NJIA KUU TATU ZA KUMSIKIA ROHO MTAKATIFU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лип 2023
  • 2 Wakorintho 13:14
    Neema ya Bwana Yesu Kristo, na upendo wa Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Amen.
    Maarifa ya Ki-Mungu
    @SIRI ZA BIBLIA
    www.sirizabiblia.com
    +255 758 708 804
    linktr.ee/sirizabiblia
    Instagram Account
    / siri_za_biblia
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 610

  • @JustineGabriel-y5v
    @JustineGabriel-y5v 25 днів тому +8

    Eee bwana mimi si mwem hata kidogo nimekuwa mkosefu katika jamii na watu wanao nizunguka bwana wangu niguse tena niwe wako mimi sina bwana mwingine🙏🙏🙏

  • @NaomiBahat-bz6ri
    @NaomiBahat-bz6ri 2 місяці тому +20

    Mungu naomba inisaidie niweze kumsikia loho mtakatifu

  • @JoyceKimario-r5g
    @JoyceKimario-r5g 11 днів тому +1

    ❤❤ Naomba roho mtakatifu kwenye maisha yangu

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 Рік тому +82

    Kwel kuna faida ya kumsikiliza Roho Mtakatifu tena huwa anazungumza kwa sauti ya upole sana. Mungu ni mwema kila wakati 🙏🙏🙏

  • @sophietashily4521
    @sophietashily4521 Рік тому +5

    Amen🙏🙏 huo ushuhuda umenipa hope ju nimekua nikiomba sana Mungu anijalie fethaa za kununua vitu za kanisa nina imani Mungu atajibu🙏🙏🙏 Mungu akubariki sana

  • @fridakipingu
    @fridakipingu Рік тому +5

    Mwaka 2016 alinisemesha kuhusu eneo la biashara na mtu atakaye nipa eneo
    Mungu akubariki mtumishi
    Iko faida kubwa sana

  • @user-cz1lo7im4p
    @user-cz1lo7im4p 3 місяці тому +10

    Amin Mungu nakuomba unipe roho mtakatifu aniongoze kwenye maishayangu

    • @KiT.KaT.Cute.
      @KiT.KaT.Cute. 17 днів тому

      Roho mtakatifu anakaa ndani yetu.ukimpokeya tu Yesu kuwa Bwana na mokozi wako ,hapohapo roho mtakatifu anaingiya ndani yako.sasa inabidi umwambiye ajizihirishe kwako ila upate kumuelewa.na akusaidiye kukufunguwa masikiyo yako ya rohoni.

  • @user-zr6rs6dk6b
    @user-zr6rs6dk6b 7 днів тому

    Roho mtakatifu akawe mwongozo wa maisha yangu❤❤

  • @hidayauhwelo
    @hidayauhwelo 6 днів тому

    Ewe bwana naomba unibariki roho mtakatifu akaniongozi katika safari yangu ya masomo na kanisa

  • @JeremieMulungula
    @JeremieMulungula 6 днів тому

    Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 tumepokea mafundisho mazuri kuusu kumusikia Roho mutakatifu. Merci

  • @HamisaMkenda-ss2yz
    @HamisaMkenda-ss2yz 2 дні тому

    Roho mtakatifu akaniongz katika maisha yangu

  • @ChristopherAndrea-rh6yw
    @ChristopherAndrea-rh6yw Місяць тому +2

    Roho mtakatifu uniongoze siku zote za uhai wangu

  • @FrankJamesy
    @FrankJamesy 2 місяці тому +5

    Eeeeh.....Roho Mt.naomba unisaidie niweze kusikia sauti yako maishani mwangu

  • @user-kv2do7nc8w
    @user-kv2do7nc8w 3 дні тому

    Mtumishi wa MUNGU napatikana congo sud kivu 'nahitajinamba yako 'mwalimuwangu

  • @esthermwikali5403
    @esthermwikali5403 11 місяців тому +8

    Naitaji Roo mtakatifu katika maisha yangu yote

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 11 місяців тому +9

    Ameen Ameen naomba roho wa MUNGU aniongoze katika maisha yangu Amen

  • @RosetteMaarachi
    @RosetteMaarachi 10 днів тому

    Mungu n'a taka niku sikiye usiku wa Léo baba mungu wangu roho mutakatifu 🙏🙏🙏

  • @KazadiKanazawa
    @KazadiKanazawa 12 годин тому

    Amen Nashukuru sana kwahaya mafundisho Mungu akupe maisha marefu amen

  • @MamaTee-bm2en
    @MamaTee-bm2en 2 місяці тому +5

    Aloooo Kuna kitu nimepokea Ameen nmekua mpya

  • @SubilagaKabango-bu8tu
    @SubilagaKabango-bu8tu Рік тому +5

    Nj kweli kabisa mtumishi wa Mungu kupitia Bwana wetu Yesu Kristo wa Nazareth! Hakika tunaongozwa na Roho mtakatifu ukimtiu na kumfuata!

  • @user-ry5by4wh7p
    @user-ry5by4wh7p 5 місяців тому +3

    Holy spirit I know I don't deserve to walk with you due to my uncommitment but please right know ive decided to be yours please be with me

  • @user-mt1lj2dj9h
    @user-mt1lj2dj9h Рік тому +5

    Roho mtakatifu komboa watoto wangu

  • @franciskemba8722
    @franciskemba8722 23 дні тому +1

    Ee Roho mtakatifu naomba kusikia sauti yako masikioni mwangu Amen

  • @user-db4sv8em3c
    @user-db4sv8em3c Місяць тому +1

    Amen mtumishi Mungu akuzidishie pawa, Ee mwenyezi Mungu naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu yote amena.

  • @alicenmoraa1455
    @alicenmoraa1455 Місяць тому +1

    Naomba ewe Mungu uingie ndani yangu unifunze niweze kumsikiliza roho mtakatifu
    Ningeomba nipate marafki walio katika ushirika na Yesu

  • @Berndeta
    @Berndeta 2 місяці тому +1

    Ameen 🙏🙏🙏 balikiwa Sana mtumishi wa MUNGU

  • @NaomiAlly-xv2vx
    @NaomiAlly-xv2vx 2 місяці тому +2

    MUNGU naomba unisaidie nimsikie roho mtakatifu akisema na mim

  • @KazadiKanazawa
    @KazadiKanazawa 12 годин тому

    Asante Mungu wetu

  • @angelitapaulo
    @angelitapaulo Рік тому +4

    Amen naamini hivyo itakuwa roho wa MUNGU niongezee nashukuru nimeipata kitu

  • @user-vg1lc5ie5e
    @user-vg1lc5ie5e 11 місяців тому +13

    Amen 🙏 nitafanya aje ndio nikuwe na moyo wa kuomba juu nikitaka kuomba maneno yaniisha

    • @user-kh3se5gi4m
      @user-kh3se5gi4m 11 місяців тому +2

      Hata mm nilikuwa na hiyo shinda lakini mungu ni mwenye huruma akikuona unatia juhudi anakuwezesha.
      Mm niliendelea hivyo kidogokidogo na nikawa naomba mara kwa mara na kusoma bibilia mungu atakuinua

    • @jonasmanirakizanzinga7882
      @jonasmanirakizanzinga7882 2 місяці тому +1

      Soma biblia utaomba mpaka utakuwa unaona muda hautoshi maana tukiomba tunamkumbusha Mungu ahadi zake alizozisema kupitia neno lake.

  • @NamuwayaShirat-ej3xk
    @NamuwayaShirat-ej3xk 3 місяці тому +3

    Hee mungu naomba utusamehe kwa kudhalahu neno lako🙏🙏

  • @Nehemiah.1
    @Nehemiah.1 Рік тому +10

    AMEN MTUMISHI. KWELI KABISA ROHO MTAKATIFU ANAZUNGUMZA NA ANAFANYA KAZI SANA, MIMI NINAYAISHI AYO KABISA. MUNGU AKUBARI NA AKUPE ZAIDI UJUZI NA UFUNUO.

  • @user-gn9is3sm4u
    @user-gn9is3sm4u Рік тому +3

    Asante pasta nimekuelewa sana naamini kuanzia Sasa nitamruhusu roho mtakatifu afanye KAZI ndani yangu.

  • @marygorethmmbando6872
    @marygorethmmbando6872 Місяць тому +1

    Ubarikiwe sanaa Mtumishi... AMINA🙏

  • @costakabamba8108
    @costakabamba8108 Рік тому +3

    Ubalikiwe mtumishi

  • @user-ez6cy4pj8z
    @user-ez6cy4pj8z Місяць тому +1

    Nampenda Yesu natamani kujazwa na roho mtakatifu. Mtumishi ubarikiwe ..Amen

  • @dorothyronald2445
    @dorothyronald2445 2 місяці тому +1

    Assnte Yesu kwa neno lako,asante kwa mtumishi wako.nipe neema ya kumsikiliza Roho Mtakatifu

  • @MaryIkongo
    @MaryIkongo Місяць тому +1

    Amen 🙏 🙏 ubarikiwe sana mtumishi kwa mafunzo takatifu🙏

  • @lulupeter-xf9gs
    @lulupeter-xf9gs 5 місяців тому +2

    Roho mtakatifu ananitia nguvu mpya kila siku amen 🙏🧎.

  • @user-wm6py7ho2u
    @user-wm6py7ho2u 11 місяців тому +4

    Namuitaji Sana roho mtakatifu maishani mwangu 🙏

  • @lilywei2967
    @lilywei2967 Рік тому +4

    AMEN naamini nitapokea roho mtakatifu

  • @Aza-n6b
    @Aza-n6b 11 днів тому

    Mungu naomba namimi unikumbuke

  • @DorahAthanasio
    @DorahAthanasio Місяць тому

    Roho mtakatifu sema nami nikuelewe kile unachosema nami Amina

  • @ElikaMsenga
    @ElikaMsenga Місяць тому +1

    Mungu nomba nisaidie niwezekumsikiliza roho mtakatifu

  • @Brainy585
    @Brainy585 Місяць тому +1

    Mungu mwenyezi naomba unisaidie kumsikiliza roho mtakatifu ndani ya maisha yangu

  • @jacklineelias3091
    @jacklineelias3091 Місяць тому +1

    Mungu naomba roho mtakatifu anitembelee kila wakati

  • @esthermwathi4972
    @esthermwathi4972 11 місяців тому +3

    Amen...Naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu

  • @CharlesMusya-tl5ul
    @CharlesMusya-tl5ul Місяць тому +1

    I love the spirit of God to walk with me,shuka Tena uniguze

  • @joyceshirima207
    @joyceshirima207 Місяць тому +1

    Asant sana namkaribisha roho mtakatifu ndan yangu

  • @nyafurugoma2749
    @nyafurugoma2749 Рік тому +2

    asante kwa kunipa maarifa juu ya Roho mtakatifu hakika nimepata jambo jipya Mungu akubariki

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 11 місяців тому +3

    Mungu naomba roho wa mtakatifu aningoze ktk maishani mwangu

  • @user-hy5hw9bd7t
    @user-hy5hw9bd7t 2 місяці тому +1

    Ameen nimebarikiwa sana kwa hya mafundiaho mm.ata huletewa nyimbo uaingizini nikaimba tu vizuri but nikiamka asubuhi nimesahau

  • @AsheriMajengo
    @AsheriMajengo 2 місяці тому +1

    Mungu naomba niwe na Roho mtakatifu maisha yangu awe kiongozi

  • @ananiamwampulo
    @ananiamwampulo 12 днів тому

    Roho mtakatifu aniongoze

  • @milkagaula8289
    @milkagaula8289 2 місяці тому +1

    SHALOM, BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU

  • @OresteMpunga-py6vn
    @OresteMpunga-py6vn 2 місяці тому +2

    Antônio Samuel kutoka Moçambique asate kwa jia ya kujua roho takatifu

  • @AsheriMajengo
    @AsheriMajengo 2 місяці тому +1

    Amen mtumish Mungu akubariki sana

  • @happylomnyaki-rk1tk
    @happylomnyaki-rk1tk 2 місяці тому +1

    Amina mtumishi Mungu akubarik sana❤

  • @farajinyaindi6467
    @farajinyaindi6467 Рік тому +9

    AMEN I TRUST IN YOU JESUS CHRIST

  • @RachelSamuel-xy4ci
    @RachelSamuel-xy4ci 23 дні тому

    Ameen mungu nisaidie nikufahamu vzuri

  • @MwitaRose
    @MwitaRose Місяць тому

    Roho mtakatifu naomba uingie ndani yangu ee Mungu naomba nijalie kuisikia sauti ya roho mtakatifu🙏

  • @rizikiochai7581
    @rizikiochai7581 Рік тому +1

    Amen.Ni kweli pastor mm hulalamika Sana Kua Mungu hanijibu,Asante mtumishi Kwa Sasa napokea mwelekeo

  • @IbrahimJohn-h1z
    @IbrahimJohn-h1z 9 днів тому

    Ee mungu mwenyezi naomba roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu❤❤

  • @byusaajumapili6750
    @byusaajumapili6750 Рік тому +3

    Ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu

  • @perisriziki1592
    @perisriziki1592 Рік тому +2

    Amen, Asante sana mtumishi wa mungu kwa kutupa ufahamu huu haki unatusaidia sana mungu akubariki sana 🙏

  • @fridakipingu
    @fridakipingu Рік тому +2

    Amen amen ninashudia kwa kuongozwa na roho mtakatifu mnoo

  • @MaryRuby-wz6eb
    @MaryRuby-wz6eb Місяць тому

    Natamani sana nimujue saidi huyu mungu

  • @sharonatienoolweny
    @sharonatienoolweny 11 місяців тому +3

    I'm so glad to listen to them word of God,,have just watch now and nimebarikiwa na neno

  • @ReubenSimwanza
    @ReubenSimwanza 23 дні тому

    Mtumishi nashukuru kwa ushauri mzuri.

  • @user-ki4zg9jv9x
    @user-ki4zg9jv9x 2 дні тому

    Amina ubarikiwa

  • @RhodaPaul-lw5pq
    @RhodaPaul-lw5pq 3 місяці тому +1

    Mbona nilichelewa kujua km unamafundusho mazur hivi 💪💪💪❤️❤️❤️❤️

  • @FatumaShabani-k6x
    @FatumaShabani-k6x 23 дні тому

    Naitaji kusikia sauti ya roho mtakatifu aniongoze katika maisha yangu roho mtakatifu 🙏🙏🙏🙏

  • @EsterMahambo
    @EsterMahambo 3 місяці тому +1

    Me nimekua nikiota sanaa nikiwa mazingira ya shule ya msingi nilosoma lakn siku mbili zilizopita nimeota nko shule hyo ya msingi nimeshafanya mtihani na nimejaza mtihani wangu vizuri lakn gafla mtihani wangu hauonekani na nilikua nimeshakusanya

    • @aminamswima2479
      @aminamswima2479 3 місяці тому

      Rafki hyo ni ishu ya kutafri ndoto naeza kukuelekeza kama hutoja mim npo mkoa wa songwe ww unapatkana api

  • @lucyngwale4365
    @lucyngwale4365 Місяць тому

    Barikiwa sana pastor nakuelewa sana Mungu naomba unisaidie nikusikie zaidi

  • @PatisoniBizimana
    @PatisoniBizimana 57 хвилин тому

    Ubarkiwe

  • @rehemabyamasu3203
    @rehemabyamasu3203 25 днів тому

    Amen God bless you

  • @user-ky2ch5rl7i
    @user-ky2ch5rl7i 11 місяців тому +1

    Naomba unitumie sala ya kumwomba Roho Mtakatifu nijue lugha
    Nipo ulaya najifunza lugha lakain inabid nimshirikishe Roho Mt.

  • @eunicekerubo7263
    @eunicekerubo7263 Місяць тому

    Upalikiwe mtumishi kwa mafusho nimepalikiwa Sana

  • @anithaponsianmugiz6492
    @anithaponsianmugiz6492 8 місяців тому +3

    Amina Na mpaka hapa kukusikiliza ni roho mtakatfu ameniongoza Ubarikiwe sana🙏🙏🙏

  • @agnessaidi2084
    @agnessaidi2084 Рік тому +2

    AMINA mtumishi wa MUNGU BARIKIWA SANA

  • @IreneMallya-yg8yj
    @IreneMallya-yg8yj Рік тому +1

    Ahsnte sana baba kwa mafundisho yako,naomba sana madhabahu yako imuombee mdogo wangu grory anayesumbuliwa na tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara neema yako imuatamie 🙏

  • @prosperpuro1712
    @prosperpuro1712 Місяць тому +1

    Asante kwakuni funulia aya Amen Amen Amen 🙏

  • @TeresaNyatuka-vc4kb
    @TeresaNyatuka-vc4kb Місяць тому

    Postor nizaidie mm niliokoka na nikarudi nyuma naomba uniombee nirudi katika safari ya wokovu naomba roho mtakatifu roho wa maombi juu Niko na shida mingi asanti

    • @gladnessshola2718
      @gladnessshola2718 Місяць тому

      Kumbuka ni wapi ulipoanguka ukatubu, ukayafanye matendo yako ya Kwanza yani ukaende sawasawa na vile ulivokuwa ukienenda wkt umeokoka, kwaiyo omba toba kwa kumaanisha, soma neno la Mungu, kuwa mtu wa maombi, jitenge na mazingira yanayokufanya urudi nyuma ktk wokovu

    • @gladnessshola2718
      @gladnessshola2718 Місяць тому

      Lakini pia usitembee kwenye wokovu bila roho mtakatifu, omba sana roho mtakatifu aje kwenye maisha yako akuongoze, wana wa Mungu wanaongozwa na roho mtakatifu, yeye ni mwalimu, anatufundisha, anatutenga mbali na uovu, anaachilia kiu ya kupenda mambo ya Mungu, Yani yeye ndo dereva wa maisha yetu ya wokovu

  • @castojulius
    @castojulius День тому

    Almighty God 🙏🙏

  • @user-ii9mu4ys2n
    @user-ii9mu4ys2n 10 місяців тому +1

    Naomba Mungu aniongoze Ili niweze kumtambuwa

  • @barikimatabishi3544
    @barikimatabishi3544 Рік тому +3

    Roho mtakatifu atende kazi kwetu.

  • @rebeccabrown5135
    @rebeccabrown5135 Рік тому +1

    Amen asanti Mungu kwa roho mtakatifu

  • @neemamoses5600
    @neemamoses5600 2 місяці тому +2

    Ameen 🙏🙏 barikiwa sana

  • @SilvestaKimario-vb9kf
    @SilvestaKimario-vb9kf 2 місяці тому +1

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @vailetheanyambilile9749
    @vailetheanyambilile9749 11 місяців тому +3

    Kuna faida kubwa kumsikiliza roho mtafuta Ubarikiwe sana

    • @lilywei2967
      @lilywei2967 9 місяців тому

      Unamusikiaje dada please nifafanulie nijuwe

  • @user-xx9wg8el4y
    @user-xx9wg8el4y 9 місяців тому +1

    Somo zuri mno barikiwa mtumishi wa MUNGU

  • @Dounglaskailiba
    @Dounglaskailiba Рік тому +4

    Amen

  • @simonimbena
    @simonimbena 16 днів тому

    Mungu naomba unipe roho mtakatifu na nguvu zake

  • @angle3600
    @angle3600 19 днів тому

    Mimi nilipo achana na mume wangu,nilikua naomba Mungu anipe mume mwingine,niliambiwa hakuna siku utazaa na mume zaidi ya mmoja,amini miaka kumi na miwili ndio alitokea akaniambia msameh mumeo,na ukumbuke ndani ya hii miaka ya usingle sikuwahi kuzini kila mume ninaekutana nae tukipanga tukutane kunatokea kisanga kikubwa,hivi ninavyo ongea mume wangu alirudi,baada ya 12yrs na hajawai zaa na mke mwingine,ni mim tu nilizaa nae 3kids,na ajabu ameishi na wake zaidi ya wanane na hakuna alo zaa nae,wee haya ni majabu haki.R00H0 Wa Mungu anatenda Kabisa.

  • @pacificshuli5415
    @pacificshuli5415 9 місяців тому +1

    Amina saana Mtumishe wa Mungu ❤❤

  • @miriammuller2845
    @miriammuller2845 Рік тому +5

    Praise the Lord 🙏❤️

  • @ProsperMushi
    @ProsperMushi Рік тому +1

    Amina Mtumishi wa Mungu

  • @theresiakamote883
    @theresiakamote883 Місяць тому

    Amina ubarikiwr sana!

  • @lydianyachama2286
    @lydianyachama2286 Рік тому +2

    Amen 🙏🏻🙏🏻 ubarikiwe sana Mtumishi wa MUNGU

  • @user-es2mo6ut4u
    @user-es2mo6ut4u Рік тому +1

    Uishi maisha malef m2mishi wa mungu kwa ku2panua vichwa vye2 wengi we2 2likua a2welew kwa Sasa 2meona njia yakuongea namungu fes2fes ubalikiw sana