#LIVE
Вставка
- Опубліковано 8 лип 2024
- Ujumbe: Nyakati za uovu
Andiko: Efeso 5:16
Pastor: Innocent Mashauri
Waefeso 5:16-17
Tumieni vizuri muda mlio nao maana siku hizi ni mbaya. Kwa hiyo, msiwe wapumbavu, bali jaribuni kujua matakwa ya Bwana.
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI
HALLELUJAH BWANA nitangulie katika safari yangu,nakataa kila roho ya uchovu,kulemewa,usingizi,roho chafu zishindwe,nitangulie BABA nitende kwa neno lako na kuzishika amri zako 🤲🤲🤲🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️🙇♀️AMEN
Amen Mungu naomba unijalie na mimi ili lile kusudi uliloliweka kwangu lipate kutimia na hii ndio haja yangu ya kila siku, Mapenzi yako yatimizwe baba🧎🏼♀️🧎🏼♀️🙏🙏
Naomba uniondolee dhambi zinazo jirudi MUNGU
Mungu mazabahu imefungwa Ila wewe Mungu hujafunga mlango wako Mungu Ni shetani alinipa uvivu Ila wewe umenitia tena
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa masomo na maombi mazuri.
Asante yesu kwa upendo wako endelea kua na familia yangu na utuongezee uchumi mala dufu
Ee Mungu ninakuomba unijalie nguvu za kuendelea mbele maana nauona mkono wako juu ya ndoa yangu Amina
Asante YESU Kwa kuyaona MAITAJI YANGU asante sana kipenz changu MUNGU ASANTE YESU ❤
Najua YESU unampango na Mimi nnakushuru Sana Kwa mpango wakokwangu Kwa jina LA YESU
Asante Mungu naomba unitie nguvu niendelee kuishi katika neema yako
Ninakushukuru MUNGU kwa ajili yako mimi na kwa kila jambo JEHOVA niumbe upya BABA nahisi kukuchukiza sana kwa kutofuata nyayo zako mimi na familia yangu!
Ee Bwana naiombea kesi itakayo twaja tarehe 17.7 ni kashinda na unganisha watoto wangu kwa hii madhabahu wakawe salama ameni
Anjiunganisha pamoja na uzao wangu na mme wangu
Najua kwako ninashinda na zaidi ya kushinda Bwana Yesu.
Mungu naomba unitendee sawasawa na mapenzi yako🙏
Amen asante yesu nilinde na kila aina ya mitego ya muovu ibilisi🙏🙏
Asante Sana YESU ASANTE Kwa kunisamehe ❤
Najiunga kwa madhadbahu haya naomba Mungu anisaidie sababu naishi but sielewi kuhusu maisha yangu... oooh lord help me
Mungu nikumbuke na mimi nibadilishie nyakati
Mungu akubariki na kukuzidisha Mtumishi wa Mungu kwa namna unavyojitoa kwa ajili ya mwili wa Kristo Bwana.ubarikiwe uingiapo na utokapo..AMINA Iarikiwe mno huduma yako.tunakupenda baba.
ASANTE YESU ASANTE YESU ASANTE YESU ASANTE YESU ASANTE YESU
Mungu nitie nguvu nisaidie
Asante YESU ASANTE YESU
Asante Mungu Kwa kunipa tena kibari cha kuzingatia ibada tena hata setani hataki lakini mambo yatazidi kuwa pow
Mungu nisaidie
Mungu nisamehe maovu yangu
Asante bwana kwakila Jambo unalotenda kwenye ndoa yangu
Asante YESU ❤
Asante yesu
Asante Mungu
Amen Amen 🙏
Barikiwa
Amina
AminA
Uniponye magonjwa yanayoibuka kwangu kila siku Msaada wangu ni wew tu
Amen amen
Amen
Amen🙏🙏🙏
Ameen
Asante
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙌
Na endelea kuokoa maisha yangu wewe ndiwe tegemeo langu😂😂
Najiunganisha na madhabau hii maombi yangu yapate kibali
Ninakusihii Bwana unisaidie
Baba ninaunganisha musichana wangu kwa mathabau haya visa yake ikachiliwe kupitia ibaada hii ya mwenzi wa saba amen
Nakuitaji bwana
Amen amen 🙏🙏🙏
Eee mungu nakushukuru ni mepatasimu
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amen