Mimi ni Mzaliwa wa kwanza kwa cheo nina ushuhuda aisee maisha si rahisi tunayoyapitia ni Mungu tu ajuaye... Ila ukimtumainia Mungu na kumtanguliza katika kila jambo kuna vile anakufungulia njia za mibaraka. Kutoa kwako ndivyo Mungu anapozidi kukufungulia njia. Tujifunze kuto kunung'unika sana pale tunapokua na majukumu mengi nyumba yetu...Tujifunze kurudi miguuni pa bwana na kuomba na kumwachia Mungu atende sawasawa na mapenzi yake🙏🙏
Kusema kweli unanibariki Sana naomba uniombee nipate kazi nimetuma maombi idara ya Elimu Mungu akafungue njia Kwa Jina la Yesu Amina. Namshukuru Mungu kwa kweli.
Amen 🙏asante sana muhubiri mahubiri yako,mafundisho yako yamenigusa katika maisha ninayo pitia kwa sasa na ninaamini mungu ameshughulika si mzaliwa wa kwanza laki katika kibali cha mungu nikama wa kwanza
Mungu wetu wa Mbinguni akubariki mchungaji wangu huwa unanitia Moyo Sana nimekuwa nikiandamwa kazini mpaka nilitamani kuacha kazi lakini Mungu akanipa akili ya kwenda shule afisa utumishi wangu alinikatalia lakini Mungu alimtumia bosi mwingine akaongea na mwajiri wangu akabaki anashangaa akasema sijamkatalia mtu kwenda shule hivyo mwishoni nikapewa barua ya ruhusa na baada ya Mimi kuondoka nikapigiwa simu kuwa Yule bosi wako amehamishea nampenda Sana huyu Mungu wa muujiza kwangu❤❤❤
Pr Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi, naendelea kujifunza kila kukicha kupitia masomo yako, na ninazid kuimarika sana kiroho, Mungu akubariki sana
kweli mchngaji Kama wakati huu majukumu yanayonilazimu kutoa Kwa ndugu nikijumlisha namwaga tofali na kuanza kujenga lakin nitatoa na kujenga Bado na hakuna wa kumueleza shida zangu na wakati mengne wakiniomba nakopa hawajui
AMEN! I've listened to the message a bit late but it has built my faith and blessed me greatly. GOD bless you Pastor for teachings are ever timely and have changed my life in an amazing way 🙏🏻 🙌🏻.
Dear pastor MMBAGA, Ukweli unagusa maisha yangu najisikia kutiwa nguvu kwa masomo haya ninayojifunza, kupitia wewe, nilitamani kupotezea, na kukubali kushindwa ila Sasa nitasimama, na MUNGU.
Mchungaji kwakweli mim hua naandamwa sana nimekua nasingiziwa vitu nawatu wangu wakaribu hata mume wangu je hilinalo no agano au nitatizo lingine nisaidie mungu akubariki
@@MahubiriPrMmbaga, pastor, pray for me, also, ndoa ndoa Mchungaji mipango ya kando inatutesa sana, na tuombe aje kwanza, tuwasamehe au tuwabariki, au tuwalaani .
Nimimi kwakweli ila nina vita kubwa sana ya kiroho inayo fanya nishindwe kukomboa familia yangu Ktk familia nimepata neema ya kokoka ni mimi napigwa vita na familia nzima
Nashukuru sana majabu ya metendeka nilikua nawekwa mpaka Bond imekuwa cancelled just from nowhere a lawyer mwenye sijui akakuja na file wakati last ikisomwa niende sasa remand for 3months Lawyer akanitetea...kwa sasa nko free nimepewa date ya 25 September 2024...zidi kuniombea Pastor napitia magumu.. Nashukuru sana kwa miracle imefanyika leo ...kwa kweli nimeona mkono wa Bwana
Jamani bwana azidi kukuinulia na kukubariki tusife na njaa wala kiu kupitia chakula hiki tubarikiwe na sisi jaman mmbaga ubarikiwe sana ambukiza na kizaz chako jaman! Namba msaadamaana shda nyingne siyo za sms tafadhali mwenye nayo
sasa hawa maa bwana wakuwakupaga mopago ilikuuza sukari kwa kutumia mkowa mojja or kutia kuza sukari kwa wilaya mooja sasa watatumia idia yamgu kupuguza bei ya sukari kwa killa mkowa
Mimi ni Mzaliwa wa kwanza kwa cheo nina ushuhuda aisee maisha si rahisi tunayoyapitia ni Mungu tu ajuaye... Ila ukimtumainia Mungu na kumtanguliza katika kila jambo kuna vile anakufungulia njia za mibaraka. Kutoa kwako ndivyo Mungu anapozidi kukufungulia njia. Tujifunze kuto kunung'unika sana pale tunapokua na majukumu mengi nyumba yetu...Tujifunze kurudi miguuni pa bwana na kuomba na kumwachia Mungu atende sawasawa na mapenzi yake🙏🙏
Kusema kweli unanibariki Sana naomba uniombee nipate kazi nimetuma maombi idara ya Elimu Mungu akafungue njia Kwa Jina la Yesu Amina. Namshukuru Mungu kwa kweli.
Ninakushukiru YESU kwa njia ya Mchungaji Mmbaga ninaamini utanipatia hitaji langu la kumuoa mchumba wangu kwa jina la YESU Amina
Amen 🙏asante sana muhubiri mahubiri yako,mafundisho yako yamenigusa katika maisha ninayo pitia kwa sasa na ninaamini mungu ameshughulika si mzaliwa wa kwanza laki katika kibali cha mungu nikama wa kwanza
Asante sana mchungaji MUNGU akulinde kabisa maana unafundisha vitu ambavyo vinagusa moyo wangu AMINA
Dear first born siku zote MUNGU anawafanyia njia.much love to them
He said not all first Borns are God's first born
AMEN
HAKIKA nmebarikiwa na mafundisho ya roho mtakatifu Asante YESU
Par,mungu akubariki yaan mafundisho yako yamenitia moyo na nguvu Katika maisha ya kiimani mungu akubariki Sana ninabarikiwa Sana
Mungu wetu wa Mbinguni akubariki mchungaji wangu huwa unanitia Moyo Sana nimekuwa nikiandamwa kazini mpaka nilitamani kuacha kazi lakini Mungu akanipa akili ya kwenda shule afisa utumishi wangu alinikatalia lakini Mungu alimtumia bosi mwingine akaongea na mwajiri wangu akabaki anashangaa akasema sijamkatalia mtu kwenda shule hivyo mwishoni nikapewa barua ya ruhusa na baada ya Mimi kuondoka nikapigiwa simu kuwa Yule bosi wako amehamishea nampenda Sana huyu Mungu wa muujiza kwangu❤❤❤
pastr mmbaga umenibadilisha maneno yako ni salaha kuna nguvu katika mahubiri yako ubarikiwe sana
Amen barikiwa sana. Kwa somo hili naomba Mungu anibadilishe
Asante mchungaji kwa somo kwa kweli kila fundisho linafana na maisha yangu halisi niombe niwe pia mimi niweze kufanya kazi shambani mwa bwana
Mungu akubariki sana pr kweli Mimi na shambuliwa sana nilikuwa sijui , Mungu anisaidie sana
Asante sana kwa somo la leo mungu atutangulie kwa kila jambo tunahitaji yesu atuongoze kwa kila hatua
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua na kukubariki zaidi na kukutumia katika kuvuna nafsi zake. Aminaa.
Asante sana baba wangu naomba uzidi kuwa nami siku zote zamaisha yangu
Bwana yesu asifiwe pasta mungu akubariki sana aya mahubiri ni yangu umenifariji sana
Amen Mungu akubariki sana mchungaji
Most touching sermon ever!
Pr Mungu azidi kukuinua viwango vya juu zaidi, naendelea kujifunza kila kukicha kupitia masomo yako, na ninazid kuimarika sana kiroho, Mungu akubariki sana
Mungu akubariki nimepata ambacho nilikuwa sijawahi kupata maishani mwangu Mungu aniogoze kuyatenda Amen
Pastor una moyo mzuri mweupe peee! YESU akutunze baba
Mungu akutetee mema pr kwa masoma haya mazuri
Asante bwana pastor barikiwa nimejifunza mengi huku❤
Amina nabarikiwa Sana mungu akuinue zaidi na akulinde
Hakika some hili limenigusa sana pr Mungu akubariki sana.
kweli mchngaji Kama wakati huu majukumu yanayonilazimu kutoa Kwa ndugu nikijumlisha namwaga tofali na kuanza kujenga lakin nitatoa na kujenga Bado na hakuna wa kumueleza shida zangu na wakati mengne wakiniomba nakopa hawajui
Ushukuriwe mchungaji kwa ujumbe wako Mungu akubariki
Napenda mahubiri yako sana,kile kinachonileta hapa sio nyimbo Wala mahubiri ya mtu mwingine ila yako
anza na kumuabdu
AMEN! I've listened to the message a bit late but it has built my faith and blessed me greatly. GOD bless you Pastor for teachings are ever timely and have changed my life in an amazing way 🙏🏻 🙌🏻.
Ameeeen pr. Bwana akubariki Sana
Pr Amina Asante kwabaraka nazo pokea nabarikiwa nikiwa zambia mungu abudiwe.
Dear pastor MMBAGA, Ukweli unagusa maisha yangu najisikia kutiwa nguvu kwa masomo haya ninayojifunza, kupitia wewe, nilitamani kupotezea, na kukubali kushindwa ila Sasa nitasimama, na MUNGU.
Mungu akutie nguvu
Jipe moyo mpendwa unaanzaje kumkosa Mungu kwa ajiri ya changamoto endelea mbele kila lenye mwanzo lina mwisho
Mchungaji hapa umenijenga sana unacho sema kime nigusa sana Mungu akubalik
Amen ubarikiwe pstr
Nimebarikiwa sn na ilisomo maombi Mungu aka nikumbuke na Mimi
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌
Amina kubwa kwako mchungaji
Amen, pastor God bless you
Amen ubarikiwe san
Mtumishi asante sana barikiwa
Pastor majirani wangu wana nichukia sana niombee
Mchungaji kwakweli mim hua naandamwa sana nimekua nasingiziwa vitu nawatu wangu wakaribu hata mume wangu je hilinalo no agano au nitatizo lingine nisaidie mungu akubariki
Yaanii!
Ndiyo ni agano ndiyo maana Mungu anakuweka drsn
Omba sana na jibu utalipata
Amen Asante kwa neno
Alléluia 🙌🙏
Mungu niajalie nipate mume wangu sitaki wa mtu😢😢
❤
😂ubarikiwe pr mungu akutie nguv
Amina mtumishi
Amen 🎉🎉
Niombee Pastor na watoto wangu
Mungu akutendee na akuongeze hekima
Sasa nimekuelewa kabisa mungu naomba unisamehe,nimesahau majukumu yangu ktk BOMA letu naanza Kaz rasmi,ameen
Amen Amen
Amina pastor
Amen🙏
Jambo muchungaji nafaidika sana kupitiya mahubiri
Pr.nabarikiwa na mafundisho yako
Mchungaji, ubarikiwe sana kwa mafundisho yako. Naomba namba yako uokoe maisha ya mwanangu yanateketea
NAOMBA maombi ya talaka iniondokee niwe n upendo na mume wangu Chrispus motto awachane na mpango wa kando
Ninakuombea
Mungu akubarik Sana Pastor hakika Wewe ni Baraka kwa kizazi chetu tuishio Leo.
Mungu Akusaidie sana na awarudishie upendo
@@MahubiriPrMmbaga, pastor, pray for me, also, ndoa ndoa Mchungaji mipango ya kando inatutesa sana, na tuombe aje kwanza, tuwasamehe au tuwabariki, au tuwalaani .
@@margarethpeter6762Umeona eeeeh!
Tuwe tunamuombea MUNGU amvalishe mamlaka yake! Ili wengi tubarikiwe na kuokolewa🔥🔥🔥
SAWA mchungaji (akhsante).🙏
Usiruhusu woga utawale maisha Yako.
Pastor uombee mzaliwa wa kwanza wa kwangu anayeitwa Brian apate kazi.. kutoka Kenya
Amina
😢 achukuriwe MUNGU maana yeye nimwema kwetu kila leo
Mungu azidi kukutunza ili tufaidike namafundisho yako yatubariki niombee nipone kiroho nakimwili
Ameen
Pastor nahtaji kubarikiwa ni mbeba agano kwa haya nayopitia inaonyesha dhairi naomba niongoze katika maombi
AMEN
Deborah uriyo 27:23
Hivi PR mbn unanisema Mimi
Siku 1 Kaka angu mkubwa aliniomba mpaka pesa ya mchango wa Kikao cha Familia 😂😂😂 daaah!! Mtu analalamika kabisa Yesu wangu😅
Naomba namba ya pastor mbaga pleass!!!!!
Ak npenda sana maubiri yako
DEBORAH URIYO 29:48
Now no more blood of Jesus particularly in Tanzania but Yap, the teaching. By Heri
Pastor naomba namba ya kutuma sadaka....
INJILI NJEMA,ATUKUZWE BWANA.
Hapo ni wapi jamani
Nimimi kwakweli ila nina vita kubwa sana ya kiroho inayo fanya nishindwe kukomboa familia yangu
Ktk familia nimepata neema ya kokoka ni mimi napigwa vita na familia nzima
Pastor niombee niko na case kesho kotini...nimelala kwa cell
Mungu ndiye mtetezi wa kwako
Nashukuru sana majabu ya metendeka nilikua nawekwa mpaka Bond imekuwa cancelled just from nowhere a lawyer mwenye sijui akakuja na file wakati last ikisomwa niende sasa remand for 3months Lawyer akanitetea...kwa sasa nko free nimepewa date ya 25 September 2024...zidi kuniombea Pastor napitia magumu..
Nashukuru sana kwa miracle imefanyika leo
...kwa kweli nimeona mkono wa Bwana
Mungu awe upande wako
Ameeen
Je somo hili linamwendelezo mana nautafta sijauona
Baki naMungu maana kupitia Mungu kunakufanikiwa.
Pastor ombea msichana wangu mkubwa alikuwa mwerdvu lakini siku hizi amerudi nyumba mbali Sana.
Jamani bwana azidi kukuinulia na kukubariki tusife na njaa wala kiu kupitia chakula hiki tubarikiwe na sisi jaman mmbaga ubarikiwe sana ambukiza na kizaz chako jaman! Namba msaadamaana shda nyingne siyo za sms tafadhali mwenye nayo
Umenibari na kunifundisha
Nahitaji icho kitabu cha kusikiya sauti ya mungu
Mtumishi niombee roho yaunzinzi iniachilie
Lakinipasita je nahaowai silaheri niwakweli ambaowakohapo.isilaheli
Nakupata
sasa hawa maa bwana wakuwakupaga mopago ilikuuza sukari kwa kutumia mkowa mojja or kutia kuza sukari kwa wilaya mooja sasa watatumia idia yamgu kupuguza bei ya sukari kwa killa mkowa
Ni ukweli kabisa!
Nihitaji maombi ya kunipa kiu ya maombi please postor
Pastor ninashida na namba yako
Yaani utasikia tena na tena
😅😅😮😮😮😮 1:04:40 😮
Nawezaje kupata namba za simu za Pasta huyu
Ila nyie Mungu ni mbaguzi ni vile tu siwezi kupigananaye acha anipige tu yeye
😮💨😮💨
niombee kuna vita vikali nilichobeba bwana akipanue kabisa kiwe baraka kwa wengi
Ni mama yangu amenitumia nisikilize video hii, na 😢 hii wiki yote naota nasoma secondary, na naota watu niliosoma nao chuo, mchungaji ,!
Mungu akufungue
Usirudishwe nyuma nawanaokuchukia