Ukisoma Adhkar hii mara 110 Allah anakupa unachokitaka ndani ya saa 12 - Sheikh Othman

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 286

  • @FatumaMusa-g5k
    @FatumaMusa-g5k 10 місяців тому +5

    Mashallah shekh mungunakuhifadhi hapa Duniani kaburini mpaka kesho akhera..kwa jina naitwa mohamed niko kenya watamu naomba dua zako inshallah

  • @bahatiomar5297
    @bahatiomar5297 10 місяців тому +7

    Mashallah Mashallah tabarakaallah sheikh alhamdulillah umenifunza mengi na pia mungu akujalie elimu zaidi ya iyo inshallah 🙏🙏

  • @AmranJumanne-vr6do
    @AmranJumanne-vr6do 9 місяців тому +1

    Mashaallah Allah aendelee kukupa Afya njema shekhe othuman

  • @NaseemKhan-hh6vi
    @NaseemKhan-hh6vi Рік тому +26

    Subhanallah, Allah akujaalie wewe na familia yako furaha ,elimu na Fahamu na mwisho mwema. Sheikh naphtali kujua mambo ya kheri mengi kwa kuangalia mawaidha yako. Jazakallah

  • @pwaguzimudesh3441
    @pwaguzimudesh3441 Рік тому +33

    LAILAHA ILAA ANTAA SUBHANAKA INNI KUNTU MINADHWALIMIN.....
    LAILAHA ILAALAHU WAHDAHU LAA SHARII KALLAHU LAHUL MULKU WALAHUL HAMDU YUHII WAYUMIITU WAHUWA ALAAKULII SHAYIIN QADIR
    SUBHANALLAH WABIHAMDI

  • @AshuraAhmed
    @AshuraAhmed 10 місяців тому +1

    Maashaallah maashaallah alhamdulillah hakika nimenufaika na elimu yako Allah akujaze khery nyingi inshaallah uzidi kutuelimisha zaidi na zaidi

  • @ladymoretaboraprincess6190
    @ladymoretaboraprincess6190 Рік тому +22

    Alhamdulilah, huyu shekh huyuu,basii tu,Allah ampe kheir

  • @yoramabubakar8012
    @yoramabubakar8012 9 місяців тому

    Mashaallah . Shukran sana shekh wetu. Allah akujalie kila la kheri

  • @abdulhakimhussein6039
    @abdulhakimhussein6039 Рік тому +7

    Wallah cheikh nakupendaka saaaaana na mawaidha yako na Dawa unazo zitowa Alhamdulillah ninzuri za kisunnah!

  • @athmankazungu
    @athmankazungu 10 місяців тому +40

    Alhamdhulillah sheikh, adhkar ii nmajarabu, nilikua cna cha kukila Ramadhan ii, lkn nikafanya adhkar ii ,bc katokea mtu ananambia nikule kwake Ramadhan yte , asante sheikh, nmepanda daraja la imanikwa hili

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 Рік тому +12

    Mashaallah, tunafuatilia sana vipindi vyako, wewe ni zaidi ya mwalimu maana huachi kitu katika kuelekea kwa utaratibu ambao mwanafunzi anaelewa moja kwa moja na kukosa maswali. Jaazakallah

  • @swabrimohamed8211
    @swabrimohamed8211 Місяць тому

    Shukran sana sheikh

  • @JujuhMustapha
    @JujuhMustapha 10 місяців тому

    Mashallah.allah akujaliiee🙏🙏

  • @mariamruwa7345
    @mariamruwa7345 Рік тому +4

    Ma Sha Allah shekh Othman Allah akujaze Leo mpaka kesho kiayama tunafaidika wengine tuna mithihanii na atujui tutaitatua vip wallah jazzah Yako Iko kwa Allah🤲🤲🤲

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Рік тому +43

    Watu tunamuomba Mungu sana,ila tunafeli kwa kukosa mambo mawili ktk nyoyo zetu:
    YAQQIINI NA TAWAKKULI.
    Mungu akitujaalia tukawa nayo mambo haya,hakika tutakuwa watu miongoni mwa watu.
    Tumuombe ALLAAH aturuzuku mambo hayo na ziada👏 Inshaa ALLAAH.
    Aamiin.

  • @hashimwaziri3583
    @hashimwaziri3583 4 місяці тому +6

    Alhamdulilahi dhikri ya nabii yunus haijawahi kuniangusha hata mara moja, Alhamdulilah maajabu makubwa

  • @DadaMwasiti
    @DadaMwasiti Рік тому +4

    Assalamou mwaleykum warahmatullah wabarakatuu, MashaAllah Mwenyezi Mungu akuzidishiye na akupe ulinzi wewe na familiya yako nilipata jibu masaa 24, Alhamdulillah

  • @امينهعبدالله-ص6ث
    @امينهعبدالله-ص6ث 10 місяців тому +1

    Assalamalikum,hasante Sana kwaujumbe wako twakushkuru Sana Mungu atubariki soteni,atujalie muongozo mwema,inshaallah Amin,Amin,yarabbi.

  • @MwajumaMbwesso
    @MwajumaMbwesso 10 місяців тому +5

    Alhamdulillah mashaallah 🙏🙏🙏🙏🙏yarabb zipokee dua zetu allahumma amiin🤲🤲🤲

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 9 днів тому

    Inshaallah.....
    Nitafanya kuanzia leo❤❤

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 10 місяців тому +8

    Laillahaillallah haillallah annta subhanaka innikuntum minadhwalimina

  • @ArabiMwambe
    @ArabiMwambe 8 місяців тому

    Shekh kama tutasoma aalhhuma swally allah Muhammad ya_rabby swala allyeh waswallim tuttkua tupo pamoja au ❤❤

  • @DrMo-fn9ud
    @DrMo-fn9ud 11 місяців тому +1

    Shekhe Allah akulipe kheri akutenge na adhabu za kabri na moto wa Jahannamu akupe afya njema na mwisho mwema Amiin

  • @AskhalKhamis
    @AskhalKhamis 10 місяців тому +3

    Allah atufanyie wepc mamb yet

  • @nahimanashabani8780
    @nahimanashabani8780 Рік тому +13

    Allah akupe umri mrefu sheikh wetu maana sina lakuongea zaidi ya alhamdulillah

  • @OmaryIrunde
    @OmaryIrunde 9 місяців тому +3

    Allah akubariki nami namtihan naomba mungu anisaidie

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy Рік тому +10

    Sheikh Othman unatupa vitu vizuri sana mashaaallah wengi tunafaidika,shukran na Allah akujaalie kheri

  • @latifasalim679
    @latifasalim679 10 місяців тому +4

    Mie swali Sheikh Nikisoma dhikri napata usingizi na utulivu viungo vyote vinaonyyoka hii ni Moja ninapo soma mbali na mazuri mengi Allahmdulillah

  • @marmzrelationshiphub7907
    @marmzrelationshiphub7907 10 місяців тому +1

    Laila aila anta subhanaka huwa inanivusha kwenye uzazi fasta sana ndio uradi wangu nikienda kujifungua..Asante sana Sheikh kwa ukumbusho na msisitizo sitaiacha .

    • @dijatysaid3232
      @dijatysaid3232 5 місяців тому

      Aaah hii mi pia imenivusha wallah

  • @HafsaIrakoze
    @HafsaIrakoze Рік тому +1

    Maashallah, Tabarakallah , Jazak Allah Khair

  • @ImeriaNakayima
    @ImeriaNakayima 11 місяців тому +1

    Ustaaz.shukran.mpaka.sasa.nimeitwa.kazini.

  • @RaziaGamba
    @RaziaGamba 3 місяці тому

    In Sha Allah Allahuma Ameen Shukran sheikh

  • @fatumamichenje754
    @fatumamichenje754 3 місяці тому

    Alhamdulilahi rabilahalamina ahsante shekhe

  • @EliakimSheikh
    @EliakimSheikh 11 місяців тому +1

    Mashaallah naenda kufanya hivyo usiku huu bi idhni llah ALLAH ni mwing wa rehma

  • @melissashumbana4748
    @melissashumbana4748 Рік тому +1

    Shukran saana sheikh wetu, kupitia mawaidha yako tunafaidika na mambo meeengi , Allah azidi kukulipa kheri na akujaalie mwisho mwema ❤

  • @moestate9982
    @moestate9982 Рік тому +1

    MashaAllah mwenyezi mungu akubariki akujalie kila la heri kwa kutuelimisha

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 10 місяців тому +9

    LAILAH ILLAH ANTA SUBHANAKA INNI KUNTU MINADHWALIMIN🙏🙏 LAILLAH ILLAHU WAHDAHU LASHARIKALLAHU LAHULMULKI WALAHULHAMDU YUHII WAYUMIITUWAHUWA ALLAH KULII SHAIIIN QADIRU 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼ALLAH atufanyie wepesi kwenye dua zetu ishaALLAH🙏🏼🙏🏼

  • @JujuhMustapha
    @JujuhMustapha 10 місяців тому

    Alhamdulillah 🙏🙏🙏

  • @qwnlynuzlah3115
    @qwnlynuzlah3115 Рік тому +3

    MashaAllah,jazakAllahu Kheir

  • @YusraAli-o6j
    @YusraAli-o6j 6 місяців тому +1

    Allah azidi kukupa imri mrefu wenye kher daima

  • @salhaisrael8265
    @salhaisrael8265 Рік тому +25

    Mm nilifanya shekhe uliposema ktk Crip yako iliyopita wallahi vileulivyotoa matokeo yake basi yalinitokea nivile vile Allah akujaze majazo mema inshallah.

  • @shabanmtoo8816
    @shabanmtoo8816 Рік тому

    Mashaallah shukrani Allah akujaalie umri mrefu na wenye baraka

  • @Jannat_254
    @Jannat_254 Рік тому +37

    LAAILAHA.. ILLA.. LLAHU.. WAHDAU LA SHARIKALAH...LAHULMULKU WALAHUL... HAMDU.. YUHIYI WAYUMITU... WAHUALAKULLI... SHAIN QADIR
    SUBHANA LLAHI WABIHAMDI SUBHANA LLAHI AL ADHIM

  • @jumamwete1600
    @jumamwete1600 Рік тому

    Mashaa Allah wa jazakallahul khaira kathiran wa kabiran.
    Nitajikita katika hizo adhkar aamin.

  • @AskhalKhamis
    @AskhalKhamis 10 місяців тому

    Mashallah allah ndo mjuz wa yot najitahid kuomb shekh namuomb allah anifanyie weprc

  • @faidhatykambi-ve1tw
    @faidhatykambi-ve1tw Рік тому +4

    Mashaallah Allah akulipe kwa darasa hizi. Binasfi Alhamdul lah na nufaika kwazo.

  • @HusseinIbrahim-g3y
    @HusseinIbrahim-g3y 10 місяців тому

    Shukran ustadh kwa kutufunza adhkaar vile tutaisoma

  • @MA-kh2lr
    @MA-kh2lr Рік тому

    Mashallah Mashallah..Sheikh Othman Humkuti kubishana na Ma sheikh. Bali mpole mtaratibu kwenye Da3wah Zake, na Zaidi anamsifu Allah na Mtume Wake, kutubidiisha kufanya adhkar na kumswalia mtume.. na namna ya kuwa na maisha mazuri.. kuswali Usiku tahajjud. Mashallah.. nimeona maajabu makubwa kwa kumfwatilia.. naendelea kujifunza na kujikumbusha kwa kuskiliza mawaidha yake.

    • @MA-kh2lr
      @MA-kh2lr Рік тому

      Allah Akupe Pepo ya daraja ya juu wewe na Family yako .

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed Рік тому +8

    Alhamndulillah ,Dua nzuri Amiina Kumdhukulu Allah na swala ya Mtume Muhammad S A W A miina.Namuomba Allah Akupe Mambo Mema Unayoomba.Amiina.

  • @bintmohamed2389
    @bintmohamed2389 9 місяців тому

    Shukran sheikh allh atutakabalie dua zetu amiin

  • @KashTwayyibubin-yq2wr
    @KashTwayyibubin-yq2wr Рік тому

    Mancha'allah Allah akuzidishiye ilmu

  • @AzizaMtwalizya
    @AzizaMtwalizya 9 місяців тому +2

    Mola akujalie Kila lenye kher shekhe

  • @khadijamusa2838
    @khadijamusa2838 Рік тому +5

    Maansha Allah Aĺah akuhifadhi shek osmaan❤❤❤❤

  • @BoraSalumu
    @BoraSalumu Рік тому

    Maashallah mungu akutangulie katika maisha yako yoote inshallah

  • @ZuwenaSalum-pd4ol
    @ZuwenaSalum-pd4ol 11 місяців тому +1

    mashallah mwenyezi mungu anifanyie wepesi niwe mwenye kudumu nazo adhkar

  • @FatimaFatima-bx8ez
    @FatimaFatima-bx8ez Рік тому +2

    Aslm alkm ya-ustathi Allah akuzidishie umri mrefu wenye mafanikio ishaallah. Uzidi kutuelimisha na kutuongo njia iliyo nyoka. Mungu akuepushe na shari za Dunia ❤❤amin 🙏 😊 .

  • @Jannat_254
    @Jannat_254 Рік тому +31

    LAAILAHA ILLA ANTA SUBHANAKA INNI KUNTUMINA DHWALIMIN

  • @rashidmohamed1949
    @rashidmohamed1949 Рік тому +3

    JAZAQALLAHU KHAIR
    AHSANTE SHEIKH
    ALLAH AKULINDE

  • @shabanhussein5366
    @shabanhussein5366 4 місяці тому

    mungu akujaalie kila zuli kupe na sisi atupe inshaallah

  • @habibaramadhani-xv2ed
    @habibaramadhani-xv2ed Рік тому +1

    Alhamndulillah, Namuomba Mungu ALLAH Akujalie Kupata Malengo Uliyokudia.Allahuma Amiina.

  • @AminaJinga-k3k
    @AminaJinga-k3k Рік тому +1

    MashaAllah Allah akujaalie umri mrefu sheikh uzidi kutuelimisha zaid

  • @nurumuhammad2753
    @nurumuhammad2753 Рік тому +4

    Mashallah shukran wajazKallahul kheyr

  • @samiaruhwanya1737
    @samiaruhwanya1737 Рік тому +2

    Alihamdulila shekhe osman mungu azidi kukubariki we simchoyo

  • @SwaumuJuma-x3y
    @SwaumuJuma-x3y Рік тому

    Alhamdullah 🙏 shekh Allah akulipe

  • @SalmahSalmahsaleh
    @SalmahSalmahsaleh Рік тому +1

    Shukran kwa darsa zako nzuri zenye manufaa Allah akujaalie kila lakheri

  • @hadhalkitab4820
    @hadhalkitab4820 Рік тому +3

    Mashaallah Mwenyezi Mungu akuzidishiye

  • @shareefamidu2920
    @shareefamidu2920 Рік тому

    shukran sheikh tunafaidika na mawaidha yaan Mie mwenyewe nimetumia ule muchanganyiko wa mafuta mengi

  • @buhitexmohamed4785
    @buhitexmohamed4785 10 місяців тому +1

    Barakallah fiku

  • @nemamwachepha1545
    @nemamwachepha1545 Рік тому +2

    Subhanallah, ma Shaa Allah

  • @salamamlawa9305
    @salamamlawa9305 Рік тому +4

    Jaazakallahu lkheri. Allah wazidishie kheri❤️

  • @abalkassimali2804
    @abalkassimali2804 Рік тому +5

    Mashaa Allah, Allah akupe kher sheikh

  • @bily0987
    @bily0987 Рік тому +1

    Mashaallah mungu azidi kukuongoza uzidi kutufunza inshaallah

  • @rashidawangara1318
    @rashidawangara1318 Рік тому +5

    Jazakallah kheyran sheikh.

  • @abdallahferouz9238
    @abdallahferouz9238 9 місяців тому

    ماشاء الله وجزاك الله خيرا

  • @rukiaissa5878
    @rukiaissa5878 Рік тому +3

    Masha Allah nakuombea kila la kheri sheikh allah akupe umri mrefu wenye kheir nawewe

  • @sheikhsalim-lp2ne
    @sheikhsalim-lp2ne Рік тому +4

    MAA SHAA LLAH ALLAH AKULIPE MEMA NA AKUZIDISHIE KATIKA MIZANI YAKO YA KHERI NA AIFANYE KUWA NZITO

  • @HhRt-m5z
    @HhRt-m5z 10 місяців тому

    Shukran sana shekhe wangu kipenz

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY Рік тому +8

    Mashaallah shekhe othman ahsnte kwa ujumbe huu Allah atutaqabalie dua zetu kupitia nyiradi hzi inshaallah

  • @KhadijaKhassim-ns2eg
    @KhadijaKhassim-ns2eg Рік тому +6

    Maashaallah shekh Allah akuzidishie kwa elim unayotupatia

  • @hadijazahoromwamkalmwamkal7561

    Alhamdulillah nakushkuru sana shekh mwenyez akuweke undelee kutufundisha ishaallah 🙏

  • @alimsuya8466
    @alimsuya8466 Рік тому

    Allah AKUJALIE KILA LA KHERI HAPA DUNIANI NA AKHERA

  • @nshimirimanadjamilla7270
    @nshimirimanadjamilla7270 Рік тому +1

    Allah akulipe kila kheri dunia na akhera na akupe mwisho mwema

  • @FatmaChuba-y8e
    @FatmaChuba-y8e 11 місяців тому

    Allah akupe kila la kheri sheykh

  • @SirajSalwa
    @SirajSalwa 4 місяці тому

    Shukrani ziende kwako

  • @NijimbereAisha
    @NijimbereAisha Рік тому

    Alhamdulillah allah ukulipe kila laher

  • @salamavuai3903
    @salamavuai3903 Рік тому

    Shukran jazakallahul kheir

  • @AshaMossi
    @AshaMossi Рік тому

    Allah akulipe kheri na akuzidishiye ilimu

  • @sihamsiham2154
    @sihamsiham2154 Рік тому +3

    Ya Allah muhifadhi kaka yetu uyu Umupe Afya Umujalie pepo ya firdaus

  • @HassaniAbdi-l6c
    @HassaniAbdi-l6c 11 місяців тому

    Allaah akupe kil la kher shekh

  • @KhadijaMbwana-kb8ib
    @KhadijaMbwana-kb8ib 5 місяців тому

    Alhamndulillah Alhamndulillah mashaallah mashaallah mashaallah

  • @fatmakombo6639
    @fatmakombo6639 Рік тому +2

    Asante shekh Alhah akubariki

  • @aishakhamis3837
    @aishakhamis3837 Рік тому +2

    Allah akutunze sana baba yangu,, yah Allah mpe maisha malefu

  • @omarbinti9957
    @omarbinti9957 Рік тому +3

    Masha Allah Hakika wewe ni sheikh mwema sana

  • @sophiasinda2099
    @sophiasinda2099 Рік тому +14

    Ushauri wangu shekhe andaa kitabu cha dua adhkar utakuwa umesaidia wa kiislam
    Na bei yake iwe tsh. 20,000 utakuwa umefanya kwa ajili ya uma wa kiislam.

  • @mayaeidi8767
    @mayaeidi8767 Рік тому +3

    Shukran sana shekh kwa dua nzuri sana huwezi kutuandikia ili tujifunze zaidi pls

  • @mwanamkuutaib
    @mwanamkuutaib 10 місяців тому

    Shekh mungu akulinde akupe umndri wa kheir

  • @ahmedsoudathman5088
    @ahmedsoudathman5088 Рік тому

    Allah akuhifadhi sheikh

  • @mohamedmohamud9691
    @mohamedmohamud9691 Рік тому +1

    Jazzakallahu khayran brother

  • @kasimnchakwi2568
    @kasimnchakwi2568 10 місяців тому

    Asante sana shekhe kwamaelekezo yako,, Mwenyezi Mungu akulipe naskuondolee mazito yako inshaallah,

  • @OmyH-sb7db
    @OmyH-sb7db 8 місяців тому

    Shehe mungu akuweke