Mh shigongo umeniamsha vizuri mno,kuanzia sasa nawakata marafiki wasiofaa, Mungu akujalie baraka na maoni mapana
Mungu atusaidie kwakweli❤
Nimelipenda somo lako
Asnte sana ujumbe muzuri mungu akubariki sana
Amen Mungu akubariki Mcungaji
Bravo 👏 👏 👏 👏 network with the right people 😊
Thanks too much for your lectures
Shigongo keep up brother
Hongera kwa mafundisho mazuri, ila sasa lugha hiyo unayochanganya wengine shule hatujaenda; Iman yangu ni kuwa unataka kuponya roho za watu na mimi nikiwemo, kama hautajali mafundisho ya namna hii ya kwenda mtandaoni yanaangaliwa na watu wa kila namna, kama itawezekana lugha ya kiswahili ipewe kipaumbele
Asante sana kaka, najifunza mengi kupitia darasa lako
I like you Mr Eric Shigongo big up brother and be blessed
Nashukuru sana,umenitiya moyo na kuniinuwa kimawazo zaidi
Mungu mungu,sasa ninamiaka 30 nikiwa darasa la tatu nilipenda kusoma vitabu VYAKO eriki ,nimekuwa namiongozo yako nimefanikiwa kwakuiga mengi kwako nashukuru Sana
Amen Amen
Thanks
Tuliolala muda wa kuamka ndo huu 🎉🎉🎉
Amina
❤ kweri waoga WOTE mateso
asante kwa somo lako mung awe nawe
Asante sino zuri
Somo limekaa vizuri mno
Ukweli kabisa
Leo nimekutana na hii imenijenga sana ,Mungu akubariki sana
Nashukuru Muheshiwa ,nimesoma riwaya zako na leo nimejifunza kutoka kwako
Ni kweli kabisa!!
Good
Barikiwa sana kaka Eric boss wetu wa elimu za mafanikio
🙏🏾🤲🏽
nashukuru sana naitoa hofu kwanzia sasa hiv
Aise daaah maalifa aya baraa sana
Shigongo
Mambo mazuri hayo
🤲🏽🙏🏾
Ameen barikiwa sana mtumishi wa mungu
That's true bro
Huwa namfananisha Eric na tyler perry i think they have many things in common 🎉
Naipenda sana hii. Great inspiration indeed
Ukweli mtupi
Ahsante sana mh.nimejifunza kitu kikubwa sana kwako
❤
🙏🙏🙏
GOMS was here 🧘🏽♂️🎧.
Ahsante sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I respect my brother, ni kweli unayoyasema yanatukuta wengi. But now I will study for you.
ni ukweli mtupu unaoongea safi sana
Ujumbe mzurii
appreciate you my brother
Ubalikiwe sana kaka yangu nimejifunza mengi
Asante 🙏
Kweli baba
Elimu kama hii tunaipenda ila shida tutaipata wapi wachache ndo wanafanya barikiwa sana
This is true 🎉🎉
Nashukuru sana kwa soko pls naomba namba yako
Nimekwelewa sana mkuuuu🎉🎉
Mimi nakukuribari nilianza kufata magazeti yako Toka shilingi mia ulipokuwa nakaka yako polis mikumi ulipesewa mtaji wa kwanza ukapote ukajetena akakwambia nakupa laki mbili mpaka Sasa ubarikiwe pili nilichukuwa Mimi upande wa mahubili ulipokuwa unatoa riwaya zako Leo ni mchungaji ubarikiwe sana sana
Thank you Mr Erick
Kweli kabisa
Nilikuwa naanza kukata tamaa kwenye biashara yangu ya Forex kwa sababu ya hofu ila hii video imenirudishia tabasamu nimeelewa sasa....Ubarikiwe sana Father Shigongo
😂😂😂 hapo kwenye Umbea umepiga kwenye Mshono...kuna watu wanapenda umbea
Punguzeni kizungu maana watanzania tunao kufuatilia ni wengi ila tuapitwa na maneno ya kizungu
Shigongo I want to met you
Punguza kingereza mkuu acha kabisa sie wabogo tunapenda kiswahili
Hakuna msomi wanaoitwa msomi wakiswahili hakuna hio mjomba huo ni msomi subir amalize yy ndo ww uje nalugha yako
Ahsant San
🙏
Nikweli
😊
Uhakika kaka mkubwa
🤔🤔
Kuanzia Leo nitakusikiliza ,kaka Bado nipo dalasani
Baba tafadhali naweza kkuona ukanisaidia tafadhali?
Punguza kingereza wengine niwaswail kaka
Ongea kiswahili unaongea na watanzania uzungu mwingi
Anaongea na aliyekuwa anaongea nao....Wamefanya kurekodi tu Brother. Wewe haukuwa mrengwa
Ndio.lafiki
Nafukizahofu mutumishi
Nimekuwa nikukufuatilia tang nina miaka7 enzi za sani na kiwi ila sasa nashindwa namna ya kupata makala zako
Now you are becoming a preacher,y don't you open your church.
Genus wewe
🙏🏾🤲🏽
🤲🏽🙏🏾
Thanks
🙏🙏🙏
🙏🏾🤲🏽
🤲🏽🙏🏾
Thanks
🙏🙏
Jambo kwa wote
Mungu akubariki Brother Eric shigongo, unaongeya ukweli.