TANZANIA INAONGOZA KWA MITUME FEKI DUNIA NZIMA | SHEIKH MAZINGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 бер 2024
  • #AdilTV

КОМЕНТАРІ • 231

  • @isaaabdala7016
    @isaaabdala7016 3 місяці тому +12

    Huo ndio ukweli
    Utabaki ukweli daima asietaka shauriyake ashukuriwe Allah subuhana wataalah

  • @user-xi3ky5vt9t
    @user-xi3ky5vt9t 2 місяці тому +1

    MashaAllah Jazakallahu khayr Allah akuweke Shekhe wetu inshaAllah

  • @rashidbusanya5843
    @rashidbusanya5843 3 місяці тому +2

    Sheikh mazinge Allah akulipe mara dufu nakupenda sana

  • @stevenkipara9310
    @stevenkipara9310 3 місяці тому +1

    ”Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;“
    ‭‭Efe‬ ‭4‬:‭11‬, ‭13‬ ‭SUV‬‬

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 4 місяці тому +4

    Wanawaibia watu, kwakupitia jina la mungu

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu 2 місяці тому

    Voce é muito talentoso você é muito importante para gente Allah vai ti proteger insha-Allah ❤❤❤

  • @bakarishaban9311
    @bakarishaban9311 4 місяці тому +5

    Tatizo elim hatuna wengi hatukusoma Ndomaana makanisa yamekua mengi na Mitume wengi mataperi tupu

    • @user-ys2gn1nd4q
      @user-ys2gn1nd4q 3 місяці тому

      naawo mashee wenu wauongo mtu akijua kiarabu2 nishee acha zarauww

  • @mwamvuarashid290
    @mwamvuarashid290 3 місяці тому

    Maashaallah

  • @NeemaAlan
    @NeemaAlan 3 місяці тому +2

    Malizia sentensi,imeandikwa heri maskin wa roho,siyo maskin tu,maskin wa roho n mtu mwenye kiu ya kujifunza neno la Mungu.

  • @user-bp5pq9to9e
    @user-bp5pq9to9e 3 місяці тому +1

    Mwaminini Yesu Kristo Aliyeangikwa pale Msalabani akuokoe na udumu kumtegemea!Unatakiwa kuokoka wewe mwanadamu, tubuni dhambi YESU KRISTO aliwafia,muda ndio Huu! Mwl CHRISTOPHER JACKSON SAMBAA

  • @user-ij9te1ck9p
    @user-ij9te1ck9p 3 місяці тому +2

    Muhammad ndio daraja la juu za mitume wote iliumbwa nuru yake kabla ya hata mbingu na ardhi kuumbwa jinsi Mungu anavyokipenda kiumbe chake hichi na hutakuwa salama abadani ukiwa against nae maana mitume wote walilijuwa hili kuna Mtume bora Allah atamleta baada ya sisi ila kwa hila ya mayahudi wakafanya fitna kuyabadili maandiko kulificha hili .

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 місяці тому +3

    Ni kweli kabisa Tz kuna mitume feki wengi.

    • @SadickKimela
      @SadickKimela 2 місяці тому +2

      Mwenyezi akutakie maishamalefu

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 місяці тому +4

    Wewe ndo huna Mungu, Na utaenda motoni

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 4 місяці тому +4

    😂😂😂😂😂😂kweli hii Dunia basi tu tatizo nierim hata serekal inachangia watu wanaibiwa sanaaa Elim nikitu bora sanaaa

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому

      Wanataka wenyewe kuibiwa kuna mtu anawazimisha kwenda kwa wachungaji feki biblia agano la kale lilisema kutatokea manabii wa uongo magonjwa yasiyotibika kama ukimwi corona kansa ebola nk sasa ndiyo waache waliwe

  • @Fifophonce
    @Fifophonce 3 місяці тому +1

    Tumswalieni mtume 😢😢

  • @Mohd-wd2jv
    @Mohd-wd2jv 3 місяці тому +1

    Mtume muhammad.S.A.w.ndie mtume wamwisho

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 3 місяці тому +2

    Hivi n sahihi kukashifu iman za dini nyungine? Mm nafikiri n vzuri kuheshimu imani dini nyingine

  • @HassanHassan-vh6pc
    @HassanHassan-vh6pc 3 місяці тому

    Muhammad( SAW) ni mtume wa kweli. Tubu kwa ulilosema. To a ushahidi wako kama unapinga Hilo.rudia maandiko ilikiwemo quran

  • @JosephPeter-eo9sr
    @JosephPeter-eo9sr 3 місяці тому +2

    Acha mambo yako unatafuta kiki huna lolote kwaiyo ulitaka awe maskini au fanya mambo yako acha kufuatilia watu

  • @eliaichraymond1215
    @eliaichraymond1215 3 місяці тому

    😳😳😳

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 місяці тому

    Kweli kabisa nakuunga mkono wala hujakosea

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah7352 2 місяці тому

    🤣🤣🤣umetisha sana sheikh wetu that true

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 2 місяці тому

    Kwa hiyo kwa aya hiyo ya maneno ya Bwana Yesu uliyosoma kwamba tajiri hataingia peponi Je Waislamu wote walio matajiri hawataingia peponi?!!

  • @user-jf3tv1gv9b
    @user-jf3tv1gv9b 3 місяці тому

    Waache watumishi wa mungu wa utangaze uflme wa mungu

  • @ModesterTutuki
    @ModesterTutuki 2 місяці тому

    😂😂😂😂 ety yesu aliniletea papai😂😂

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 3 місяці тому

    Yuko mungu mwanamke mwanza

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 3 місяці тому

    Ni sawa kwa sababu na wapumbavu ni wengi tz kuliko sehemu yoyote duniani

  • @user-cy1er6sy5k
    @user-cy1er6sy5k 3 місяці тому

    Wewe ni muongo si kweli kuwa matajiri hawataingia ufalme wa Mungu,kasome vizuri utaelewa vizuri hiyo Mathayo.

    • @dudemussa6715
      @dudemussa6715 2 місяці тому

      Hivi wewe hujijui kama ndiye muongo hasa kuliko mazinge! Nakushangaa.

  • @SadickKimela
    @SadickKimela 2 місяці тому

    Alwa hakibalu

  • @henrylyimo8491
    @henrylyimo8491 2 місяці тому +1

    hivi nyie bila kuzungumzia ukristo hamuwezi kuhubiri yanayowahusu? husda tu yesu ni kweli na uzima ukokeni

  • @rehanijuma1421
    @rehanijuma1421 3 місяці тому +1

    Kweli hiyo mazinge Tanzania mitume wengine 😂😂😅

  • @st.alvincollege6184
    @st.alvincollege6184 3 місяці тому

    Kwa hy sheikh, mtume anatakiwa kua Mwarabu au?

  • @patsonkyando1732
    @patsonkyando1732 3 місяці тому +2

    Mazinge wewe humjui Mungu, Mwamposa ni Mtumishi wa Mungu,unapoteza muda kumsema Mwamposa

  • @HAJIBALO
    @HAJIBALO 3 місяці тому

    Kutangaza biashara TV hio shiling ngapi

  • @Nim68182
    @Nim68182 3 місяці тому +2

    Musisahau kumswalia mtume😂😂😂😂

    • @saphinalutaha9077
      @saphinalutaha9077 3 місяці тому

      Radhma tumtakie rehema na amani mtume wetu najua haujui tofaut ya kumswalia mtume na kumswalia mungu pole

    • @Nim68182
      @Nim68182 3 місяці тому

      @@saphinalutaha9077 haya kumekuch Mungu unamswalia au umekosea kuandika

    • @Nim68182
      @Nim68182 3 місяці тому +1

      @@saphinalutaha9077 mmutakie rehema za nn Kwan alifanya nin mpk mmutakie hizo rehma

    • @Nim68182
      @Nim68182 3 місяці тому

      @@saphinalutaha9077 kumswalia Mungu??? Hee mbon balaa hii Mungu aswaliwe au umekosea kuandika

  • @akidashekue163
    @akidashekue163 3 місяці тому

    Mnyamwezi na Mnyakyusa

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 3 місяці тому

    Alisha was playing with dolls Aisha was a child Aisha ali lawitiwa soma hadith 😢😢😢😢

  • @user-ik4cp2kw8j
    @user-ik4cp2kw8j 3 місяці тому

    Huo n uongo mie najua Nigeria 🇳🇬 ndy kiboko ya matapeli dunia nzima.

  • @JajiZakayo-fw9mk
    @JajiZakayo-fw9mk 3 місяці тому +4

    Wewe mwenyewe ni feki.

  • @charlesboniphace2249
    @charlesboniphace2249 3 місяці тому +1

    Kabla hujafika kwa mitume wa uwongo ,anza kwanza na hili la mohamed ni mtume wa uwongo na shetani ni muislamu kwenye mkutano na wasabato ( ndacha) ulikubali hilo ni kweli
    Kwaiyo unapozungumzia mitume wa uwongo na matapeli usimsahau na huyo mwarabu

    • @muhamedbashir2661
      @muhamedbashir2661 3 місяці тому

      Mwamba hamna dini kama uislamu kwanza omba dua upo duniani na azabu inakusubiri fala ww fungua macho unaemuabudu sio mungu ni messenger wa allah ww chakramu akili koko ww

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 26 днів тому

      sawa majini walislimu wakawa waislamu kwani kiukirsto mtu akiwa jambazi afu akaokoka akabatizwa bado mtamuhesabu nijambazi ama... majini wakiislamun ni ndugu zetu katika imani ya kidini yetu hyo sio mbaya ila anaeabudu kiumbe yyte finar jahaanam na nyie mnamuabudu yesu mnamuita mungu wakati mungu nimwenye wivu maandiko yanasema katika bibilia mbona mnachukua sifa za mungu mnampea mtume wake ambaye ni yesu hamuoni kama hii nishirki

  • @charlesjuma154
    @charlesjuma154 3 місяці тому

    Wewe mwenye tapeli

  • @pastor.frank.tmwaisemba7401
    @pastor.frank.tmwaisemba7401 3 місяці тому

    Mazinge NI mjinga tu,
    Mazinge ana wivu wa kichawi.
    Mazinge NI 0 Tu.
    Wewe mwenyewe NI njaa
    Wewe ni mwongo..
    Jenga na wewe hotel km NI rahisi

  • @Nim68182
    @Nim68182 3 місяці тому

    Nayey amechangish hapo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 місяці тому

    Haya huyo Mwenye nyota tano wakati naye mwislamu halisi tusemeje

  • @JosephPeter-eo9sr
    @JosephPeter-eo9sr 3 місяці тому

    Dili nawaumini wenu kila siku kuwasema wakristo sasa wewe ndiounazambi nyingi hufai kuwa kiongozi

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 3 місяці тому

    Yaani hapo mmechangusha pesa kiakili sana😂😂😂
    SASA hapo nyie na huyo mchungaji mliomtaja kuna tofauti gani??? Hapo ni swala la Uelewa tu

  • @jacobanania2741
    @jacobanania2741 3 місяці тому

    Huna lolote wew

  • @mwanaidisimoni79
    @mwanaidisimoni79 3 місяці тому +2

    Kweli kabisa tena wote mitume ya wakristo

  • @petermwacha9909
    @petermwacha9909 3 місяці тому

    Kwani unataka kusema Wanyakyusa hawana hadhi ya kuwa watumishi wa Mungu?

  • @edwingideon3606
    @edwingideon3606 3 місяці тому +6

    Kuna mwamba mmoja mwarabu alikuwa muisram tena Ana degree ya Uislam. Anaitwa Christian Prince. Yeyote atakae mpigia simu au kumsikiliza lazima awe Mkristo. Yeyote anae jiona mwamba ampigie simu au amsikilize tu.

    • @mtukazmarcelo1119
      @mtukazmarcelo1119 3 місяці тому

      Kweny uisilam hakun digree

    • @omarinoel8660
      @omarinoel8660 3 місяці тому

      😅😅😅😅😅eti degree ya uislam 😂😂😂oya uislamu hauna degree lete hapa kwa mazinge

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 3 місяці тому

      kondoo ulopotea kwa kukosa maarifa

    • @mlyomikilonzo5897
      @mlyomikilonzo5897 3 місяці тому +1

      Tafuta dini achana na ulithi yy kama alikuwa mwarabu aimanishi kuwa yy ni muislamu waoo watu walio muona mtume na mitume live lakini hawakusadick mpaka umauti mmoja wapo ni abjahar sasa ww wamshangaa huyo mwamba wako

    • @omarinoel8660
      @omarinoel8660 3 місяці тому +1

      @@mlyomikilonzo5897 Yan huyo jamaa ni anazngua yy anaangalia mtu sio maandiko na jao wengi wao wantengenezwa

  • @Fifophonce
    @Fifophonce 3 місяці тому

    Tumswalieni mtume

  • @st.alvincollege6184
    @st.alvincollege6184 3 місяці тому +1

    Utakua na bf na Mwamposa wewe, mbn wapo wng kwa nn unamtaj huy hy tu mmoja

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому

      Huyo asikusumbu hana lolote Mazinge hao waswahili kazi zao porojo tu aliyepewa kapewa ridhiki hupangwa na mungu acha Mwamposa awakombe Wajinga ndiyo waliwao kwani aliwaita

  • @VedastoKeya-vt8pf
    @VedastoKeya-vt8pf 3 місяці тому

    Ukiona malumbano yako ivi jua Kuna mmoja ni muongo ngoja inyeshe

  • @Fifophonce
    @Fifophonce 3 місяці тому

    Hampondi ila anaelimisha

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 3 місяці тому

    Umeathirika kichwani,kuwahusudu waarabu,unadharau waafrika wenzako

    • @selemanimchana3598
      @selemanimchana3598 3 місяці тому

      Kwa hiyo nawe Kwa akili Yako unasadiki mwamposa ni mtume wa mungu?

    • @selemanimchana3598
      @selemanimchana3598 3 місяці тому

      Huyo yesu mwenyewe alikua muizrael halafu mnaambiwa kanisa kuu lipo Roma italy

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 місяці тому

    Nyie sadaka mnato shs 5 hamna lolote kama ni mti mpapai

  • @shendimwampamba6570
    @shendimwampamba6570 3 місяці тому

    Wewe mhongo milioni Mia Sita unaigahamu wewe au umechaganyikiwa

  • @victoriurumban
    @victoriurumban 3 місяці тому

    Mtu ana towa uponyaji awe feki wasinge ponya wewe nikuletee kipofu kama uta mponya una fiki mwenye macho ambiwe ona 😊

    • @hassanalfan6941
      @hassanalfan6941 3 місяці тому +1

      Awaponye wagonjwa..madaktari wapumzike hospitalini

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 3 місяці тому

    Inawezekana ikawa ukweli ila kwenye kabila umefeli ungemsema mtu so kabila

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 3 місяці тому

    kwhyo mitume yote tumeaminishwa waarab na wazungu afrika hakuna hata mmoja

    • @HboyRfa
      @HboyRfa 3 місяці тому

      Mtume wa mwisho kuja ni Muhammad baada ya hapo hakutakuwa na mitume wengine na ukiona mtume mwingine izo ni dariri za kiama

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 місяці тому

    Tena njaa kweli haswa sisi wanawake ndiyo tunaokombwa sadaka wsjinga ndiyo waliwao

  • @user-ue4rj2uq7z
    @user-ue4rj2uq7z 3 місяці тому

    Kiki2 wewe mwenyewe amna kitu😏

  • @user-po9wi5lh1o
    @user-po9wi5lh1o 3 місяці тому

    Wangemhoji Kila mtume amekuja na kitabu chake yeye chakwake alicho kuja nacho ni

    • @HboyRfa
      @HboyRfa 3 місяці тому

      Yes kila mtume amekuja na kitabu chake je mwamposa chake kiko wapi na andiko aliloshushwa nalo ni lipi

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 3 місяці тому

    Hivi kuna tofauti gani Kati ya Muhammad alie oa bint wa miaka 10, alikuwa na biashara ya slave, 😂😂😂

  • @user-ys2gn1nd4q
    @user-ys2gn1nd4q 3 місяці тому +1

    dunia nzima akuna mashee wauongo kama Tanzania Kwanza wanafki wambea shrk bongo

  • @elikanaernesti8440
    @elikanaernesti8440 3 місяці тому

    Serkali ipo kimya mtu anamtja mtu je naye hyo ana watu weng akijubu kutakuwa na Aman kwel

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 місяці тому

      Elika achana naye hujui waswahili wanasema sana kama kasuku hawana lolote angalia hata wakishika madaraka jibu utalipata tu

  • @user-ys2gn1nd4q
    @user-ys2gn1nd4q 3 місяці тому

    Akuna mashee bongo kaziyao kupandikiza chuk2 yenu yawashinda washrkina wakubwa nyny kupandkiziana chuki2 nyoo

  • @festokivuyo7121
    @festokivuyo7121 4 місяці тому +2

    Nyie wote wezi tupu ukiwepo ww apo tapeli

  • @HboyRfa
    @HboyRfa 3 місяці тому

    Ulishawahi kusikia hawa mitume feki wakiwa waislamu ... Hakuna so nenda kasome maandiko usikoment vityu usivyojua usimtukane Muhammad cos hujawahi kusikia ata siku moja waislamu wakimtukana yesu

  • @nicksonlyimo1562
    @nicksonlyimo1562 3 місяці тому +1

    Mohamad mwenyewe ni dalili ya kiama ,kwani Mohamad na mwamposa wanatofauti Gani ? Ujue tuu kua hakuna pesa za waislaam Wala wakristo pesa niza kaisari au za ulimwengu,wewe Lima mraba wako ,eti mwamposa alikua anavaa kaptula ulitaka avae Nini au apande ,mara ana gari ya bei ghali ulitaka apande Ngamia ?mazinge okoka Mohamad kakudanganya kua Dini yako ni ya Mwenyezi Mungu kama Mungu anadini basi nae ni Muumini ,YESU atamhukumu Mtume Mohamad mbele ya macho yako na hapo utastaajabu siku ya kiama.

  • @nomamatata754
    @nomamatata754 3 місяці тому

    Inaongoza ukiwemo na wewe mazinge, mchawi wewe kwaiyo shida ni mnyakyusa? Typical of african kwaiyo mzungu au mwarabu ndo wanapendwa na Mungu

  • @josephmchila6467
    @josephmchila6467 2 місяці тому

    Utaenda motoni wewe,utachomwa

  • @VedastoKeya-vt8pf
    @VedastoKeya-vt8pf 3 місяці тому

    Tuache utumwa Wa mapokeo Africa tuwe na Chetu

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 2 місяці тому

      Kwani huyo unayesema mwenye NYOTA tano ni MTUME AU NABII?! Kama mtu wa kawaida Kama mm na ww sawa. Utaperi wa kidini upo kote kote, ila Fikiria Upande upo upi Kati ya uislam na ukristo Huwa awanaga utani na Dini Yao na kupambana na mataperi wa kidini.!! Kama utakuwa timamu jibu utakuwa Usha lipata.

  • @mohamediabdalah7650
    @mohamediabdalah7650 3 місяці тому

    Sikiizeni hata nabii nuh alivyo tangaza dini watuwengi hawakumuelewa

  • @user-rg3mh6vt3s
    @user-rg3mh6vt3s 3 місяці тому

    Ili liongo halifai

  • @JeanMuzaliwa-bs6qh
    @JeanMuzaliwa-bs6qh 4 місяці тому +6

    akiwemo Muhammad mtume wauongo!

    • @AleiHadji-js3ed
      @AleiHadji-js3ed 4 місяці тому +3

      😢Pole Kwa kauli zako ukifa ndio utajua hujui

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 4 місяці тому +5

      Pole sana ndugu inaonekana wewe umeshakufa ingawa unatembea, hujui hata unalolisema kumkataa muhammad utambue kuwa umemkataa yesu, na umemkataa mussa, na umemkataa ibrahimu, mtume wa mwisho aliyetumwa na Mwenyezi Mungu ni Muhammad, waliojiita mitume na manabii baada ya Muhammad hao sio mitume ila ni mawakala wa shetani ibilisi, mwamposa sio mtume ila wakala wa shetani ibilisi

    • @mohafarah8569
      @mohafarah8569 4 місяці тому +1

      Muhammad is the way period not Jesus Christ family of the Jews only

    • @maryamadam5622
      @maryamadam5622 4 місяці тому +3

      Laanatul LLah huyu

    • @JeanMuzaliwa-bs6qh
      @JeanMuzaliwa-bs6qh 4 місяці тому +2

      @@mohafarah8569 nipeye andiko Muhammad is the way period nyie mumepotezwa kitambo!

  • @Fifophonce
    @Fifophonce 3 місяці тому

    Tumswalieni mtume 😢😢

  • @stevenialbert5033
    @stevenialbert5033 3 місяці тому

    Mpuuzi ww fanya yk archana na iman yet itisha naww watu waje