LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 жов 2023
  • Zab 51:1-3
    Ee Mungu, unirehemu, Sawasawa na fadhili zako. Kiasi cha wingi wa rehema zako, Uyafute makosa yangu. Unioshe kabisa na uovu wangu, Unitakase dhambi zangu. Maana nimejua mimi makosa yangu Na dhambi yangu i mbele yangu daima.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 4,6 тис.

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 13 днів тому +5

    Mungu ni kumbuke Roho za madeni zimenizidi siwezi mwenyew mungu wangu 😭🙏 .. Naomba uikumbuke biashara yangu 🙏

  • @MaglethJovin
    @MaglethJovin Місяць тому +12

    Nafugua vifungo laana za ukoo wangu wote laana za mabibi namababu katika jina la yesu mungu akafaye jia katika mapito yangu.Naamini katika jina la yesu.

  • @UpendoMtunguja
    @UpendoMtunguja Годину тому

    Naomba Mungu amvushe bint yangu katika changamoto anayopitia, watoto wangu wawe Vichwa darasani, naomba ulinzi kwa watoto wangu mahali popote walipo , Mungu ukafungue kila vifungo tulivyofungwa na adui tukainuke na kuangaza umaskini na magonjwa havina mamlaka katika familia yangu katika jina la Yesu kristo mwana wa Mungu,

  • @user-ow2xk4md5n
    @user-ow2xk4md5n День тому

    Ee mwenyezi mungu ninakuomba ulinzi wako kwenye maisha yangu kwa watoto wangu ninaomba mapenzi yako yatimie katika maisha yangu ukawe nuru kwenye maisha yangu giza likapigwe kwenye maisha yangu biashara yangu ikastawi wateja wakamiminike order zikamwagike kwajina la yesu ee Mungu usisahau ombi langu kuhusu mchumba kuhusu ndoa nikampate uliye mkusudia katika maisha yangu atakae nifaa sikuzote katika maisha yangu naakuna kuachana na ukatujaalie kiuchumi tukakusifu kwa amani milele yote Amen

  • @blessedepiphany6067
    @blessedepiphany6067 9 місяців тому +25

    Ee mungu naomba ulinzi na ukombozi juu ya familia yangu na watoto wangu.Amen

    • @user-qp7rd7zd9p
      @user-qp7rd7zd9p 4 місяці тому

      Eee Mwenyezi Mungu uponye afya zetu, utujalie bwana wokovu unaoleta matunda, ponya miili yetu, ndoto zakutisha Amen

    • @user-gi3ix6fj1f
      @user-gi3ix6fj1f 4 місяці тому +1

      Mungu Nisaidie kwa hbr ya watoto wangu ulevi wizi unmaskini Mungu kwa Damu ya Yesu itukomboe

    • @MrsGloryMassam-id7dr
      @MrsGloryMassam-id7dr 4 місяці тому +1

      Naitwa Glory niko Mtwara naomba mniombee nipone marathon yote na uchumi wangu urudi

    • @MrsGloryMassam-id7dr
      @MrsGloryMassam-id7dr 4 місяці тому

      Nipate afya ya mwili na niinuke kiuchumi Amen

    • @user-wd4ln1zj1c
      @user-wd4ln1zj1c 3 місяці тому +1

      Mungu naomba ulite familia yamgu ,naupaliki kasi yamikono yangu ,na kila maitaji yote iko mbele yangu,

  • @emelivaly1720
    @emelivaly1720 9 місяців тому +16

    yesu tenda kweye familia yangu tuponye majgnjwa yote na utuondolee umaskini katika familia yani ubarikiwe kwa maobi yako yesu akukumbuke Amen

    • @sylvesterlogo8511
      @sylvesterlogo8511 6 місяців тому +1

      Yesu tenda kwenye family yangu. Ushindi wa changamoto zilizopo nipate ushindi kuelekea kuingia kwenye uchumi wangu ukasimame

    • @TatuNassoro-vy2qd
      @TatuNassoro-vy2qd 3 місяці тому

      🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 AMINA naamini mungu umejibu maombi yangu

    • @minzaharuni2820
      @minzaharuni2820 2 місяці тому

      Amina mungu naamini umetenda yote Kwa jina lako takatifu

  • @LinnaBitrice
    @LinnaBitrice 18 днів тому +4

    Naomba mungu anilinde mimi na watotowangu atufunike Kwa damu yake, naomba mungu anifungulie milango yaridhiki zangu popote zilipofungwa ziachiliwe na mabaya yote yanayopangwa na maadui zangu yasinipate kamwe Kwa jina la Yesu kristo Alie hai 🙏

  • @EmmanuelMwangoka
    @EmmanuelMwangoka 5 днів тому

    Naomba milango yangu yote ya heri na baraka za Mungu baba ziwezeshwe naomba kusamehewa dhambi zangu zote ninaomba ukombozi wa Yesu kristo naomba bwana aniongezee juhudi na maarifa niweze kufanikiwa kukidhi mahitaji yangu ya kila siku ninaomba bwana aniwezeshe kunipa wepesi na kuwapa wepesi wanaonidai ikiwa pamoja na banki inayonidai naomba Mungu aniwezeshe katika hali ya kuyalipa au.kuyafuta kabisa kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifa Amen

  • @anethjoseph355
    @anethjoseph355 2 місяці тому +15

    Jehova naomba ulinzi wako sehem yangu ya kazi hasa wafanyakazi wenzangu niepushe na mipango mibaya ya muovu shetani

    • @LucasMhanga-mu4kn
      @LucasMhanga-mu4kn 2 місяці тому

      Mungu naomba uponyaji wako

    • @everlynemalisa1679
      @everlynemalisa1679 Місяць тому +1

      Naomba ompi langu mungu simama namini Kwa yale mumewangu amenifanyia mabaya mungu asimame na mimi 😢🙏🙏

    • @ShadrackWalter-zt6qs
      @ShadrackWalter-zt6qs Місяць тому

      Nipo mtwara nakusikia vizuri

    • @ShadrackWalter-zt6qs
      @ShadrackWalter-zt6qs Місяць тому +1

      Naomba Mungu anitendee siku ya Leo napitia magumu mengi naomba Mungu anirenemu

    • @anethjoseph355
      @anethjoseph355 Місяць тому

      @@ShadrackWalter-zt6qsMungu akutete utarud na ushuhuda

  • @ispiyvette3664
    @ispiyvette3664 9 місяців тому +20

    Mungu naomba mume mwema nimecoka kuka peke yangu😢

  • @KipoliceNaax
    @KipoliceNaax 19 днів тому +3

    Napokea uponyaji mimi na familia yangu kwa jina la yesu kristo 4

  • @user-qv2gt4yh9j
    @user-qv2gt4yh9j 18 днів тому +4

    Yesu naomba nifungulie milango ya baraka nifungue kila vifungo vyote nikumbuke ee bwana yesu amina🙏🙏🙏

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 9 місяців тому +16

    Nataka mumewangu wangu apende na kuiamini madhabahu ya MUNGU ❤

    • @EmmyMabada
      @EmmyMabada 4 місяці тому

      Nipo chinangali nahitsji ulizi wako

    • @EmmyMabada
      @EmmyMabada 4 місяці тому

      Natala watoto wangu wamwamini mungu siku zamaisha Yao yote

  • @RahabuJohn-lk8bk
    @RahabuJohn-lk8bk 9 місяців тому +16

    Yesu naomba amani ya moyo wangu ,usiniache baba niguse na mm leo

    • @neemangoi1691
      @neemangoi1691 9 місяців тому

      Naomba mungu anipe maisha mengine niweze kumtumikia mungu ipasavyo

    • @rosemarrymatemel2127
      @rosemarrymatemel2127 8 місяців тому +1

      Nipo Zanzibar yesu naomba unipe amani ya moyo na hitaji la moyo wangu.ameen

    • @user-lr6us4zy2t
      @user-lr6us4zy2t 3 місяці тому +1

      Mungu anipngeze pia mm na family yangu na kuniwezesha katika majaribu ninayo pitia kwa kazi yangu

  • @FatumaSalehe-kh5kc
    @FatumaSalehe-kh5kc Місяць тому +2

    Ewe Mwenyezi Mungu,naomba niujue Utukufu Wako,nizijue njia zako,niisikie sauti Yako,nilielewe neno lako,niyafanye mapenzi Yako.Amen.

  • @MaglethJovin
    @MaglethJovin Місяць тому +4

    Mungu najua unanisikia naomba nipate pesa nilipe and a yamwanangu aenderee na masomo.Nakwamini mungu. Uwezi kuniacha.Nivushe mungu wangu katika haya ninayopitia .Nitendee Eemungu wangu.

    • @husnamsangi412
      @husnamsangi412 Місяць тому +1

      Naomba biashara zangu zifunguliwe mafanikio yakipesa nakiroho

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 9 місяців тому +69

    Naomba kila linalopangwa na maadui lisifanikiwe yote wanayopanga yawarudie wao wenyewe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen!!

    • @dafrosagoliama-lo1mm
      @dafrosagoliama-lo1mm 8 місяців тому +8

      Naomba uponyaji wako yesu Kwa Binti yang

    • @DignaAndrea-iu2fw
      @DignaAndrea-iu2fw 8 місяців тому +4

      Nipo katesh manyara mungu akulinde mungu akutanglie

    • @tatunasoro838
      @tatunasoro838 8 місяців тому +2

      Mungu wangu nipe mume naalie sahihi na wewe unakuja mapito yangu🙏🙏🙏

    • @tatunasoro838
      @tatunasoro838 8 місяців тому +3

      Baba wakumbuke familia yangu wakumbuke watoto wangu walio mashuleni baba mguse mtoto hiyu walkie nirudishia kutoka shule haoni waka hasikii mimi mwenyewe sija lala nimebanwa na pumu baba niponue naomba mume mwema🙏🙏🙏🙏

    • @terrynjeru1330
      @terrynjeru1330 8 місяців тому +1

      x

  • @user-fh5ko7he2z
    @user-fh5ko7he2z 8 місяців тому +12

    Mungu wangu naomba uwalinde watoto wangu mahali waliko pamoja na ndugu zangu na mamangu. Uwafunke kwa damu yako na mm pia naomba neema yako na kibali chako nikiwa huku inje ya nchi unilinde na unipe afaya nguvu, usiniache bwana

  • @GiserajohnMathias
    @GiserajohnMathias 17 днів тому +2

    Nakuomba ehee mungu wangu niondolee roho za usingizi,uvivu na uchovu zinazonifanya nisiamke usiku na kuomba, nanipone tumbo langu liwe salama kizazi changu kiwe salama na mume wangu isaya amjue mungu awe na roho ya kumcha mungu na Kila mipango ya adui isifanikiwe juu ya familia yanguna ukoo wangu

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 19 днів тому +2

    Asante bwana yesu kwa ucku huu mororo, kwakua nimeuona mkono wako, baba ninasema asante ht kwa majira haya, asante kwaneema yako asante kwa munivusha cku nyingine, nipe rehema zako tena baba pale nilipo kuwa kinyume na matakwa ya mungu nisamehe bwana yesu.

  • @user-wf2mc2vw9x
    @user-wf2mc2vw9x 9 місяців тому +11

    Hitaji langu kwako MUNGU wangu naomba uinua IMANI yangu yangu nikuone wewe peke Yako BWANA nisione vitu Wala watu Amen.

    • @brochadada3595
      @brochadada3595 8 місяців тому

      Naombanifanikiwe kwavyashara nakwendakubianza mina

    • @brochadada3595
      @brochadada3595 8 місяців тому

      Amen Amen

    • @user-dd2xy3ey3k
      @user-dd2xy3ey3k 3 місяці тому

      Mungu tazama magumu ninayoiria

    • @user-lr6us4zy2t
      @user-lr6us4zy2t 3 місяці тому

      Jina la bwana lipewe sifa

    • @EnessiSosten-gd7yy
      @EnessiSosten-gd7yy 2 місяці тому

      Naomba usiku huu usinipite bwana naomba kupata na mume wangu maana pekeangu siwezi naomba mungu mume wangu aludi

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z 9 місяців тому +13

    Naomba UNIVUSHE kutoka magumu ninayoyapitia,nibadilishie historia ya maisha yangu,wanangu hawasongi mbela kimasomo, usituache an hewani mfalme wa amani,nguvu yako idhihirike sasa tatizo la kichwa changu ulimalize sasa.Mwanfu Sali aache pombe kuanzia sasa.Jovan umfinyange tena na mwenza wangu umtoe ktk magumu ana yoo opitia, nitoe ktk magumu BABA MUNGU unikwamue na kunihuisha upya ,wate de i wangu uwafungie wasinidhuru tena.

    • @AngeMuco
      @AngeMuco 9 місяців тому

      Amen Amen Amen

    • @neemakavugho6308
      @neemakavugho6308 9 місяців тому

      Ok

    • @neemakavugho6308
      @neemakavugho6308 9 місяців тому

      ​@@AngeMucouniombeye ni pate kufunguliwa na vifugo mbali mbali vifungo vaceliba umaskini kuangaika na ma mbo mengine yote aksante sana

    • @edithawilliam1191
      @edithawilliam1191 8 місяців тому

      Mungu nami naomba uguse faili langu baba yapata miaka 10

    • @christinaoyye4059
      @christinaoyye4059 8 місяців тому

      Nakusikia

  • @julietymartin1739
    @julietymartin1739 13 днів тому +1

    Naomba Mwenyenzi Mungu a nisaidie katika maisha yangu na watoto wangu. Na aniondolee Roho ya madeni initoke. Na fedha ntakazozishika zikakae bila ya kupotea. Asante Yesu Kristo

  • @EuniceMoranga-b7j
    @EuniceMoranga-b7j 20 днів тому +2

    Ewe mungu wangu naomba nguvu za magojwa kwa famila ya zishidwe katika jina la yesu..mungu naomba kufucha nguvu za zote za ngiza umasikini, magonjwa kunyanyaswa

  • @user-ku5ih6yn8t
    @user-ku5ih6yn8t 2 місяці тому +6

    Ee YESU aniondolee roho za kufuatiliwa kwenye ulimwengu wa roho, kuna roho tangu muda naziona MUNGU aniondolee.

  • @user-josephine.3232
    @user-josephine.3232 9 місяців тому +13

    naomba mungu amlinde mtoto wangu alietumboni azaliwe salama na mwenye kibali Cha kuishi

    • @josephatchachaeliakim3934
      @josephatchachaeliakim3934 6 місяців тому +1

      MUNGU awe pamoja nawe ktk jina la yesu kristo alie hai kulinde wewe pamoja na mtoto maana ni zawadi kutoka kwake...

    • @user-josephine.3232
      @user-josephine.3232 6 місяців тому

      @@josephatchachaeliakim3934 namshukuru Mungu nimejifungua salama jina la BWANA lihimidiwe

    • @Annamizengo
      @Annamizengo 3 місяці тому

      Mungu niongezee nguv ya maombi piababa naileta familia yangu uiponye na magonjwa, mikosi, laana, vifungo na umasikini uliokisilikwenye familia

  • @LucyFaustine-y6m
    @LucyFaustine-y6m 24 дні тому +1

    Eeh yesu naomba ukabadilishe historiaya madeni katika kaz zangu au shuhuli zangu roho ya maden pepo la maden kudaiwa ukaweze kulifuta jehova na kuibadilisha katak maisha yangu amen

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 24 дні тому +1

    Eeeh MUNGU palipo na ugumu wa kukusogolea wewe na kukutumikia naomba uniweke wepesi tazama nisiku mpya kwangu nakutegemea wewe kwa kila kitu nikumbuke mimi pamoja na familia yangu mume pamoja na watoto wangu AMINA 🙏

  • @gracehose8840
    @gracehose8840 9 місяців тому +8

    Naomba Mungu ashuke ashuhulike na hii familia tunapita pagumu sana na Mume wangu Kwa sababu ya Mama yake

    • @AdMk-tf5ou
      @AdMk-tf5ou 8 місяців тому +1

      Milango lfunguke Mungu aniondee Kwa ngufu ya kiza.ndoa lfunguliwe Maisha yangu lrudi kawaida

    • @JulitaAndrea-nu6pz
      @JulitaAndrea-nu6pz 7 місяців тому +1

      @jwm Mungu kumbuka familia yangu,Naomba watetee watoto wangu katika ndoa ajira elimu ,uponyaji ,usinipite Mwokozi Wangu.

    • @devotaphilipo1945
      @devotaphilipo1945 3 місяці тому

      Ninkupata nikiwa DRC mwenyezi mungu akubariki kwa maombi ya usiku

    • @RobertMeshack-cf8lw
      @RobertMeshack-cf8lw 2 місяці тому

      Mungu niondolee na rohoza made ni kwa jina layesu

    • @PaulmutungaMusyoka
      @PaulmutungaMusyoka 2 місяці тому

      Amen

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 9 місяців тому +20

    Naomba kila kilichopotea kirudishwe katika JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO Ameen

    • @ImmakulataKaombwe
      @ImmakulataKaombwe 3 місяці тому

      Naomba deus kwa mafanikio yeko kwaji layesu

    • @oreosmundi1967
      @oreosmundi1967 3 місяці тому

      Mungu anayeongea asikie kila maombi ya watu wake, Yeye ni Mungu anaweza na anajua mahitaji yetu uwe na nguvu sana

  • @Nyapili
    @Nyapili 11 днів тому +1

    Naomba Mungu anikumbuke kifedha na pia aniponye magonjwa ya kujirudia rudia na aniwezeshe kufanikisha maono yangu nayakabidhi mikononi mwake
    Ameen

  • @RuhashaYvette
    @RuhashaYvette 20 днів тому +2

    Yesu asifiwe na taka Mungu aniondowe katika gereza hii ya ma vita via ki jamaa na via kazini na kanisani😭😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @RoseStephano-ir5hw
    @RoseStephano-ir5hw 8 місяців тому +10

    Ee mungu naomba usiku huu usipite bila kunigusa katika hitaji langu , naomba wale wote walionidhulumu pesa zangu wanirejeshee bwana,

    • @user-mj6zk7mm7v
      @user-mj6zk7mm7v 5 місяців тому

      Mungu naomba Huyu mama aweze kusimamia yeye garama ya iyo passport yangu walipoteza.sasa wanitaka kunidukumu mm na garama ni zao mungu mguse moyo wake .aweze kulipa

    • @user-mj6zk7mm7v
      @user-mj6zk7mm7v 5 місяців тому +1

      Amen 🙏🙏 ubarikiwe mtumishi wa mungu I

    • @jafarimsigwa277
      @jafarimsigwa277 3 місяці тому

      Warehemu, na kuwahurumia wenye kulemewa na dhambi,wapate kutubu na kukulejea Mungu wangu.

    • @julianasuleman219
      @julianasuleman219 3 місяці тому

      Mungu naomba nguvu zote za kichawi juu yangu na familia yangu zishindwe katika jina la Yesu. Damu ya Yesu itulinde

  • @Mercy-jl1pn
    @Mercy-jl1pn 9 місяців тому +5

    Nisaidie yesu niwapende watu wote.nisiwe nachuki baba yangu.nakuamini Mungu wangu Kwa Jina la yesu.ata walionikosea na naninaowawazia mabaya.nitakase yesu

  • @mwambaimara1950
    @mwambaimara1950 21 день тому +2

    Kutoka morogoro, muda huu nimeamka, na nakusia vizuri na nabarikiwa sana kwa maombi haya ya alfajiri. Mungu akutunze.

  • @LucasGara-r5x
    @LucasGara-r5x 13 днів тому +1

    Eee mwenyezi MUNGU ninaomba siku yaleo unifanyie hata mujiza mmoja kwa majaribu ninayo pitia nikuone nami kama uko pamoja nami ktk majaribu yangu watumishi ninaomba maombi yenu

  • @etonaabwe5318
    @etonaabwe5318 9 місяців тому +12

    I'm from Australia 🇦🇺 and I am happy to join this channel.

    • @user-ob3rx1fy3w
      @user-ob3rx1fy3w 9 місяців тому

      Naomba niamishwe nipelekwe kuishi nje yajimbo na sehemu yajoto

    • @user-ob3rx1fy3w
      @user-ob3rx1fy3w 9 місяців тому

      Naomba virijinia Deogratias afanikiwe kupata kazi nzuri namshahara mzuri 30:57

    • @user-ob3rx1fy3w
      @user-ob3rx1fy3w 9 місяців тому +1

      Naomba familia yangu ya mzee Deogratiasi ifanikiwa kuwanakipato na maendeleo

    • @user-ob3rx1fy3w
      @user-ob3rx1fy3w 9 місяців тому

      Naomba kakazamgu alistides na godiflei na stivini wafufuke na kujitambua

    • @user-ob3rx1fy3w
      @user-ob3rx1fy3w 9 місяців тому

      Naomba shamba la mipain lipate wateja na pesa nzuri YESU sikia maombi yangu

  • @adammgendela357
    @adammgendela357 9 місяців тому +11

    Badilisha historia ya maisha yangu nisaidie kutoka kwenye tamaa ya uzinzi na Roho ya madeni na nyumba zangu nizimalize kuzijenga.na huduma yangu karama ya uponyaji na uinjirishaji.nisaidie Yesu hata Kama sistahili ilatu kwaneematu itokayo kwako.

  • @user-hh7wm2wg9i
    @user-hh7wm2wg9i 21 день тому +1

    Ee Mungu ulie juu yavyote Naomba unisaidie ni jifunguwe Salama kama kuna mtego niliyo tegwa na maadui Naomba univushe Salma amin

  • @SARAHMLELWA
    @SARAHMLELWA 9 днів тому

    Namshukuru Mungu kwa kunipa uzima Mimi pamoja na familia yangu.
    Naomba unipe hekima na busara ya kumjua Mungu na kumtumikia.

  • @janethkasobi3490
    @janethkasobi3490 9 місяців тому +3

    AMEN MTUMISHI WA MUNGU

  • @AliceMuthee-vg5tr
    @AliceMuthee-vg5tr 2 місяці тому +4

    Asante kwa neema yako yote umenitedea na kushukuru Mungu kwa uhai umenipa pokea sifa wewe ni Mungu mkuu unasitahili...

  • @FurahaAndrea-sj2ud
    @FurahaAndrea-sj2ud 20 днів тому +2

    Yesu nakuomba ukanikumbuke katika mapito yangu mim niyamaumivu ukumbuke mwanangu restuta ukamupnye mubadilishe mzazi mwenzangu akawe mume wang mwema kumbuka mam yng na baba yang pamoj nawadog zangu mapito ni machungu san yesu nakuomba utusaidie sis mwanao kumbk ndug jamaaaaaaa na marafiki yesu yesu yesu nakuomba utusaidie 🙏

  • @user-ql5iu4cr8x
    @user-ql5iu4cr8x 15 днів тому +2

    Mungu nimeshindwa naomba roho wauweza aingilie kati mungu nikumbuke badilisha maisha yangu huuu ni wakati wakubadilika mungu natamani niwe na ndoa yangu unipe mume sahihi katika maisha yangu tetea familia yangu mungu ninamahitaji mengi lakin wewe bwana unaona ndani ya moyo wangu

  • @user-ru6gs3ms9c
    @user-ru6gs3ms9c 8 місяців тому +8

    Yesu wangu naomba univushe katika magumu yaliyoko mbele yangu tizama nimekuwa mtu wa madeni Mungu naomba unisaidie sina mtu mwingine wa kumueleza shida zangu isipokuwa ni wewe Bwana usiniache nikaanguka nishike mkono yesu wangu, nimekuwa mtumwa wa madeni Mungu wangu niokoe, tizama maadui wamekuwa wengi wanataka kuniangamiza Mungu naomba unipigie bwana peke yangu siwezi, maisha yangu yamekwama najalibu kwa uwezo wangu lakini nimeshindwa Mungu usiniache moyo wangu unavuka damu Mungu naomba unisaidie

  • @sarafinasumailitrophine1614
    @sarafinasumailitrophine1614 9 місяців тому +7

    Amen Amen 👏👏

  • @MariamTiberio
    @MariamTiberio Місяць тому +2

    Ewe mungu wangu ninaomba roho ya magojwa kwenye familia yetu ishindwe kuanzia sasa nakuomba umponye mama etu na waliosafili wapate kurudi salama mungu wangu namdogo wetu apate kuacha pombe kuanzia sasa na watoto wangu uwape ulinzi wako mungu wangu nakuomba amen.

    • @TabuMkilya
      @TabuMkilya 17 днів тому

      Naomba Mungu wangu Kwa maombi haya mwanangu apate ajira

    • @moneycreator5736
      @moneycreator5736 День тому

      Na mm mwaka huh mungu anipe Mme mwaka huu

  • @user-sr7rz5wb6x
    @user-sr7rz5wb6x 15 днів тому +1

    Eee mungu usinipe usiku wa leo naomba mungu fungua vifungo vilivyo funga uchumi wangu na familia kwa ujumla tumekaa kwenye mateso kwa miaka mingi nakuomba mungu usinipite mwokozi niguse gusa watoto wangu husa familia yetu tutoe mikononi mwa yule mwovu

  • @anethjohnson4147
    @anethjohnson4147 9 місяців тому +4

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏

    • @iangaudence
      @iangaudence 9 місяців тому

      Naitwa Elizabeth nipo morogoro naomba mniombee Mungu anirejeshee tena
      Kibali nimekuwa nakataliwa popote ninapofanya kazi

  • @mariahabokea2085
    @mariahabokea2085 9 місяців тому +3

    Amen amen and amen 🙏🙏🙏🙌🙌🙌

    • @JescaJohnson
      @JescaJohnson 9 місяців тому

      Nipo Kigoma naifatilia ibada hii na nabarikiwa sana

  • @NephiapiusiMbwelwa
    @NephiapiusiMbwelwa 5 днів тому

    Namuomba mungu anisamehe makosa yangu na anilinde na maadui zangu, anifungulie milango ya baraka naomba na kuamini. Ameen

  • @LydiaMnyonyela
    @LydiaMnyonyela 10 днів тому

    Baba usie shindwa nalolote naomba ulinzi wako sehemu yangu yakazi ninyooshee mkono wako warehema nifunike kwa damu Yako yesu man bila ww siwez naomba uendelee kunigusa bwana amen

  • @HawaMunkhola
    @HawaMunkhola 8 місяців тому +3

    Ameeeeni❤

    • @user-ru6pz2dx3m
      @user-ru6pz2dx3m 5 місяців тому

      Nipo muhimbili hospital unasikika vema

  • @user-ld7it5tk5r
    @user-ld7it5tk5r 18 днів тому

    Mungu wangu naomba uwaliende watoto wangu mahali popote walipo na uwuwatete kwa kila hali maishani mwao wakujue ww nmungu usiyeshidwaa

  • @EmmyLoy-mj3dt
    @EmmyLoy-mj3dt 3 дні тому

    Mungu Ninakuomba Ufungue milango yangu na familia yangu adui amefunga kila kona madeni yamekua mengi fungua mlango tupate mteja wa kinunua huyu ng'ombe tuachane na huyu kijana kwa Amani kwa Damu Ya Yesu Usinipite Mungu Unapodhuru Wengine Usinipite.
    Amen

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 Місяць тому +1

    Asante mungu kwa majira hii, kwakuwa Niko pamoja na wewe. Asante kwa uzima asante kwa ulinzi wako bwana asante kwasifa ba utukufu wako bwana, najikabidhi mikononi mwako bwana, wewe mungu watosha. Naomba nipe neema yako bwana. Nifunikie kwa damu yako yesu. Nipe rehema yako bwana. Nisamehe kwa zambi zangu bwana ni ktika jila lako takatifu amen.

    • @moneycreator5736
      @moneycreator5736 День тому

      Mungu naomba roho ya uharibu iixhe kuanzia leo was I we wananivunjia mlango ukanioxhe maadui wanaonifanyia hivi niwajue kuanzia leo

  • @velonicacharles-6124
    @velonicacharles-6124 11 днів тому

    Ee Mwenyezi Mungu naomba wabariki watoto wangu na uibariki biashara yangu ukafungue vifungu vyote vilivyofungwa na ukafungue wale wote ninaowadai wakalipe pesa yangu Kwa uwezo wa mwanao Yesu kristo na damu yake ikawafunike baba waweze kulipa Kwa uwezo wako baba

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 8 днів тому

    Mungu mpe mtumishi huyu nguvu na baraka z pamojanaye atupe moyo wakuwa pamoja nawe usiku huu, tuzidi kuzidishiwa imani na tupate kufanikiwa ktk mapito haya amen.

  • @SourianteMbafumoja
    @SourianteMbafumoja 8 днів тому

    Namchukuru mungu kwa kunionyesha Siku nyingine,n'a omba ufungulivu kwa vifungo vite via nyumba yangu,kwa jina la yesu Kristof amen

  • @user-vv2xk3pw5p
    @user-vv2xk3pw5p 6 днів тому

    Uyapokee maombi yangu Mungu wangu mbele za kiti chs enzi mbinguni Amen

  • @benedictosospeter2836
    @benedictosospeter2836 26 днів тому +1

    Mtumishi naomba uniombee kupitia madhabahu takatifu niweze kupona maradhi yaliyonisumbua kwamda mrefu mguu na bega langu pia familia yang ili Mungu azid kuipa ulinzi,amina🙏🙏

  • @LinaMuhapa
    @LinaMuhapa 7 днів тому

    Eee mwenyez mungu naomba uniepushie hasira hata nikutane na gum,naomba ukawape halali watoto wngu na waogope vya watu amina.

  • @user-dm6ex8vr5x
    @user-dm6ex8vr5x 18 днів тому +2

    Naomba nipate matokeo Mazuri ya mtihani wangu wa form 6 yanayokaribiaa kutokaa

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 28 днів тому +2

    Mungu ona madeni yalivyo nizidi kwaajili ya watu walio anitendee mabaya mungu nikumbuke. Badilisha historia ya maisha yangu, mungu nisaidie, usiniache. Mungu ona enjo anavyo nicheka, mungu tenda miujiza nipate msichana, asiendelee kunicheka. Nisaidie mungu wangu, mungu naomba niuze shamba langu kirahisi, nimalizie nyumba yangu nakujenga fensi kirahisi. Naomba nipone maumivu ya mwili na sukar inayonisumbua mungu.. mungu naomba nisamehe dhambi zangu zote. Wasaidie watoto wangu patro eli na Rogathe wapate neema yako.mungu. asante bwana yesu , tuma malaika wako anisaidie bwana. Vita hivi ni nikali bwana. Nipe kibali chako bwana, ona ninavyo shindwa ht kusikiliza neno lako bwana bwana anitendee nipate msichana anayejielewa Amen.

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 4 дні тому

    Mungu nakuita wakat huu nimechoka haya maradhi kaniponye bwana baba nakuomba kaguse maisha yangu mungu wangu kanibariki mm na familia yangu mungu nakuomba kanipe hitaji langu sawa na matakwa yako kaachilie baraka zako bwana katika dam ya yesu bwana na mwokoz wangu ameen

  • @MilembeKagwa
    @MilembeKagwa 14 днів тому

    Ahsante Yesu,nimejifungamanisha na maombi haya . Bwana nitendee kama nilivyoamini na kuomba.

  • @HappyKway
    @HappyKway 3 дні тому

    Mungu asante kwa kunijibu na kusikia hitaji langu hujawahi kuniacha peke yangu Yesu wangu.

  • @JailosAbron-sv5wb
    @JailosAbron-sv5wb Місяць тому +1

    Ee mungu wetu nakuomba mbingu zinitambulishe katika Jina la yesu amen.

  • @AnifaSaidi
    @AnifaSaidi 12 днів тому

    Naomba MUNGU wangu usiku wa Leo ashuke kwenye maisha yangu baba wambingu Asante baba yangu uliniumba ajili nikuabudu wewe MUNGU wangu

  • @user-eg4ot8bu8d
    @user-eg4ot8bu8d 15 днів тому +1

    Naomba mungu unifungilie baraka za watoto wangu nafamilia yangu nifanikiwe katika biashara yangu ninayoiaza nipate wateja wengi

  • @farajamichael7574
    @farajamichael7574 23 дні тому

    Ahsante MUNGU kwa uwepo wako katika maisha yangu naomba usiniache maana Sina tegemeo zaid yako.

  • @JescaMalangalila
    @JescaMalangalila 15 днів тому +1

    Namuomba Mungu azidi kunipigania katika kazi na aniepushe na kila majalibu ya shetani na awalinde wanangu wakawe vichwa kielimu na si mkia

  • @pendomaloda2849
    @pendomaloda2849 15 днів тому +1

    Naomba mungu anikumbuke katika mapito ninayo pitia akanitie nguvu na nikayashinde mapito yote naomba mungu anisaidie na kunitia nguvu siku yangu ya kujifungua akanifungulie milango ya mbingi na njia ikafunguke, naenda kukataa roho ya oppression naamin mungu utatenda na nitajifungua kawaida na salama naamin mungu utanitendea amen

    • @Ney01-vd7mk
      @Ney01-vd7mk 8 днів тому

      Niombee juu ya watoto wangu wapate kazi wamekaasana nyumbani nawapate ndoa nzuri

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 Місяць тому +2

    Bwana yesu naomba univushe ktk magumu, yaliyo ni songa, tazama mungu madeni yalivyo nisona nitoe bwana kwenye madeni haya, sina mwengine wakumweleza matatizo yangu nisaidie bwana yesu ona moyo wangu ulivyosongwa na mawazo nisaidie bwana tazama maadui wamekuwa wengi ni okoe bwana nimekuwa mtumwa wa madeni nitoe mikononi mwa watesi bwana, tizama bwana moyo wangu unavyoteseka na madeni haya niokoe bwana. Naomba nipe uvumilivu na unifungue nipate neemayako bwana nivuke kwenye majaribu haya bwana amen

    • @roseboamo5777
      @roseboamo5777 8 днів тому

      Asante bwana ninaomba ndani ya wiki hii nitoe shuhuda km watu wengine wanavyo toa. Niheshimishe kwa watu wanayo nizarau. Ona enjo alivyo virunga maisha yangu hadi mm kuchanganyikiwa bwana. Nisaidie kwenye majaribu hii bwana yesu. Nipe moyo wa uvumilivu naomba mguse Kenny atume hela inayo nitese bwana, fungua njia zangu nipate hela bwana yesu kwa neema yako, usiniache bwana. Nikumbuke bwana nitete bwana.

  • @dominicaishengoma2291
    @dominicaishengoma2291 17 днів тому

    Magonjwa yangu yote baba uyaondoe, nifutie madeni, biashara ifanikiwe Asante baba amina

  • @RoseStephano-ir5hw
    @RoseStephano-ir5hw 2 дні тому

    Naomba Kila linalopangwa na maadui kwako bwana lisiwezekane nahitaji neema ya watoto mapacha watatu wakike wawili wa kiume Mmoja bwana , pia ee yesu naomba umbariki mchumba wangu aendelee kuwa na moyo wa upendo siku zote, na umuinue kiuchumi zaidi.

  • @JanetMagare
    @JanetMagare 8 днів тому

    Mungu nakuomba uniponye mkono unaoniuma sana pamoja na tumbo mponye binti yangu apone aendelee na shughuli zake watoto wangu wote uwape kila mmoja hitaji la moyo wake nawale wanaowatakia mabaya yawarudie wenyewe

  • @user-km3mo7vg1f
    @user-km3mo7vg1f 11 днів тому

    Mungu naomba uponyaji waugonjwa wa Kisukari mungu najiachilia kwako pony familia yangu pia naombea meanangu afaulu mtihani awe kichwa asiwe mkia

  • @PiliSelemani-yr3dr
    @PiliSelemani-yr3dr Місяць тому

    Mungu wangu. Naomba mume wangu akutumikie aachane na mambo ya kidunia.Amina

  • @PhilisterSidi-v8c
    @PhilisterSidi-v8c 16 днів тому +1

    Eee MUNGU mwenyezi naomba ulinzi na baraka zako katika familia yetu pia naomba upendo na amani,

  • @user-zz7gu9uj1c
    @user-zz7gu9uj1c 18 днів тому +1

    Naomba ulinzi kwa watoto wetu wote na hasa lango la kwanza nawatenga mbali na magojwa na hila zote za shetani.. daima wakawe vichwa na wapate kibali Kila watakapokanyaga .. Ameen

  • @NorahLugongo
    @NorahLugongo 9 днів тому

    Mungu nikumbuke na mimi angalia maisha yangu badilisha maisha yangu kuanzia sasa amina

  • @GraceTadei
    @GraceTadei 11 днів тому

    Ee mungu naomba unilindie watoto wangu naomba amani na kabidhi biashara zangu zote naomba uzilinde

  • @leticiakaiza299
    @leticiakaiza299 9 днів тому

    Nafunga na kuvunja roho zote zauharibifu ktk mahusiano yangu kwajinala yesu😢😢 hazina mamlaka nazisweka kuzimu naachilia moto wa mungu ulao🙌🙌🙌

  • @dominicaishengoma2291
    @dominicaishengoma2291 17 днів тому +1

    Nawaombea wanangu na Mimi mwenyewe malengo yetu yatimie Mungu baba wa mbinguni ,tunaendelea kukushukuru kwa mema yote unayotutendea katika familia yetu.Amina.

  • @LydiaMnyonyela
    @LydiaMnyonyela 13 днів тому

    Bab naomba unifungulie maisha yangu mana paspo ww mm siwez endelea kutenda muujiza katika maisha yangu amen

  • @LightnessMagez
    @LightnessMagez 5 днів тому

    Bwana umetenda makubwa kwangu naamini kesho ntaamka na tarifa njema za majibu yangu asante kwa kunichagua mimi asante bwana🙏🙏🙏🙏

  • @StellaMushi-g5h
    @StellaMushi-g5h 16 днів тому

    Mungu mwenyezi naomba unirudishie nguvu katika mikono yangu naitaji nguvu mpya katika mikono Yako baba

  • @hawamasomora-os9np
    @hawamasomora-os9np 18 днів тому

    Naomba mungu anifungue kibiashala pamoja nawatoto wangu munguenaomba naomba kutana namaombi yangu mungu kutana nawatoto wangu nasalima wangu

  • @user-su4pn8xv5b
    @user-su4pn8xv5b 2 дні тому

    Naomba mungu anifungulie kwenye maisha yangu pia anipe nguvu yakupambana na majalibu yote pia naomba mung ailinde familia yang zidi yawatu wabaya

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 Місяць тому +1

    Ona mungu watu wanavyo nicheka. Ngozi yangu imekuwa km ya mzee mwili wangu inawasha kwa mda mrefu bwana, niponye mungu wangu. Rudisha ngozi yangu. Nipe uponyaji bwana, nisaidie bwana, nikumbuke kwenye eneo la uponyaji ingilia kati afya yangu. Nisaidie biashara yangu isisimame tena. Nivushe kwenye madeni ninayo daiwa. Nivushe kwenye mateso haya bwana..nipate mtoto sahihi wa kz, nipe bwana neema yako nipate kuuza shamba langu kirahisi bwana . Nipe mtu sahihi bwana nipe mwanaume sahihi kwangu bwana niktk jina la yesu amen.

  • @lightnessgamasa6039
    @lightnessgamasa6039 2 дні тому

    Mungu niponye nikutumikie Mimi nafamilia yangu Aminaaa 🙏🏻

  • @VumiDavid-lo1cl
    @VumiDavid-lo1cl 8 днів тому

    Mungu naomba hekima nifungue moyo wangu ukapate kukuomba katika roho na kweli

  • @faithmwende9232
    @faithmwende9232 14 днів тому +1

    Bwana yesu asifiwe nashukuru sana kujiunga na hii mathabao kwa siku ya leo nashukuru sana ,na ninaomba ,maobi nipate kazi kwa jina la yesu,Amen

  • @ednasabas-c7h
    @ednasabas-c7h 3 дні тому

    Namshukuru mungu napokea maombi nikiwa Mkinga mwenyezi mungu ndie silaha.yangu mimi na familia yangu

  • @sophiashabani5278
    @sophiashabani5278 11 днів тому

    naomba kila kilichoondoka kwenye maisha yangu kirudi,mume,,pesa,gari na amani ya moyo.ninaamin limeshatokea😍

  • @judyagoi402
    @judyagoi402 10 днів тому

    EE mungu niondolee roho ya madeni,magonjwa kwa watoto imezidi ,dharau imezidi nipe Amani ya roho

  • @HappyKway
    @HappyKway 3 дні тому

    Naomba ulinzi wa damu ya yesu uifunike familia yangu na kiulinda na kutuepusha na nguvu za giza

  • @NephiapiusiMbwelwa
    @NephiapiusiMbwelwa 5 днів тому

    Naikataa roho ya madeni kwajina la Yesu nakataa kukopa nahitaji kununua kwa pesa yangu nanimiliki pesa zangu mwenyewe naomba na kuamini, ameeni..

  • @user-re3mr6xy7u
    @user-re3mr6xy7u Місяць тому

    Naomba mungu kila kilichopotea kwenye ndoa ,uchumi ,kwa watoto wangu kirudi kwa jina la yesu