Hatimae mazinge abatizwa tanga

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 642

  • @joshuakorir2003
    @joshuakorir2003 10 місяців тому +44

    Ndacha ndacha mungu akubariki sana tena saidi nitakuja unifunze nikue kama wewe

  • @Deliveranceministry.
    @Deliveranceministry. 11 місяців тому +43

    Mungu akubariki Ndacha ur true prophet of God to say the truth

    • @Timonlangat
      @Timonlangat 9 місяців тому +1

      True.....i love this guy..... the best one

    • @DancanOsongo
      @DancanOsongo 9 місяців тому +2

      amen

    • @EmanuelJulyas
      @EmanuelJulyas 5 місяців тому +3

      Daaa,ndacha,angekuwa,tz nigekuwa,nasali,kwake, anajua,sana,

    • @machoguhameri7757
      @machoguhameri7757 3 місяці тому +3

      Kwa hakika mchungaji Ndacha ndie anastahili kuitwa Profess kwani vifungu vyote vya Biblia na koruani viko kichwani, hasomi katika vikaratasi kama Mazinge. Mazinge hana uwezo wa kusoma vifungu bila kunakilisha kwenye vikaratasi

    • @TomasMujema-k7j
      @TomasMujema-k7j Місяць тому

      ​@@machoguhameri7757 Mazinge amezeheka Sasa memory inaanza kufutika.

  • @DesiresoloChanteure-nr3lb
    @DesiresoloChanteure-nr3lb 9 місяців тому +39

    Ubarikiwe saana Mchungaji Ndacha Kwakuwaelimisha Wasio juwa Ukwel wa Kristo YESU.

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 місяці тому

      Ndacha has made me know wats the true religion is and which protocol is followed

  • @Mathias-yi5bo
    @Mathias-yi5bo 8 місяців тому +26

    Ashukuriwe Mungu aliyempa maneno ya hekma na neema mtumishi huyu ili awakilishe vyema kwel ya kristo ❤

  • @benteke6258
    @benteke6258 2 роки тому +207

    huyu msomaji ako juu wapi likes zake👏👏👏

  • @AndrewEzdory
    @AndrewEzdory 7 місяців тому +14

    Daaaaaaaaaaah! Umejua kutuheshimisha sana sisi wakristo! Ubarikiwe sana mtumishi👏👏👏👏👏👏

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 11 місяців тому +36

    Du! Huyu jamaa noma Sana. Kawakusanya wote Kawatia kwenye pipa😂😂😂😂

  • @joashonchieku5674
    @joashonchieku5674 8 місяців тому +14

    When teaching about God's word you must have a clear evidence from a written documents..Ndacha is doing a good thing God bless people like you 🙏✨

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 3 роки тому +25

    Mwalimu Francis Ndacha ameiva kwenye mambo ya kidini,Mazinge ni kutembea tu kama sokwemtu wa kiume lakini hoja hakuna.

    • @sarahkudoyi4371
      @sarahkudoyi4371 2 роки тому +1

      😂😂😂😂😂 aty anatembea kma sokwemtu khaaa!!😂😂😂

  • @nahashongitoro141
    @nahashongitoro141 8 місяців тому +16

    Ndacha kazi yako sawa kabisa Mungu anakutumia kabisa. Wape ukweli atakayesikia na kukumbali ukweli anusulike.

  • @HappyCupcakes-eo8fd
    @HappyCupcakes-eo8fd Рік тому +21

    Daa!!, mwl NDACHA wewe kweli mjumbe wa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI.

  • @alexmusyoka2261
    @alexmusyoka2261 Рік тому +26

    ❤❤ndacha mungu akueke maisha marefu

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 2 роки тому +23

    Looo kweli Mazinge umelala chini hapo. Acha kukariri tafakari braza. Kwa maneno yako batizwa sasa maana uliapa kwa mola wako.

  • @leandrymmassy9916
    @leandrymmassy9916 Рік тому +33

    Brother uko vizuri kwenye mandiko. Mungu akubariki sana. Mungu ni mwema kila wakati.

    • @MarizLucas
      @MarizLucas Рік тому

      Bwana n mwema

    • @UFh-z6p
      @UFh-z6p 10 місяців тому

      Ndaca anaweza hatu hawuo kwasababu hâta hico kitabu cawo anakijuw 😂😂😂😂

  • @OnesmoChaula-o9m
    @OnesmoChaula-o9m 9 місяців тому +12

    Hii nzuri sana tunaelimika

  • @BenjaminKaberia-e4e
    @BenjaminKaberia-e4e Рік тому +27

    Na mungu wa mbinguni akuongeze hekima mara ndufu.

  • @debiwatechnicalworks5291
    @debiwatechnicalworks5291 Рік тому +15

    Yesu alitembeya juya maji tena yesu akawambiya mufateni mwendeno wangu yesu ni kweli nauzima akasema usiabudu muungu mingine ila mungu wambinguni
    Wengine wana tumiya miungu si mungu 🙏

  • @GodluckWiz
    @GodluckWiz 9 місяців тому +9

    Ubaya zaidi anasoma vitabu vyao😂😂 ndacha🔥

  • @godfreymwamaso2424
    @godfreymwamaso2424 Рік тому +7

    Ubarikiwe sana mrumishi wa Mungu Ndacha kwa kutetea jina la kristo mbele za watu bila kuona aibu naye haitakuonea aibu mbele ya Baba yake

  • @paulduke6712
    @paulduke6712 3 роки тому +22

    Mazinge amzoea kudagana watu amekutanana malimu akafundishwa ndacha MUNGU akubarki

    • @FaustineKingu
      @FaustineKingu 8 місяців тому

      Mazinge tayari amemkubali kristo na mubatizwa wewe unasubiri nn kubatizwa

  • @josuekalwani5725
    @josuekalwani5725 2 роки тому +18

    Kumbe huyu amezoea kudanganya uongo kwenye uislamu ni halila ameshasema sana kuhusu kubatizwa muongo shekheih uongo unafundishwa msikitini

  • @MagdalenaSilas
    @MagdalenaSilas Рік тому +16

    Wafundisheni hao nao wamjue mungu zaidi

  • @KennyKenny-zn5cy
    @KennyKenny-zn5cy Рік тому +17

    Napenda sana huyu mutumish wa Mungu

  • @samsonnyasilu268
    @samsonnyasilu268 9 місяців тому +6

    Mwenyezi mungu akubariki mchungaji

  • @AgripaMwangobola-z7r
    @AgripaMwangobola-z7r 2 місяці тому +4

    Ndacha ndacha ndacha nimekuita mara tatu kwel ww ni mwalimu mungu aendelee kukupa neema

  • @lucasmisati6086
    @lucasmisati6086 8 місяців тому +9

    Proud to be a Christian

  • @DezbLeonard-hz5dx
    @DezbLeonard-hz5dx Рік тому +12

    Amen pastor Ndacha

  • @PauloOlewanga
    @PauloOlewanga 9 місяців тому +7

    Ubarikiwe sana mtu wa mungu

  • @SarahRobert-o6e
    @SarahRobert-o6e 7 місяців тому +3

    Mdanchi Mungu azidi kukutunza Ili uewndelee kuwafundisha ukweli kuhusu Yesu ndie njia ya Uzima na kweli Ubarikiwe Sana Mtumish

  • @petermwelesa1749
    @petermwelesa1749 9 місяців тому +31

    Ndacha you deserves maximum respect in the world

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 місяці тому

      Indeed he is so organized

    • @Mapenzi2635
      @Mapenzi2635 2 місяці тому +1

      Mungu amemheshimisha. Yesu alisema mtu akishika maneno yangu Baba yangu atamheshimu

  • @jovinmancomedytz
    @jovinmancomedytz 9 місяців тому +7

    Ndacha wewe Mungu akulide🎉🎉🎉🎉🎉

  • @sebastianmutua6790
    @sebastianmutua6790 11 місяців тому +8

    Ndeche Baba Lao God bless you

  • @EzekielWangila
    @EzekielWangila 7 місяців тому +4

    Brother kazi ya Mungu iendelee

  • @emmanuelmatiko7307
    @emmanuelmatiko7307 6 місяців тому +8

    Ndacha uko vizuri sanaa

  • @ReyzDon
    @ReyzDon 3 місяці тому +9

    Nimebadili dini na kuwa mkristo

    • @JohnOuya-w7j
      @JohnOuya-w7j 2 місяці тому +1

      Mwenyezi mungu ameshakuonyesha njia,amina amina hakuna njia ingine kando na yesu,yesu ndie njia kweli na uzima barikiwa❤❤❤❤

    • @PendoKalama-rn8pf
      @PendoKalama-rn8pf 26 днів тому

      Karibu katika njia ya kweli

  • @elishakitumbu5719
    @elishakitumbu5719 3 роки тому +20

    Amina ndacha

  • @jumankamuchino3817
    @jumankamuchino3817 Рік тому +7

    Mungu akubariki sana Asante

  • @nassoromwinyinassoro
    @nassoromwinyinassoro 11 місяців тому +13

    Najivunia kua mkristo YESU ni bwana

  • @MarySyumbua-b4o
    @MarySyumbua-b4o 8 днів тому +1

    Postor mungu akusaindie sana uendelee kufunza Islamic

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 роки тому +28

    Ndacha wewe ni mwalimu mzuri sana ambae akuelewi nikichwa mbuzi. Manzinge hoi kelele tu na plojo kibao.

  • @omreuzex7109
    @omreuzex7109 4 місяці тому +3

    Ndacha, Mungu akubariki sana. Tena sana

  • @danielkasau8747
    @danielkasau8747 4 місяці тому +4

    Ndacha Mungu akubariki zaidi🔥🔥

  • @davidario5990
    @davidario5990 Рік тому +6

    Hakika ndugu Ndacha Mungu akubariki akuwezeshe katika huduma ya kutoa watu taka za hio dini walioiamini. Unafanya huduma ya Kristo kama ndugu Apollos ( Matendo 18.28)

  • @sammunialo5463
    @sammunialo5463 3 роки тому +19

    Mazinge abatizwe alivyo ahidi na kuapa.

  • @amosmbogo7175
    @amosmbogo7175 Місяць тому +1

    Barikiwa sana bro,,jukumu letu watoto wa Mungu nikuwaelekeza ndugu zetu waliopotea wakamfuata mwanadamu mhamad ambaye hana uzima kwao

  • @denniskitongamutie5332
    @denniskitongamutie5332 Рік тому +7

    Huyu msomaji huyu naye kwani ni ndugu ya dj afro.....wakriiiiiiisto...😂😂

  • @johnbosconiyibigira7811
    @johnbosconiyibigira7811 3 роки тому +27

    Hao waislim niwaropokaji tuu , porojo tuu

  • @MirriamKimilu-go5nn
    @MirriamKimilu-go5nn 6 місяців тому +4

    sasa mazinge angalia na macho mawili uone pastor ndacha akikueka kwa ngunia pamoja na wafuasi wako😜😜😜🤪🤪🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂pastor uyo si mazinge tena, uyo n farao na jeshi lake,,,wanataka kuangamiza wakristo,,sasa we pastor ndacha inua ile fimbo ya mussa uwaonyeshe maana yake

  • @YohanaKilienyi
    @YohanaKilienyi 10 місяців тому +7

    Aminaa sana watakubari tu. Mwaka huuu

  • @lucasmisati6086
    @lucasmisati6086 8 місяців тому +11

    Pastor Ndacha🔥🔥

  • @MonicaNzowa
    @MonicaNzowa 6 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu kwa kuwaelimisha watu wa mungu

  • @BroNahashon
    @BroNahashon 11 місяців тому +8

    Kukua na ukweli ni raha aje.❤❤❤ thanks my pr.ndacha you're my role model🎉

  • @MirriamKimilu-go5nn
    @MirriamKimilu-go5nn 6 місяців тому +5

    sasa wewe mazinge wajichimbia kaburi ukiona,,zako nyingi n vitisho bt point huna😂😂😂😂😂

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому +15

    Mmmm ipo Dini kubwa maana Muhamad hayuko hai ,Yesu yu hai

  • @JohnJoseph-qq7ow
    @JohnJoseph-qq7ow 6 місяців тому +4

    Oooh huyu ndacha anaakili nyingi hawatamuweza

  • @justinocarlitosduas7357
    @justinocarlitosduas7357 Рік тому +5

    Ndasha mungu na akupe nguvu zaidi. Ongera sana.

  • @BonnyKandada
    @BonnyKandada 8 місяців тому +2

    Ubarikiwe sana kabisa mtumishi wa Mungu

  • @barakapetro-tn7zo
    @barakapetro-tn7zo 7 місяців тому +2

    Ubarikiwe Mzee wangu ndacha

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Рік тому +6

    Ndacha Mungu akulinde 😢😢najua unapitia vita vigumu sana

  • @AkinRodrigue
    @AkinRodrigue 3 місяці тому +3

    Prophesa Mazinge🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @christopherernest2316
    @christopherernest2316 9 місяців тому +4

    Ndacho huyu jamaa anajua mpaka anakela 🎉🎉🎉

  • @joycelydiah7156
    @joycelydiah7156 Рік тому +10

    Ndacha big up my broder God bless u give them cash 😅😅😅😅😅

  • @husseinmahenge3176
    @husseinmahenge3176 2 місяці тому +3

    kweli nimeamini waislamu ni vilaza kitabu chao kinaitambua dini ya mwenyezi Mungu halafu wanasema tusome hata gazeti hatuta ona ni wavivu kujisomea wanapenda sana kukaririshwa 😂😂😂

  • @sarahkudoyi4371
    @sarahkudoyi4371 2 роки тому +19

    Shida ya hawa waislamu hawana elimu kabisa ata ukiwafundisha kwa maandiko hawaelewi kabisa kando na ubishi na maneno mengi yenye hayana hoja

    • @ronniebertin3563
      @ronniebertin3563 Рік тому

      Yes my sister.hawa watu vichwa vyao vina Mavi ndani

    • @h.alshidhani8971
      @h.alshidhani8971 9 місяців тому

      Ninyi WAKIRISTO ni makafiri nambari moja

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 8 місяців тому

      ​@@h.alshidhani8971huna hoja ya msingi zaidi ya kelele

    • @FatmaNash-nd5kz
      @FatmaNash-nd5kz 7 місяців тому +1

      Wakiristo akili hawana utaabudije binadamu mwenzako ,tena huyo mnaesema ni mungu aruhusu waja wake aliowaumba yeye mwenyewe wampige mawe na wamsubishe

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 7 місяців тому

      @@FatmaNash-nd5kz ungeuliza connection ya hicho kitu unachokizungumza usiongee wakati hamna chochote unachojua

  • @susanmwangi8748
    @susanmwangi8748 Рік тому +29

    Waoh I love this Gospel.❤❤❤

  • @robertnyabuto1593
    @robertnyabuto1593 10 місяців тому

    Ndacha MUNGU akuongeze na akuzaidie kuokoa watu wa MUNGU; this is amazing and wonderful teaching

  • @azariahasaph9072
    @azariahasaph9072 Рік тому +4

    Mungu asimame na wewe ndugu yangu, kwa kazi nzuri ya mhadhara huo.

  • @noelmbosa2736
    @noelmbosa2736 Рік тому +9

    YESU,saaaaafi

  • @ThobiasMbuya-pw9tb
    @ThobiasMbuya-pw9tb Рік тому +7

    Kweri Yesu ni Bwana Mungu

  • @Jayjay-d1d
    @Jayjay-d1d 9 місяців тому +5

    Mm kwenye ukuristo hadi kifo

  • @TashwillKaroolse
    @TashwillKaroolse Рік тому +3

    Makafiri bana, wameogopa kuweka kipande alichojibiwa😂😂
    Makafiri wamezoea porojo
    Wekeni kipande alichojibiwa muone alivyo aibika

  • @GodluckWiz
    @GodluckWiz 9 місяців тому +6

    Uyu msomaji ananikoshaaa😂😂😂🙌

  • @NuhuBilia
    @NuhuBilia 18 днів тому +1

    Asante mungu kwa kumpa paster ndacha naneno ya hekima

  • @AbellaZaburi-jj4vs
    @AbellaZaburi-jj4vs 8 місяців тому +5

    Mungu akupe ulinzi pr ndacha

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 роки тому +2

    Msomaji wa kikirsto MUNGU wambinguni akubariki sana upo vizuri sana

  • @deogratiussaru2498
    @deogratiussaru2498 3 роки тому +35

    Ndacha ubarikiwe

  • @FaustineKingu
    @FaustineKingu 8 місяців тому +4

    Nakubaliana na mahubiri ya kisabato

  • @OndariIsaac
    @OndariIsaac 9 місяців тому +4

    Dacha God bless you

  • @FaustineKingu
    @FaustineKingu 8 місяців тому +3

    Watamjua tu baada ya mahubiri watakuwa wamemkubali yesu amen

  • @michaelmillinga5064
    @michaelmillinga5064 5 місяців тому

    Ndacha you are the best in apologetics and polemics I have ever seen.. respect from Tanzania

  • @abelmoturi52
    @abelmoturi52 2 місяці тому

    Amen glory to God mwalimu ndacha ukristo ni dini ya Jesus

  • @giftladis
    @giftladis Рік тому +17

    Wewe ni mtengenezaji kweli ! Asanteee kutetea ukristo, wa Islam waje wabatizwe tuu

  • @mzungureloaded7740
    @mzungureloaded7740 Рік тому +6

    Wonderful speach

  • @YohanaAyoub-y7q
    @YohanaAyoub-y7q 2 місяці тому

    Ubarikiwa paster NDACHA❤❤❤

  • @JosephatKisiangani-h7z
    @JosephatKisiangani-h7z 4 місяці тому

    Kweli,mchungaji Ndacha,mungu amekupa roho ya ufahamu wa neno lake,unanibariki mno,si mola akubariki sana.

  • @ezechielmanishimwe
    @ezechielmanishimwe 11 місяців тому +1

    Ndacha Mungu akupe maisha malefu,akurinde namsoji wako na familia zenu.Amen

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 Місяць тому +1

    Mazinge umezeeka bila kusoma vitabu unauliza swali unaona gumu unatoa viapo fake kumbe ni kutokusoma vitabu

  • @phiniasbunyinyigangereja9760
    @phiniasbunyinyigangereja9760 7 місяців тому +7

    Huyu ni mchungaji au mwinjiristi??? Anaijua biblia balaaa

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 29 днів тому

    Huyu jamaa kiboko yaan kchwan ni vtabu vmekaa iwe vya kiislamu au vya kikristo halafu hajakariri,hongera sana mwl

  • @jacquesuwezo7479
    @jacquesuwezo7479 2 роки тому +15

    Ndacha wewe mwalim nakupenda

  • @jimmyjonathan8579
    @jimmyjonathan8579 2 роки тому +3

    Kazi Njema na Nzuri Mtumishi, Mungu akubless! Wakristo tupo nyuma yako, ...Waelimishe wajinga hao hawajui walitendalo.💝🎚

  • @benalbyk2905
    @benalbyk2905 9 місяців тому +1

    mtume mohamad hakua na ndini yoyote kwani hakusilimishwa mbali alisilimisha mkewe pekee kulingana na mjibu wa maandiko,lakini Christo alikua wa ndini ya wakristo kwa sababu alibatiswa

  • @WatukalusuOmbeni
    @WatukalusuOmbeni 28 днів тому

    Safi kabisa yesu kristo mukubwa.

  • @RajabuKiedu
    @RajabuKiedu 6 місяців тому +2

    Siku IPO kwenye mdaalo wa aman kama huu maelfu yatarudi kwa yesu mchana kweupe

  • @ivanbusumbiro6429
    @ivanbusumbiro6429 Рік тому +4

    Msomaji amesoma shule IP sijui

  • @mlendjaonesime6031
    @mlendjaonesime6031 Рік тому +2

    Mazinge ni mwongo, na huyo mwengine anapelekwa kama kambuzi macinjoni😂😂

  • @ndayishimiyejaphet4927
    @ndayishimiyejaphet4927 5 місяців тому

    Thanks a lot postor Ndacha for every good reasons u have given those guys do not understand from Burundi

  • @ipyanapaul8268
    @ipyanapaul8268 2 роки тому +79

    Msomaji wa kikirsto MUNGU wambinguni akubariki sana upo vizuri sana

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 3 місяці тому

      I like him ndio nimzuri kufanya jambo na wasomi wenzako

  • @MaryNdungu-m6l
    @MaryNdungu-m6l 28 днів тому

    Amen asifiwe YESU

  • @mtaalam_mwashigara
    @mtaalam_mwashigara 19 днів тому +1

    Pastor nomaaa