ya mtoto wajicho iliokuwa sahihi mungu Akipenda mtu hupona mungu Akupe Afya
Assalamaleykum sheikh Mimi Niko Mombasa je malipo garama yake mpaka nilipo ni vp
jamani binaadamu tuna mitihani subhanallah
aslm.alaykum. mungu.akubariki
Nayataka sheikh
Shk. Onaweza tuma Uganda
tunashukru Sana sheikh Allah akujalie maisha malefu
Walaykum salaam shekh nahitaj hayo mafuta nipo Oman
Vip umefanikiwa🙄🙄🙄
Waleikum Salam warahmatullah wabarakatuh shekhe nikitaka hayo mafuta nayapataje
MashaAllah Allah akujaze heri Kwa haya ya Sumba wanga ndio yapo kwetu.sheikh tafadhali sija shika Dua tuandikie tafadhali
Sheikh nasumbuliwa na jini mahaba nakupataje
Assalam aleykum.shukran sheikh sana..mm naomba usaidiz wa tiba sheikh nko Mombasa dalili zte ulizozisema za subyan mm nko nazo plz sheikh naomba usaidizi
Mashallah, walahaula walakuwwata illa billahi
Allah akubarikie katika rizqi yako na akujalie umri wa kheri na wewe
assalamu alaykum warahmatullahi wabarakatuhu
Mimi nataka kujuwa beigani iyo dawa ulochanganya mimi ninatazo 😊
Allah akulipe kwa kutufkishia sheikh wetu
Asalam aleykum warahmatullahi wa barakatuh! Sheikh napataje mafuta hayo niko uingereza.