KATAA KUPUNGUKIWA,OMBA MAOMBI HAYA KWA ANDIKO HILI...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Zaburi 23:1
    BWANA ndiye mchungaji wangu, Sitapungukiwa na kitu.
    SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
    M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
    AIRTEL MONEY+255 684 988722. INNOCENT MASHAURI
    TIGO PESA +255 717 031609. INNOCENT MASHAURI
    CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

КОМЕНТАРІ • 120

  • @JosephinaLeonard
    @JosephinaLeonard Місяць тому

    Neema yako inatosha Mungu,nikikupata wewe nimeyapata yote Asante katika Kila jambo,Nakupenda Mungu wangu, Amina 🙏

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Місяць тому +1

    Asante Mungu ninakwenda kupata ongexeko ktkt maisha yangu mimi na familia yang

  • @JescaSamwel-fu7tx
    @JescaSamwel-fu7tx 12 днів тому

    Siku hii ee mungu naiweka wakifu mbere yako ukaongezeke ww Mimi nipungue mtumishi nakushukuru kwa maombi haya Leo yangu naamini itakua siku njema na yenye baraka mungu azidi kukupa maarifa kwa jina la yesu amina

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 Місяць тому

    Katika yote na yote Bwana Yesu Asante Kwa wakati huu katika Madhabahu hii. Amen

  • @RahabkRuth
    @RahabkRuth Місяць тому

    Eee Bwana Mungu naomba unipiganie ktk vita nlivyo navyo za paprpo za roho na Giza simama Mungu wangu wangu unipiganie, ktk haya matabahu nasimama ktk Sara ya Toba na rehema unisaidie Mungu wangu

  • @ClemenceaKashamakula-yc9qs
    @ClemenceaKashamakula-yc9qs Місяць тому

    Mungu naomba anikumbuke na Mimi naendelea kumshukuru Mungu kwa kua yeye ni mwema🙏🙏

  • @NelsonMahango-ms3ty
    @NelsonMahango-ms3ty Місяць тому

    Najiungamanisha na hii ibada japo nimechelewa maombi yangu ya mfungo naomba Bwana Mungu wetu uyapokeee Aminaaa

  • @JescaSamwel-fu7tx
    @JescaSamwel-fu7tx 12 днів тому

    Ee mungu naami ww ndiyo kila kitu katika maisha yangu Sina chakutegemea ila ww tu mungu naomba unikumbuke katika mapito yangu unapogusa wengine nami uniguse nikafunguliwe amina

  • @abigaelsimbiri632
    @abigaelsimbiri632 Місяць тому +3

    Amen

  • @Nani-ww8yg
    @Nani-ww8yg Місяць тому +1

    Asante kwa neema yako yesu

  • @MarcelBlessing-ef7rz
    @MarcelBlessing-ef7rz Місяць тому

    Asante kwa kupewa neema ya kuskia neno lako mda mrefu nimekuwa sisikii ibada kupitia mchungaji wetu Pastor Innocent Mashauri 🙏

  • @user-lu9yl5fv6h
    @user-lu9yl5fv6h Місяць тому +2

    Asandee bwana

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Місяць тому

    Nakataa roho ya hofu, uoga, aibu, kupungukiwa, kushindwa, magonjwa, umaskini, kukataliwa Bwana tusipungukiwe ktk jina lako Yesu

  • @user-xn3vq1gq3p
    @user-xn3vq1gq3p Місяць тому

    Asante Bwana, naomba unifungulid madirisha ya mbinguni, Mimi na watoto wangu. Kukawe na mafanikio Wala tusipungukiwe

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z Місяць тому

    Asante MUNGU wangu kwa kila jambo. Ninakuomba usiniitupe, kukimbilia kwangu kuwe kunusurika kwangu,familia,ukoo na watu wote wenye mwili!

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Місяць тому

    Sylvia amen amen amen asante bwana wewe ndiwe muchungaji wangu sitapungukiwa Na chochote katika Maisha,uchumi,huduma,patato langu naamini litaongezeka Kwa Jina la yesu🙏🙌❤️

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Amen amen Bwana neno lako lisikurudie bure timiza malengo na makusudi ya neno lako kwangu

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Amen mtumishi nkumbuke kwa maombi tangu asubuhi kichwa kinaniuma sana na joints zote na mwili uko moto sana na matiti yangu nahisi uchungu kiasi hata nkivaa nguo najitahidi nsiyaguse

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 Місяць тому

    Bwana Yesu tenda kwa ajili ya utukufu wa jina lako

  • @user-rl6pu5hi3d
    @user-rl6pu5hi3d Місяць тому +1

    Hata Sasa wewe ni Ebenezer,nilipofika hapa SI Kwa ujanja Wala nguvu zangu, nina Kila haja ya kusema Asante Yesu, nakuabudu kwakua uliniumba nikuabudu, wastahili sifa za moyo wangu, shughulika na shida zangu! Naamini utatenda hujawahi kushidwa,siku zote umetamalaki Mfalme wa Amani 🙏🙏🙏

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Ameeen Bwana napokea baraka zako kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth 👏👏👏🙏 🙏

  • @ambrosebarasa448
    @ambrosebarasa448 Місяць тому +2

    Asante Mungu

  • @SurprisedDaisy-lq8sh
    @SurprisedDaisy-lq8sh Місяць тому

    Bwana yesu naomba ubavu wangu ulio sahihi

  • @user-rf3zz1lb6l
    @user-rf3zz1lb6l Місяць тому +1

    Asante Yesu Amen Amen 🙏🙏🙌

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi Місяць тому

    Asante Mungu wangu wewe ni mwaminifu kwangu hata milele.

  • @user-ut9xt6mo2u
    @user-ut9xt6mo2u Місяць тому +1

    Asante kwa uhai wa siku nyingine

  • @user-vy6st5ki2v
    @user-vy6st5ki2v Місяць тому

    Najiungamanisha na madhabau hii takatifu ee mungu naomba ukawe Nami na family yangu

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Місяць тому

    YESU MWANA WA DAUDI UNIREHEMU NA UZAO WANGU TUNAKUTWIKA FADHAA ZETU BABA

  • @abigaelmwadena2262
    @abigaelmwadena2262 Місяць тому

    Asnte Mungu wangu kw kunipa kusikia neno lako usiku wa leo🎉

  • @Lydiahortence
    @Lydiahortence Місяць тому +1

    Amen 🙏🏾 Asante kwayote baba

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol Місяць тому

    Neno lako Bwana limeniponya na kunitoa katika maangamizi,,,Nimevushwa

  • @sophias3334
    @sophias3334 Місяць тому +2

    Ameeen🙏🙏🙏

  • @joycemaina4975
    @joycemaina4975 Місяць тому

    Mungu naomba ongezeko kwenye kila eneo la maisha yangu

  • @ZaifathAhmadnapokea
    @ZaifathAhmadnapokea Місяць тому

    Asante mungu kwa kunipa roho ya maongezeko Kila eneo la maisha yangu

  • @user-ut9xt6mo2u
    @user-ut9xt6mo2u Місяць тому +3

    Asante Yesu

  • @user-xy6wb5vw1f
    @user-xy6wb5vw1f Місяць тому

    Ibada ya leo nimepata nguvu kubwa sana tofauti na siku zote na kila wakati nilijisikia kunena kwa roho tu.

  • @user-ct8om8jw3l
    @user-ct8om8jw3l Місяць тому

    Mungu nikumbuke na Mimi mungu nikumbuke na mimi

  • @ScholarBwire
    @ScholarBwire Місяць тому +2

    Asante yesu 🙏

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Місяць тому

    Sylvia asante mungu ,asante yesu,asante roho mtakatifu Kwa Neema nakibali chakutosha maana sikusitajhili baba ukanistahilisha mungu pokea sifa🙏🙏🙏❤️🙌

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui Місяць тому +1

    BWANA ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu chochote

  • @biannapiter554
    @biannapiter554 Місяць тому

    Asante Sana mungu kwa kutuongoza umekuwa nasi kipindi chote 🙏🏻🙏🏻

  • @evelynmbeyu8309
    @evelynmbeyu8309 Місяць тому +3

    Asante ewe Mwenyezi Mungu kwakuniwezesha kuwa kwenye ibada hii katika jina la Yesu Kristo Amen 🙏🙏🙏 AMEN 🙏 🙏 🙏 AMEN AMEN 🙏🙏

  • @amarulabishop1754
    @amarulabishop1754 Місяць тому +3

    namunganisha promise munene na hii madhabau mungu mukumbuke

  • @lerasproducts
    @lerasproducts Місяць тому

    Mungu azidi kukuinua Mtumishi wa Mungu

  • @SmilingArcade-xj7zg
    @SmilingArcade-xj7zg Місяць тому

    Asante mungu wangu kwa kuniwazia mema 🙏🙏🙏

  • @janmak-y5j
    @janmak-y5j Місяць тому

    Naongezeka kwa Jina la Yesu

  • @LucienneBalume
    @LucienneBalume Місяць тому

    Amen Mungu abarikiwe kwa baraka zote na pokea leo

  • @joankalegi
    @joankalegi Місяць тому

    MAY PSALMS 23:1 AND ISAIAH 55:11,,, COME TO PASS IJMN 🙏🙏📖📖✝️✝️

  • @gladysnjeri282
    @gladysnjeri282 Місяць тому +2

    Amen amen

  • @napemsuya3718
    @napemsuya3718 Місяць тому +2

    Asante kwa neema yakoo hii 🎉

  • @NANCYIdagiza
    @NANCYIdagiza 11 днів тому

    Nisepugukiwe tena mungu 🙏🙏

  • @user-zg6ek5kk6z
    @user-zg6ek5kk6z Місяць тому

    Kuna mtu ameziotea nyayo zangu! MUNGU wangu ,mtu huyu yu karibu sana nami , na ana kikosi cha uharibifu. lkn kwa nguvu,uwezo,na mamlaka yako UTAWAWAJIBISHA wewe mimi nanyamaza kimya zab,56:6

  • @LydiahGioko
    @LydiahGioko Місяць тому +3

    Asante yesu kwa kutupa wakati mwingine naomba Baba ukanena nami usiku huu wa Leo usinipite😢

    • @FaridaKivuno
      @FaridaKivuno Місяць тому +1

      Asante mungu kwa kunifikisha majira haya salama nashukuru umeniwezesha kumaliza mwezi salama nmeona utukufu ukinpigania🙏🙏

  • @ElinaLungu-t4g
    @ElinaLungu-t4g Місяць тому +2

    Asante yesu mwana wa Mungu katika masaa haya

  • @GratiaMwihumbo
    @GratiaMwihumbo Місяць тому +1

    Asante sana Mungu kwa kuwa pamoja nasi kwa siku zote za mwezi huu wa saba🙏🙏🙏

  • @Princesscareen
    @Princesscareen Місяць тому +2

    Asante kwa nehema ya kipekee

  • @belinakabunduguru
    @belinakabunduguru Місяць тому +1

    Asante yesu kwa kutuwazia mema kila iitwapo leo.....wew waona wadharimu wangu baba naomba upigane nao wanaopigana nami.

  • @shukurusyriack3504
    @shukurusyriack3504 Місяць тому +1

    Asantee Mungu kwa wakati huu,Baba naomba ushughulike na familia yanguu

  • @collenskessy-uv9mr
    @collenskessy-uv9mr Місяць тому +1

    🙌🙌🙌

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 Місяць тому +2

    ASANTE YESU KWA KUNIPA KUWAHI IBADA LEO! GLORY BE TO JESUS

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol Місяць тому

    Nimepokea Neno limeniponya na kunitoa katika maangamizi

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 Місяць тому +1

    Asante mungu kwa kuniajalia síku nyingin ni wema wako tu bwaña umeñiajalia🙌🙌🙌🙌

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 Місяць тому

    YESU NAKUKABIDHI KILA KILICHO CHANGU NI CHAKO KANIFINYANGE UPYA YESU

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    Asante mungu napokea ongezeko

  • @frolamussa9862
    @frolamussa9862 Місяць тому

    yeSU usinipugukie ktk maisha

  • @PolaChadi-wm8mk
    @PolaChadi-wm8mk Місяць тому

    Ameen.ubarikiwe.mutumishi

  • @rizikilaunda961
    @rizikilaunda961 Місяць тому

    Amen 🙏 Amen 🙏!!!

  • @SurprisedAnt-cw7dl
    @SurprisedAnt-cw7dl Місяць тому

    Asante san mungu wangu

  • @eunicekaio2564
    @eunicekaio2564 Місяць тому

    Najiunganisha kwa jina la yesu

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 Місяць тому

    Hakika nimekuona bwana! Hata Sasa wewe ni EBENEZER

  • @MarieMakiwa
    @MarieMakiwa Місяць тому

    Asente yesu

  • @NeemaKomba-vn6sh
    @NeemaKomba-vn6sh Місяць тому +1

    Najiungamanisha na ibada asante Yesu

  • @NdayishimiyeAgnes-of2tn
    @NdayishimiyeAgnes-of2tn Місяць тому

    Asante Bwana kwa wakati huu

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    Amen 🙏🙏🙌🙌🙌

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @janecharo1196
    @janecharo1196 Місяць тому +1

    Ongezekà bwana kwa huduma yangu 🙌🙏 kazi yangu 🙏🙏🙌 ñauñgañisha to

  • @EvaMwalughali
    @EvaMwalughali Місяць тому

    Amen naungana pamoja

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    Nakataa roho ya kupungukiwa

  • @VeronicaMartine-gs5wk
    @VeronicaMartine-gs5wk Місяць тому

    Ee bwana niumbie moyo safi

  • @user-xo7ns7bc8c
    @user-xo7ns7bc8c Місяць тому

    Ameeen

  • @SimoniZakayo-pc6ew
    @SimoniZakayo-pc6ew Місяць тому

    Amen 🙏🙏

  • @flavianamayutta4619
    @flavianamayutta4619 Місяць тому

    USINIACHE BWANA YESU, SINA MWINGINE ZAIDI YAKO.

  • @lostanguvila7761
    @lostanguvila7761 Місяць тому

    ameen

  • @VeronicaMartine-gs5wk
    @VeronicaMartine-gs5wk Місяць тому

    Amina

  • @frolamussa9862
    @frolamussa9862 Місяць тому

    nakataa kypungukiwa

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi Місяць тому

    Najua Bwana atatengeneza njia kwa ajili yangu na kupungukiwa tena katika maisha yangu hakutakuwepo tena.

  • @JaneNkata-tq5oi
    @JaneNkata-tq5oi Місяць тому

    Asante Mungu kwa maombi haya namuomba sana Roho Mtakatifu azidi kunitawala,kunilinda,kuniongoza,kuniimarisha na kunihudumia.
    Ameen

  • @HellenDaudi-rt8ol
    @HellenDaudi-rt8ol Місяць тому

    @Daudi Mwangake njoo hapa

  • @AnnnaMwakatumbula
    @AnnnaMwakatumbula Місяць тому +1

    Asante yesu kwa kunipatia kibali cha kuingia ibadani

  • @MeshiMollel
    @MeshiMollel Місяць тому

    Atuna,mwingine,saidi,yako,baba

  • @Anithajoseph-bm8ix
    @Anithajoseph-bm8ix Місяць тому

    Ameni🙏

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l Місяць тому

    ❤🎉🎉🎉

  • @user-si6iu9vx2q
    @user-si6iu9vx2q Місяць тому

    🎉ammen

  • @JolleetNiaze
    @JolleetNiaze Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @MeshiMollel
    @MeshiMollel Місяць тому

    8:40

  • @ZakinaMakokha-fe1sq
    @ZakinaMakokha-fe1sq Місяць тому +2

    Amen

  • @ElizabethKadenyi-xo7nc
    @ElizabethKadenyi-xo7nc Місяць тому +1

    Asante yesu

  • @DelaneyWambui
    @DelaneyWambui Місяць тому

    Amen amen 🙏🙌

  • @jadymshary2035
    @jadymshary2035 Місяць тому

    Amen 🙏

  • @mwisabihendo5202
    @mwisabihendo5202 Місяць тому +2

    Amen